Viongozi wa maandamano wamewekwa ndaniHilo nalijua ila hii familia ya kifalme inalitafuna taifa kifedha. Hata leo wapo waliojitoa muhanga wakanyanyua mabango ya "abolish kingdom", No more kingdom "
Babu yako anayetambia huko kijijini kwenu nae ni iluminantIlluminats hao, usihangaike sana ukimfuatilia vzr uyo charles anatoka moja ya familia zile 11.
Wewe mwafrika unafaidika na nini kwa Charles kuwa mfalme?Vikosi vyote viko hapa leo
Hii ndio application ya kazi ya mda mrefu kuwahi kutokea hapa [emoji636]
Yaani kupata kazi ya ufalme kasubiri miaka 70
Ingekuwa sisi?
King Chaz hana neno mtu poa sana
Yap alikuwa anapenda sana kuwala magasho kama nyie!Kweni nayeye alikuwa mpenzi wa sehemu ya haja kubwa?
Nilikuwa sijui.
Mimi nina uraia na watoto wangu wamefaidika kwa mambo mengi kama The prince's Charities foundationWewe mwafrika unafaidika na nini kwa Charles kuwa mfalme?
I suppose you are black......kuwa na uraia wa Uingereza hata sisi wengine tulikuwa nao huko nyuma kabla ya kurudi nchini kujiendeleza zaidi. Hiyo Prince's Foundation ni NGO tu iliyokuwa chini ya the then Prince Charles, wanao hawajaifungua na hawahusiki na chochote humo zaidi ya kufanya kazi (charity works), labda ungejisifia kuwa unajiona umekuwa Muingereza japo ni Mtanzania asiye na thamani huko.Mimi nina uraia na watoto wangu wamefaidika kwa mambo mengi kama The prince's Charities foundation
Kwa hiyo in a way nimefaidika sana tu
Chata za freemason kila sehemu si mavazi,si viti, si mapambo fully masonic tupuIlluminats hao, usihangaike sana ukimfuatilia vzr uyo charles anatoka moja ya familia zile 11.
Nilikuwa sijui kuwa Magufuli alikuwa Shoga asante kwa taarifa.Yap alikuwa anapenda sana kuwala magasho kama nyie!
Na mpo wengi humu mnalialia hovyo tu eti alikuwa anawafanyia ukatili
Kwani uwongo? 😂🤣Huku Kwa wajuaji Mwenge Tu wanasema unaleta hasara
Ana Charities zaidi ya 19 na wanasaidia vijana kwa njia nyingi tuI suppose you are black......kuwa na uraia wa Uingereza hata sisi wengine tulikuwa nao huko nyuma kabla ya kurudi nchini kujiendeleza zaidi. Hiyo Prince's Foundation ni NGO tu iliyokuwa chini ya the then Prince Charles, wanao hawajaifungua na hawahusiki na chochote humo zaidi ya kufanya kazi (charity works), labda ungejisifia kuwa unajiona umekuwa Muingereza japo ni Mtanzania asiye na thamani huko.
Wakati anashiriki kampeni ukujua Kama anashiriki uchaguzi? Komaa kiakili jipunguzie utotoKwani huyo amechaguliwa au amerithi
Kongele kwa ufafanuzi mzuri na hasa kwa onyo ulilotoa la kukemea mihemuko na porojoUzi mzuri lkn kuna mijitu inakuja kuharibu na chuki zao za kisiasa, kuna baadhi ya Topic mambo ya chadema na ccm muyaache jamani mnatia aibu.
Anyway back to topic, hao waingereza ni wachawi na washirikina kuliko hata waafrika.
Hao ndio main controller wa taasisi nyingi za siri zinazofanya maovu dunian bila kusahau wafadhiri wa uhuni mwingi.
Walituaminisha demokrasia ni nzur, ijapokuwa nchi yao yaongozwa kifalme kwa kificho cha kumuweka Prime minister kama head of state, kumbe behind kuna KING ambaye kiuhalisia ana nguvu kuliko huyo mwanasiasa anayechaguliwa kama waziri mkuu, King ana mamlaka ya kumng'oa huyo waziri , kiufupi King ananguvu kulko waziri.
Hakuna demokrasia dunian bali kuna fitna na uongo mwingi.
Uchawi wa watu weupe ni tofaut na uchawi wa wabongo, King wa UK kiuhalisia ni King wa mataifa mengi kimaamuzi na kiutawala mybe kisiri mfano kwa nchi walizozitawala kikolon ama kiuhalisia kwa nchi zilizoongozwa chini ya ufalme wa uingereza.
King wa UK ni moja wapo wa viongoz wenye nguvu sana dunian ukiwatowa wale baadhi ya viongoz wa kidini hususan kiongoz wa kanisa la Catholic pia rais wa USA, France, german, na baadhi yao, hawa ndio wanaiongoza dunia iwe kisiri ama kiuhalisia, iko hivyo hata wapumbavu wapinge vipi hili jambo halibadiliki, ukweli siku zote ni ukweli tu, haijalishi ukwel huo unapendwa ama haupendwi, iwe unauma ama hauumi, ukweli haubadiliki.
Tufuatilie mambo wajameni tuache ubishi wa kitoto
Kuna haja pia kudumisha mila na desturi.Hilo nalijua ila hii familia ya kifalme inalitafuna taifa kifedha. Hata leo wapo waliojitoa muhanga wakanyanyua mabango ya "abolish kingdom", No more kingdom "
Mkuu hivi ukikaa huko siku nyingi ule moshi wa kichawi wa mwenge unakutoka unaanza kuwa na fikra huru,hivi ni kweli?Mimi nina uraia na watoto wangu wamefaidika kwa mambo mengi kama The prince's Charities foundation
Kwa hiyo in a way nimefaidika sana tu
Unapenda conspiracies wewe kilaza miafrika sijui ikojeChata za freemason kila sehemu si mavazi,si viti, si mapambo fully masonic tupu
Dunia ipo under conspiracy.Unapenda conspiracies wewe kilaza miafrika sijui ikoje