Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Mimi kuna mmoja juzi kaniomba hela ya marejesho,nikamwambia aje gheto kuchukuana bila hivyo simu yangu haishiki mtandao wa kutuma
 
Mimi kuna mmoja juzi kaniomba hela ya marejesho,nikamwambia aje gheto kuchukuana bila hivyo simu yangu haishiki mtandao wa kutuma
Naam naam 😂
Mtu ushamuonesha una interest nae kimapenzi kwa hilo ni sawa.
 
Tunaogharamika ni sisi tunaotafuta waifu matirio wa kuweka ndani ila mapenzi ni gharama. Yanagharimu Afya, uchumi na muda.
 
Kama bado unakutana na aina ya wanawake ambao lazima pesa ihusike ndo mkulane ujue kwamba bado unayo safari ndefu.
Tena mnavutana vutana nipe pesa nikupe papuchi😅😅
Ni hatua kwenye maisha ila sidhani kama umeelewa mada.

Mimi navaa uhusika tu kureflect uhalisia wa mada, haimaanishi kuwa ndio nayapitia.
 
Wakati anakunania, ni wazi Bado hajaamua uwe wake.
Amekiweka kwenye kipimo kutaka kujua malengo Yako kwake kwamba ni ya muda mfupi au muda mrefu.
Kakupa pia mitihani kujua uvumilivu wako na uwezo na utayari wako wa kuhudumia familia in case it happen ukawa mume ama baba watoto wake.
Shukuru Mungu hata Kwa kupewa fursa hiyo, maana ni kama yule alieomba nafasi kusoma chuo,
Atalipa ada, na Bado Kuna kufaulu ama kufeli , na ada hairudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…