Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu hilo lieleweke tu, sisi tushaelewa wanapenda hela.Huduma itaenda direct proportional na Utamu..No Utamu No Huduma..Hatutaki kutapeliwa kifala fala
Hiyo haipo na kama ipo ni baada ya tukioNadhani wanaongelewa nipe nikupe,mambo ya sijisikii vizuri, mara niko period, mara mwanangu amelazwa nitumie hela niwatumie inakuwa haipo.
😂 babu mbona kama unayumbisha vijana? Unatushauri tuwekeze nguvu kubwa kwenye mapenzi au maendeleo?Ndiyo maana Kuna haja mkiwa mnadate na Vijana wenzenu muwe mnawatoa japo kuwapeleka Hotel Siku Moja Moja walau kupeana "Exposure"
Tena ukifanya hivyo utajikuta unapewa vitu adimu hadi Utajikuta unatangaza Ndoa.
Hamuoni hao mabinti wakianza kudate na Wazee huwa hawataki Tena Vijana 😜🏃🏃🏃🏃🏃
Demu ukiwa real kwake anakuelewa bila hata kutumia pesa kum lobby ili eti aoneshe hisia kwako. Ukijifanya kimwaga Atakudanga tu!Wanaume tunajifanyaga alpha kwa demu ambaye hatujamwelewa kihivyo, kuna demu unakuta pisi kali, sura sura, rangi rangi, tako tako halafu hana mizinga, anakupa attention, ana story nzuri, kama una hela mbona unatoboka nyingi, kabla ya kula papuchi yake Extrovert
Mtakaokuja kunipa pole nazipokea, ahsanteni [emoji28]
.
Kwa maisha ya sasa ya usasa hili halikwepeki kirahisi si washaweka wazi matakwa yao.This is called WIN WIN SITUATION. Maisha ni mtanange unapompa bila kupata faraja ya moyo daima utahuzunika so ili maisha yaende hakuna namna NIPE NIKUPE😄 na hii iwe principle maishani
Kimwaga 😂Demu ukiwa real kwake anakuelewa bila hata kutumia pesa kum lobby ili eti aoneshe hisia kwako. Ukijifanya kimwaga Atakudanga tu!
Zimefika mkuu shukrani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana Baharia
Navyopenda watoto 😍Na kweli...lazima nguvu yakucheza nao iwepo!! 💯 😂😂
Nikimuona wakukufaa namleta kwako. Sasa ole wako uzingue!🤨
hakikaNipe nikupe ndo mpango mzima
Lizzy unamvisha mabomu IB, ajaribu sio 😅Sasa chukua hizo jokes zako umchekeshe wee, mpaka asahau kwanini alikua hakuchukulii serious in the first place!!😁😁
😁😁😁 chapRudisha majeshi kambini haraka.
Umeongea point, ila nina swali, unajua kumwambia mwanamke unaekutana nae Leo kwa mara ya kwanza kwamba unataka mburudishane for one night stand, halafu akubali, ni rahisi kuongea kuliko kutendaHe said it all kwakweli!!!👊🏾👊🏾
Mi naamini kwamba kuna wakati huwa mnajifelisha wenyewe!!!
Shimba ya Buyenze amesema kitu kimoja chamsingi sana. Pamoja na kwamba "wanawake wa maana" kwa standard zenu sio wengi, wapo, na inawapasa na nyie kuji-package in a way that you'll qualify to be with one. You cannot be with a high-value woman if you yourself are not a high-value man.
Lingine ni APPROACH!!!!
Ukikutana na mimi, hunijui, sikujui na uka-express interest yako kwangu kabla hata hatujawa na one deep/meangful conversation itakayokusaidia kujua mimi ni mtu aina gani, sitoweza kukuchukulia serious. I mean, utawezaje kujua kama nafaa kuingia kwenye mahusiano ya maana na wewe kama hunijui kiundani??? Kama ukiniambia kabisa unataka tuburudishane tu (one night stand, something casual etc. Etc...) ntakuelewa, ila sio zaidi ya hapo.
Katika kitu ambacho mnapaswa kutilia maanani (ikiwa you after a meaningful relationship that is..) ni kujaribu kuelewa hao kina dada mnaokutana nao ni watu wa aina gani before making a move.
Yes, umevutiwa na kasura kake, umbo limekaa vizuri, akitembea ana swagg...but what about her values?? Principles zake about life?? What does she believe about this or that??? Because those are the things that makes a person.
Anzeni ku-invest on deep conversations. Ask her tricky questions zitakazokusaidia kujua misimamo yake ni ipi...
Uelewa wake ukoje...
Maturity Level...
Is she a GIVER or a TAKER...?
Matarajio yake kwenye mahusiano ni yapi...
Etc. Etc...
That way, kwanza utaweza kuchuja mapema ili usipoteze muda wako na mtu asiyekufaa, pili kama umekutana na mwanamke wa maana nae ataelewa interest yako inatokea wapi, pia wewe ni mwanaume wa aina gani.
Statement yako ipo kana kwamba mwanamke hasikii raha aki-sex na mwanaume.Vipi na mwanaume anaetanguliza kupata kipochi manyoya? Siku hizi upendo wa kweli umepungua kama si kupotea kabisa, kila mtu anamvizia mwenzake.
Umepita mule mule upo sahihi ngoja ajibuUmeongea point, ila nina swali, unajua kumwambia mwanamke unaekutana nae Leo kwa mara ya kwanza kwamba unataka mburudishane for one night stand, halafu akubali, ni rahisi kuongea kuliko kutenda
Mwanamke gani asiejiuza barabarani utamwambia straight, kuwa unataka muwe friends with benefitsz just one night stand, akubali? Labda mwanaume uwe na status ya diamond au alikiba, ila kwa sisi wanaume average Joe's, ukimwambia mwanamke unataka one night stand, hata kama alikuwa na mpango wa kukubali, atakataa atasema umemdharau na kumuona malaya Dr Lizzy
Labda miamba Extrovert Half american Zemanda waongezee neno
Boda kwa kutoa ushirikiano nawapa A. Huyo bidada hakuelewa mchezo alidhani yupo na boya amlie vyake alafu atokomee.Juzi nikiwa Bar fulani majira ya saa 8 za usiku nilishudia bonge moja la muvi.
Kuna mwamba alikuja na manzi sijui walikutana wapi wakala wakanywa na kusaza mwisho wa siku manzi akawa anagoma kutoka na mshikaji..
zilipigwa ndondi za kufa mtu af wote walikua tungi manzi mrefu mshikaji mfupi, but guess what.., bodaboda walimsaidia mwamba kumpandisha manzi kwenye pikipiki akaondoka naye kwenda kulipia alichokula 😀
All in all wanaume tutafuteni hela, ukiwa nazo wanajipitisha wenyewe kazi yako inakua ni kuzibandua tu
Kaeni nazo nasi tubaki na pesa zetu tuone kipi kitachacha..sie pesa hazituwashi washi sina uhakika nyie vipoch manyoya vyenu.😅😅😅Na kama hamko tayari kutoa pia msitegemee kupokea papuchi😂😂😂😂 au sio