Duniani kote nadhani Israel ndio nchi yenye watu/wananchi wenye uelewa mdogo zaidi

Mkuu umeelezea vizuri sana.


Wazayuni ndio wanawaharibia wayahudi, kuna wayahudi safi lakini wazayuni wa kiyahudi ni hatari kwa hii dunia...
Ni ujinga na upumbavu kufikiri Wayahudi na wazayuni ni watu tofauti ni sawa na kuwatenganisha wayahudi na Wakristo ni wajinga na wapumbavu tu ndiyo wanaweza kudhani hivyo!!!

Kunachoendelea hapa ni chuki binafsi dhidi ya Wayahudi ambazo hazitafanikiwa kamwe!! Mara mia chuki hizi ungezipeleka misikitini kwenu huko ungeungwa mkono na masheikhe wenu!!
 
Watch your words,nchi unayoizungumzia ni nchi iliyobarikiwa na Bwana Mungu na jicho lake lipo kwenye nchi hiyo tangu mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wa mwaka,amesema kwenye neno lake nitambariki akubarikie na nitamlaani akulaanie,hivyo umepewa ubungo utumie vizuri kufanya maamuzi yako.
 
Wachina hawa wanaofanya umachinga Afrika ndio unasema wanaizidi Israel. Hivi wewe kweli unafahamu GDP income per capita ya Israel na ya China.

Sidhani kama kuna unachokifahamu hapo ni udini tu unakusumbua wakati dini yenyewe ni ya waarabu na wewe ni pagazi wao tu.
 
Mkuu,
Nakushauri usitukane imani za watu maana hata imani yako kuna watu hawaikubali lakini hawaitukani
Huyo najua amepandisha Majini yaje maana huyo ni mfuasi wa Wafuga Midevu na Majini hao jamaa kutukana imani za wengine kwao ni sawa tu!!
 
Mkuu,
Nakushauri usitukane imani za watu maana hata imani yako kuna watu hawaikubali lakini hawaitukani
Situkani bali nachangia mawazo huru..
Kwani yule kiboko ya wachawi si tapeli? yule Mungu mwanamke yupo kule Mwanza anajiita mfalme Zumaridi... na hao watu wana wafuasi ambao huwezi kuwaambia chochote kuhusu Wachungaji wao..
 
Tayari umeanza kuwayawaya!!
Kwa kuanza kuwatenganisha kati ya Wayahudi na wazayuni endelea kuteseka na eayahudi!!
Huelewi Uzayuni na Uyahudi...
Wewe ni mzayuni lakini si myahudi...

Mzayuni ni mtu anayeamini, ama mwanaharakati inapaswa kuanzishwa na kulinda taifa la Kiyahudi katika ardhi ya kihistoria ya Palestina...

Uzayuni ni itikadi ya kisiasa, si kila myahudi ni Mzayuni, na si kila Mzayuni ni Myahudi, ila kuna wayahudi ambao ni Wazayuni, ndio hao nazungumzia hapa kwamba ni wajinga sana akiwemo Netanyahu...

Wayahudi hata Iran wapo, ulishaona wanapigwa, wanabaguliwa? Wewe ni mjinga...
 
Mada kama hizi zinatakiwa ziletwe na mtu asie na vinasaba vya dini yoyote. Mtu neutro kabisa mwenye mawazo huru. Sijui mlengo watoa mada kama ni mdini au nae ni neutro
Upo sahihi kabisa. Ila mtoa mada si mtu 'nyutro', ni kobazi mzuri sana
 
Situkani bali nachangia mawazo huru..
Kwani yule kiboko ya wachawi si tapeli? yule Mungu mwanamke yupo kule Mwanza anajiita mfalme Zumaridi... na hao watu wana wafuasi ambao huwezi kuwaambia chochote kuhusu Wachungaji wao..
Kuna vikundi ya 20 vyo kiislamu na vyote ni vya Kigaidi vikiwemo Al quida na ISIL na vyote vina wafuasi duniani kote mbona sisi hatusemi?

Chuki zako ulizomezeshwa na waarabu zinakutesa sana na usipoangalia utaokota makopo tu!!
 
mtoa mada anatokea tanzania na anasapoti CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…