Dunia ya sasa inaelekea wapi? kwanini watu wanakufa sana?

Ndo maana nikaza na mambo ya lishe. Kunyanduana kunahitaji mwili wenye afya. Mwili wako ni dhaifu ndo utaupata afya kwenye kunyanduana.

Pia inatakiwa uwelewe kwny kunyanduana mwanaume anatoa na mwanamke anapokea. Hapa anaepoteza kwa kiasi kikubwa ni mwanaume. Kile ambacho mwanaume anakitoa kinatengenezwa na vyakula.
Unasema umri wa miaka 15 mama zetu walikuwa wanaolewa, vipi baba zetu walikuwa wanaoa wakiwa na umri wa miaka 15?
 
Ukitaka kujua kwel watu wanakatika nenda grup la mabaharia vijana wanao ish south amna ktu wanapost zaid ya kupgana risas kuchomana visu kutafuta naul ya kusafirisha miil kuja kuzka bongo yan n purukushan vijana kukatika tu
 
Kwani zamani misiba ndio ilikuwa michache?

Kwani zamani watu walikuwa hawafi?

Mwisho wako ni kifo chako.

Hakuna mwisho wa dunia.

Utakufa, wengine watazaliwa na dunia itaendelea kama kawaida.

Hakuna mwisho uliokaribu.

Hata kina Kibwetere walidanganya waumini wao kwamba mwaka 2000 ndio mwisho wa dunia.

Leo ni 2025 dunia bado inadunda tu.

Hao kina Kibwetere na waumini wake wapo futi sita mavumbini hukoo.
 
Taarifa zinasambaa kwa kasi sana miaka hii kuliko miaka. ya. Nyuma,
Ila watu wanakufa tu kaa zaman
 
tangu zamani wa2 walikuwa wanakufa ila walikuwa wachache!!
 
Si kwamba zamani walikuwa hawafi sana, ila sasa hiv taarifa zinafika kwa haraka. Zamani ni jamii au familia fulani ndio itajua

Wkiwa na umuhim sana atatangwazwa vyombo vya habari else hasikiki
 
zamani walikuwa wanakufa wazazi wanawaacha watoto ila siku hizi wanakufa watoto wanaacha wazazi,
Kwa hilo ulilosema,kuporomoka pia kwa maadili kunachangia sana,nyakati hizi,mfano enzi hizo hadi miaka ya 90's mtoto alikuwa kweli wa jamii akikengeuka jambo lolote la maadili hata jirani alimuadhibu,leo hii ni tofauti kabisa ukithubutu we jirani utaoga matusi yakutosha,ikibidi hata kipigo,.litoto unalikuta mfano linakinanilii kitoto cha watu ukithubutu kumkamata utakiona cha mtema kuni,hata utoe taarifa kwa mzazi wake atakuona ni kama umempelekea umbea tu,sasa jiulize kwanini mtoto asiharibikiwe?? Kimaisha na hata kuangamia?
 
Je kama hujafanikiwa kuzaa? Zipo sababu mbalimbali za kutozaa,mi nadhani kumbukumbu nzuri ni kile kizuri ulichokifanya katika jamii yako au nchi yako,ndo maana twamtambua nyerere julius yeye kama yeye haswa,sio kupitia watoto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…