Duru za siasa: Bunge la Katiba, upotoshaji na kiwewe cha kuzinduka Tanganyika

Duru za siasa: Bunge la Katiba, upotoshaji na kiwewe cha kuzinduka Tanganyika

Navyofahamu mimi muswada hupelekwa bungeni ukajadiliwa na ukipita hupelekwa kwa rais kusainiwa ili kuwa sheria!
Ahaa, kamani hivyo, je ndivyo ilivyofanyika katika muungano wetu?
Nina uhakika umekimbia maswali yangu kwa kujua ukweli ulipo.

Huko nyuma umeninukuu nikisema uhalali wa muungano upo katika muda wa 50 tuliokaa pamoja, kisheria kuna walakini.
Ninasimama na maneno hayo kwasababu zile zile zilizokukimbiza usijibu hoja.

1. Muungano uliundwa na Nyerere na Karume. TANU au ASP hazikushirikishwa wala wananchi.
Hata mwanasheria mkuu wa znz marehemu Duarado akapewa likizo ya lazima.
Hakuna mahali kulifanyika kikao cha bunge iwe la Tangayika au baraza la mapinduzi kufikiria, kuridhia kujadili muungano kabla ya April 26 1964.

2. Kumbuka huu ni mkataba wa kuunganisha nchi na si wa madini unaoweza kusainiwa na Karamagi kwa mama ntilie, hivyo ilipaswa uwepo mfumo wa kuwashirikisha wananchi moja kwa moja au kupitia vyombo vingine.

Kilichotokea ni Muungano kufanyika kwanza hapo April 22-26 na kufuatiwa na 'decree' kabla ya bunge la muda na mpito kupitisha sheria za mkataba ule katika mambo kadha wa kadha ili kuuboresha.

Hii maana yake sheria 'ilisainiwa' kwanza halafu bunge likafuatilia 'kuboresha' sheria zinazohusiana na mkataba.
Kwa maneno yako, mswada hujadiliwa na kisha kuwa sheria baada ya kusainiwa.
Ukitazama mtiririko wa muungano utaona unakinzana na maneno yako.

Hivyo si mimi wa kufanya research kuthibitisha ukosefu wa uhalali, ni wewe ufanye research ya kuthibitisha uhalali wa muungano.
 
Mkuu wangu mimi simkimbii mtu hata kidogo kwa sababu nazungumza nalolifahamu na kama unalo jipya nitajifunza toka kwako. i

Kwanza nianze na Mchambuzi ambaye anataka kutuambia ya kwamba nchi koloni la Muingereza kama ilivyokuwa Pemba na Unguja chini ya Sultan walipounda Umoja wa muundo wa serikali ya Sultan basi itakuwa ndio muungano halali. Hii ina maana ni muungano uloanzishwa na Mkoloni tu ndio unapewa Uhalali hata kama chini ya mtawala Muingereza alounganisha makoloni yake ili kuyalinda ukaulinganishe na Muungano wa wananchi huru wa Tanganyika na Unguja kuwa sii halali kwa sababu tu walofanya makubaliano hayo ni Viongozi wa nchi.

Na nitasema ukweli pale napojiona sikuelewa ama sikuwa na UFAHAMU ya kwamba huko Australia, wananchi walishirikishwa kuunda Umoja wa nchi hiyo japo haya yalikuwa makoloni ya Muingereza hivyo sikuona haki wala uwezekano wowote wa mwananchi kupewa nafasi hiyo ila kwa amri ya Utawala wa Muingereza na kwa manufaa yake yeye kama walivyotugawa sisi huku Afrika.

Maadam katupa takwimu za kura za maoni ya wananchi sina budi kukubali kwamba hii ndio nchi ya kwanza mimi kusikia wananchi wameshirikishwa kutoa maoni yao juu ya Koloni walotawaliwa. Na hivi majuzi tu, Falkland walipopiga kura kukubali kuendelea kuwa koloni la Muingereza. Nitashukuru tu ikiwa mkuu Mchambuzi atanipa link ya hizo takwimu za maoni ya wananchi na sii kwa sababu napingana na hoja yake bali nijifunze zaidi.

Swala laMuungano wa Tanganyika na Zanzibar. Tatizo lenu mku wangu mnashindwa kufahamu ya kwamba palifanyika MAPINDUZI hivyo huwezi kusema mwanasheria mkuu wa Utawala wa Sultan ndiye mwenye dhamana ikiwa hakuna tena serikali, mahakama wala Bunge la Sultan linalotambuliwa na Utawala mpya. Na kama sikosei hata ktk chaguzi nyingi za marais nchi nyingi kila rais anayeingia madarakani huwachagua upya mwanasheria mkuu na mahakimu wake, bunge jipya na serikali mpya hivyo wewe unataka kunambia ni sababu zipi BLM walitakiwa kuendelea kumtumia mwanasheria mkuu wa Zanzibar ya Sultan.! Hivi wewe ukimuita mwanasheria kutoka Canada kusimamia kesi yako utakuwa sii halali kwa sababu yeye sio Mtanzania? Jamani mbona mnaishusha chini sana thamani ya Uanasheria kuwa sii ya Kimataifa!

Mlitaka vipi Nyerere na Karume wafanye? halafu mbona mnakubali ule Mkataba wa Madini wa Australia kuwa ndio Muungano halali lakini huu wetu wa kuunganisha nchi ambazo tayari watu wake walikwisha Ungana toka enzi kuwa sii halali. Hivi kweli wewe hujui ya kwamba WATU wa Tanganyika na Zanzibar walikwisha ungana kabla hata ya Muungano wenyewe? kilichofanyika 1964 ni kuchora upya mipaka ya nchi yetu ili kulinda haki miliki ya ardhi ya JMT. Hivi weli hamtumii elimu ya Udanganyifu (brain washed) wa mzungu kuamini wanayotaka nyie muamini?

Na hii sheria ya kuwa na taratibu fulani za kufuatwa ili Muungano uwe halali mmeupata wapi? na sheria hii iliandikwa na nani na kutambuliwa vipi ikiwa nyie wenyewe mmeweza kutuonyesha tofauti kubwa baina ya Muungano wa Auistaralia na ule wa USA. Australia wakiungana kupitia Amani, kura za wananchi na USA kwa mtutu wa bunduki?..je, Muungano wa Marekani nao sio Halali? Muungano wa UK nao sio Halali!

Unaposema hakuna mahala bunge la Tanganyika wala BLM la Zanzibar lilipitisha maridhiano ya Muungano huo una ushahidi gani maana mlisema hakuna hata Hati ya Muungano! mlipoonyeshwa mkadai ni feki sasa Original haswa inayoodhihirisha U fake wake mnayo! Wewe hii habari ya kwamba Nyerere na Karume walikaa wao na kuamua hivyo umeipata wapi ikiwa swala la kuunganisha nchi zetu halikuanza kuzungumziwa baada ya Mapinduzi bali toka vikao vingi vya nchi hizi hata yule Shamte alishiriki pamoja na majirani wetu.
 
Mkuu Mkandara,

Ubishi mwingine huwa hauna maana kabisa. Kwanini hautafiti kabla ya kujenga hoja halafu hapo hapo unasema wenginne (e.g Nguruvi3) hawatafiti?

Nilikuwa nakupa fursa uepuke aibu lakini kwa vile umekataa fursa hiyo, sawa.

Unachojaribu kufanya hapa ni kudanganya, na kama nilivyosema, umekuwa mtu wa "self fulfilling prophecy" katika hoja zako nyingi.

Mwaka 1898, kura za maoni zilipigwa juu ya "Commonwealth Constitution Bill", na zilipigwa makoloni ya:

*New South Wales
*South Australia
*Tasmania, na
*Victoria.

Katika kila koloni, majority walipiga kura ya "NDIO", lakini "new south wales", sheria ilitaka minimum ya kura za NDIO iwe ni kura 80,000. Hizi hazikupatikana new south wales.
Matokeo yalikuwa haya (raundi ya kwanza 1898): N for ndio, H for hapana:

New South Wales

71, 595 [Ndio]

66, 228 [Hapana]

South Australia

35,800 N

17,320 H

Tasmania

11,797 N

2,716 H

Victoria

100,520 N

22,090 H

Kufuatia hali hii (south wales kutofikia quota ya 80,000 za ndio), mabadiliko ya katiba yakapendekezwa na new south wales na sheria mpya ikatengua quota ya 80,000 na badala yake kuweka "simple majority." Then ikasema new south wales, na baadae makoloni yakapiga kura nyingine ya maoni mwaka 1899.

Matokeo ya Kura ya Maoni raundi ya pili mwaka 1899 yakawa kama ifuatavyo:

New South Wales

107,420 N

82,741 H

Queensland

38,488 N

30,996 H

South Australia

65,990 N

17,053 H

Tasmania

13,437 N

791 H

Victoria

152,653 N

9,805 H

Kufikia mwaka 1900, "Western Australia" walikuwa bado hawajapewa fursa ya kupiga kura ya maoni. Wakazi wake wakaana migomo na kutaka kujitenga. Ilipofika July 31, 1900, wakati "Commonwealth Constitution Bill" ilishakuwa imepitishwa na bunge la Uingereza, western australia wakapewa fursa ya kupiga kura ya maoni na majority wakaunga mkono "mfumo wa shirikisho." Matokeo ya kura ya maoni western australia mwaka 1900 yakawa kama ifuatavyo:

44,800 N

19,691 H

Ukitaka kwa asilimia, chukua calculator utapata jibu. Source zipo tovuti ya serikali ya Australia.

Na ukae ukijua kwamba maoni ya rasimu ya tume yetu were only "indicative", lakini mnalazimisha yawe "conclusive". Kwanini msiwe wavumilivu kusubiria kura ya maoni? Na tumeonyesha jinsi gani takwimu za tume zinaendana na zile za taasisi za utafiti kama vile afrobaromete na pia taasisi ya twaweza.

Mwisho - Usiwe unapotosha mambo mkuu for self fulfilling prophecy. Suala la katiba mpya ni nyeti na ni la wananchi. Naelewa kwamba wewe ni "conservative" kwani umekuwa ukijitambulisha wazi hivyo. With all due respect, mambo mengine muwe mnasoma alama za nyakati. Hivyo ndivyo tutaweza okoa muungano na taifa letu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu nitakurudia inapopaswa maana makubaliano ya Muundo wa Serikali kuunda shirikisho sio Muungano wa NCHI. Nadhani umeshasema ya kwamba pasipo serikali hakuna State na pasipo State hakuna serikali. Mimi nachoweza kusema tu ni kwamba serikali ni sehemu tu ya mihimili ya NCHI ni sawa na Utatu Mtakatifu hivyo huwezi sema muundo wa serikali ndio hu define NCHI. Sisi tunataka kubadilisha muundo wa serikali yetu ya JMT hii haina maana ndio kwanza tunaunda Muungano wa NCHI hii. Sidhani kama ni akili kusema NCHI 2 zimeungana ikiwa Mtawala wa nchi hizo ni yule yule isipokuwa kaunganisha serikali zake na kugawa mamlaka ya serikali hizo.

Nijuavyo mimi Australia ilikuwepo kama NCHI na makoloni ya Muingereza yenye serikali tofauti ktk uendeshaji shughuli zake chini ya Mfalme/Malkia wa UK. Maana UK inahusisha nchi huru na Makoloni yake hivyo walichofanya ni kutoka hatua ya Koloni kujipa Uhuru wa nchi hiyokubadilisha koti tu. Waliunganisha serikali za makoloni yake ili kuunda nguvu moja dhidi ya wageni wengine. Nikiwa na maana kabla ya mwaka 1898 Australia ilikuwepo ikitaliwa na Muingereza kwa makoloni yenye serikali zake na ilipofika mwaka 1898 Mkoloni aliunda EAC yao ikawa nchi na imebakia hadi leo. Ni swali zuri kujiuliza maana Hata South Afrika/Zimbabwe walipitia mitihani kama hiyo je kulikuwa na Uhalali wa miungano yao ya majimbo chini ya Muingereza?

Hiyo link nitaipitia na kama sikuipata nitakuomba unipe ili nipate kujifunza ktk hili.
 
Lakini unajua kwamba umekuwa unahamisha goli, na hii ni mara ya tatu: kwanza ulimuuliza Nguruvi3 alete mfano wa muungano wowote duniani ambao ulipitwa kwa kura ya maoni, tukaleta ushahidi wa australia mwaka 1898-1900 kama muungano wa kwanza duniani uliotokana na referendum. Baada ya kupewa ushahidi, ukahamia kwenye hoja kwamba australia haikuwa kura ya maoni iliyohusisha wananchi bali ilikuwa ni wabunge; nikakuwekea takwimu; sasa umehamishia goli kwingine - unajadili tofauti ya muungano na shirikisho, huku ukitofautisha pia serikali na state. Huku ni kujichanganya tu mkuu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Lakini unajua kwamba umekuwa unahamisha goli, na hii ni mara ya tatu: kwanza ulimuuliza Nguruvi3 alete mfano wa muungano wowote duniani ambao ulipitwa kwa kura ya maoni, tukaleta ushahidi wa australia mwaka 1898-1900 kama muungano wa kwanza duniani uliotokana na referendum. Baada ya kupewa ushahidi, ukahamia kwenye hoja kwamba australia haikuwa kura ya maoni iliyohusisha wananchi bali ilikuwa ni wabunge; nikakuwekea takwimu; sasa umehamishia goli kwingine - unajadili tofauti ya muungano na shirikisho, huku ukitofautisha pia serikali na state. Huku ni kujichanganya tu mkuu
Mchambuzi , umeongelea hoja muhimu sana ingawa hatuioni. Unaposema kuhamisha goli ina maana hii hapa chini kwa wale wasioelewa umezungumzia nini.

Mkandara;9473425]Utafitina nukuu ni vizuri uvitumie ktk ujenzi wa hoja zako. Ni Muungano wa nchi zipiulowahi kuwepo baada ya maridhiano ya wananchi!.
halafu Mkandara yule yule anasema
Mkandara;9355495]Nguruvi3,Ukinambia unaipinga katiba ya Zanzibar kwa sababu ilitokana na muafaka baibna ya CCM na CUF pasipo ridhaa ya wananchi hapoo nitakubaliana nawe.
Ukinambia katiba ya Zanzibar inapingana na katiba ya JMThapo nitashtuka kwa sababu ni Katiba hiyo hiyo hata sisi tunataka kuibadilishapasipo ridhaa ya wananchi maana sijui kama tulifanya referendum kuhusiana namadai ya Katiba mpya.
Mkuu Mkandara kahamisha magoli na kisha kajisahau kuwa matundu yale anayouliza yametoka wapi ndiyo yale yaliyokuwa yamesimika milingoti ya goli alilohamisha

Mkuu bila S3 utahamisha magoli sana tu mwaka huu.
 
SERIKALI 3 NA GHARAMA

Katika kiwewe cha kutafuta mahali pa kushika, CCM na washabiki wao wameendelea kutetea hoja dhaifu ya gharama za S3.
Hoja hiyo inazidi kukosa mashiko kila uchao kwa ushahidi wa aina nyingi.

Kwanza, CCM hawaelezi gharama za serikali ya muungano ya sasa ni zipi na nani analipia gharama hizo.
Hawaelezi chanzo cha mapato ya S2 ya uhakika ukilinganisha na S3waliyosema hayana uhakika.

Tume ya Warioba imeonyesha kuwa gharama hizo zinaweza kufikia trilioni 3.
Ingawa muungano wa S2 hauelezi ni kiasi gani, ukweli ni kuwa gharama hizo zinafikia au kuzidi hapo zikiwa zinalipwa na Tanganyika peke yake, huku znz ikichota hata kidogo isichochangia.

Kama kuna mtu anadhani serikali 3 ni gharama, basi tunamuomba mtu huyo asome habari hii ya kitafiti halafu aje aturidhishe kuwa hakuna pesa za kuhudumia S3 na kwamba ni mzigo zaidi ya huu wa S2.

Tanzania yapoteza Sh3 trilioni za kodi - Kitaifa - mwananchi.co.tz
 
Kwa Mujibu wa mjumbe wa tume (pole pole), utafiti unaonyesha Kwamba gharama za sasa za muungano Ni shillingi trillioni 1.8. Na sehemu kubwa ya gharama hizi zinabebwa na Tanganyika lakini pia zinatumika zaidi Tanganyika.Kwa maana hii fedha za kuendesha shirikisho Zipo, kisichokuwepo ni "political will" ya CCM.

Bajeti ya mwaka huu inasemekana Ni $12.6 billion sawa na Kama 19.6 trillion shillings. Mapato kwa mwezi ni $500 million, kwa mwaka Ni sawa na Kama shillingi trillioni 9.6.

Tunasubiria bajeti kamili Kabla ya kuja na Uzi maalum wa gharama za serikali Mbili vis a vis Tatu uliosheheni hoja na takwimu.

Cc Mdondoaji, Kobello, Mtanganyika, MwanaDiwani
Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sawa.
Mradi tu, ionyeshwe kuwa gharama hazitaongezeka.
 
Sawa.
Mradi tu, ionyeshwe kuwa gharama hazitaongezeka.
Utafiti ulioelezwa hapo juu unaonyesha tunapoteza kiasi cha 1.4Trillion kwa misamaha ya kodi.

Hapo hatujaenda kwenye taarifa ya CAG na mazonge zonge ya IPTL.
Swali la muhimu sana kabla hujahamisha goli ni hili, gharama zinaongeza kwa nani? Tanganyika, Zanzibar au Shirikisho.

Halafu utaulizwa mbele ya safari, gharama za sasa zipoje na chanzo chake ni kipi.
 
Taarifa zilizopo Ni Kwamba rais kikwete kwa kujua Madhara ya katiba kutopatikana ameamua yaishe na ukawa wakutane nae yaishe. Je wataenda tena kunywa juisi? So far Lipumba Anasema rais Ni sehemu ya tatizo, hawataki kukutana nae, labda mtu mwingine to mediate.

Tegemea ubishi wa kimantiki kama uzi utakaouleta utazungumzia udhaifu wa serikali kukusanya kodi na ufisadi bila kuonyesha udhaifu huo utaondolewaje cna serikali tatu.
Misamaha ya kodi na muundo wa muungano iabidi uviongelee kwa undani na unionyeshe relationship yake. Wafanyakazi wa TRA, mawaziri, makamisha na wananchi wao wenyewe wanazembea suala hili. Efficiency na corruption kwa Tanzania na nchi nyingi za dunia ya tatu ni Traditional, rather than systemic.
Usihusishe ukusanyaji kodi na muundo wa muungano unless una uwezo wa kuexplain hilo vizuri ukaeleweka, therwise I will definately critcize you on this. So get ready for that.
 
Upo uhusiano, wakati ukifika tutakueleza uhusiano huo.
Hata hivyo nikupe mfano wa jioni wakati ukijiandaa kupunzika.
Zanzibar ilwahi kulalamika kuwa bidhaa zinazoingizwa kupitia bandari yao huru zinatozwa kodi mara mbili.
JMT ikaruhusu bidhaa hizo zisitozwe kodi, matokeo yake wahuni wa znz wakaacha kukusanya kodi huku Tanganyika ikikosa kodi kwasababu za muungano.

Tanganyika ikazuia hilo na kuokoa mapesa. Ninaposema Tanganyika nina maana kuwa Tanzania ambayo ni JMT.
Upotevu wa trilion za kutosha ulichagizwa na muundo wa muungano.

Kionjo tu, wakati ukifika tutakuweka kitako

cc Mchambuzi
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi , umeongelea hoja muhimu sana ingawa hatuioni. Unaposema kuhamisha goli ina maana hii hapa chini kwa wale wasioelewa umezungumzia nini.

halafu Mkandara yule yule anasema
Mkuu Mkandara kahamisha magoli na kisha kajisahau kuwa matundu yale anayouliza yametoka wapi ndiyo yale yaliyokuwa yamesimika milingoti ya goli alilohamisha

Mkuu bila S3 utahamisha magoli sana tu mwaka huu.
Wakuu zangu hakunamahala nilipohamisha goli isipokuwa hamtaki kulinda goli lenu wenyewe. Mnachotegemea ni nkwamba hata mimi nikiupaa mpira nielekee kulekule golini kwangu wakati hapa nayafanya mashambulizi kuja golini kwenu na sii kuwafuata.

Nilichosema ndicho nachosimamia mimi maana Hata Uhuru wa Siougth afrika wakati wa Botha walisema ni ridhaa ya wananchi, leo tuna South Afrika mpya yenye bebdera mpya na utawla mpya, sidhani kama record ya Uhuru wao inaanzia wakati wa Botha, Na kama ukisoma vibaya maelezo yoyote kuhusu South hutanielewa hata mimi kwa mfano historia inasema hivi:- The republic of South Africa gained its independence from Britain in 1934.It wasn't until 1994 that South Africa gained its independence from the white minority rule.

Je South Africa ilipata Uhuru wake lini? bila shaka ni lazima kwanza utambue tunazungumzia hoja ipi, ukichanganya tu utakuwa umepotea wewe! Mkuu mimi siwezi hamisha magoli maana wewe umekuwa ukihamisha kwa kila hoja maana nimekusahihisha sii mara moja na ndivyo ilivyo. Muungano wa Australia kama anavyodai Mchambuzi sii wa kuutolea mfano maana mnavyoamini nyie ni kwamba hakuna muungano bila ridhaa ya wananchi. Sikutaka kwenda huko kuwaonyesha mifano mingi sana bali nimewaulizeni nyie nanyi mkanipa ndoa ya mila za kiarabu kuhalalisha Kaka kumuoa dada binamu yake kama ndio ushahidi wa kisheria ya ndoa.
 
Upo uhusiano, wakati ukifika tutakueleza uhusiano huo.
Hata hivyo nikupe mfano wa jioni wakati ukijiandaa kupunzika.
Zanzibar ilwahi kulalamika kuwa bidhaa zinazoingizwa kupitia bandari yao huru zinatozwa kodi mara mbili.
JMT ikaruhusu bidhaa hizo zisitozwe kodi, matokeo yake wahuni wa znz wakaacha kukusanya kodi huku Tanganyika ikikosa kodi kwasababu za muungano.

Tanganyika ikazuia hilo na kuokoa mapesa. Ninaposema Tanganyika nina maana kuwa Tanzania ambayo ni JMT.
Upotevu wa trilion za kutosha ulichagizwa na muundo wa muungano.

Kionjo tu, wakati ukifika tutakuweka kitako

cc Mchambuzi
I just had breakfast, eggs, beacon and some hash browns ... ndiyo kwanza asubuhi huku.
Anyways, wahuni wa znz na muundo wa muungano ni vitu viwili tofauti, kilichosababisha siyo muundo wa muungano bali ni "uhuni" kama ulivyosema wewe, wa wakusanya kodi wa Zanzibar. Wangekuwa siyo wahuni wangekusanya kama walivyoahidi na kulaumu muundo wa serikali kwa hilo utakuwa umekosea.

Don't be too "Predictable", utaanza kufuta aya na kuzi-edit mwishowe uzi wenyewe utakosa mashamsham.
cc. Mchambuzi.
 
Last edited by a moderator:
Taarifa zilizopo Ni Kwamba rais kikwete kwa kujua Madhara ya katiba kutopatikana ameamua yaishe na ukawa wakutane nae yaishe. Je wataenda tena kunywa juisi? So far Lipumba Anasema rais Ni sehemu ya tatizo, hawataki kukutana nae, labda mtu mwingine to mediate.

Sent from my iPhone using JamiiForums
TAARIFA KUTOKA KWA NANI?[MENTION]Yericko Nyerere[/MENTION]?
My Brother, My brother ... you are getting cheaper as days go! (pun intended).
 
TAARIFA KUTOKA KWA NANI?[MENTION]Yericko Nyerere[/MENTION]?
My Brother, My brother ... you are getting cheaper as days go! (pun intended).

Nina chanzo changu ndani, mtazisikia muda sio mrefu. Otherwise personal attacks is the only way kupambana, you don't see it otherwise.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wote kwa pamoja

Hauwezi kuja na Jibu Rahisi la "wote kwa pamoja" bila maelezo;what's your plausible explanation kuhusu gharama ili uje to argue on that basis badala ya kuruka ruka;

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
PRIVATUS KARUGENDO: CCM INAAMINI KATIKA SERIKALI 3

Nimepitia makala ya mchambuzi wa mambo ya kisiasa na kijamii Bw. Privatus Karugendo( Raia mwema wiki hii) naikaguswa na hoja zake kwa namna fulani
http://www.raiamwema.co.tz/ccm-ni-waumini-wa-serikali-tatu

Karugendo ameonyesha jinsi CCM inavyoamini katika serikali 3 tofauti na upotoshaji unaofanywa na CCM hao hao wanaosema muundo wa serikali 3 utabebesha wananchi gharama.

Kwa ufupi Karugendo amesema hivi.
Muundo wa CCM
Kuna mwenyekiti wa Taifa ambaye ni Rais Kikwete
Wapo makamu wa mwenyeikiti wawili, Tanzania bara na Zanizbar

Mgawanyo wa majukumu yao ni kuwa makamu wa Tanzania bara atashughulikia mambo ya Tanganyika,Makamu wa mwenyekiti Zanzibar atashughulikia mambo ya Zanzaibr

Karugendo anahoji, kama CCM wangetaka muundo wa S2, basi mfano wa kwanza ungekuwa kwao, kwamba mwenyekiti ni mmoja na makamu ni mmoja, kwa utaratibu wa mwenyekiti akitoka bara, makamu visiwani.

Karugendo akaonyesha mfano zaidi kwa kusema hata makatibu wakuu wapo katika mfano huo hapo juuKatibu mkuu, manaibu wawili, bara na znz na kila mmoja alishughulikia mambo yake.

Mwisho wa yote ni Dodoma ambako jambo likiamuliwa ndio linafikia ukomo.

Karugendo akahoji, mbona uwepo wa utatu huo wa CCM haijakidhoofisha chama zaidi ya kukifanya imara kikishinda chaguzi kila mara?

Mbona CCM inayoendeshwa kwa ruzuku haikuogopa gharama kama inavyoogopa kwa S3?

My take:
Rasimu ya Warioba inasema kuwepo na serikali za washirika na serikali kuu.
Muundo huo una maana ile ya CCM ya kuwa na Tanganyika ambayo ina mazingira tofauti na znz na kila mmoja ashughulikie mambo yao.

Kuna mambo 7 ya serikali kuu yanayozikutanisha nchi washirika.

Muundo wa sasa hauelezeki kwa namna yoyote. Kama ungeelezeka basi Kikwete angekuwa mwenyekiti wa CCM wa taifa na Tanzania bara, na Sheni makamu mwenyekiti wa CCM znz.

Hata hivyo katiba ya CCM inayotumika ni moja, wakati katiba ya JMT inatumika bara na znz ina katiba yao. CCM na Mkandara wanaamini katika hilo bila kuangalia muundo huo wa serikali ni sawa na muundo wa chama? Kwanini iwezekane katika ngazi ya chama na wala si serikali?

Kuna hoja ya Mkandara ikisema hatujui muundo wa S3. Hoja asiyojibu ni kuwa ni nchi gani zenye muundo wa sasa na upo sehemu gani duniani? na Je muundo huu ni sahihi na kwanini ni sahihi.

Mkandara ameshindwa kutushawishi iwapo kila jambo litakuwa la muungano, ni yapi yatakuwa ya washirika na kwanini mshirika mmoja afichwe. Je, hilo si kero kwa Tanganyika kutokuwa na uwakilishi?

Katika kujikanganya Mkandara anadai kinachotakiwa ni kuwa na TAIFA moja.
Asichotambua ni kuwa katiba ya Zanzibar 2010 imeitambua zanzibar kama nchi na Taifa. Unawezaje kuwa na mataifa mawili katika nchi moja?

Mkandara ameshindwa kutushawishi kuwa kama Zanzibar ina mamlaka juu ya katiba ya JMT, muungano una nguvu zipi zilizobaki na kwanini muungano huo uwe wa nchi ya JMT na Zanzibar?

Katika jitihada za kupiga kona ghafla, Mkandara anasema kinachotakiwa ni kutenga ushughulikiaji wa mambo ya Tanzania bara na zanzibar.

Hapa anashangaza kwasababu hatuelezi nani anashughulikia mambo hayo ya Tanganyika yaliyotengwa kutoka katika muungano. Tunajua znz ina rais kamili tena Amir jeshi, Tanganyika inawezekanaje ikiwa haipo?

Kwa muundo wa CCM ambao umetoa mamlaka kwa Tanganyika na Zanzibar, hakuna mahali ambapo CCM imeshauri CCM-bara wafunge shughuli zao ili CCM-znz iimarike.

Linapokuja suala la muungano wa serikali 2, Mkandara anshuri zifungwe bandari zote za bara ili ya znz ilete tija hadi bara.

Wakati ZNZ ni nchi na taifa kamili, sijui inawezekanaje Tanganyika kunufaika na fursa za znz.
Ni hawa walikimbiza mafuta na gesi leo Mkandara anatushawishi wanaweza kuleta kodi za bandari Tanganyika hivyo tufunge bandari zetu tusibiri majaaliwa ya wznz wataamua kutupa kiasi gani.

Tusibiri majaaliwa kama tunayosubiri sasa BLW likubali kama tunajenga wodi za wazazi au vyoo vya shule. Hili litaimarisha muungano kwa mujibu wa Mkandara.

Lakini basi atueleze mambo yote yakiwa ya muungano, utekelezaji wake utakuwaje kukiwa na Rais wa JMT na Rais wa znz?

Hapa napo hafafanui isipokuwa nadharia zisizo na hitimisho bai kuzunguka mbuyu. Mkandara jamvi linakusikiliza na solution za S2 yenye mambo yote ya muungano!!
 
Back
Top Bottom