Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Wanaume wengi tumekuwa dhaifu bila sababu kwa kivuli cha kutaka kuonekana gentleman uchwara, Nigga tell her straight away that you wanna get wild with her akileta utoto kick her to the curbs huna cha kupoteza. Always just be straight atachukia at first ila ataelewa baada ya muda kidogo.

Iko hivi ikiwa mi nakutaka and i mean business nitaku tame ila siwezi kuweka pesa kama bait. Alot of motherrfuckaz tryna look nice by flowering them girls with cash spending on them. That doesn't make things any better but eventually gets that girl into "Danga" mode because she quickly realizes that you don't have enough balls to express yourself but you are willing to lose money to get into her thighs. Utaliwa hela na kuzungushwa sababu umeruhusu hilo. Hizo ni mambo za simps.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ningechimba haki ya nani!
 
Pesa utaliwa na tukiamua hata kidole hutumbikizi na cha kutufanya huna!!
Hebu punguzeni kelele kwa vihela gani haswaa mpk mlalamike πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ningechimba haki ya nani!
πŸ˜‚ nisingeweza ila nilikuja kugundua miaka/muda ukishapita maisha hubadilika na watu hubadilika pia. Sio yule niliekuwa namjua kabla.

Mkuu mimi nna huruma sana hasa kwa watu nnaofahamiana nao wakiwa kwenye hali ngumu na za kudhalilika.
 
Pesa utaliwa na tukiamua hata kidole hutumbikizi na cha kutufanya huna!!
Hebu punguzeni kelele kwa vihela gani haswaa mpk mlalamike πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni angalizo tu jirani tumewashtukia.
Kwa hela hizo hizo mnazozitaka.
 
πŸ˜‚ nisingeweza ila nilikuja kugundua miaka/muda ukishapita maisha hubadilika na watu hubadilika pia. Sio yule niliekuwa namjua kabla.

Mkuu mimi nna huruma sana hasa kwa watu nnaofahamiana nao wakiwa kwenye hali ngumu na za kudhalilika.
Huruma ni kitu kizuri ya kuwa nayo ila kwa walimwengu wa sasa ni hatari haswa hawa maraya keryπŸ˜‚
 
Ww usitupangie na vipochi vyetu, kitendo cha kuzaliwa bongo elewa hiyo misukosuko lazima upitie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ntahama na usinifuate huko ntakapohamia jirani, huko hatutaki majirani πŸ˜‚
 
Huruma ni kitu kizuri ya kuwa nayo ila kwa walimwengu wa sasa ni hatari haswa hawa maraya keryπŸ˜‚
Hawa viumbe kuna muda wana huruma ila kuna muda ni makatili mno hawana ata chembe ya huruma hasa kwenye kula hela zetu.
 
Akome kabisa huyo dada anaagiza na kula kama anaenda kubeba zege πŸ˜‚

Mimi sina roho ngumu ila sipendi mtu atembelee upepo wangu, ningelipia tu kama hela nnayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…