Dunia ni mortgage: Nadharia hii kuhusu sababu ya binadamu kuletwa duniani inafikirisha sana

It was a nice read, tho nilianza kuhisi nimerudi kanisani. I don't agree with some things, or rather some things are questionable/debatable/unresolved, mfano Yesu kufufuka, but you gave me something to think about.
Wabeja
 
Mtu ukiona theory haifai au evidence hazipo sawa njoo na hoja ili tujue ukweli
 
Wewe ni Muislamu kweli? Natumaini utatuelimisha na upande mambo yanazungumziwa aje?
 
Mkuu LIKUD nimerudi full, vipi unaruhusu tunukuu IMEANDIKWA...!
 
Kitu kingine gani mbona hakitajwi Kama ulivyotaja manchester kwenye jezi ?
Kingine chochote pengine hata mimi sikijui.

Unathibitishaje jua kutoka mashariki na kwenda magharibi ni kwa sababu ya Mungu na si kingine chochote?

Hujajibu swali hili.
 
Kingine chochote pengine hata mimi sikijui.

Unathibitishaje jua kutoka mashariki na kwenda magharibi ni kwa sababu ya Mungu na si kingine chochote?

Hujajibu swali hili.
Sorry wewe Kwa maoni yako unadhani binadamu ametoka wapi Na kwanini yupo duniani? Maana unaweza kuwa Na hoja ya msingi Na hatujawahi kukupa nafasi ya kukusikiliza
 
Kingine chochote pengine hata mimi sikijui.

Unathibitishaje jua kutoka mashariki na kwenda magharibi ni kwa sababu ya Mungu na si kingine chochote?

Hujajibu swali hili.
Kingine chochote kipi ?

Mkuu Unapingaje hoja kwa kitu ambacho hata wewe hukijui ili ionekane umekipinga tu ambacho wenzio wanakijua ?
 
Sorry wewe Kwa maoni yako unadhani binadamu ametoka wapi Na kwanini yupo duniani? Maana unaweza kuwa Na hoja ya msingi Na hatujawahi kukupa nafasi ya kukusikiliza
Sijui, natafuta jibu.

Lakini naona hoja ya Mungu huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote haina mashiko.

Na katika kutafuta jibu la kweli, naweza kuanza kwa elimination method.

Elimination method ni kuangalia majibu, kuondoa ya uongo, na kujikita kuelekea kwenye ukweli.

Kusema Mungu yupo kwa sababu jua linachomoza mashariki na linazama magharibi ni kauli ya kulazimisha hoja.

Jua kuchomoza mashariki na kuzama magharibi hakuthibitishi Mungu yupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Unaweza kukithibitishia kinyago kwamba Alie kichonga yupo?
 
Unaweza kukithibitishia kinyago kwamba Alie kichonga yupo?
Nisipoweza kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo hilo maana yake nini?

Maana yake Mungu yupo?

Unaelewa kwamba mimi nikishindwa kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo, hilo halithibitishi Mungu yupo, linathibitisha kwamba sijaweza kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Nikishindwa kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo, je, hilo linathibitisha kwamba kinyago kimechongwa na Lodi Lofa?
 
Well said. Maana yangu Ni kwamba uhusiano Kati ya Mungu Alie kuumba Na wewe kiumbe ulie umbwa unafanana na uhusiano Kati ya mchongaji wa kinyago Na kinyago alicho kichonga Kwa Sababu hivi vitu viwili vipo kwenye two different realms and dimensions.

So Ni ngumu Sana kukuthibitishia..

That's why we say we believe. Cause belief is greater than logic
 
Umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo.

Umekimbilia kwenye imani.

Ambako unaruhusiwa kuamini Mungu yupo, hata kama hayupo.

Kwa sababu ni imani tu.
 
Umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo.

Umekimbilia kwenye imani.

Ambako unaruhusiwa kuamini Mungu yupo, hata kama hayupo.

Kwa sababu ni imani tu.
Ndio maana nilikuuliza kinyago kinamjua Alie kichonga ? Umeshindwa kujibu swali.

By the way how many senses do you have?
 
Ndio maana nilikuuliza kinyago kinamjua Alie kichonga ? Umeshindwa kujibu swali.

By the way how many senses do you have?
Kinyago kutomjua aliyemchonga ndiyo uthibitisho Mungu yupo?
 
Kinyago kutomjua aliyemchonga ndiyo uthibitisho Mungu yupo?
Sasa kumbe Je?

Nakuthibitishiaje kwamba Mungu yupo wakati haupo katika conscious level ya kuweza kuelewa? Nitatumia njia Gani kukuthibitishia kwamba Mungu yupo?

Ndio maana nilikuuliza MWANZO unataka nitumie standard ipi ya proof kukuthibitishia kuhusu uwepo wa Mungu ukashindwa kujibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…