Dunia nzima inaangalia masuala ya Kimila yanayofanyika UK

Dunia nzima inaangalia masuala ya Kimila yanayofanyika UK

Usiku wa giza zaidi ya simba na Yanga kipi unajua
Bado wewe ni kilaza tu huwezi kukwepa maana you have drawn to conspiracy theories like a brainless insect. Issue za free manson na takataka zote ni illusion na walioanzisha huu uchafu wamefanikiwa kiasi chake
 
Kusimikwa- kuwekwa kwenye nafasi
kutawazwa- kupewa mamlaka ili kutekeleza wajibu wa nafasi
JIBU LAKO NI YOTE

Nadhani kutawazwa ni bora zaidi kuliko kusimikwa kwani kusimikwa inayo maana nyingine zaidi ya hiyo uliyoitaja.

Kusimikwa inafanana na neno kutongoza, leo mtu akisikia neno tongoza moja kwa moja anaenda kwenye maana ya kutongoza mwanamke (seduce) na anasahau maana ya kushawishi ili upate kitu unachohitaji (Cajole/coax)., hivyo neno Kusimika linayo maana nyingine ambayo sio nzuri, neno linalofaa ni kutawazwa.
 
Bado wewe ni kilaza tu huwezi kukwepa maana you have drawn to conspiracy theories like a brainless insect. Issue za free manson na takataka zote ni illusion na walioanzisha huu uchafu wamefanikiwa kiasi chake
Kwani we ni memba wao naona makasiriko kibao
 
Kwani we ni memba wao naona makasiriko kibao
Kujifunza na kuelimika sio dhambi ila tambua uki spread conspiracy theories unakuwa bado ignorant, unapaswa kuwa rational ku overcome the frenzy of conspiracies. Kwa mfano kuna consipira theories nyingi kwetu kama remote from msoga, sukuma gand na the likes.
 
Ingekuwa hapa wajuwaji wengi wangesema mambo haya yamepitwa na wakati
FvcMd48WcAAxn26

FvbouEEWAAEtaop
Asante sana mkuu kwa kuona mbali, tukifanya sisi Waafrika tunaonekana tumechelewa
 
Back
Top Bottom