tunduma001
JF-Expert Member
- Jun 7, 2021
- 795
- 1,267
Ngoja tuone khamenei atakavo ninyea nyea
Nimetayarisha mwenyewe.huu Uzi umecopy mahali au umeandaa kwa utashi wako unaoongozwa na hisia za kidini?
CIA wanaweza kupenya sehemu kadhaa lakini sio kila sehemu kwamba wamejaa.kwenye viwanda vya kutengeneza Silaha vya waajemi, CIA wamejaa humo
Tuna Imani nao.Mwanzo wengi tuliamini hivyo lakini siku yalipotua kwenye kambi muhimu na uwanja wa ndege wa jeshi tulijua kumbe na wao wanaweza.Safari hii ni zaidi na watapiga kwa hasira.
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu.!! tusaidie ni wapi Benjamin Netanyahu alisema anataka kuchora raman mpya ya Israel Tupe hiyo link au video alisema hayo?? Kuna wengi humu mnapenda kueneza uongo sana sijui mnąca ya hivyo kwa faida ya nani!!
Hiyo siyo maana yake anachomaanisha yeye ni kubadirisha sura ya Mashariki ya kati kama ilivyo sasa hivi Syriai!,
Kwa ujinga wako wewe unafikiria ataziteka nchi na kupanua mipaka ya Israel? Anachofanya huko Syria ni kuweka tu eneo la usalama (Security Zones ) tu Israel haina nia ya kujitanua kama unavyofikiria wewe!!Umefahamu lakini bado unapindisha maana na kutetea ujinga.
Kibweteere aliuwa Wakristo wenzenu kanisani mia 700 ongezea yule mackenzie mzee wakueka watu njaaa pale kilifi!!!!!Takbir
kenge nyie mnauwa waislam wezenu kama kuku
Punguza ukanisa.Ngoja tuone khamenei atakavo ninyea nyea
Unaweza kuthibitisha?kwenye viwanda vya kutengeneza Silaha vya waajemi, CIA wamejaa humo
🤣🤣🤣🤣🤣Stori za vijiweni tena zinaitwa zilipendwakwenye viwanda vya kutengeneza Silaha vya waajemi, CIA wamejaa humo
Kibaya zaidi ni kuuawa kwa kiongozi wa HAMAS kwenye safe house ya Ikulu ya Tehran huenda hata huyo Ayatollah ni pandikizi la MOSSAD..Iran nilikuwa nawakubali sana ila siku waliyoniangusha na kunipa aibu na fedheha ni pale kiongozi wao alipofariki katika ajali ya helikopita ambayo kumbe ilitengenezwa Marekani.
Hata Sasa kama Iran Hana uwezo wa kuepuka kutumia vifaa vya Mmarekani na washirika wake basi atatupa aibu nyingine tu.
Akisimama nchale Tu😸😸lakini ukitoka na mkuki aliyekupiga lazima akimbie na akisimama ....
Nia ni kujitanua.Kwa ujinga wako wewe unafikiria ataziteka nchi na kupanua mipaka ya Israel? Anachofanya huko Syria ni kuweka tu eneo la usalama (Security Zones ) tu Israel haina nia ya kujitanua kama unavyofikiria wewe!!
Hayo ni ma wazo yako wewe tu. Lakini kwa Hezbollah hawana uwezo wowote wa kupambana na dude Israel watapigwa mpaka wasahau walizaliwa lini. Kwa taarifa yako hakuna makubaliano ya Siri kati ya Lebanon na Syria hata wakifanya hayana maana yoyote maana mlango wa kupitisha silaha kutoka Iran kwenda kwa magaidi hao ulishazibwa na kuna askari wa Israel huko!!Nia ni kujitanua.
Na kuweka mipaka salama hataweza nako kama anafanya uchokozi huku na kule.Hizbullah wa Lebanon wakishakubaliani kwa siri na Syria basi hata mipaka salama haipo.