Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Alibugi kusema katiba isubiri uchumi, sasa atatumia urais wake kupambana na wapinzani.
Na atakumbukwa kama dikteta wa kwanza mwanamke.
 
Hii ndio Ile stori kwamba jamaa muda wote amekaa pekee Ile anajamba tu ndio mama mkwe anaingia sebuleni.

Huyu mwacheni aendelee kurembua mimacho yake aendelee tu. Sasa atakuta moto wa upinzani akimaliza huku akiveuka kwenye chama chake anakuta Mwigulu keshafanya yake.

Atakoma.
 
Mama wasikuzengue hao ni akina Tundu Lissu hao wanao wapa habari. Hivyo ndiyo vyombo vyao vya kuleta Terror duniani.

Lengo lao ni moja tu kuviangusha vyama vilivyogombea uhuru na kuweka vyama vyao vya kibaraka kama akina Tshisekedi wa DRC ili wafungue milango kwa ajili ya mabwana zao waje kuchota rasilimali zetu wanavyotaka.

Usikubali na wasikutishe Mama sisi watanzania tuko nyuma yako. Kwenye kutetea nchi yetu sisi hatutakuacha wala kukuangusha Mama.

Ukiona wana kuzengua sana, basi wewe fanya kitu kimoja. Mwambie Putin alete askari wake na dhana zake za kijeshi hawatafanya kitu. Mrusi naye ana silaha kama wao. Wasitubabaishe.

Iraq wameshindwa, Afghanistan wameshindwa, Venezuela nako wameshindwa imebaki Iran na Tanzania. Nako Mama watashindwa tu.

Ulifanya vizuri kutoshirikiana nao hao. Hayo majitu ni magaidi tu. Wana lengo la kuleta Chaos nchini ili waiangushe CCM na wao wachukue madaraka.

Sisi wazalendo hatuta kubali hata watumie mabwana zao Amerika na Europe. Ni ama zao, ama zetu. Hatuta iacha nchi yetu ichukuliwe na hayo majambazi kirahisi hivyo.

Tundu Lissu, Mbowe, Lema, Maria Sarungi, Fatma Karume na Bibi Cheusi Mange Kimambi hamtakuja kuwa viongozi wa hii nchi. Sahauni.

Tundu Lissu maye ashtakiwe kwa kifo cha Hayati Magufuli. Atueleze alipata wapi hizo habari za kuugua kwake. Kwa vyovyote atakuwa alijua kuwa Rais Magufuli atauawa. Nani wako nyuma ya kifo chake?

Ana mashtaka ya kujibu.
 
Naona mjadala kuhusu Katiba, Upinzani na Kesi fake ya Mheshimiwa Freeman Mbowe inatupaisha kimataifa. Mijadala yetu inajadiliwa kwenye vyombo vikubwa vya habari duniani.

Hongera sana sana sana
 
Kuna kijumbe wa CCM aliuliza kama bado Taarifa za Tz hususani za Upinzani bado zinajadiliwa au zimechuja. Nadhani amepata jibu.
 
Samia hajabadilika,Kaacha utawala wa sheria uganye kaZi yake... Kaacha mahakama na polisi na usalama kufanya kaZi

Kelsi ikiisha ataheshimu maamuzi, Ndicho tulichokua tunataka... Sasa akiingilia Leo kesho la polisi tutakua tunamsaidia?

Inakua vipi Leo chadema mnataka Samia aingilie mahakama? Tulieni, kama ya mdudr au kesi nyingine maamuzi yatatoka

Pia mbowe asome alama za nyakati - sio kila publicity inamjenga, this one imemchonganishaa zaidi na wananchi wa kawaida... The drama he created was unnecessary
stupid, kuandaa kongamano lililo ndani ya atiba ni makosa?
 
Upuuzi wa CCM ni huu, hakuna CCM anayezungumzia TOZO, kwao hio ni sahihi wananchi kukamuliwa yaani hujaongeza salary kwa six years mfululizo then unaweka kodi juu tena, hill kwa wapumbavu wa CCM ni sahihi na halina shida ila shida kwao ni Mbowe na CHADEMA.

Kodi za mboleo zimepanda, mafuta ya kupikia hayapatikani, sukari bei juu, kodi za line za simu, etc haya yote hawayaoni hawa hayawani wa CCM, wanachokiona ni Mbowe na CHADEMA.

Ndio akili zao zilipofikia, ukivikuta vina shida hadi kwenye kope ila vilivyo radical utadhani vina ubia na ccm.
 
Nchi haimshindi KATU.....

Haikumshinda Hayati kipenzi chetu JPM kupelekea Mh.Mbowe kuishi DUBAI..... pamoja na ninyi KUMSHAMBULIA VYA KUTOSHA bado wengi wa WALALAHOI wanamkumbuka mpaka sasa.....

Serikali ni mfumo.....

Pamoja na yote....mh.Kagame bado yupo.....

Pamoja na yote.....mh.Museveni bado yupo.....

CCM si Sawa na CHADEMA....endeleeni KUJIOTESHA NDOTO MPENDAZO

#NchiKwanza
#AmaniKwanza
#JMTKwanza
#PundaAfeMzigoUfike
#KaziInaendelea
Nchi ilishamshinda
Ameacha madeni wanaamua Kuongeza kodi kwenye miamala ya simu
 
Nchi ilishamshinda
Ameacha madeni wanaamua Kuongeza kodi kwenye miamala ya simu
Umemsikia spika NDUGAI?!!

Kuhusu TOZO hizo za simu.....spika amesema WAO NDIO WALIOWEKA HIZO TOZO....lengo umeme na huduma nyeti zifike vijijini kabla ya 2025......

Ameongea kuwa hawapingi wanaolalamikia KIWANGO KIKUBWA ila uwepo wa TOZO hata kwa KIWANGO kidogo ni LAZIMA kuyafikia maendeleo......

Ikumbukwe hiyo TOZO itakuwa na mfuko maalum.....
 
stupid, kuandaa kongamano lililo ndani ya atiba ni makosa?
Stupidest kabisa

Katiba inatamka makongamano? That's how shallow you are - kuna katiba, sheria, taratibu, Mila na desturi. Kila kitu ni timing, tatizo mko busy kudance na vibe za ad-hoc... Kongamano lingepewa muda, likawa la kitaifa zaidi na mambo yabgekua mambo. Katiba sio agenda ya chama chochote, ni agenda ya kitaifa

Retire in peace before your turn into pieces
 
Samia hajabadilika,Kaacha utawala wa sheria uganye kaZi yake... Kaacha mahakama na polisi na usalama kufanya kaZi

Kelsi ikiisha ataheshimu maamuzi, Ndicho tulichokua tunataka... Sasa akiingilia Leo kesho la polisi tutakua tunamsaidia?

Inakua vipi Leo chadema mnataka Samia aingilie mahakama? Tulieni, kama ya mdudr au kesi nyingine maamuzi yatatoka

Pia mbowe asome alama za nyakati - sio kila publicity inamjenga, this one imemchonganishaa zaidi na wananchi wa kawaida... The drama he created was unnecessary

I thought he committed a crime, ooh it was drama? [emoji15]
 
Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha. Wakati Sabaya anakamatwa Mbowe na genge lake walishangilia sana na kumuona mama kuwa ni mtoa haki pekee ambae hajawahi kupatikana toka dunia iumbwe, leo imekuwa zamu ya Mbowe watu waliomsifu mama wanaanza tena kumeza matapishi yao kwa kugeuza sifa zake kuwa matusi. Lkn hili wenye akili hatushangai maana ni kawaida upinzani kubadilika badilika, leo lowasa fisadi, kesho lowasa sio fisadi, leo kikwete dhaifu kesho kikwete ni raisi bora na magufuli ni dikteta, leo mama anaupiga mwingi, kesho mama ni katili zaidi ya ukatili wa magufuli nk.
Mama anaupiga mwingi
 
Huyu mzanzibar kashitukiwa mapema sizani kama atafika popote huo uchumi anaowaza kuujenga sjui kama atafanikiwa
 
Samia hajabadilika,Kaacha utawala wa sheria uganye kaZi yake... Kaacha mahakama na polisi na usalama kufanya kaZi

Kelsi ikiisha ataheshimu maamuzi, Ndicho tulichokua tunataka... Sasa akiingilia Leo kesho la polisi tutakua tunamsaidia?

Inakua vipi Leo chadema mnataka Samia aingilie mahakama? Tulieni, kama ya mdudr au kesi nyingine maamuzi yatatoka

Pia mbowe asome alama za nyakati - sio kila publicity inamjenga, this one imemchonganishaa zaidi na wananchi wa kawaida... The drama he created was unnecessary
Hard facts
 
Huyu mzanzibar kashitukiwa mapema sizani kama atafika popote huo uchumi anaowaza kuujenga sjui kama atafanikiwa
Ajenge kwa kupika data labda maana wawezeshaji ndo hao wameshamstukia,tozo za simu wadau hatutumii siku hizi. Hiyo revenue atapata wapi?
 
Back
Top Bottom