Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

Ndiyo maana Kuna haja mkiwa mnadate na Vijana wenzenu muwe mnawatoa japo kuwapeleka Hotel Siku Moja Moja walau kupeana "Exposure"

Tena ukifanya hivyo utajikuta unapewa vitu adimu hadi Utajikuta unatangaza Ndoa.

Hamuoni hao mabinti wakianza kudate na Wazee huwa hawataki Tena Vijana 😜🏃🏃🏃🏃🏃
😂 babu mbona kama unayumbisha vijana? Unatushauri tuwekeze nguvu kubwa kwenye mapenzi au maendeleo?
Mi nadhani ni kuukubali uhalisia tu.
 
Wanaume tunajifanyaga alpha kwa demu ambaye hatujamwelewa kihivyo, kuna demu unakuta pisi kali, sura sura, rangi rangi, tako tako halafu hana mizinga, anakupa attention, ana story nzuri, kama una hela mbona unatoboka nyingi, kabla ya kula papuchi yake Extrovert
Demu ukiwa real kwake anakuelewa bila hata kutumia pesa kum lobby ili eti aoneshe hisia kwako. Ukijifanya kimwaga Atakudanga tu!
 
This is called WIN WIN SITUATION. Maisha ni mtanange unapompa bila kupata faraja ya moyo daima utahuzunika so ili maisha yaende hakuna namna NIPE NIKUPE😄 na hii iwe principle maishani
Kwa maisha ya sasa ya usasa hili halikwepeki kirahisi si washaweka wazi matakwa yao.
 
He said it all kwakweli!!!👊🏾👊🏾

Mi naamini kwamba kuna wakati huwa mnajifelisha wenyewe!!!

Shimba ya Buyenze amesema kitu kimoja chamsingi sana. Pamoja na kwamba "wanawake wa maana" kwa standard zenu sio wengi, wapo, na inawapasa na nyie kuji-package in a way that you'll qualify to be with one. You cannot be with a high-value woman if you yourself are not a high-value man.

Lingine ni APPROACH!!!!

Ukikutana na mimi, hunijui, sikujui na uka-express interest yako kwangu kabla hata hatujawa na one deep/meangful conversation itakayokusaidia kujua mimi ni mtu aina gani, sitoweza kukuchukulia serious. I mean, utawezaje kujua kama nafaa kuingia kwenye mahusiano ya maana na wewe kama hunijui kiundani??? Kama ukiniambia kabisa unataka tuburudishane tu (one night stand, something casual etc. Etc...) ntakuelewa, ila sio zaidi ya hapo.

Katika kitu ambacho mnapaswa kutilia maanani (ikiwa you after a meaningful relationship that is..) ni kujaribu kuelewa hao kina dada mnaokutana nao ni watu wa aina gani before making a move.

Yes, umevutiwa na kasura kake, umbo limekaa vizuri, akitembea ana swagg...but what about her values?? Principles zake about life?? What does she believe about this or that??? Because those are the things that makes a person.
Anzeni ku-invest on deep conversations. Ask her tricky questions zitakazokusaidia kujua misimamo yake ni ipi...
Uelewa wake ukoje...
Maturity Level...
Is she a GIVER or a TAKER...?
Matarajio yake kwenye mahusiano ni yapi...
Etc. Etc...

That way, kwanza utaweza kuchuja mapema ili usipoteze muda wako na mtu asiyekufaa, pili kama umekutana na mwanamke wa maana nae ataelewa interest yako inatokea wapi, pia wewe ni mwanaume wa aina gani.
Umeongea point, ila nina swali, unajua kumwambia mwanamke unaekutana nae Leo kwa mara ya kwanza kwamba unataka mburudishane for one night stand, halafu akubali, ni rahisi kuongea kuliko kutenda

Mwanamke gani asiejiuza barabarani utamwambia straight, kuwa unataka muwe friends with benefitsz just one night stand, akubali? Labda mwanaume uwe na status ya diamond au alikiba, ila kwa sisi wanaume average Joe's, ukimwambia mwanamke unataka one night stand, hata kama alikuwa na mpango wa kukubali, atakataa atasema umemdharau na kumuona malaya Dr Lizzy

Labda miamba Extrovert Half american Zemanda waongezee neno
 
Juzi nikiwa Bar fulani majira ya saa 8 za usiku nilishudia bonge moja la muvi.

Kuna mwamba alikuja na manzi sijui walikutana wapi wakala wakanywa na kusaza mwisho wa siku manzi akawa anagoma kutoka na mshikaji..

zilipigwa ndondi za kufa mtu af wote walikua tungi manzi mrefu mshikaji mfupi, but guess what.., bodaboda walimsaidia mwamba kumpandisha manzi kwenye pikipiki akaondoka naye kwenda kulipia alichokula 😀

All in all wanaume tutafuteni hela, ukiwa nazo wanajipitisha wenyewe kazi yako inakua ni kuzibandua tu
 
Vipi na mwanaume anaetanguliza kupata kipochi manyoya? Siku hizi upendo wa kweli umepungua kama si kupotea kabisa, kila mtu anamvizia mwenzake.
Statement yako ipo kana kwamba mwanamke hasikii raha aki-sex na mwanaume.

Mwanaume akikuomba kipochi manyoya, kwenye tendo faida mnapata wote

Mwanaume akitoa hela kukupa wewe, hapo ni upande mmoja unafaidika, mwanamke ana-gain, mwanaume ana-lose Kelsea
 
Umeongea point, ila nina swali, unajua kumwambia mwanamke unaekutana nae Leo kwa mara ya kwanza kwamba unataka mburudishane for one night stand, halafu akubali, ni rahisi kuongea kuliko kutenda

Mwanamke gani asiejiuza barabarani utamwambia straight, kuwa unataka muwe friends with benefitsz just one night stand, akubali? Labda mwanaume uwe na status ya diamond au alikiba, ila kwa sisi wanaume average Joe's, ukimwambia mwanamke unataka one night stand, hata kama alikuwa na mpango wa kukubali, atakataa atasema umemdharau na kumuona malaya Dr Lizzy

Labda miamba Extrovert Half american Zemanda waongezee neno
Umepita mule mule upo sahihi ngoja ajibu
 
Juzi nikiwa Bar fulani majira ya saa 8 za usiku nilishudia bonge moja la muvi.

Kuna mwamba alikuja na manzi sijui walikutana wapi wakala wakanywa na kusaza mwisho wa siku manzi akawa anagoma kutoka na mshikaji..

zilipigwa ndondi za kufa mtu af wote walikua tungi manzi mrefu mshikaji mfupi, but guess what.., bodaboda walimsaidia mwamba kumpandisha manzi kwenye pikipiki akaondoka naye kwenda kulipia alichokula 😀

All in all wanaume tutafuteni hela, ukiwa nazo wanajipitisha wenyewe kazi yako inakua ni kuzibandua tu
Boda kwa kutoa ushirikiano nawapa A. Huyo bidada hakuelewa mchezo alidhani yupo na boya amlie vyake alafu atokomee.
 
Back
Top Bottom