Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054


DDC6FA36-78FC-49F2-86D8-D69189A6B3BD.jpeg

Hao ni CNN



Na hao ni Aljazeera
 
Wana best intelligence inayowapa up to date information ya kinachojiri.

Samia anaanza kuonekaba kituko mbele ya Dunia iliyostaarabika, Sijui nani alimdanganya avunje kiapo chake cha kutenda haki bila kuonea!
Hakuna kitu Kama hiko usalama wa nchi ni jukumu la Mama Samia, CNN ni wapiga domo tuuu wasio na faida yeyote
 
Copy and paste ya kitu chochote haijawahi kufanikiwa,badala ya kiongozi mpya kuja na ubunifu wake amebakia kuigaiga kila kitu hata visivyo na mantiki kabisa -Very primitive
She is Magufuli wannabe!

Ndiyo maana mtaani raia hawamuelewi kabisa na hizi series za makosa yake anayoyafanya.
 
Samia hajabadilika,Kaacha utawala wa sheria ufanye kaZi yake... Kaacha mahakama na polisi na usalama kufanya kaZi

Kesi ikiisha ataheshimu maamuzi, Ndicho tulichokua tunataka... Sasa akiingilia Leo kesho la polisi tutakua tunamsaidia?

Inakua vipi Leo chadema mnataka Samia aingilie mahakama? Tulieni, kama ya mdude alishinda kesi bila, akina mbowe wakarudishiwa pesa zao, simply because mama alitaka haki itendeke, iweje Leo mnataka aingilie watu walewale waliowapa haki just a few weeks ago? Mimi nadhani tusubiri Tu kesi hii kama zilivyo nyingine na maamuzi yatatoka... Hata wale uamsho wanashukuru mama kuheshimu mahakama...

Pia mbowe asome alama za nyakati - sio kila publicity inamjenga, this one imemchonganishaa zaidi na wananchi wa kawaida... The drama he created was unnecessary
 
Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha. Wakati Sabaya anakamatwa Mbowe na genge lake walishangilia sana na kumuona mama kuwa ni mtoa haki pekee ambae hajawahi kupatikana toka dunia iumbwe, leo imekuwa zamu ya Mbowe watu waliomsifu mama wanaanza tena kumeza matapishi yao kwa kugeuza sifa zake kuwa matusi. Lkn hili wenye akili hatushangai maana ni kawaida upinzani kubadilika badilika, leo lowasa fisadi, kesho lowasa sio fisadi, leo kikwete dhaifu kesho kikwete ni raisi bora na magufuli ni dikteta, leo mama anaupiga mwingi, kesho mama ni katili zaidi ya ukatili wa magufuli nk.
 
Mama samia,kasimu majaliwa,hii nchi itawashinda mmeshatia doa kuna wahuni watawaharibia vibaya na tutaishia pabaya ....rekebisheni hizi vitu mapema
Wahuni wanamshauri Bi mkubwa awe katili, muonevu kama Jiwe, wakimdanganya kuwa eti akiwaruhusu wapinzani kuenjoy haki zao za kisiasa basi watainuka kisiasa. Na yeye anauchukua huu ushauri wa kipuuzi Matokeo yake anageuka "Dictatress".

Alikuwa anakwenda vizuri ktk siku zake za awali za utawala wake, Sasa hivi ndo anakunjua makucha yake kutuonysha kutoheshimu kwake katiba aliyoapa kuilinda!

Asipogutuka na kuwa sober nchi itamshinda!
 
Nimegundua hawa jamaa wanaelewa kila kitu kinachoendelea nchi hii.

Ukiacha hili la Mbowe,huyo Prof. anajua mpaka habari ya hizi tozo za laini za simu na wanasema kabisa ni za kututia watanzania umasikini.

Tuko uchi!
Ata bi mkubwa akienda kunya wanamcheki tu yeye anajifanya mwamba
 
Back
Top Bottom