Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Gsm anapenda watu wanaofanana ndio maana kawachukua woteSEMA ALI KAMWE NA HUYO MSHKAJI NASHINDWA KUWATOFAUTISHA KABSA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pape Sakho na Israel Mwenda
Clotus Chama na Beno kakolanya
Haji manara na Zungu wa Buza
Nyie wanawake huwa sometime mna notice vitu ambavyo sisi wanaume hatupati muda wa ku notice kabisa.1. Ally kamwe na Privaldinho
View attachment 2619654
2. Beka Flava na Mayele
View attachment 2619652
Jamani khaaaKinyambe na Tuisila Kisinda View attachment 2619670View attachment 2619671View attachment 2619672View attachment 2619673
We ndo una matatizo,yeye anawaona wanafanana wewe unabishana nae ili upate ninUtakuwa una matatizo,hawa jamaa wapo tofauti kabisa hata hawafanani kama unavyotaka kutuaminiaha
Huu ni unyanyapaaπππππππManara na keisha
ππππKinyambe na Tuisila Kisinda View attachment 2619670View attachment 2619671View attachment 2619672View attachment 2619673