Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,775
- 7,497
Allah huyu huyu anayeahindwa kuwalinda makamanda wa kipaleatinaNimefurahi sana kwa kuthamini uchambuzi wangu.
Sijawahi kupitia mafunzo kama hayo.Ni kipaji tu na ambacho Allah humpa ampendae.

Allah hashindwi na chochote na hufanya muda apendao,Hutoa mitihani ya kutosha kwa majeuti ili wajitafakari na kwa wanyonge ili wajisaidie wenyewe na wasubiri mpaka mwisho,Allah huyu huyu anayeahindwa kuwalinda makamanda wa kipaleatina
THE VICES OF MOHAMMED:Kibweteere aliuwa Wakristo wenzenu kanisani mia 700 ongezea yule mackenzie mzee wakueka watu njaaa pale kilifi!!!!!
Kwani vita vimemalizika.Nakumbuka hata Hizbullah mlisema hivihivi na wengine mlidiriki kusema lsrael ikipigana nao itaenda kufutwa na marekani itaenda kuanguka mkirejea vita vya 2006 lakini kila mtu anajua kilichotokea hapo Lebanon makao ya magaidi jinsi walivyo mwagwa mavi na sponsor wao alivyo pigwa Syria na kwake pia mpaka leo yupo kimya kama hayupo vile wamebaki kobazi humu kumsemea na kumsifu
Wewe uko wapi kwa sasa? Upo Syria au Iraq au Jordan? Au uko kusini mwa jangwa la Sahara mkoa wa Simiyu? Kama Iran alishindwa kung'amua na kuwasaidia Hezbollah mpaka zile pagers zikawauwa kiasi kile ujue kuna shida mahali fulani. Russia huwa anasaidia kutozitoa tawala zilizoko madarakani kama(Maduro wa Venezuela na Assad wa Syria) kutokana na vuguvugu la ndani na sio kuji engage kwenye full combat war na Marekani. Subili uone kama China na Urusi vitapigana vita na Marekani kisa Ayatollah. SAHAU SAHAU SAHAUBenjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika.
Makamanda wake nao hasa waziri wa Ulinzi wamekuwa wakitoa kauli za kujiamini kiasi kama hicho zinazoenda sambamba na kuvunja maeneo muhimu ya makazi ya wapalestina kote Gaza na kote maeneo yaliyo ndani ya Israel ambako PA wamepewa madaraka kudhibiti wenzao.
Hayo yametokana na kuamini kuwa mfadhili mkubwa wa makundi hayo .ran naye amedhoofika na kuahidi kumpiga hivi karibuni ambapo hakutakuwa tena na upinzani wowote katika kuichora ramani mpya ya mashariki ya kati.
Ukweli ni kwamba ramani hiyo haitokamilika kwani makundi yote kuanzia Hamas ,Hizbullah na serikali mpya ya Syria hawajakubali kwamba wameshindwa hata kama wamedhoofishwa.
Kwa upande wa Iran ambao wameshafanya urafiki mkubwa na China na Urusi nao wamejitayarisha vya kutosha.Kwa mujibu wa Khamenei na makamanda wake jeshi lote limeshapewa amri ya kuweka tayari silaha zao ili kuzitumia dhidi ya Marekani na Israel kwa pigo la mwanzo tu la Marekani ambayo imepania kuipiga Iran kwa visingizio kadhaa ikiwa ni kumsaidia Netanyahu kukamilisha mchoro wake wa Mashariki ya kati.
Wapo makamanda wakuu wa Iran ambao tayari wameshauri na kumshinikiza Khamenei atoe amri ya kuzishambulia ndege za kivita za Marekani za B2 na B52 ambazo zimeshawekwa kwenye visiwa vya Garcia karibu na Yemen kabla hata hazijaruka kuwalenga wao.
Israel itakaposhambuliwa hata kwa kiasi kidogo itaumia pakubwa na makundi yote yaliyoumizwa kwa muda mrefu yatakuja juu kuishambulia na haitaweza tena kujitetea na kuidhibiti mashariki ya kati.
Aijulie wapi? Limeandika uharo mtupu. Yatapigwa na badae yatakimbilia UN kulia liaNakuona kama mkuu wa Iran unavyowasirisha agenda zenu mlizokaa huko Teheran
Upuuzi mtupu
Russia unaijua unaisikia?
HahahaNia ni kujitanua.
Na kuweka mipaka salama hataweza nako kama anafanya uchokozi huku na kule.Hizbullah wa Lebanon wakishakubaliani kwa siri na Syria basi hata mipaka salama haipo.
Mimi huwa sielew kabsa na walijiapiza IDF hawawezi kuingia Gaza. Hao wapumbavu wa Hezbollah walisifiwa humu mpaka basi,sasa hivi kimyaaaNakumbuka hata Hizbullah mlisema hivihivi na wengine mlidiriki kusema lsrael ikipigana nao itaenda kufutwa na marekani itaenda kuanguka mkirejea vita vya 2006 lakini kila mtu anajua kilichotokea hapo Lebanon makao ya magaidi jinsi walivyo mwagwa mavi na sponsor wao alivyo pigwa Syria na kwake pia mpaka leo yupo kimya kama hayupo vile wamebaki kobazi humu kumsemea na kumsifu
subiri tutaonaWewe uko wapi kwa sasa? Upo Syria au Iraq au Jordan? Au uko kusini mwa jangwa la Sahara mkoa wa Simiyu? Kama Iran alishindwa kung'amua na kuwasaidia Hezbollah mpaka zile pagers zikawauwa kiasi kile ujue kuna shida mahali fulani. Russia huwa anasaidia kutozitoa tawala zilizoko madarakani kama(Maduro wa Venezuela na Assad wa Syria) kutokana na vuguvugu la ndani na sio kuji engage kwenye full combat war na Marekani. Subili uone kama China na Urusi vitapigana vita na Marekani kisa Ayatollah. SAHAU SAHAU SAHAU
Haiwezi kutokea usa utakuwa ipo wapi?Na utasemaje ukiwaona wakaazi wa Tel Aviv wakijinyea ndani ya mahandaki.
Punguza kufuga majini/ ushetani mana mudi mwenyewe alisilimisha majini/mashetaniPunguza ukanisa.
Mkuu una uhakika na ulichoandika kweli?Kwa upande wa Iran ambao wameshafanya urafiki mkubwa na China na Urusi nao wamejitayarisha vya kutosha.Kwa mujibu wa Khamenei na makamanda wake jeshi lote limeshapewa amri ya kuweka tayari silaha zao ili kuzitumia dhidi ya Marekani na Israel kwa pigo la mwanzo tu la Marekani ambayo imepania kuipiga Iran kwa visingizio kadhaa ikiwa ni kumsaidia Netanyahu kukamilisha mchoro wake wa Mashariki ya kati.
Kama kawaida ushehe yahaya.Benjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika.
Makamanda wake nao hasa waziri wa Ulinzi wamekuwa wakitoa kauli za kujiamini kiasi kama hicho zinazoenda sambamba na kuvunja maeneo muhimu ya makazi ya wapalestina kote Gaza na kote maeneo yaliyo ndani ya Israel ambako PA wamepewa madaraka kudhibiti wenzao.
Hayo yametokana na kuamini kuwa mfadhili mkubwa wa makundi hayo .ran naye amedhoofika na kuahidi kumpiga hivi karibuni ambapo hakutakuwa tena na upinzani wowote katika kuichora ramani mpya ya mashariki ya kati.
Ukweli ni kwamba ramani hiyo haitokamilika kwani makundi yote kuanzia Hamas ,Hizbullah na serikali mpya ya Syria hawajakubali kwamba wameshindwa hata kama wamedhoofishwa.
Kwa upande wa Iran ambao wameshafanya urafiki mkubwa na China na Urusi nao wamejitayarisha vya kutosha.Kwa mujibu wa Khamenei na makamanda wake jeshi lote limeshapewa amri ya kuweka tayari silaha zao ili kuzitumia dhidi ya Marekani na Israel kwa pigo la mwanzo tu la Marekani ambayo imepania kuipiga Iran kwa visingizio kadhaa ikiwa ni kumsaidia Netanyahu kukamilisha mchoro wake wa Mashariki ya kati.
Wapo makamanda wakuu wa Iran ambao tayari wameshauri na kumshinikiza Khamenei atoe amri ya kuzishambulia ndege za kivita za Marekani za B2 na B52 ambazo zimeshawekwa kwenye visiwa vya Garcia karibu na Yemen kabla hata hazijaruka kuwalenga wao.
Israel itakaposhambuliwa hata kwa kiasi kidogo itaumia pakubwa na makundi yote yaliyoumizwa kwa muda mrefu yatakuja juu kuishambulia na haitaweza tena kujitetea na kuidhibiti mashariki ya kati.
Iran size yake ni Myahudi tena wale marubani wa kikeBenjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika.