Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
JPM amefanya sehemu yake kwa nchi yake, amemaliza mwendo wake na sasa yupo kwenye mapumziko yake ya milele.Kwa hiyo hapa unajiona wewe ndio mwenye akili!
Huwezi kutofautisha akili za kitoto na za kiutu uzima, kama nilivyokufahamisha hapo juu, bado huelewi kitu.
Unamsifia JPM, hivi hujui aliko hadi sasa? Hujui kwamba hata wasiokuwa 'kenge' hawaepuki "damu kuwatoka masikioni"?
Hii mpipasho ya kiswahili huwa hamna mizani ya jinsi ya kuitumia? Ukishakariri kitu, basi unakitumia tu bila kujali sehemu kinapofaa kutumiwa?
JPM alipo ndiko Baregu alipo, Chadema msitake kujipa kazi ya umalaika. Sisi katika uislam tunaamini kila nafsi itaonja umauti na ni Mungu pekee ndio anajua nafsi gani itakufa lini. Kifo chake sio kwamba eti ni kwa sababu ametenda dhambi yoyote maana hata wema hufa.
Siongelei mipasho, naongelea uhalisia. Wenzetu uwezo wenu wa kupambanua mambo hauko sawasawa.