Duniani kote nadhani Israel ndio nchi yenye watu/wananchi wenye uelewa mdogo zaidi

Duniani kote nadhani Israel ndio nchi yenye watu/wananchi wenye uelewa mdogo zaidi

Ni watu wajinga sana. Nadhani warokore walikopi na kupesti mambo ya hovyo kutoka kule.
Sure, na ukitaka kugombana na mlokole yeyote basi ponda chochote kuihusu Israel... Ndipo unaelewa kwamba akili zao zipo sawa...

Utofauti ni kwamba Wazayuni wa kiyahudi hawawakubali walokole, huwatemea mate na kuona wana imani potofu ya kidini...

Na hao wachungaji wa makanisa ya kitapeli huwauzia mchanga wafuasi wao waki brand mchanga huo umetoka Israel kwenye nchi takatifu... aisee inasikitisha sana...

Bitter truth...
 
Sure, na ukitaka kugombana na mlokole yeyote basi ponda chochote kuihusu Israel... Ndipo unaelewa kwamba akili zao zipo sawa...

Utofauti ni kwamba Wazayuni wa kiyahudi hawawakubali walokole, huwatemea mate na kuona wana imani potofu ya kidini...

Na hao wachungaji wa makanisa ya kitapeli huwauzia mchanga wafuasi wao waki brand mchanga huo umetoka Israel kwenye nchi takatifu... aisee inasikitisha sana...

Bitter truth...
Walokole wanapaswa kuonewa huruma.
 
Mwarabu-koko Endelea kuteseka na Taifa teule la Israel.
Unatumia Computer na Simu bila kujua humo kuna vifaa vimetengenezwa nao!!

Waulize Iran walichokipata baada mess-up na Taifa teule walipoteza makamanda wao wakuu zaidi ya 600 na wakapoteza viongozi wao karibu wote akiwemo Gaidi Ayatollah Ali Khamenei.

Umeonyesha wazi ni jinsi gani umekuwa Brainwashed na waarabu nakujengewa chuki za kijinga dhidi ya Wayahudi!!!
Hujui chochote we kichaa na msukule wa kizayuni...
Maendelep ya sayansi na teknolojia ni juhudi za kimataifa kutoka kwa mataifa na tamaduni mbalimbali, makabila na race mbalimbali, huu ndio ujinga ninaosema hapa kwamba hao wazayuni hujiweka mbele kwenye kila jambo, hudanganya watu wao wana akili sana... na wamefanikiwa kukulisha na ku install ujinga kichwani mwako...

Nani kakuambia mimi ni mwarabu?

Wananchi wa US na EU wanaopinga wanachofanya Israel nao ni waarabu? Wanajeshi wa US waliokataa kwenda kufa kisa kuipigania Israel nao ni waarabu?

Wewe ndiye mfano bora kabisa wa mwananchi wa Israel... kwanini ukipewa uraia huko?

Israel imefanikiwa kukulisha matango pori, hivi sasa hata wazungu wameshtuka kwamba Israel ni taifa lenye wajinga wengi wanaoendeshwa na imani potofu...
 
Wananchi wengi wa Israel hawana tofauti na wafuasi wa yale makanisa ya kiroho.

Ambapo mchungaji ananunua kitambaa cha Tsh 500 au maji , au hata tunda, anauza kwa faida ya mara 10 ama 20 kwa kigezo ameombea hio bidhaa....

Wananchi wa Israel wanadanganywa na wanasiasa kama Netanyahu na genge lake, kwa misingi ya udini, historia na asili yao.

Viongozi hawa kwa kufahamu Wananchi wale uwezo wao ni mdogo wa kufikiri, basi huwaaminisha na kuwalisha ujinga.

Huwapandikizia chuki dhidi ya race zingine, huwaaminisha wao ni superior, wao hawashindwi vita, wao ni choosen one, wao ni watoto wa Mungu na binadamu wengine ni takataka.. wao wanapaswa kuendesha na kuwa juu ya wengine... wao wana haki ya kuua race zingine...

Hapo Netanyahu hujiona yeye ni kama King David(Mfalme Daudi) ambae ameletwa duniani kuifanya kazi ya Mungu...

Huo ndio ujinga wanasiasa wa Israel karibu wote huwalisha wananchi wa Israel...

Ukichunguza hawa watu utagundua wana ugonjwa wa akili...

Mimi nimefuatilia sana kwa ukaribu hawa walevi, Wazayuni ni wajinga kuliko ambavyo unaweza kudhani...

Ukiwa kwenye siasa za Israel, waambie kuhusu nchi ya ahadi, waambie mnavamia nchi nyingine kurudisha ardhi ambayo ilikuwa ya babu zao waliacha miaka 3000 iliyopita... utaungwa mkono kwa asilimia zote....

Waambie watu flani wanawachukia kwa sababu nyie mna akili, mmebarikiwa , mlikuwa dola kubwa na mlotawala dunia, mnachukiwa kwa sababu ninyi ni superior...

Huo ndio upuuzi na ujinga wananchi wazayuni wa Israel hupenda kusikia....

Tazama mfano huu uchaguzi, Netanyahu anazungumzia vyama vya kiarabu as if wale si waIsrael, yaani mambo ya ajabu kabisa... yaliyopitwa na wakati..

Gadi Eisenkot na Netanyahu wote ni wazayuni na walisema mwanzoni hawatojiunga na vyama vya kiarabu...

Nimefuatilia maisha ndani ya Israel, hakuna tofauti na apartheid iliyokuwepo South Africa...

Israel jamii za waarabu zinabaguliwa, ni marufuku kufika maeneo fulani ama miji fulani, na hadi ufike umepita checkpoints nyingi sana za ulinzi...

Waarabu kurekebisha nyumba hata dirisha ama paa ni lazima upate ruhusa maalumu kutoka serikalini..

Ni jamii inayotengwa kwa huduma za kijamii na hata ushirikiano wa mambo mengine...

US ,South Africa, Ulaya n.k kulikuwa kwenye masuala ya kibaguzi kama hayo na imani potofu karne ya 19 na 20, ajabu hayo yapo Israel leo hii...

Imagine Netanyahu leo analalamika kwanini waarabu wamepiga sana kura, huyo ni kiongozi wa nchi...

US kuna asili ya watu wote, lakini ni Wamarekani, wanapiga kura na wana haki zote za kikatiba... US kuna waislamu pia...

Iran kuna wayahudi na wana synagogues zao za kuabudu...

Israel ndio nchi ina watu wana uwezo mdogo mno wa kufikiri...
Kwamba uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko hata sisi watanzania
 
Hivi karibuni wamefanya uovu mkubwa ambao umepelekea hadi Mashirika ya Kikataifa , Mashirika ya haki za binadamu kushindwa kuwatetea...

Wayahudi ndani Ya US wengi wao wamekataa kile kinachofanywa na Israel... wamejitoa... nimetazama interviews nyingi sana... hata zile nchi za Ulaya walikuwa wakiwaunga mkono wameona aibu kuwa support..

Hata ndani ya Israel baadhi ya wenye akili wameshtuka na kuona walikuwa usingizini..


Ukitaka kuamini hilo tazama Netanyahu alivyoshuka kiushawishi... Netanyahu ilipaswa apite moja kwa moja... Badala yake kakosa kabisa vigezo vya kuwa PM..

Kingine hawa wazayuni ni waongo mno, halafu hupenda kuonekana wao ni wahanga hata kama wao ndio wanaumiza wengine...

Wananchi wa Israel ambao ni Wazayuni hawatofautiani uwezo wa kufikiri na wafuasi wa makanisa ya kiroho haswa kmakanisa ya kitapeli...

Sidhani kama umefanya utafiti wako kiweledi, labda ulitanguliwa kidogo na chuki dhidi ya hao Wayahudi, hivyo ukishindwa kuyaona mapungufu ya hivyo hivyo kwa jamii nyingine.

Hapo Mashariki ya kati, Waarabu pia hujiona wao ni watu zaidi kuliko watu weusi. Unafahamu buwa wanawaitaje watu weusi? Waarabu huwa wanawaita watu weusi 'watwana':
Arabs call black people Watwana meaning Historically, terms like mtwana or abed (Arabic for slave) have been racialized in parts of the Arab to equate Black skin or sub-Saharan African descent with chattel slavery.
Ukienda huko India, nako mtu mweusi anaonekana kama ni laana. Ole itokee uwe na mahusiano ya kimapenzi na binti wa kihindi, na bahati mbaya akapata ujauzito, wapo tayari hata kumwua. Wakimhurumia, wanamtenga kabisa, na mzazi wake anatengwa, na huyo mzazi akitaka kupata msamaha, atatakiwa kumtenga huyo binti, ajifante hajawahi kuwa na mtoto huyo.

Kiuhalisia ubaguzi haupo kwa Wayahudi pekee, kuna jamii nyingi, kama Waarabu na wahindi ni wabaguzi wa hali ya juu. Waarabu hawamwoni mtu mweusi ni mwanadamu kama wao, ndiyo walimwuza kama ng'ombe, kitu ambacho hawakuwahi kufanya kwa mtu wa jamii nyingine yoyote. Hata hapo China, mtu mweusi anabaguliwa sana.

Kusema eti Wayahudi hawana akili! Hapo tena umegeuka kuwa mropokaji wa ajabu! Wataalam wa masuala ya akili, wanawataja Wayahudi kuwa ndiyo jamii zenye Highest IQ, na ndiyo maana gunduzi nyingi za Kisayansi Duniani zimefanywa na Wayahudi. Hilo la ubaguzi ni kweli lakini kwenye akili, hapo umeropoka vibaya sana!!
Soma hapa:

Studies suggest that Ashkenazi Jews have a higher average IQ (often cited between 108 and 115) compared to global averages, and they are statistically overrepresented in fields like science, literature, and among Nobel Prize winners.
 
wayahudi hiyo ndo nature yao,ni wabaguzi,na hata dini yao ndo maana haihubiliwi,wao dini ni yao peke yao,wala hawana shida yakumhubilia mtu kama zile dini za wazungu na waarabu,hata ukute myahudi mwanasayansi wana akili hizo hizo kuachia myahudi Albert Eistein ndo myahudi maarifu aliekataa kuitambua seriksli ya israel,na walimpa hadi uwaziri mkuu akakataa
Ni wapenda sifa na watu wa kujikweza...

Imagine inachofanya South Korea,Japan ama China leo kwa zile Tech ndipo Israel ingalikuwa inafanya, aisee sijui ingekuwaje..

Watu wenye akili wameshashtuka ujinga wa hao wazayuni...
 
Tayari umeanza kuwayawaya!!
Kwa kuanza kuwatenganisha kati ya Wayahudi na wazayuni endelea kuteseka na eayahudi!!
Si kila muyahudi ni Mzayuni uwe na akili timamu basi viongozi waarabu wa Dubai na saudia ni wazayuni lakini si wayahudi, kuna wayahudi takribani milioni 2+ ndani ya IRANI lakini si wazayuni kama kina hegseth
 
Sawa, tuchambue hoja zako moja moja kwa ukweli uliopo, bila kupamba.

Ili iwe rahisi, nimezigawa katika KWELI, NUSU KWELI, na SI KWELI.

YALIYO KWELI AU KARIBU NA UKWELI:

1. Netanyahu alilalamika Waarabu wanapiga kura sana.
Kweli. Machi 2015 alisema "Harakati za Kiarabu zinaenda kwa wingi kwenye vituo vya kura". Alikiri baadaye na kuomba msamaha. Hata Obama alimkosoa wakati huo.

2. Waarabu kupata kibali cha ujenzi ni ngumu.
Kweli. Hii ndio malalamiko namba 1 ya miji ya Kiarabu ndani ya Israel kama Umm al-Fahm na Sakhnin. Serikali za mitaa za Kiarabu zina mpango miji ya zamani sana, kwa hiyo nyumba nyingi zinajengwa bila kibali na zinabomolewa. Mashirika ya Israel yenyewe kama Adalah yamesema mfumo wa kupanga miji unabagua.

3. Wanasiasa hutumia dini na historia kupata kura.
Kweli. Sio Israel tu, ni dunia nzima. Mrengo wa kulia wa kidini Israel unatumia hoja ya "Eretz Yisrael HaShlema - Ardhi Takatifu Kamili" na "Am Nivchar - Taifa Teule" kama kampeni. Ni itikadi yao ya wazi.

YALIYO NUSU KWELI - YAPO LAKINI UMEYAKUZA:

4. "Hakuna tofauti na Apartheid ya South Africa, Waarabu hawaruhusiwi kuingia maeneo fulani"
Nusu kweli. Ndani ya mipaka ya Israel ya 1948 (Tel Aviv, Haifa, Jaffa), Waarabu na Wayahudi wanaishi mtaa mmoja, hospitali moja, basi moja, hakuna sheria inayokataza Mwarabu kuingia mji.

Apartheid inayozungumziwa na mashirika kama Amnesty na Human Rights Watch inahusu hasa Ukingo wa Magharibi (West Bank) - huko ndipo kuna miji ya Wayahudi pekee, barabara za Wayahudi pekee, na checkpoints mamia. Watu wengi huchanganya Israel na West Bank, ndio inakuletea picha hiyo.

5. "Viongozi wote wa Israel ni wazayuni, Eisenkot na Netanyahu ni sawa"
Nusu kweli. Wote ni Wazayuni kwa maana ya kuamini Israel ibaki kama taifa la Kiyahudi, 95% ya Wayahudi wa Israel ni Wazayuni. Tofauti yao ni aina ya Uzayuni. Eisenkot ni Uzayuni wa kidunia na wa kati, anataka suluhu ya mataifa mawili. Netanyahu na Smotrich ni Uzayuni wa kidini na wa kulia, hawataki taifa la Palestina.

YALIYO SI KWELI AU NI CHUKI TU, SIO UCHAMBUZI:

6. "Waisraeli wana ugonjwa wa akili, uwezo mdogo wa kufikiri, wajinga kuliko unavyodhani"
Si kweli. Hii ni matusi, sio hoja. Israel ina moja ya viwango vya juu zaidi vya elimu ya juu duniani, vyuo vyake kama Technion viko Top 100 dunia. Kama watu wangekuwa wajinga, wasingeweza kutengeneza teknolojia ambayo hata Marekani inanunua. Unaweza kukosoa itikadi bila kutukana akili ya watu wote.

7. "Netanyahu anajiona kama Mfalme Daudi aliyetumwa na Mungu kuua makabila mengine"
Si kweli. Netanyahu ni mtu wa siasa sana, anajulikana kama mtu asiye na dini sana binafsi (secular), lakini anatumia dini ya wengine kupata kura. Hajawahi kusema yeye ni Mfalme Daudi. Anajiona kama "Mr. Security" - mlinzi wa usalama, sio nabii.

8. "Wanafundishwa wao wana haki ya kuua race zingine, binadamu wengine ni takataka"
Si kweli kama sera ya serikali au dini. Uyahudi kama dini unafundisha "Kila mtu ameumbwa kwa sura ya Mungu". Wapo makundi madogo ya itikadi kali kama Kahanists wanaosema hivyo, lakini ni kundi dogo lililopigwa marufuku mara kadhaa na Mahakama ya Israel yenyewe.

Hitimisho fupi:

Ukweli wa msingi katika ulichoandika ni huu: Siasa za Israel kwa sasa zimeegemea sana kulia, hutumia sana historia na dini, na Waarabu raia wanabaguliwa kimfumo katika ardhi na bajeti.

Uongo ulio ndani ni huu: Kudhani Waisraeli wote ni kundi moja la watu wasiofikiri na wenye chuki ya kurithi. Ndani ya Israel yenyewe kuna mapambano makali kati ya watu wanaotaka Israel iwe taifa la kidemokrasia la watu wote, na watu wanaotaka iwe taifa la kidini la Wayahudi pekee.
 
Ukianza kuingiza hisia kwenye uelewa wako laazima uonekane fala.

UKISOMA ULICHOKIANDIKA KUNA KITU UTAELEWA!!!
 
Ujue ni "wayahudi" ndio watu wenye akili duniani. Vitabu vyote vya sayansi ni wao, formula nyingi za kisayansi ni wao. Mahali popote penye maendeleo ya kiteknologia ujue kuna damu ya kiyahudi. Wanaamini kulingana na jadi yao.
Na huu ndio ujinga ambao wamefanikiwa kuingiza kwenye vichwa vya watu wengi...

Unaweza kuniambia kwanini China, South Korea ama Japan imewapita mbali sana kimaendeleo..

Pili elewa wayahudi na wazayuni... Hao Wazayuni wa kiyahudi ndio wajinga wa mwisho..

Hata muha wa Kigoma anaweza kuwa mzayuni endapo anaamini story za nchi ya ahadi.. mfano ni huyo mzayuni wa kiha anayeitwa Echolima1 .

Kuna wayahudi mpaka Ethiopia, uyahudi ni dini na inaweza pia kuwa ethnicity...

Kondoo wengi wa makanisa ya kitapeli huamini masuala ya nchi ya ahadi...
 
Sure, na ukitaka kugombana na mlokole yeyote basi ponda chochote kuihusu Israel... Ndipo unaelewa kwamba akili zao zipo sawa...

Utofauti ni kwamba Wazayuni wa kiyahudi hawawakubali walokole, huwatemea mate na kuona wana imani potofu ya kidini...

Na hao wachungaji wa makanisa ya kitapeli huwauzia mchanga wafuasi wao waki brand mchanga huo umetoka Israel kwenye nchi takatifu... aisee inasikitisha sana...

Bitter truth...
Na ukitaka ukosane na Wafuga midevu na majini wewe sema kweli kuhusu Israel na wayahudi Waarabu-koko watakutukana sana na kukuita mjnga!!
Kwani walokole wanaponunua hayo maji,mchanga na mafuta wanatumia pesa zenu ninyi Waarabu-koko? Mbona walokole hawasemi mnapompiga mawe shetani fake huko Mecca? Mbona kuna ujinga mwingi tu kwenye dini yenu na wakristo hawasemi?

Najua unatumika tu kama Condoms ili kulichafua Taifa teule la Israel lakini naamini utaangukia pua tu!! Waarabu wenyewe huko wameshindwa sembuse wewe Mbulu-Kenge unayetumiwa tu na waarabu?
 
HObnnecWkAA4epA.jpg
 
Wametekwa kifikra na wazayuni, Mzayuni alitaka ushawishi middle east akamtumia muyahudi kuingia pale na sasa anachokileta ni uharibifu huo ni jamii hatari tangu mwanzo wao wnaungana na jamii ovu ndio waga tabia zao waliungana na warumi kipindi ni washenzi, wakaunganana muingereza na sasa wako na Mzayuni Lengo middle east isitulie na dunia kwa ujumla ni watu evil usipime. Kila kinachoendelea katika dunia hiii wana jicho lao na mkono wao tamaa ya mali ya ushetani na kuvuruga dini zingine wao waonekane ni bora,

Biblia wamevuruga, kitabu chao wenyewe torauti wamevuruga wakareplace na Talmud, hadithi za uislamu pia wamepitisha yao yaani ni watu taflani sana na wako pale kwakuwa wamemshika sharubu kubwa jinga US, lasivyo muajemi angeshawafutilia mbali
Mkuu umeelezea vizuri sana.


Wazayuni ndio wanawaharibia wayahudi, kuna wayahudi safi lakini wazayuni wa kiyahudi ni hatari kwa hii dunia...
 
Kwamba uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko hata sisi watanzania
Exactly...
Unaweza kuwa na akili ... lakini once unapoingia kwenye imani potofu.. wewe uuna akili unakuwa mjinga...

Unakuta mtu anaumwa serious, anapelekwa kuombewa... Huu ni ujinga.. na ndicho nasema hapa...
 
Hujui chochote we kichaa na msukule wa kizayuni...
Maendelep ya sayansi na teknolojia ni juhudi za kimataifa kutoka kwa mataifa na tamaduni mbalimbali, makabila na race mbalimbali, huu ndio ujinga ninaosema hapa kwamba hao wazayuni hujiweka mbele kwenye kila jambo, hudanganya watu wao wana akili sana... na wamefanikiwa kukulisha na ku install ujinga kichwani mwako...

Nani kakuambia mimi ni mwarabu?

Wananchi wa US na EU wanaopinga wanachofanya Israel nao ni waarabu? Wanajeshi wa US waliokataa kwenda kufa kisa kuipigania Israel nao ni waarabu?

Wewe ndiye mfano bora kabisa wa mwananchi wa Israel... kwanini ukipewa uraia huko?

Israel imefanikiwa kukulisha matango pori, hivi sasa hata wazungu wameshtuka kwamba Israel ni taifa lenye wajinga wengi wanaoendeshwa na imani potofu...
Israel ni Taifa teule waarabu wamenyooshwa na wataendelea kunyooshwa mpaka waache ugaidi wao kwa Israel.

Najua wewe si Mwarabu lak8ni unatumika kama Condom na waarabu kubeba agenda yao ya chuki kwa Wayahudi baada ya wao kushindwa kila vita wanayoianzisha na Israel.

Wewe unatumika tu kueneza Propaganda za chuki dhidi ya Israel na Wayahudi kwa ujumla kitu ambacho kwa vyovyote utaangukia Pua tu
 
Back
Top Bottom