Uzi mzuri lkn kuna mijitu inakuja kuharibu na chuki zao za kisiasa, kuna baadhi ya Topic mambo ya chadema na ccm muyaache jamani mnatia aibu.
Anyway back to topic, hao waingereza ni wachawi na washirikina kuliko hata waafrika.
Hao ndio main controller wa taasisi nyingi za siri zinazofanya maovu dunian bila kusahau wafadhiri wa uhuni mwingi.
Walituaminisha demokrasia ni nzur, ijapokuwa nchi yao yaongozwa kifalme kwa kificho cha kumuweka Prime minister kama head of state, kumbe behind kuna KING ambaye kiuhalisia ana nguvu kuliko huyo mwanasiasa anayechaguliwa kama waziri mkuu, King ana mamlaka ya kumng'oa huyo waziri , kiufupi King ananguvu kulko waziri.
Hakuna demokrasia dunian bali kuna fitna na uongo mwingi.
Uchawi wa watu weupe ni tofaut na uchawi wa wabongo, King wa UK kiuhalisia ni King wa mataifa mengi kimaamuzi na kiutawala mybe kisiri mfano kwa nchi walizozitawala kikolon ama kiuhalisia kwa nchi zilizoongozwa chini ya ufalme wa uingereza.
King wa UK ni moja wapo wa viongoz wenye nguvu sana dunian ukiwatowa wale baadhi ya viongoz wa kidini hususan kiongoz wa kanisa la Catholic pia rais wa USA, France, german, na baadhi yao, hawa ndio wanaiongoza dunia iwe kisiri ama kiuhalisia, iko hivyo hata wapumbavu wapinge vipi hili jambo halibadiliki, ukweli siku zote ni ukweli tu, haijalishi ukwel huo unapendwa ama haupendwi, iwe unauma ama hauumi, ukweli haubadiliki.
Tufuatilie mambo wajameni tuache ubishi wa kitoto