Dunia ni mortgage: Nadharia hii kuhusu sababu ya binadamu kuletwa duniani inafikirisha sana

Swali lile lile unajibiwa una uliza Tena swali Hilo Hilo. Vipi mjomba?
 
Ukiweza kueleza namna ya kukithibitishia kinyago kuhusu uwepo wa MTU Alie kichonga itakuwa rahisi kwako kuthibitishiwa kuhusu uwepo wa Mungu Alie kuumba
 
Ukiweza kueleza namna ya kukithibitishia kinyago kuhusu uwepo wa MTU Alie kichonga itakuwa rahisi kwako kuthibitishiwa kuhusu uwepo wa Mungu Alie kuumba
Unaelewa "logical non sequitur" ni nini?

Nikishindwa kukithibitishia kinyago kuhusu uwepo wa aliyekichonga, hilo linathibitishaje Mungu yupo?

Unaelewa kwamba kushindwa kuthibitisha chochote hakuthibitishi Mungu yupo?

Unaelewa kwamba mpaka sasa hujathibitisha Mungu yupo? Umelazimisha imani yako bila uthibitisho tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…