Dunia nzima inaangalia masuala ya Kimila yanayofanyika UK

Dunia nzima inaangalia masuala ya Kimila yanayofanyika UK

Noo sio huyu ni mfalme lakini wana waziri mkuu pia ambaye anachaguliwa na wananchi na ndio kiongozi mkuu wa serikali
Hilo nalijua ila hii familia ya kifalme inalitafuna taifa kifedha. Hata leo wapo waliojitoa muhanga wakanyanyua mabango ya "abolish kingdom", No more kingdom "
 
Back
Top Bottom