Duniani kote nadhani Israel ndio nchi yenye watu/wananchi wenye uelewa mdogo zaidi

Ujue ni "wayahudi" ndio watu wenye akili duniani. Vitabu vyote vya sayansi ni wao, formula nyingi za kisayansi ni wao. Mahali popote penye maendeleo ya kiteknologia ujue kuna damu ya kiyahudi. Wanaamini kulingana na jadi yao.
 
Wametekwa kifikra na wazayuni, Mzayuni alitaka ushawishi middle east akamtumia muyahudi kuingia pale na sasa anachokileta ni uharibifu huo ni jamii hatari tangu mwanzo wao wnaungana na jamii ovu ndio waga tabia zao waliungana na warumi kipindi ni washenzi, wakaunganana muingereza na sasa wako na Mzayuni Lengo middle east isitulie na dunia kwa ujumla ni watu evil usipime. Kila kinachoendelea katika dunia hiii wana jicho lao na mkono wao tamaa ya mali ya ushetani na kuvuruga dini zingine wao waonekane ni bora,

Biblia wamevuruga, kitabu chao wenyewe torauti wamevuruga wakareplace na Talmud, hadithi za uislamu pia wamepitisha yao yaani ni watu taflani sana na wako pale kwakuwa wamemshika sharubu kubwa jinga US, lasivyo muajemi angeshawafutilia mbali
 
Ujue ni "wayahudi" ndio watu wenye akili duniani. Vitabu vyote vya sayansi ni wao, formula nyingi za kisayansi ni wao. Mahali popote penye maendeleo ya kiteknologia ujue kuna damu ya kiyahudi. Wanaamini kulingana na jadi yao.
Si kweli ni watu wanajua kujivuna na kujionyesha watu Asia ya mbali kama wachina, japn Korea na waajemi wana akili na busara nyingi kuliko wayahudi, hawana hekima ya kufanya maamuzi wala kuvumilia race nyingine hivyo hio ni tosha sio watu smart., sayansi ni elimu ya wote sio wayahudi tu wanyeelimu hio
 
Endelea tu kuteseka na Taifa teule la Israel!!!
 
Endelea tu kuteseka na Taifa teule la Israel!!!
Wayahudi original wenyewe tena ndani ya Israel wanasema Israel hii sio taifa teule wewe mmatumbi umelewa mistari waliyoongeza wao kwenye biblia eti ni wateule uko unawapigania
 
Endeleeni kuteseka tu na wala hamtabadirisha chochote Magaidi wataendelea kuangamizwa kama kawaida!!
 
Whataboutism and Red herring!
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ JF kama JF πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Maalim mbona leo umechafukwa ? Kunani kaka
 
Wayahudi original wenyewe tena ndani ya Israel wanasema Israel hii sio taifa teule wewe mmatumbi umelewa mistari waliyoongeza wao kwenye biblia eti ni wateule uko unawapigania
Wewe Mmatumbi mwenzangu umewajua wapi Wayahudi Oringinal na Fake? Original wana rangi gani na fake wana rangi ipi?

Waarabu-koko endeleeni tu kutumika kama condoms na waarabu hata hivyo mtaangukia pua tu.
 
Wajinga ndo hua wana ita watu wangine wajinga, Nchi iko jangwani inapita uchumi mara mia nchi iko kwenye maziwa na asari.

Halafu, unaleta ngojera tuamini israeli ni wajinga?
Wanapewa kila aina ya msaada unaoufahamu na US...

Na hata sasa wanaisukuma US iingie vitani na Iran...

Kingine wale ni waongo kuliko unavyodhani...

Halafu specifically nimezungumzia uzayuni, si uyahudi...

Mnachoshindwa kuelewa kuwa tajiri ama uwezo wa kiuchumi na akili ni vitu vinaweza kukaa mahala tofauti ama sehemu moja...

Wewe hapo ulipo kuna shoga ana pesa kukuzidi, kuna muuaji ana pesa kukuzidi, kuna mtu ulimzidi ufaulu darasani lakini leo ana pesa kukuzidi... Sasa kaa chini ujitafakari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…