Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Nataka Nape anitafute kama anaweza...nikiwa airtel alinisumbua sanaUna utani wa ngumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka Nape anitafute kama anaweza...nikiwa airtel alinisumbua sanaUna utani wa ngumi
Kwa mbali mnafanana kama asilimia 69Bila mimi na Kusah hapo uwongo.
Yaonyesha uko tayari hata kuwa Mkewe.
Hahahaaa nchiii hiii rahaaa.Kinyambe na Tuisila Kisinda View attachment 2619670View attachment 2619671View attachment 2619672View attachment 2619673
Pia kuna GENTAMYCINE na MINOCYCLINE!! Yaani hawa watu wanatenganishwa na Mods tu. Ila ukiwaona, ni copyright kabisa! 😃
Kati yao yupi ungependa awe Bwana wako wa Kudumu hasa badala ya Kupenda Kuwachanganya Wote?Pia kuna GENTAMYCINE na MINOCYCLINE!! Yaani hawa watu wanatenganishwa na Mods tu. Ila ukiwaona, ni copyright kabisa! 😃
Wewe Popoma usifikiri hakuna asiye ifahamu hii ID yako humu jukwaani. Ushukuru tu Mods wanakulea. Na ndiyo maana huwa unajisikia poa tu kutukana watu hovyo.Kati yao yupi ungependa awe Bwana wako wa Kudumu hasa badala ya Kupenda Kuwachanganya Wote?
Kati yao yupi ungependa awe Bwana wako wa Kudumu hasa badala ya Kupenda Kuwachanganya Wote?
mbona rahisi kuwatofautisha ally kamwe anapua kubwa na mdomo1. Ally Kamwe na Privaldinho
View attachment 2619654
2. Beka Flava na Mayele
View attachment 2619652
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Alikiba na bush man
Kati ya huyo sijui GENTAMYCINE na Mimi Mjuba Halisia MINOCYCLINE yupi ungependa hasa awe Mumeo na mpaka Umzalie?Wewe Popoma usifikiri hakuna asiye ifahamu hii ID yako humu jukwaani. Ushukuru tu Mods wanakulea. Na ndiyo maana huwa unajisikia poa tu kutukana watu hovyo.
Muda si mrefu tutakurejesha Lutindi. Inaonekana dishi limeshayumba tayari.Kati ya huyo sijui GENTAMYCINE na Mimi Mjuba Halisia MINOCYCLINE yupi ungependa hasa awe Mumeo na mpaka Umzalie?
Nasubiri jibu lako Kuntu tafadhali Ok?
Kwa mama kibongeeeBuza ipi mkuu?
Au kwa Mparange?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harmonise vs Hamo rapa
Betina (wa gazeti la sani) vs Tulia (spika wa bunge)