Duniani wawili wawili; Hawa ndio mastaa wanaofanana hapa Bongo

Duniani wawili wawili; Hawa ndio mastaa wanaofanana hapa Bongo

images.jpeg

images (1).jpeg
 
Utakuwa una matatizo,hawa jamaa wapo tofauti kabisa hata hawafanani kama unavyotaka kutuaminiaha
Hao nimeanza kumjua huyo Alikamwe kwa uso ila kwajina la Priva so ikawa nimeona Priva najua ni priva nikimuona Alikamwe najua Ni priva jina la Alikamwe nilikuwa silijui na wala kujua Kama watu wawili tofauti nilivyokuja kujua jina la alikwame ndio nikawa serious kujua what's is goes on ndio nikajua Kuna Priva anazo ndevu na Kuna Alikamwe hana ndevu

Jamaa wanafanaa ukiwa hauko makini mtu ambae hawajui ukimuonesha picha ya mmoja kapiga kwenye hio nembo ya yanga Kesho akaja kuona picha ya mwengine kwenye hio nembe atasema yule wa jana..
 
Back
Top Bottom