Dunia ya kibabe; Suala Marekani kukaa na Russia kutafuta utatuzi wa mgogoro wa rus - ukraine, bila Ukraine kuwepo hili limekaaje?

Dunia ya kibabe; Suala Marekani kukaa na Russia kutafuta utatuzi wa mgogoro wa rus - ukraine, bila Ukraine kuwepo hili limekaaje?

Mkutano wa Riyadh kati ya US na Russia ilikuwa kurejesha uhusiano wake baina ya Mataifa hayo ambao ulitetereka kwenye kipindi cha Biden! Pili ilkuwa kuangalia ni maeneo yapi ambayo US na Russia wanaweza kushirikiana kimataifa mf kutatua migogoro Syria,Israel na Palestina,kupunguza silaha za nucklea,nk
Hii ni njia ya kuelekea kumaliza mgogoro wa Russia na Ukraine.
Ambapo lazima Ukraine na EU zitashirikishwa baadaye.
Urusi haitaki ushirikiano wowote; inachotaka ni kuabudiwa kama USSR wakati dunia ya leo imeshaidharau. GDP ya urusi ni chini ya GDP ya Italy lakini Putin bado anataka akubalike kuwa ni supapawa, wakati Italy haina hata mpango wa kutaka status hiyo. Asilimia kubwa ya raia wa Urusi wanaishi kama dunia ya tatu
 
Hiyo hbr ya Trump kutaka madini ya Ukraine umeiokoteza wapi. Tulizeni makalio nyie nyani hakuna mnachofahamu
Lalaga!
#########

What are Ukraine’s critical minerals – and why does Trump want them?
Zelenskyy has rebuffed US’s initial attempt to take control of minerals as downpayment for its aid in war with Russia
 
Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza kushambulia Ukraine, from a-z,
Je Trump anajidhihirishaje katika uso wa kidunia ya ya siasa zake za ajabu na ubabe wa kitoto!
Haina tofauti na usaid kikatwa kwa afrika asia na ulaya bila mashauriano,vile vile ni sawa na urusi kuwekewa vikwazo bila kusikilizwa.
 
Ukicheki mda mfupi uliopita, Zelenski anasemekana he is "considering mineral deals"
The art of the deal🤣
Ndo maana trump anatushangaa waafrika, tuna mali hatujui kuzitumia kama silaha kwa wenye uhitaji, imagine tanzanite ingekuwa inachimbwa state,
 
Pia zelensky kagoma kutoa resources kwa marekani ili apewe msaada naoana sasa kaamua kumsagia kunguni
Mwisho wa siku katika haya mazungumzo ya Urusi na Marekani, Ukraine na wenzie ndio watakaokuwa kwenye wakati mgumu zaidi
 
With all due respect sir. Hiyo minong'ono imekufikia hadi wewe wa Mwananyamala, kuna minong'ono kweli hapo?
Penda kusoma habari za kimataifa achana na habari za Chadema, zinafubaza akili.
 
Back
Top Bottom