Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Urusi haitaki ushirikiano wowote; inachotaka ni kuabudiwa kama USSR wakati dunia ya leo imeshaidharau. GDP ya urusi ni chini ya GDP ya Italy lakini Putin bado anataka akubalike kuwa ni supapawa, wakati Italy haina hata mpango wa kutaka status hiyo. Asilimia kubwa ya raia wa Urusi wanaishi kama dunia ya tatuMkutano wa Riyadh kati ya US na Russia ilikuwa kurejesha uhusiano wake baina ya Mataifa hayo ambao ulitetereka kwenye kipindi cha Biden! Pili ilkuwa kuangalia ni maeneo yapi ambayo US na Russia wanaweza kushirikiana kimataifa mf kutatua migogoro Syria,Israel na Palestina,kupunguza silaha za nucklea,nk
Hii ni njia ya kuelekea kumaliza mgogoro wa Russia na Ukraine.
Ambapo lazima Ukraine na EU zitashirikishwa baadaye.