Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Na tutasimama madhubuti.

Hatutokubali kuingia kwenye machafuko kamwe.

Amani ndio suala la msingi zaidi kwetu
Machafuko yangetokea wapi kama polisi wangewaacha tu wafanye tu kongamano lao tena LA ndani bila bugudha.

Nchii hii mavhafuko yataletwa na ccm.
 
Well said

Chadema inaongozwa na MTU ambaye hata basic values Hana, kuanzia family, waliomzunnguka hata na elimu yake

Mbowe hajui what to prioritize, Hana uelewa wa context ya nchi wala.nini

Ndio maana agenda zake zinaToka Kwa mwamakula, shangazi,.kigogo nk

Hana strong executive political leaders wala strategic visionary advisors... Only one thing that unite him and lissu, ni kutukana na kujaribu mamlaka, because they are paid to do so.... Nothing else in common

A few online Republic ndio wanamjaza ujinga and most of them are outside the country
 
Mama nae alivyo anaweza akakusikiliza ushauri wako,kumbe unamwingiza chaka kwa masilahi yako ya kufisadi nchi hii.

Ccm mnajua katiba Mpya itawaondolea ulaji,itampa RAIA madaraka.
Hata mimi ni Raia katiba mpya sio kipaumbele kwangu, Mama apige kazi, Mbowe na genge lake wachunguzwe kama ni mawakala wa mabeberu
 
Mnataka kumvuruga Mama sasa afanyaje? Hii ya kulazimisha katiba bila hata kuwa na utaratibu, inaweza kuleta unrest. Mama lazima asimame kama Rais.
Katiba mpya inaanza tu bila mipangilio? Na kwanini watu wanaodai wanataka kuona nchi inachafuka? Kwa manufaa ya nani?
Kusema kweli, nawachukia sana wana siasa. Wengi wanataka tupate matatizo sababu ya agenda zao binafsi
 
Na huo ndio ukweli.

Hawa ni vibaraka tu vya wale ambao walitutawala kipindi cha colonialism
 
Nimegundua hawa jamaa wanaelewa kila kitu kinachoendelea nchi hii.

Ukiacha hili la Mbowe,huyo Prof. anajua mpaka habari ya hizi tozo za laini za simu na wanasema kabisa ni za kututia watanzania umasikini.

Tuko uchi!
Mungu mkubwa, wote mlioshangilia JPM kufariki mnapopoana sasa! Bado Toto Tundu
 
Strategy ya kutumia nguvu kwenye mambo ya kisiasa kwasababu ya kukosa ushawishi, huwa inakuwa na manufaa ya muda mfupi na kilio cha muda mrefu. Ninauona mwanzo wa kifo cha CCM
 
Strategy ya kutumia nguvu kwenye mambo ya kisiasa kwasababu ya kukosa ushawishi, huwa inakuwa na manufaa ya muda mfupi na kilio cha muda mrefu. Ninauona mwanzo wa kifo cha CCM
Toka mmeanza kuona bado kuchoka tuu? Nyie wapiga domo wa mitandaoni hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…