Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Hivi kwa namna gani angeweza kutimiza demand za upinzani ndani ya miezi minne? Tuwe rational kidogo.The first African female president to practice dictatorship acts. Mwenzie Hellen Sirleaf Johnson wa Liberia aliingiza nchi ikiwa imetoka kwenye Vita hatari Tena wanaume na masilaha yao walimsikiliza na nchi ikataealika kwa amani sana, Ila hii style anayoiga itamcost.
I thought as a female leader angetafita namna mpya ya approach kwenye Mambo kama haya Ila anaonekana purely African woman she can't think independently rather aige kutoka kwa waliombeba na kumpa hiyo nafasi.
Nadhani imeanza kuprove mwanamke wa kiafrika Hana tofauti yeyote na mwanaume wa kiafrika kwenye madaraka since anashikiwa akili she can't think independently.
Amejichafua sana , hajui tu.
Mama ameingia amekuta Hali ya uchumi mbaya kabisa kwa uharibifu wa magufuli. Private sector almost dead, graduates hawana ajira. Kuna janga la Corona ambalo solution yake bado ni kitendawili. Amekuta miradi mingi kuliko uwezo wa serikali ku finance miradi hiyo. Bado katika Hali hizo tunamtaka aanze kuwaita wabunge wale posho au kuitisha referendum ya katiba mpya? Are we serious? Hizo pesa zinatoka wapi na Hali ya uchumi ingekuwaje? Na Chama chake kingemuelewa vipi? Ametumia lugha ya kiungwana kwamba aanze na kuweka sawa uchumi then atageukia katiba. Definitely hayo ni maneno ya kutafuta namna ya kuongea na Chama chake ili agenda ya katiba airudishe. What's wrong with this approach? Sad, mnamtisha na mnaruhusu wavuta bange akina mdude watumie maneno ya kifedhuli huku tukitoa mashinikizo yasiyo na maana.
Sote tunajua kwa tuliyoyashuhudia kwa JPM, katiba mpya ni MUHIMU ili kuaddress changamoto zilizopo lakini kea namna gani katiba mpya tunaidai na kufanya katiba mpya kama ni agenda ya Chadema na si wananchi, hapo ndipo shida ilipo. Kwa maoni yangu yanayoendelea ni fundamental mistakes za Chadema wenyewe.