Duniani wawili wawili; Hawa ndio mastaa wanaofanana hapa Bongo

Duniani wawili wawili; Hawa ndio mastaa wanaofanana hapa Bongo

IMG_4100.png

Kuna uyu jamaa wa Sauti soul na Sandaland the only one
 
Wewe Popoma usifikiri hakuna asiye ifahamu hii ID yako humu jukwaani. Ushukuru tu Mods wanakulea. Na ndiyo maana huwa unajisikia poa tu kutukana watu hovyo.
Kati ya huyo sijui GENTAMYCINE na Mimi Mjuba Halisia MINOCYCLINE yupi ungependa hasa awe Mumeo na mpaka Umzalie?

Nasubiri jibu lako Kuntu tafadhali Ok?
 
Back
Top Bottom