Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Kwa hiyo hapa unajiona wewe ndio mwenye akili!

Huwezi kutofautisha akili za kitoto na za kiutu uzima, kama nilivyokufahamisha hapo juu, bado huelewi kitu.

Unamsifia JPM, hivi hujui aliko hadi sasa? Hujui kwamba hata wasiokuwa 'kenge' hawaepuki "damu kuwatoka masikioni"?

Hii mpipasho ya kiswahili huwa hamna mizani ya jinsi ya kuitumia? Ukishakariri kitu, basi unakitumia tu bila kujali sehemu kinapofaa kutumiwa?
JPM amefanya sehemu yake kwa nchi yake, amemaliza mwendo wake na sasa yupo kwenye mapumziko yake ya milele.

JPM alipo ndiko Baregu alipo, Chadema msitake kujipa kazi ya umalaika. Sisi katika uislam tunaamini kila nafsi itaonja umauti na ni Mungu pekee ndio anajua nafsi gani itakufa lini. Kifo chake sio kwamba eti ni kwa sababu ametenda dhambi yoyote maana hata wema hufa.

Siongelei mipasho, naongelea uhalisia. Wenzetu uwezo wenu wa kupambanua mambo hauko sawasawa.
 
CDM wanaongea as if wao hawatakufa [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😍😍
 
Huo ndio upuuzi wa kujadili jambo na kudhani kila anayeingia humu na kukataa upumbavu ni lazima atoke CHADEMA.

Mnaifanya Tanzania iwe kama ni mali yenu, na wengine wote wanaokataa mabo yenu ni wapinzani wanaotafuta kuwaondoa kwenye ulaji wenu!

Akili yenu yote hapo ndipo inapopotelea na kujionyesha kuwa wajinga, na kuwaondolea hao mnaowapigania heshima kama viongozi wanaopashwa kuwatumikia wananchi wote bila kujali uCHADEMA wao au UCCM.
 
Mkuu KITAMBI...Kwani kipindi kile Robert Amsterdam hakuhojiwa na CNN ?!!!

Kagame anachafuliwa kila uchao ,je ameanguka?!!!

ENDELEA KUJIOTESHA🤣

#KaziIendelee
Kagame alichafuliwa na nani?

Kagame ni mchafu tu dictator,afu utajilinganishaje na kanchi kama kale hata kakiwekewa vikwazo hakathiriki chochote maana kanajitosheleza,in kadogo sana unaweza kukazunguka kwa siku mbili ukakamaliza.
 
Reputation ya mtu ni jambo la msingi. Kufa ukaandikwa kuwa ulikuwa katili, onevu, dikteta, asiyeheshimu kiapo chake nalo si jambo ambalo mtawala anapenda

Hata wewe kuna watu wanakuona una sifa za ukatili,uchoyo na ubinafsi na wapo wanaokuona wewe ni mtu mwema.Siyo lazima wote wawe na mtazamo mmoja.Uzuri ni Mungu peke yake ndiye mwenye haki ya kuhukumu.Haya mengine ni mitazamo tofauti ya Binadamu.
 
Kama vile tunavyomuona mbowe ni dikteta kwa kutaka kulazimisha watu wote wachome chanjo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua hawa jamaa wanaelewa kila kitu kinachoendelea nchi hii.

Ukiacha hili la Mbowe,huyo Prof. anajua mpaka habari ya hizi tozo za laini za simu na wanasema kabisa ni za kututia watanzania umasikini.

Tuko uchi!
Si anapelekewa na vibaraka wake! Unashangaa kitu gani kwenye dunia ya digital?
 
Wana best intelligence inayowapa up to date information ya kinachojiri.

Samia anaanza kuonekana kituko mbele ya Dunia iliyostaarabika, Sijui nani alimdanganya avunje kiapo chake cha kutenda haki bila kuonea!
Hivi
Hivi aluvyosema yeye ni magufuru hamkueleqq yeyw ni dektata wa like Dunia nu
 
Inafikirisha sana, sijui watu wengine huwa mnatumia nini kufikiri, lakini unakuta kuna watu wanakuita baba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tikisa hicho kichwa chako uone kama zimo.
Huenda umebeba tu kichwa cha kufugia nywele
 
Samia hajabadilika,Kaacha utawala wa sheria ufanye kaZi yake... Kaacha mahakama na polisi na usalama kufanya kaZi

Kesi ikiisha ataheshimu maamuzi, Ndicho tulichokua tunataka... Sasa akiingilia Leo kesho la polisi tutakua tunamsaidia?

Inakua vipi Leo chadema mnataka Samia aingilie mahakama? Tulieni, kama ya mdude alishinda kesi bila, akina mbowe wakarudishiwa pesa zao, simply because mama alitaka haki itendeke, iweje Leo mnataka aingilie watu walewale waliowapa haki just a few weeks ago? Mimi nadhani tusubiri Tu kesi hii kama zilivyo nyingine na maamuzi yatatoka... Hata wale uamsho wanashukuru mama kuheshimu mahakama...

Pia mbowe asome alama za nyakati - sio kila publicity inamjenga, this one imemchonganishaa zaidi na wananchi wa kawaida... The drama he created was unnecessary
Peleka upumbavu wako huko,kama Mbowe ni gaidi kwanini msimkamate siku zote hizo?
 
Samia hajabadilika,Kaacha utawala wa sheria ufanye kaZi yake... Kaacha mahakama na polisi na usalama kufanya kaZi

Kesi ikiisha ataheshimu maamuzi, Ndicho tulichokua tunataka... Sasa akiingilia Leo kesho la polisi tutakua tunamsaidia?

Inakua vipi Leo chadema mnataka Samia aingilie mahakama? Tulieni, kama ya mdude alishinda kesi bila, akina mbowe wakarudishiwa pesa zao, simply because mama alitaka haki itendeke, iweje Leo mnataka aingilie watu walewale waliowapa haki just a few weeks ago? Mimi nadhani tusubiri Tu kesi hii kama zilivyo nyingine na maamuzi yatatoka... Hata wale uamsho wanashukuru mama kuheshimu mahakama...

Pia mbowe asome alama za nyakati - sio kila publicity inamjenga, this one imemchonganishaa zaidi na wananchi wa kawaida... The drama he created was unnecessary
Unataka kuja kutuaminisha ujinga wako hapa,Hivi bado mnatuchukulia watanzania ni wale wa miaka ya 47 wasioweza kureason ?
 
Back
Top Bottom