Duniani kote nadhani Israel ndio nchi yenye watu/wananchi wenye uelewa mdogo zaidi

Ni watu wajinga sana. Nadhani warokore walikopi na kupesti mambo ya hovyo kutoka kule.
Sure, na ukitaka kugombana na mlokole yeyote basi ponda chochote kuihusu Israel... Ndipo unaelewa kwamba akili zao zipo sawa...

Utofauti ni kwamba Wazayuni wa kiyahudi hawawakubali walokole, huwatemea mate na kuona wana imani potofu ya kidini...

Na hao wachungaji wa makanisa ya kitapeli huwauzia mchanga wafuasi wao waki brand mchanga huo umetoka Israel kwenye nchi takatifu... aisee inasikitisha sana...

Bitter truth...
 
Walokole wanapaswa kuonewa huruma.
 
Hujui chochote we kichaa na msukule wa kizayuni...
Maendelep ya sayansi na teknolojia ni juhudi za kimataifa kutoka kwa mataifa na tamaduni mbalimbali, makabila na race mbalimbali, huu ndio ujinga ninaosema hapa kwamba hao wazayuni hujiweka mbele kwenye kila jambo, hudanganya watu wao wana akili sana... na wamefanikiwa kukulisha na ku install ujinga kichwani mwako...

Nani kakuambia mimi ni mwarabu?

Wananchi wa US na EU wanaopinga wanachofanya Israel nao ni waarabu? Wanajeshi wa US waliokataa kwenda kufa kisa kuipigania Israel nao ni waarabu?

Wewe ndiye mfano bora kabisa wa mwananchi wa Israel... kwanini ukipewa uraia huko?

Israel imefanikiwa kukulisha matango pori, hivi sasa hata wazungu wameshtuka kwamba Israel ni taifa lenye wajinga wengi wanaoendeshwa na imani potofu...
 
Kwamba uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko hata sisi watanzania
 

Sidhani kama umefanya utafiti wako kiweledi, labda ulitanguliwa kidogo na chuki dhidi ya hao Wayahudi, hivyo ukishindwa kuyaona mapungufu ya hivyo hivyo kwa jamii nyingine.

Hapo Mashariki ya kati, Waarabu pia hujiona wao ni watu zaidi kuliko watu weusi. Unafahamu buwa wanawaitaje watu weusi? Waarabu huwa wanawaita watu weusi 'watwana':
Arabs call black people Watwana meaning Historically, terms like mtwana or abed (Arabic for slave) have been racialized in parts of the Arab to equate Black skin or sub-Saharan African descent with chattel slavery.
Ukienda huko India, nako mtu mweusi anaonekana kama ni laana. Ole itokee uwe na mahusiano ya kimapenzi na binti wa kihindi, na bahati mbaya akapata ujauzito, wapo tayari hata kumwua. Wakimhurumia, wanamtenga kabisa, na mzazi wake anatengwa, na huyo mzazi akitaka kupata msamaha, atatakiwa kumtenga huyo binti, ajifante hajawahi kuwa na mtoto huyo.

Kiuhalisia ubaguzi haupo kwa Wayahudi pekee, kuna jamii nyingi, kama Waarabu na wahindi ni wabaguzi wa hali ya juu. Waarabu hawamwoni mtu mweusi ni mwanadamu kama wao, ndiyo walimwuza kama ng'ombe, kitu ambacho hawakuwahi kufanya kwa mtu wa jamii nyingine yoyote. Hata hapo China, mtu mweusi anabaguliwa sana.

Kusema eti Wayahudi hawana akili! Hapo tena umegeuka kuwa mropokaji wa ajabu! Wataalam wa masuala ya akili, wanawataja Wayahudi kuwa ndiyo jamii zenye Highest IQ, na ndiyo maana gunduzi nyingi za Kisayansi Duniani zimefanywa na Wayahudi. Hilo la ubaguzi ni kweli lakini kwenye akili, hapo umeropoka vibaya sana!!
Soma hapa:

Studies suggest that Ashkenazi Jews have a higher average IQ (often cited between 108 and 115) compared to global averages, and they are statistically overrepresented in fields like science, literature, and among Nobel Prize winners.
 
Wazayuni ni jamii ya hovyo mno, ukiona yanavyopayuka kwenye mitandao, wanaodai ni wateule mpaka wanazizima
Wengi wao ni mapapai. Wazayuni wa bongo hupendelea kujamiiana nyuma ya kanisa siku za mkesha.
 
Ni wapenda sifa na watu wa kujikweza...

Imagine inachofanya South Korea,Japan ama China leo kwa zile Tech ndipo Israel ingalikuwa inafanya, aisee sijui ingekuwaje..

Watu wenye akili wameshashtuka ujinga wa hao wazayuni...
 
Tayari umeanza kuwayawaya!!
Kwa kuanza kuwatenganisha kati ya Wayahudi na wazayuni endelea kuteseka na eayahudi!!
Si kila muyahudi ni Mzayuni uwe na akili timamu basi viongozi waarabu wa Dubai na saudia ni wazayuni lakini si wayahudi, kuna wayahudi takribani milioni 2+ ndani ya IRANI lakini si wazayuni kama kina hegseth
 
Sawa, tuchambue hoja zako moja moja kwa ukweli uliopo, bila kupamba.

Ili iwe rahisi, nimezigawa katika KWELI, NUSU KWELI, na SI KWELI.

YALIYO KWELI AU KARIBU NA UKWELI:

1. Netanyahu alilalamika Waarabu wanapiga kura sana.
Kweli. Machi 2015 alisema "Harakati za Kiarabu zinaenda kwa wingi kwenye vituo vya kura". Alikiri baadaye na kuomba msamaha. Hata Obama alimkosoa wakati huo.

2. Waarabu kupata kibali cha ujenzi ni ngumu.
Kweli. Hii ndio malalamiko namba 1 ya miji ya Kiarabu ndani ya Israel kama Umm al-Fahm na Sakhnin. Serikali za mitaa za Kiarabu zina mpango miji ya zamani sana, kwa hiyo nyumba nyingi zinajengwa bila kibali na zinabomolewa. Mashirika ya Israel yenyewe kama Adalah yamesema mfumo wa kupanga miji unabagua.

3. Wanasiasa hutumia dini na historia kupata kura.
Kweli. Sio Israel tu, ni dunia nzima. Mrengo wa kulia wa kidini Israel unatumia hoja ya "Eretz Yisrael HaShlema - Ardhi Takatifu Kamili" na "Am Nivchar - Taifa Teule" kama kampeni. Ni itikadi yao ya wazi.

YALIYO NUSU KWELI - YAPO LAKINI UMEYAKUZA:

4. "Hakuna tofauti na Apartheid ya South Africa, Waarabu hawaruhusiwi kuingia maeneo fulani"
Nusu kweli. Ndani ya mipaka ya Israel ya 1948 (Tel Aviv, Haifa, Jaffa), Waarabu na Wayahudi wanaishi mtaa mmoja, hospitali moja, basi moja, hakuna sheria inayokataza Mwarabu kuingia mji.

Apartheid inayozungumziwa na mashirika kama Amnesty na Human Rights Watch inahusu hasa Ukingo wa Magharibi (West Bank) - huko ndipo kuna miji ya Wayahudi pekee, barabara za Wayahudi pekee, na checkpoints mamia. Watu wengi huchanganya Israel na West Bank, ndio inakuletea picha hiyo.

5. "Viongozi wote wa Israel ni wazayuni, Eisenkot na Netanyahu ni sawa"
Nusu kweli. Wote ni Wazayuni kwa maana ya kuamini Israel ibaki kama taifa la Kiyahudi, 95% ya Wayahudi wa Israel ni Wazayuni. Tofauti yao ni aina ya Uzayuni. Eisenkot ni Uzayuni wa kidunia na wa kati, anataka suluhu ya mataifa mawili. Netanyahu na Smotrich ni Uzayuni wa kidini na wa kulia, hawataki taifa la Palestina.

YALIYO SI KWELI AU NI CHUKI TU, SIO UCHAMBUZI:

6. "Waisraeli wana ugonjwa wa akili, uwezo mdogo wa kufikiri, wajinga kuliko unavyodhani"
Si kweli. Hii ni matusi, sio hoja. Israel ina moja ya viwango vya juu zaidi vya elimu ya juu duniani, vyuo vyake kama Technion viko Top 100 dunia. Kama watu wangekuwa wajinga, wasingeweza kutengeneza teknolojia ambayo hata Marekani inanunua. Unaweza kukosoa itikadi bila kutukana akili ya watu wote.

7. "Netanyahu anajiona kama Mfalme Daudi aliyetumwa na Mungu kuua makabila mengine"
Si kweli. Netanyahu ni mtu wa siasa sana, anajulikana kama mtu asiye na dini sana binafsi (secular), lakini anatumia dini ya wengine kupata kura. Hajawahi kusema yeye ni Mfalme Daudi. Anajiona kama "Mr. Security" - mlinzi wa usalama, sio nabii.

8. "Wanafundishwa wao wana haki ya kuua race zingine, binadamu wengine ni takataka"
Si kweli kama sera ya serikali au dini. Uyahudi kama dini unafundisha "Kila mtu ameumbwa kwa sura ya Mungu". Wapo makundi madogo ya itikadi kali kama Kahanists wanaosema hivyo, lakini ni kundi dogo lililopigwa marufuku mara kadhaa na Mahakama ya Israel yenyewe.

Hitimisho fupi:

Ukweli wa msingi katika ulichoandika ni huu: Siasa za Israel kwa sasa zimeegemea sana kulia, hutumia sana historia na dini, na Waarabu raia wanabaguliwa kimfumo katika ardhi na bajeti.

Uongo ulio ndani ni huu: Kudhani Waisraeli wote ni kundi moja la watu wasiofikiri na wenye chuki ya kurithi. Ndani ya Israel yenyewe kuna mapambano makali kati ya watu wanaotaka Israel iwe taifa la kidemokrasia la watu wote, na watu wanaotaka iwe taifa la kidini la Wayahudi pekee.
 
Ukianza kuingiza hisia kwenye uelewa wako laazima uonekane fala.

UKISOMA ULICHOKIANDIKA KUNA KITU UTAELEWA!!!
 
Ujue ni "wayahudi" ndio watu wenye akili duniani. Vitabu vyote vya sayansi ni wao, formula nyingi za kisayansi ni wao. Mahali popote penye maendeleo ya kiteknologia ujue kuna damu ya kiyahudi. Wanaamini kulingana na jadi yao.
Na huu ndio ujinga ambao wamefanikiwa kuingiza kwenye vichwa vya watu wengi...

Unaweza kuniambia kwanini China, South Korea ama Japan imewapita mbali sana kimaendeleo..

Pili elewa wayahudi na wazayuni... Hao Wazayuni wa kiyahudi ndio wajinga wa mwisho..

Hata muha wa Kigoma anaweza kuwa mzayuni endapo anaamini story za nchi ya ahadi.. mfano ni huyo mzayuni wa kiha anayeitwa Echolima1 .

Kuna wayahudi mpaka Ethiopia, uyahudi ni dini na inaweza pia kuwa ethnicity...

Kondoo wengi wa makanisa ya kitapeli huamini masuala ya nchi ya ahadi...
 
Na ukitaka ukosane na Wafuga midevu na majini wewe sema kweli kuhusu Israel na wayahudi Waarabu-koko watakutukana sana na kukuita mjnga!!
Kwani walokole wanaponunua hayo maji,mchanga na mafuta wanatumia pesa zenu ninyi Waarabu-koko? Mbona walokole hawasemi mnapompiga mawe shetani fake huko Mecca? Mbona kuna ujinga mwingi tu kwenye dini yenu na wakristo hawasemi?

Najua unatumika tu kama Condoms ili kulichafua Taifa teule la Israel lakini naamini utaangukia pua tu!! Waarabu wenyewe huko wameshindwa sembuse wewe Mbulu-Kenge unayetumiwa tu na waarabu?
 
Mkuu umeelezea vizuri sana.


Wazayuni ndio wanawaharibia wayahudi, kuna wayahudi safi lakini wazayuni wa kiyahudi ni hatari kwa hii dunia...
 
Kwamba uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kuliko hata sisi watanzania
Exactly...
Unaweza kuwa na akili ... lakini once unapoingia kwenye imani potofu.. wewe uuna akili unakuwa mjinga...

Unakuta mtu anaumwa serious, anapelekwa kuombewa... Huu ni ujinga.. na ndicho nasema hapa...
 
Israel ni Taifa teule waarabu wamenyooshwa na wataendelea kunyooshwa mpaka waache ugaidi wao kwa Israel.

Najua wewe si Mwarabu lak8ni unatumika kama Condom na waarabu kubeba agenda yao ya chuki kwa Wayahudi baada ya wao kushindwa kila vita wanayoianzisha na Israel.

Wewe unatumika tu kueneza Propaganda za chuki dhidi ya Israel na Wayahudi kwa ujumla kitu ambacho kwa vyovyote utaangukia Pua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…