GE2025 Duniani kote wenye Mamlaka ya mwisho juu ya Nchi yao huwa wananchi

GE2025 Duniani kote wenye Mamlaka ya mwisho juu ya Nchi yao huwa wananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Mamlaka ya mwisho kabisa iko kwa wananchi siku wananchi wa Tanzania wakijitambua dharau za Viongozi zitaisha viongozi wamejaa dharau sana kudharau wananchi kuwaona kama takataka. Hiyo inatokana na wananchi kutojua kwamba wao ndo wenye mamlaka ya mwisho ya kuweza kuondoa yale yanayowaumiza ufisadi rushwa na uwajibikaji na mengineyo wananchi ndo wenye mamlaka ya mwisho kuweka viongozi wanaowataka kupitia sanduku la kura au maandamano. Wanaogopa mabadiliko ni walioshiba wezi mafisadi ndo wanaogopa mabadiliko Lakin maskini haogopi mabadiliko by JK Nyerere
 
Wanaogopa mabadiliko ni walioshiba wezi mafisadi ndo wanaogopa mabadiliko Lakin maskini haogopi mabadiliko by JK Nyerere
 
Serikali iache kudharau wananchi ndo hoja yangu iko hapo wananchi ndo wenye mamlaka ya mwisho siku wakiamua viongozi hawana cha kufanya kudharau watu kusema kifo ni kifo tu hizo ni dharau kuna siku watu watakimbia na bikini ule mwavuli wenu wa amani kuna siku utasombwa na kimbunga watu wameshajua amani ni nyie viongozi mle kwa amani bila kusumbuliwa hiyo ndo amani kwenu. Sasa hivi mnasema kupiga kura ni suala la kikatiba ndio linawasandia nyie kuendelea kula neema ya nchi Je vipi? Maandamano sio suala la kikatiba?
 
Back
Top Bottom