Duniani kuna kipi cha maana mpaka ushukuru wazazi kukuleta?

Wazazi nawashukuru tu kwa kunilea lakini kunileta duniani sina shukrani yoyote kwao.
 
Hizi stress zako tuu mkuu!

Probability of being you was 1 out 1.2 bilions number of sperm cells in a single ejaculation..

Unfortunately it happened to be you! Then why would you need to complain on the innocent parents?

I guess you are wrong..

Ila nina kaswali , ni kati ya baba na mama, ni nani mwenye huchukua maamuzi ya kwanza kuutengeneza/kuanzisha uhai/kiumbe duniani?
Yaani nani anayefanya maamuzi/tendo la kwanza kabisa ?
Kama tendo huanza na FIKRA, basi ni nani mwanzilishi wa mradi(uumbaji/uzalishaji/uhai)?
 
Out 40 million to 1.2B sperms.. moja au mbili ndizo zinazofanikiwa kutunga mimba au zero. Idadi ya mbegu zilizopotea ni nyingi kuliko maelezo... hapa ndio utaona tumezaliwa by chance lakin haupaswi kuleta upupu huu.
 
Out 40 million to 1.2B sperms.. moja au mbili ndizo zinazofanikiwa kutunga mimba au zero. Idadi ya mbegu zilizopotea ni nyingi kuliko maelezo... hapa ndio utaona tumezaliwa by chance lakin haupaswi kuleta upupu huu.
Tell them Max!
 
Hiki kitu hakuna muamuzi! Kila mmoja mmoja ana vital power ya kumua! Its something with mutual agreement
 
Earth is a classroom that brings about the Spiritual maturity of Soul, when its education is completed, It must decide for itself what belongs to the realm of timeless truth and what is merely a subterfuge - A shadow of truth !
 
Ila asilimia kubwa ni maisha magumu. Ila mama ni mtu muhimu wala sio wa kumhukumu tatizo ni baba ndo wanaongoza kwa kuwasaliti watoto wao na kumuachia mama mzigo mzito wa majukumu ndo hard life linazidi
 
Nimeitathimini hii mada kwa mda na umakini...... Kwakweli ni Mada Nzito.
Kukoment kwahitaji walau hao waliokataa kuzaliwa wachangie tupate ya upande wao then kieleweke...[emoji16] [emoji16] [emoji35] [emoji35]
Ambao bado hawajazaliwa wapo kwenye kiuno chako waulize
 
Allah anasema hakuwaumba watu na majini isipokuwa wamuabudu tu,maisha ya dunia ni upuuzi mtupu hoja ya kuwashukuru wazazi ni muhimu bcoz wangelitaka wangekutoa ukiwa mimba,
We shekh majini yanatokea wapi tena kwenye huu uzi
 
Hebu jibu hayo maswali Ili utuonyeshe kuwa maisha Ni meaningful
1- Mimi ni ROHO, mwenye nafsi ninaekaa kwenye nyumba iitwayo mwili. (Mimi sii huu mwili, bali ninakaa ndani ya huu mwili).
2- Nipo duniani kwa ajili ya kumtumikia Mungu( kwa KUSUDI la Mungu); mengine ni ziada tu. Mungu amenileta duniani ili uwepo wangu duniani uuathiri dunia yaani watu wapate kumjua Mungu kupitia Mimi.
3-Baada ya maisha haya, ni kuishi na Mungu milele - na huu ndio uitwao UZIMA WA MILELE.

Sijui wewe mwenzangu kama uko kama Mimi?
 
Sasa kabla ya kua roho ulikua nn na kama ni roho basi ukifa unarudi kua roho
 
Jitaidi usiwe na watoto ili uwe muarobaini wa matatizo yaliyo/yanayokupata kwa kuzaliwa bila kumtuma mtu akuzae kwa hiyo unajuta kuzaliwa na hivyo usiwazae wengine kwa sababu hawajakutuma au sio mjomba?

Usiwekeze kwenye kuzaa, wekeza kwenye nyumba , pesa nk
 
Sasa kabla ya kua roho ulikua nn na kama ni roho basi ukifa unarudi kua roho
Mimi sifi, ila kuna siku nitaondoka kwa kutoka katika huu mwili ambapo watu watasema nimekufa; ila ukweli ni kuwa nitakuwa nimeenda kukaa na babaangu wa mbinguni milele na milele.
 
Hamnaga probability kwenye sperm count kwa kuwa hata kama ingeingia nyengine still ungekuwa ww 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…