Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
you make my day!,hakika nimecheka sana,
He, kumbe watu wanaskizaga nyimbo wakati wa sex?!!! Bedroom kwangu hakuna redio:shut-mouth:
Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.
Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.
Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata
hubby umemwaga siri zetu hadharani! kwi kwi kwi, but nimechekaaaaaaa! kha, mume sina wallahi!Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.
Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.
Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata
nimejitahidi sana kuweka tafsida mkuu.dah! we mjamaa una matusi sana!
zamu hii tafuta mpenzi ambaye ni msanii/mwanamuziki ili awe anatunga wimbo na kukuimbia kabla hajatoa albamu.He, kumbe watu wanaskizaga nyimbo wakati wa sex?!!! Bedroom kwangu hakuna redio:shut-mouth:
kwani lazima redio? huna pc, sim, ipod, nk?...
Hizo mambo zinaishia sebuleni asee, chumbani ni sehem ya wawili tu, kama mood yenu inahitaji kurekebishwa na muziki basi kuna tatizo, mwanamke na mwanamume wanaopendana ni muziki tosha wanapokutana faragha !
imekaa vibaya, hii haijatulia, ...................
Ahsante sana, pamoja mkuuhahaaa!! mkuu kwanini mbona kawaida hivyo?
as much as you change, ndivyo unavyovuta attention unajua!
freak like me wa Adina howard
i need love wa LL cooJ
hizi hapa juu enzi za old school.
i wanna know wa Joe thomas
never gonna let you go faith Evans
unbelievable -Graig david
Tatoo wa Jordan sparks
Excel hapa binafsi nina ingizo jipya listi ya chini.
i need love wa LL cooJ
ukilala lala salama wa ''Sukari ya warembo''. ndio wimbo pekee ninaoukubali hapa bongo, ikiwa mtu ataniuliza swali kwa haraka. napenda , sauti. , beat, mistari