Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Hawa Chadema hawana upeo huo.Tatizo umetengeneza picha kichwani kwako dunia inajali sana viongozi wastaarabu kitu ambacho si kweli. Museveni, Kagame na Magufuli wote wana tabia zinazofanana lakini ni wapi uliwahi kusikia wameadhibiwa kwa tabia zao za hovyo. Tigray (TPLF) wa Ethiopia ni kundi la kigaidi lakini ni mshirika wa Marekani wapi umewahi kusikia wanaandikwa vibaya kwenye vyombo ya kimataifa.
Je Marekani inaonekana kituko kwa kuendelea kumshikilia Julian Assange Uingereza kwa kesi za kubumba. Hakuna anaeguswa na kinachoendelea Tanzania labda Mama akosee hesabu kwa wakubwa wa dunia hii ndio ataundiwa zengwe.
Dunia iliyostaarabika haiwataki viongozi wastaarabu wasio na maslahi kwa wakubwa (Evo Morales wa Bolivia).
Reality hawaziangalii. Wanaishi kwenye dunia ya kusadikika