Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Nchi haimshindi KATU.....

Haikumshinda Hayati kipenzi chetu JPM kupelekea Mh.Mbowe kuishi DUBAI..... pamoja na ninyi KUMSHAMBULIA VYA KUTOSHA bado wengi wa WALALAHOI wanamkumbuka mpaka sasa.....

Serikali ni mfumo.....

Pamoja na yote....mh.Kagame bado yupo.....

Pamoja na yote.....mh.Museveni bado yupo.....

CCM si Sawa na CHADEMA....endeleeni KUJIOTESHA NDOTO MPENDAZO

#NchiKwanza
#AmaniKwanza
#JMTKwanza
#PundaAfeMzigoUfike
#KaziInaendelea
Unajivunia umachinga pumbavu kabisa
 
Tatizo umetengeneza picha kichwani kwako dunia inajali sana viongozi wastaarabu kitu ambacho si kweli. Museveni, Kagame na Magufuli wote wana tabia zinazofanana lakini ni wapi uliwahi kusikia wameadhibiwa kwa tabia zao za hovyo. Tigray (TPLF) wa Ethiopia ni kundi la kigaidi lakini ni mshirika wa Marekani wapi umewahi kusikia wanaandikwa vibaya kwenye vyombo ya kimataifa.

Je Marekani inaonekana kituko kwa kuendelea kumshikilia Julian Assange Uingereza kwa kesi za kubumba. Hakuna anaeguswa na kinachoendelea Tanzania labda Mama akosee hesabu kwa wakubwa wa dunia hii ndio ataundiwa zengwe.

Dunia iliyostaarabika haiwataki viongozi wastaarabu wasio na maslahi kwa wakubwa (Evo Morales wa Bolivia).
Reputation ya mtu ni jambo la msingi. Kufa ukaandikwa kuwa ulikuwa katili, onevu, dikteta, asiyeheshimu kiapo chake nalo si jambo ambalo mtawala anapenda
 
🤣🤣
Mkuu uliyasema hayo kipindi kile baada ya UCHAGUZI WA 2020....Robert Amsterdam HAKUTOKEA na zile "issue" za THE HAGUE.....🤣

Nimekugusia mh.Kagame na mh.Museveni kukuonesha ni jinsi gani kuwa PAMOJA NA DUNIA NA WANAHARAKATI kuwaandama kwa maneno mengi na makali ila BADO WAPO....sembuse Tanzania ya CCM ?!! Sembuse Rais wetu mh.SSH?!!!

#HakunaNamnaKaziInaendeleaTu
#PundaAfeMzigoUfike
#MzigoNiAmaniYaNchi
#MzigoNiUtulivuWaNchi
#JMTMilele
Hapa hakuna M7 wala Kagame, hapa kuna Samia na Tanzania.

Tushughulike na Tanzania yetu. Waache hao wengine washughulike na ya kwao.
 
Hapa hakuna M7 wala Kagame, hapa kuna Samia na Tanzania.

Tushughulike na Tanzania yetu. Waache hao wengine washughulike na ya kwao.
🤣🤣Basi POST ni kituko....

Compatriot wako MISSILE OF THE NATION ameanza na "DUNIA YASHANGAZWA..."

Kumbe Museveni na Kagame si wakazi wa DUNIA anyway mh.Rais SSH ni AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA....ameapa kulinda amani na utulivu wa nchi KWA TAARIFA ZOZOTE APATAZO....

Tusubiri mahakama iseme kuwa WATUHUMIWA WA UGAIDI hawana KESI YA KUJIBU.......

#KaziIendelee
 
Wana best intelligence inayowapa up to date information ya kinachojiri.

Samia anaanza kuonekana kituko mbele ya Dunia iliyostaarabika, Sijui nani alimdanganya avunje kiapo chake cha kutenda haki bila kuonea!
Ukorofi wa CDM wa kuhakikisha nchi inachafuka kimataifa ndiyo umesababisha, raha ya CDM ni kuona TZ inatangazwa vibaya huko nje, wanafaidika nini? Haijulikani! Haiwezekani ndani ya miezi minne tu tayari Samia mbaya. But kwenye siasa ni kawaida sana, na kuna nchi zina majanga mno kuliko hii TZ yetu na maisha yanasonga
 
Kinachonisikitisha, huyu mama alikuwa na nafasi ya kipekee ya kupendwa na kukong'a nyoyo za watanzania.
Alitakiwa afanye mambo. matatu tu

1. Kuachana na pia kurekebisha mambo ya kijingajinga ya mtangulizi wake

2. Kuyafanyia kazi mazuri ya mtangulizi wake ikiwemo miradi mikubwa

3. Kufanya reforms za msingi za kiuchumi na kisiasa ili yale yaliyojitokeza kwa mwendazake yasijitokeze tena

Sasa unfortunately kaanza kukumbatia hata yale ya kijinga ya mwendazake kama kuonea, kutoheshimu katiba na kiapo alichokula.

Asipobadilika, wananchi watamchukia vibaya sana!
Ukiona kiongozi unapendwa na kila mtu jua kwamba kuna sehemu unakosea, huyo Mungu na ukamilifu wake lakini 1/3 ya malaika walimpinga
 
Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha. Wakati Sabaya anakamatwa Mbowe na genge lake walishangilia sana na kumuona mama kuwa ni mtoa haki pekee ambae hajawahi kupatikana toka dunia iumbwe, leo imekuwa zamu ya Mbowe watu waliomsifu mama wanaanza tena kumeza matapishi yao kwa kugeuza sifa zake kuwa matusi. Lkn hili wenye akili hatushangai maana ni kawaida upinzani kubadilika badilika, leo lowasa fisadi, kesho lowasa sio fisadi, leo kikwete dhaifu kesho kikwete ni raisi bora na magufuli ni dikteta, leo mama anaupiga mwingi, kesho mama ni katili zaidi ya ukatili wa magufuli nk.
Hats off, umenena vizuri sana.
 
UBUNIFU UNATOKEA KAMA ANATEUA TOP CREAM YA NCHI KUWA WASAIDIZI NA VIONGOZI WA TAASISI NYETI: LAKINI KATIKA TEUZI KIGEZO CHAKE NI ZAMU YA KULA, UBUNIFU KWENYE JAMBO LO LOTE HAPA TANZANIA ITAKUWA NDOTO ZA MCHANA!
 
Huyo Mbowe ana nia ya kuleta vurugu nchi hii.Huwezi kuvitisha vyombo vya dola kisha ubaki wewe ndiye mshindi.
Hii ni serikali siyo muvi ya kihindi eti mtu kama Mbowe anajipa u starring
Wahuni wanamshauri Bi mkubwa awe katili, muonevu kama Jiwe, wakimdanganya kuwa eti akiwaruhusu wapinzani kuenjoy haki zao za kisiasa basi watainuka kisiasa. Na yeye anauchukua huu ushauri wa kipuuzi Matokeo yake anageuka "Dictatress".

Alikuwa anakwenda vizuri ktk siku zake za awali za utawala wake, Sasa hivi ndo anakunjua makucha yake kutuonysha kutoheshimu kwake katiba aliyoapa kuilinda!

Asipogutuka na kuwa sober nchi itamshinda!
 
Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha. Wakati Sabaya anakamatwa Mbowe na genge lake walishangilia sana na kumuona mama kuwa ni mtoa haki pekee ambae hajawahi kupatikana toka dunia iumbwe, leo imekuwa zamu ya Mbowe watu waliomsifu mama wanaanza tena kumeza matapishi yao kwa kugeuza sifa zake kuwa matusi. Lkn hili wenye akili hatushangai maana ni kawaida upinzani kubadilika badilika, leo lowasa fisadi, kesho lowasa sio fisadi, leo kikwete dhaifu kesho kikwete ni raisi bora na magufuli ni dikteta, leo mama anaupiga mwingi, kesho mama ni katili zaidi ya ukatili wa magufuli nk.
Sabaya ni mhalifu lipo wazi kabisa. Kitendo cha Samia kusema Mbowe ni Gaidi leo mtaani kimemvua nguo Samia kashapoteza uaminifu. Nimegundua Watanzania wengi kasoro ndege kama Dudumizi mnafurahia uovu na uhayawani. Huyu mama hawezi kusema lolote mzungu akimkapa koo na hivi anapenda kuzurula kama kanga subiri atajuta na Maswali ya vyombo vya habari vya nje sio hizi media zenu Uhuru na Mzalendo.
 
The first African female president to practice dictatorship acts. Mwenzie Hellen Sirleaf Johnson wa Liberia aliingiza nchi ikiwa imetoka kwenye Vita hatari Tena wanaume na masilaha yao walimsikiliza na nchi ikataealika kwa amani sana, Ila hii style anayoiga itamcost.

I thought as a female leader angetafita namna mpya ya approach kwenye Mambo kama haya Ila anaonekana purely African woman she can't think independently rather aige kutoka kwa waliombeba na kumpa hiyo nafasi.

Nadhani imeanza kuprove mwanamke wa kiafrika Hana tofauti yeyote na mwanaume wa kiafrika kwenye madaraka since anashikiwa akili she can't think independently.

Amejichafua sana , hajui tu.
 
Sabaya ni mhalifu lipo wazi kabisa. Kitendo cha Samia kusema Mbowe ni Gaidi leo mtaani kimemvua nguo Samia kashapoteza uaminifu. Nimegundua Watanzania wengi kasoro ndege kama Dudumizi mnafurahia uovu na uhayawani. Huyu mama hawezi kusema lolote mzungu akimkapa koo na hivi anapenda kuzurula kama kanga subiri atajuta na Maswali ya vyombo vya habari vya nje sio hizi media zenu Uhuru na Mzalendo.
Huyo mwanamke anapenda kutembea tu na kurembua mimacho
 
Wahuni wanamshauri Bi mkubwa awe katili, muonevu kama Jiwe, wakimdanganya kuwa eti akiwaruhusu wapinzani kuenjoy haki zao za kisiasa basi watainuka kisiasa. Na yeye anauchukua huu ushauri wa kipuuzi Matokeo yake anageuka "Dictatress".

Alikuwa anakwenda vizuri ktk siku zake za awali za utawala wake, Sasa hivi ndo anakunjua makucha yake kutuonysha kutoheshimu kwake katiba aliyoapa kuilinda!

Asipogutuka na kuwa sober nchi itamshinda!
Kumbe mwanamke anakuwa Dictatress asante mkuu!
 
Duh! Mashabiki wa kwa Bi nyau karibu na popo bawa hawana hamu naye, ahahahahah

Na habari za Sabaya zishapoteza mvuto, vifurush hatuzungumzii tena saivi ni Manala..

Hii nchi bwana!! Bora kujilia tu-pisi kali tu na kututwanga katerero
 
Back
Top Bottom