During sex: What is your favorite song to hear?

During sex: What is your favorite song to hear?

He, kumbe watu wanaskizaga nyimbo wakati wa sex?!!! Bedroom kwangu hakuna redio:shut-mouth:
 
Hahahahahahahaaaa!!! sikutegemea kucheka hivyi wewe Asprin kiboko.
 
Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.

Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.

Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata

Umenivunja mbavu! Na kikohozi changu nimekohoa mpaka basi....
 
Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.

Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.

Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata
hubby umemwaga siri zetu hadharani! kwi kwi kwi, but nimechekaaaaaaa! kha, mume sina wallahi!
 
He, kumbe watu wanaskizaga nyimbo wakati wa sex?!!! Bedroom kwangu hakuna redio:shut-mouth:
zamu hii tafuta mpenzi ambaye ni msanii/mwanamuziki ili awe anatunga wimbo na kukuimbia kabla hajatoa albamu.
 
kwani lazima redio? huna pc, sim, ipod, nk?...

Hizo mambo zinaishia sebuleni asee, chumbani ni sehem ya wawili tu, kama mood yenu inahitaji kurekebishwa na muziki basi kuna tatizo, mwanamke na mwanamume wanaopendana ni muziki tosha wanapokutana faragha !
 
freak like me wa Adina howard
i need love wa LL cooJ
hizi hapa juu enzi za old school.

i wanna know wa Joe thomas
never gonna let you go faith Evans
unbelievable -Graig david
Tatoo wa Jordan sparks
Excel hapa binafsi nina ingizo jipya listi ya chini.
i need love wa LL cooJ
ukilala lala salama wa ''Sukari ya warembo''. ndio wimbo pekee ninaoukubali hapa bongo, ikiwa mtu ataniuliza swali kwa haraka. napenda , sauti. , beat, mistari
 
Last edited by a moderator:
Hizo mambo zinaishia sebuleni asee, chumbani ni sehem ya wawili tu, kama mood yenu inahitaji kurekebishwa na muziki basi kuna tatizo, mwanamke na mwanamume wanaopendana ni muziki tosha wanapokutana faragha !

ah wapi! music is a good catalyst for lovers kuamshana hisia zao! inaongeza attention na mazingira yenye romance..

lakini kama wewe huamini hivyo, siwezi kukulazimisha mkuu...

do it the way you like... ili mradi tu usibughudhi wengine!!
 
freak like me wa Adina howard
i need love wa LL cooJ
hizi hapa juu enzi za old school.

i wanna know wa Joe thomas
never gonna let you go faith Evans
unbelievable -Graig david
Tatoo wa Jordan sparks
Excel hapa binafsi nina ingizo jipya listi ya chini.
i need love wa LL cooJ
ukilala lala salama wa ''Sukari ya warembo''. ndio wimbo pekee ninaoukubali hapa bongo, ikiwa mtu ataniuliza swali kwa haraka. napenda , sauti. , beat, mistari

mkuu aisee we noma aisee!! hii playlist sasa inakuwa inachezwa kila wiki ama kila baada ya siku tatu?

hauchoki nayo?
 
Back
Top Bottom