Dunia ni mortgage: Nadharia hii kuhusu sababu ya binadamu kuletwa duniani inafikirisha sana

Unajuaje Mungu yupo kweli na hiyo habari nzima ya kuwapo Mungu si hadithi ya uongo tu?

Nimeshindwa kujibu standard ya proof au unajiondoa akili tu?

Wapi niliposhindwa kujibu?
 
Wewe ni shahidi wa jehova kwa mtazamo wako
 
Unajuaje Mungu yupo kweli na hiyo habari nzima ya kuwapo Mungu si hadithi ya uongo tu?

Nimeshindwa kujibu standard ya proof au unajiondoa akili tu?

Wapi niliposhindwa kujibu?

Majibu yako ya swali kuhusu standard of proof Yana proof kwamba hujui chochote kuhusu the art of proving. U was talking about things like consistency, logic etc . Those are the very pretty issues in the art of proving.

Brother, Proving is an art . Kuna watu wanakaa chuo miaka Minne kujifunza the art of proof and yet wanashindwa ku prove vitu vidogo...

By the way me najua unajua Mungu yupo ila huwa una changamsha genge Tu but at least now umejua kwamba Hakuna anae weza kukithibitishia kinyago kwamba kimechongwa na mtu
 

Ninacho kusifu umejipinda kuandika gazeti kubwa lisilo eleweka kabla ya kupoteza muda ungejiuliza swali HUO UPENDO UTAPATIKANAJE? Ingekusaidia kutopoteza nguvu na muda ungeanza kujiuliza

KWA WAKIRISTO WANAYE MUAMINI KAJA KUWAFUNDISHA UPENDO NI YESU. HUYU KWA WAISLAM HAKUBALIKI HATA CHEMBE NA WAISLAM WANAHESABU WAFUASI WA YESU WOTE WAMEPOTEA

KWA WAISLAMU WANAYE MUAMINI KAJA KUWAFUNDISHA UPENDO NI MUHAMMAD (s.a.w) HUYU KWA WAKRISTO HAKUBALIKI HATA CHEMBE WANAMUONA MCHAWI NA WAKIRISTO WANAHESABU WAISLAM WOTE WAMEPOTEA.

Kwa mtizamo huo akili yako inakubali iko siku mkristo na muislam watakua na upendo wa dhati?

KWA UFUPI ELEWE BINAADAM HAKUUMBIWA KUJA KUISHI HUMU DUNIANI
Mwana Adam amekuja humu duniani by excuse na pia hapa duniani ni examination room ya Mwana Adam akifaulu mtihani kwa kumuabudu Mungu wake wa kweli alie umba mbigu na ardhi.ili mwishoni amuweke pale alipo mweka Adam na Hawa mwanzoni kabla ya kuwashusha katika tufe hili la dunia.
 
thread ndefu lakini nzuri sana .kama ni safari basi ni safari isiyochosha. achilia mbali nadharia hiyo lakini mtu mwenye upendo na watu wote duniani huwa ni mtu wa kipekee sana na ni watu wanaoishi maisha ya amani sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
 
Ur the true son of ur father
 
ubaya uliopo ni kuwa hizi dini zetu ndio chanzo cha kuleta chuki baina yetu. jamii zimejaa mbegu za chuki .wasikia huyu asema ooh mimi mwislamu mara mimi mkristo. yule kafir mara yule hajaokoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
soma tena upya. pia sentense ya mwisho nimesema nilisoma muda kidogo so sikumbuki vizur. pia hizi soze bado ni theory tumajaribu kutake assumption kadhaa
 
Una Pepo wewe
hizi ni theoriesww unatakiwa kuleta hoja zako sasa pepo limetoka wapi hapa. inaama ulicho andika ulitaka kila mtu aone kiko sawa. hii theory yako ulio leta hapa inakaroro nyingi sana na nimesha kueleza untakiwa ueleze kwa hoja kunipinga mm. sasa unaishia kutoa kauli mbovu mara pepo mara unaita watu mafurler kwa kwel inasikitisha sana.

Umsema dunia ni kwajli ya binadamu. Mm nikahijo wanadamu hao unasema dunia ni yao nao hawaijui mbona. nikakupa mifano kadhaa mmoja wapo ukiwa, Hatujui nani alie jenga zile pyramids za gaza. sasa utasemaje dunia ni yetu wakati thairi inaonesha ss ni wageni???

kwahiyo apo mm naonekana na pepo mara furler japo sijui unamaanisha nn.ila anyway ukiona kuna mlima ujue kunasehem kuna bonde.
 
K
 
Unajuaje Mungu yupo kweli na hiyo habari nzima ya kuwapo Mungu si hadithi ya uongo tu?

Hujajibu swali hili.

Prove huyo Mungu wako yupo kweli kwa njia yoyote unayojua wewe, tuelezee hapa tuihakiki, maana ku prove kwa misingi niliyokupa umejaribu umeshindwa.
 
Wanadini wanasema Mungu ametuleta duniani ili tumuabudu, ilo ndio jukumu la Mungu kumleta mtu duniani kumsifu tu.

Kwa mujibu wa wafia dini
 
Jins binadamu alivyo mnafiki mbona kuna wanadamu watawasaliti bindaadamu wenzao na kuungana nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…