Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Taifa la Kaskazini lipo kwenye mpango wa Chadema walikuwa wanafanya siri siyo tena siri.

Mkuu Gamba la Nyoka msikilize kwa makini Joshua Nassari anajiapiza kuwa haki ya Mungu Kikwete hatofika Kaskazini.

Anaenda mbali zaidi anasema karibia wanajitangazia Taifa la Kaskazini kama vile Sudan Kusini walivyofanya.

Kapanga kabisa na serikali ya Taifa la Kaskazini, Nassari ni rais na Lema waziri mkuu wizara zingine watazitangaza.

Kuna sehemu anasema Taifa la Kaskazini wataishi kama Ulaya...daah!!!

Hawa Chadema badala kujiangalia kama Watanzania lakini wao wanajiangalia kama Wakaskazini hii ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu, watu kama hawa wakipewa uongozi wataligawa taifa letu.

Wanasiasa waache siasa za fitina, siasa za utengano, bali siasa za utaifa.

Tujiepushe na kauli za uchochezi, kauli za kutengana, kauli za kikanda, udini na nk. Maana hivi vitu havitatusaidia kutuletea maendeleo bali vitazidi kuturudisha nyuma. Ni muhimu tufahamu kuwa maendeleo yanaanzia majumbani kwetu.
Mimi nimemsikia kidogo tu nimeziacha naye kabisa na msidhani hawapo watu wanaomuamini katika maneno hayo. Na sababu kama hizi ndizo zimewaondoa wengi CDM lakini watu wa nje kwa ushabiki wao hawayaoni haya kwamba vitu kama hivi vinawafanya walokuwemo CDM na sii wenyeji waanze kujifikiria kama wana fit ndani ya chama hicho. Hii ndio Tanzania yetu:- Tunaishi kwa Mazoea na kuongoza kwa kuiga!
 
Ndugu Ritz nimesoma pahala kuwa huko miaka ya nyuma enzi za mkoloni, kuna Chifu mmoja wa Huko Kaskazini anaitwa Marealle amewahi kwenda Umoja wa Mataifa akipinga Tanganyika Kupata Uhuru eti kwamba haijawa tayari kujitawala, Je kuanzishwa kwa nchi ya Wanakaskazini ndo muendelezo wa sarakasi za chifu yule nini?
 
Hilo ni kweli kabisa..
 
Mkuu wangu Gamba la Nyoka.

Alichokosema nassari ni muendelezo wa yale ambayo chief Mariale alienda kudai kupata uhuru wa watu wa kaskazini ipo siku watu watakuja kulisimamia hili bila woga kama wavyosema wao watu wa Kaskazini.
 
Last edited by a moderator:
Wanjamvi hebu pitieni hapa
Kwa hisani ya gazeti la Nipashe na MwandishiG.Mushi (tunashukuru
)

Wanakijiji Nronga wajifunga kuweka lami barabara yao

Na Godfrey Mushi
17th December 2014

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Freeman Mbowe.

Wakazi wa Kijiji cha Nronga kilichopo Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro wamechanga zaidi ya Sh. milioni 170 kwa ajili ya kuijenga kwa kiwango cha lami barabara ya Kalali-Nronga, yenye urefu wa kilomita 6.6

Barabara hiyo inayojengwa na Kampuni ya Elerai Civil Engineering & Constructions ya Arusha, itakapokamilika, itakuwa kichocheo kikubwa cha kufunguka kwa fursa za kiuchumi zitakazowanufaisha wakazi Nronga na vijiji jirani vya Wari na Foo, wilayani hapa.

Diwani wa Kata ya Machame Magharibi (Chadema), Elibariki Lema alisema jana kuwa, kwa sasa ujenzi huo upo katika hatua za uumbaji wa barabara pamoja na uwekaji wa makalavati ili kupisha uwekaji wa lami nyepesi kwenye eneo la mradi.

"Zaidi ya kilomita nne za barabara hii ni eneo korofi lisilopitika kwa urahisi wakati wa nyakati za mvua. Kutokana na adha hiyo, wananchi wa Kijiji cha Nronga waliamua wenyewe waanze kutafuta namna ya kukabiliana na hali hiyo; ndipo ikaamuliwa na vikao vya serikali ya Kijiji kwamba tuwashirikishe na wazawa waliopo nje ya mkoa wa Kilimanjaro ambao waliitikia wito huo na kutufikisha hatua hizo za ujenzi,"alisema Lema.

Kwa mujibu wa Lema, usanifu wa mradi huo, ulianza mwaka 2012 chini ya usimamizi wa Samweli S. Lema ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Elerai, inayojishughulisha na kazi za ujenzi wa barabara na ukadiriaji wa majenzi.

Aidha, alisema Halmashauri ya Wilaya ya Hai imewaunga mkono wananchi hao kwa kuwapa makalavati na kuwaondolea kodi ya malighafi ya ujenzi kwenye barabara hiyo.

Kuhusu mkakati wa kuiimarisha pia barabara ya Foo-Nronga kwa kiwango cha changarawe, Diwani huyo alisema Mbunge wa jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Freeman Mbowe, amewaahidi kuwapatia greda kwa ajili ya kuisafisha na kuimarisha miundombinu yake ili iweze kupitika kwa urahisi nyakati zote.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji hicho, Boniface Kwayu, aliiambia NIPASHE kwamba mradi huo utakapokamilika utavinufaisha kiuchumi vitongoji vya Nrwaa, Nkwamakya, Nkwamandaa, Maasen, Nkwelengya, Nkwakishu na Naluti ambavyo wakazi wake walio wengi ni wakulima na wafanyabiashara.

"Tumefika katika hatua nzuri ya ujenzi ambapo mkandarasi yupo kwenye eneo la mradi, akiwa tayari ameshamwaga vifusi vya changarawe kwa ajili ya kushindilia baada ya kuweka makalavati na kuiumba barabara.

Hayo yanayofanyika kwa sasa ni maandalizi ya kupisha uwekaji wa lami baadae tutakapopata fedha za kutosha,"alisisitiza Kwayu.

Alisema moja ya mambo atakayotekeleza kwa kipindi kifupi tangu kuchaguliwa kwake kukiongoza kijiji hicho ni kuunda kamati itakayokuwa na mammlaka ya kuratibu shughuli zote za kiuchumi ikiwamo kufungua akaunti maalumu ili kuiwezesha barabara hiyo kuwa mradi endelevu.

"Rai yangu kwa wadau wa maendeleo, serikali na wafanyabiashara wenye moyo wa kutuunga mkono, wasisite kufanya hivyo kwa kuwa nchi hii, tunaamini itajengwa na wenye moyo. Tunahitaji sapoti ya hali na mali kwa sababu kaya 713 za kijiji cha Nronga chenye wakazi zaidi ya 2,500 hawawezi peke yao,"alisema Kwayu.

Awali, Afisa Mtendaji wa Kijiji hicho (VEO), Valerian Lema, alisema wakazi wake bila ya kujali itikadi za vyama vyao, kwa kauli moja wameridhia kila kaya kuchangia kiasi cha Sh. 10,000 kwa mwezi ambao hadi kufikia sasa wamekusanya zaidi ya Sh. 3,000,000 katika awamu ya kwanza ya mradi huo.

"Kila kaya inalazimika kuchangia kiwango hicho kama nguvu za wananchi, lakini pia wazawa wa Nronga ambao wanaishi nje ya mkoa wa Kilimanjaro, wanashiriki moja kwa moja kwenye kuuwezesha mradi huu kufanikiwa.

Wananchi hawa wamejitoa kwa moyo mkunjufu kukikwamua kijiji chao kiuchumi kwa kuanza ujenzi wa barabara…Huu ni mwanzao mzuri wa kukumbuka walipotoka,"aliongeza Valerian.

CHANZO: NIPASHE
Tumeliweka bandiko hili makusudi kuonyesha, tunachozungumza si maneno kuna ushahidi usio na shaka

Kiongozi mkuu anasema '' Kilimanjaro na Arusha ni namba 9 na 7 katika kuchangia pato la taifa, hata hivyo zipo juu kwa maendeleo''.

Kwanza, hakueleza nafasi za mikoa hiyo katika kile anachoamini ni maendeleo.

Amezungumzia jumla tu ili wasikilizaji waamue kama ni namba 1, 2, 3 n.k.
Katika uchangiaji ameonyesha namba ili kuleta hisia kwa wananchi kuwa mikoa hiyo ina mchango mdogo lakini ipo juu

Maana yake, alichotaka kuwaeleza wananchi ni kupanda hisia za kwamba sehemu hizo ima zinapendelewa, zinajaipendelea au zina namna ambayo si njema katika kufikia maendeleo

Katika uzi huu ( Kapwela rudi nyuma ukasome kwanza) tumeeleza dhana nzima ya maendeleo na vichocheo vyake.

Kwa ufupi tumeeleza maendeleo si kitu kinachowekwa katika kontena na kusambazwa.

Ni matokeo ya vigezo vingi, vingine vikiwa nje ya uwezo wetu wanadamu.
Maendeleo hupatikana pale tu fursa iliyopo inapokutana na jitihada.

Dhana ya kusambaza maendeleo sawa nchi nzima kama anavyodai Mkandara na wengine wanaomtetea kiongozi mkuu inakosa mashiko kwa kuangalia mfano huo wa wananchi wa Nronga.

Ukisoma habari hiyo, kila kaya inachangishwa na wale walioko nje ya mkoa wanachangishwa ili kujenga barabara wakisaidiana na mbunge na Mkandarasi ambaye inaelekea ana ukaribu na maeneo husika. Halmashauri imeshirikishwa pia bila kujali itikadi za kisiasa

Kwa mtazamo wa watu wasio na maono kama kiongozi wetu mkuu, hayo si mambo ya kuzingatia.
Muhimu ni kuangalia nani amechangia nini na amepata nini. Ndio dhana anayohubiri Mkandara hapa pia.

Kuwa wananchi wa Nronga wanaochangia kodi katika hazina, hawapaswi kupata shea yao.
Kinachotakiwa ni kusambaza maendeleo sawa kwa kuchukua wanaokjiletea maendeleo na kusambaza kweingine

Dhana hiyo ina maana ya wananchi wa Nronga wapewe kidogo kwasababu tayari wanajijengea barabara, na kwingine waliko na 'midomo mirefu kama asemavyo kiongozi wetu mkuu'' wapewe zaidi ili wanyanyuliwe

Kwa kipande hicho mnaweza kuona sehemu ndogo ya kwanini sehemu nyingine zimeendelea zingine zipo nyuma.

Mfano wa kijiji cha Nronga ni sehemu tu ya kazi wanazofanya wananchi wa mikoa mingine za kujiletea maendeleo

Hatuwezi kukaa kimya wanapotokea wanasiasa uchwara wakileta takwimu za kupumbaza wananchi, huku wakiwaficha ukweli

Leo wananchi wanakaa wakipiga soga kufyeka barabara wakati wenzao wanapasua miamba kujenga barabara.

Halafu wenzetu wanaamini takwimu zinateremka kama mvua na kwamba sasa ni wakati mikoa yenya maendeleo iwekewe spidi gavana isubiri ile inayoahidiwa pepo na viongozi walaghai.

Watu wamekimbia ukweli wa makala hiyo wakijua ni mwiba unaoua hoja zao za maendeleo, upendeleo na zaidi kuonyessha kuwa kuna chuki inayosambaza na viongozi waliofilisika kisiasa makusudi.

Kwa makala hiyo atokee mtu atuambie tena Shinyanga ina matatizo kwasababu wananchi wa Nronga wanajijengea barabara.

Atokee mtu atuambie matatizo ya Kigoma yanasababishwa na wananchi wa Nronga wanaojenga barabara kwa nguvu zao

Tusemezane
 
Last edited by a moderator:
Wanjamvi hebu pitieni hapa
Kwa hisani ya gazeti la Nipashe na MwandishiG.Mushi (tunashukuru
)

Wanakijiji Nronga wajifunga kuweka lami barabara yao

Tumeliweka bandiko hili mkausudi kabisa kuonyesha kuwa tunachozungumza si maneno kuna ushahidi usio na shaka nyuma yake.

Kiongozi mkuu anasema '' Kilimanjaro na Arusha ni namba 9 na 7 katika kuchangia pato la taifa, hata hivyo zipo juu kwa maendeleo''.

Kwanza, hakueleza nafasi za mikoa hiyo katika kile anachoamini ni maendeleo. Amezungumzia jumla tu ili wasikilizaji waamue kama ni namba 1, 2, 3 n.k. Kwatika uchangiaji ameonyesha ili kuleta hisia kwa wananchi kuwa mikoa hiyo ina mchango mdogo lakini ipo juu

Maana yake alichotaka kuwaeleza wananchi ni kupanda hisia za kwamba sehemu hizo ima zinapendelewa, zinajaipendelea au zina namna ambayo si njema katika kufikia maendeleo.

Katika uzi huu (Kapwela rudi nyuma ukasome kwanza) tumeeleza dhana nzima ya maendeleo na vichocheo vyake.

Kwa ufupi tumeeleza maendeleo si kitu kinachowekwa katika kontena na kusambaza. Ni matokeo ya vigezo vingi, vingine vikiwa nje ya uwezo wetu wanadamu. Maendeleo hupatikana pale tu fursa iliyopo inapokutana na jitihada.
Dhana ya kusambaza maendeleo sawa nchi nzima kama aanvyodai Mkandara na wengine wanamtetea kiongozi mkuu inakosa mashiko kwa kuangalia mfano huo wa wananchi wa Nronga.

Ukisoma habari hiyo, kila kaya inachangishwa na wale walioko nje ya mkoa wanachangishwa ili kujenga barabara wakisaidiana na mbunge na Mkandarasi ambaye inaelekea ana ukaribu na maeneo husika. Halmashauri imeshirikishwa pia

Kwa mtazamo wa watu wasio na maono kama kiongozi wetu mkuu, hayo si mambo ya kuzingatia. Muhimu ni kuangalia nani amechangia nini na amepata nini. Ndio dhana anayohubiri Mkandara hapa pia. Kuwa wananchi wa Ntonga wanaochangia kodi katika hazina, hawapaswi kupata shea yao. Kinachotakiwa ni kusambaza maendeleo sawa

Dhana hiyo ina maana ya wananchi wa Ntonga wapewe kidogo kwasbabu tayari wanajijengea barabara, na kwingine waliko na 'midomo mirefu kama asemavyo kiongozi mkuu'' wapewe zaidi ili wanyanayuliwe

Kwa kipande hicho mnaweza kuona sehemu ndogo ya kwanini sehemu nyingine zimeendelea zingine zipo nyuma.
Mfano wa kijiji cha Nronga ni sehemu tu ya kazi wanazofanya wananchi wa mikoa mingine za kujiletea maendeleo

Hatuwezi kukaa kimya wanapotokea wanasiasa uchwara wakileta takwimu za kupumbaza wananchi, huku wakiwaficha ukweli wa hali halisi. Leo wananchi wanakaa wakipiga soga kufyeka barabara wakati wenzao wanapasua miamba kujenga barabara. Halafu wenzetu wanaamini takwimu zinateremka kama mvua na kwamba sasa ni wakati mikoa yenya maendeleo iwekewe spidi gavana isubiri ile inayoahidiwa pepo na viongozi walaghai.

Watu wamekimbia ukweli wa makala hiyo wakijua ni mwiba unaoua hoja zao za maendeleo, upendeleo na zaidi kuonyessha kuwa kuna chuki inayosambaza na viongozi waliofilisika kisiasa makusudi.

Kwa makala hiyo atokee mtu atuambie tena Shinyanga ina matatizo kwasababu wananchi wa Nronga wanajijengea barabara.

Tusemezane
Mkuu wangu maelezo mengi hayana mshiko hata kidogo kwa sababu hata hizo Halmashauri zinapokea fedha kutoka serikali kuu. Utekelezaji wa miradi unaandaliwa toka chini na hivyo kusema sijui kata ya Nronga wamejenga barabara. kama huelewi mpango wa maendeleo hufanywa vipi na kwa ngazi gani inakuwa vigumu kujadili jambo lolote. Hata wizara zina idara zake na idara hufanya kazi kwa niaba ya wizara..

Ebu niwaulizeni kwa nini mmeshikilia hili swala la Zitto na Chadema kiasi hiki? Mimi niliwashtukia zamani sana ndani ya Chadema watu wakijaribu kila mbinu kuhakikisha chama kinasambaratika kabla ya Uchaguzi huu na mappandikizi wanajulikana. Ghafla Zitto kafukuzwa mara sijui kajiengua mwenyewe wakati Chadema imeshakula ng'ombe mzima leo wanagombania ngozi halafu lawama zote apewa Zitto kwa maamuzi yenu wenyewe. Hii haingii akilini hata kidogo na mmetumia mtindo ule ule ulotumika kuvivuruga vyama vya NCCR na CUF. Sasa mtavuna mlichokipanda msimu huu na msitake kutafuta mchawi nje wachawi wapo Chadema nwamevalia njuga na matunguli yao..

Hawauwezi kujficha kwa sisi wenye kutazama mbali kwani mnaifanya kazi ya CCM kuhakikisha Chadema imesambaratika na sasa imeshasambaratika na hata kujiunga UKAWA kuunda coaliton mnapiga vita ati Chadema itashinda hivyo hivyo.. Mnamdanganya nani lakini? mbinu hizi nilizisoma long time mkuu endeleeni na kazi yenu ACT kwa kuchukua UJAMAA nina hakika ndiyo itakuja kuwa chama mbadala wa CCM.
Chadema imejitia kitanzi yenyewe..
 
Mkuu hayo ya CDM hayatuhusu, kinachouzungumzwa hapa ni nchi na utaifa

Hoja kubwa ni ya kiongozi mkubwa aliyesambaza chuki. Tumeweka kipande hicho muonyeshe wapi wananchi wa Nronga wanadhulumu wenzao wa mikoa mingine. Hoja zipo ni nyeupee sijui nini kinawashinda

Mkandara ulisema na upo katika rekodi, mikoa ya Kilimanjaro na Arushwa iliwezeshwa na sasa mingine iwezezeshwe.
Uliunga mkono hoja ya kiongozi mkuu. Tunauliza, je hicho wanachokifanya wananchi wa Nronga kama mfano tu wa yale wanayofanya ndio uwezeshajwi wenyewe?

Kiongozi mkuu anasema, mkoa X inachangia kidogo lakini kwa maendeleo upo juu. Tunauliza kwa hili la Nronga, kuna sababu gani miaka 10 ijayo wasiwe juu zaidi?

Mkandara na kiongozi mkuu hoja yao kubwa ni uwepo wa upendeleo. Tuonyesheni upendeleo upi?
Hoja yao ni kuwezeshwa, tuonyesheni kuwezeshwa kupi?

Kama hakuna majibu, ni vema tukasimama pamoja kuzuia farki anazoeneza kiongozi mkubwa kwa kushambulia mikoa na kanda na sasa kahamia kati. Hizi siasa za kujenga chuki tuzilaani tuzikatae kabisa!

Wananchi wa Nronga hao hapo juu, hebu leteni hoja za kuwapinga, kuonyesha upendeleo, kuwezeshwa n.k.

Dhana ya kuzuia mikoa isipige hatua ikisubiri mingine ni potofu na yenye kichefuchecfu!
Dhana ya kushambulia mikoa kwa sababu za kisiasa ni potofu sana na ipingwe
 
Wanjamvi hebu pitieni hapa
Kwa hisani ya gazeti la Nipashe na MwandishiG.Mushi (tunashukuru
)

Wanakijiji Nronga wajifunga kuweka lami barabara yao

Tumeliweka bandiko hili makusudi kuonyesha, tunachozungumza si maneno kuna ushahidi usio na shaka

Kiongozi mkuu anasema '' Kilimanjaro na Arusha ni namba 9 na 7 katika kuchangia pato la taifa, hata hivyo zipo juu kwa maendeleo''.

Kwanza, hakueleza nafasi za mikoa hiyo katika kile anachoamini ni maendeleo.

Amezungumzia jumla tu ili wasikilizaji waamue kama ni namba 1, 2, 3 n.k.
Katika uchangiaji ameonyesha namba ili kuleta hisia kwa wananchi kuwa mikoa hiyo ina mchango mdogo lakini ipo juu

Maana yake, alichotaka kuwaeleza wananchi ni kupanda hisia za kwamba sehemu hizo ima zinapendelewa, zinajaipendelea au zina namna ambayo si njema katika kufikia maendeleo

Katika uzi huu ( Kapwela rudi nyuma ukasome kwanza) tumeeleza dhana nzima ya maendeleo na vichocheo vyake.

Kwa ufupi tumeeleza maendeleo si kitu kinachowekwa katika kontena na kusambazwa.

Ni matokeo ya vigezo vingi, vingine vikiwa nje ya uwezo wetu wanadamu.
Maendeleo hupatikana pale tu fursa iliyopo inapokutana na jitihada.

Dhana ya kusambaza maendeleo sawa nchi nzima kama anavyodai Mkandara na wengine wanaomtetea kiongozi mkuu inakosa mashiko kwa kuangalia mfano huo wa wananchi wa Nronga.

Ukisoma habari hiyo, kila kaya inachangishwa na wale walioko nje ya mkoa wanachangishwa ili kujenga barabara wakisaidiana na mbunge na Mkandarasi ambaye inaelekea ana ukaribu na maeneo husika. Halmashauri imeshirikishwa pia bila kujali itikadi za kisiasa

Kwa mtazamo wa watu wasio na maono kama kiongozi wetu mkuu, hayo si mambo ya kuzingatia.
Muhimu ni kuangalia nani amechangia nini na amepata nini. Ndio dhana anayohubiri Mkandara hapa pia.

Kuwa wananchi wa Nronga wanaochangia kodi katika hazina, hawapaswi kupata shea yao.
Kinachotakiwa ni kusambaza maendeleo sawa kwa kuchukua wanaokjiletea maendeleo na kusambaza kweingine

Dhana hiyo ina maana ya wananchi wa Nronga wapewe kidogo kwasababu tayari wanajijengea barabara, na kwingine waliko na 'midomo mirefu kama asemavyo kiongozi wetu mkuu'' wapewe zaidi ili wanyanyuliwe

Kwa kipande hicho mnaweza kuona sehemu ndogo ya kwanini sehemu nyingine zimeendelea zingine zipo nyuma.

Mfano wa kijiji cha Nronga ni sehemu tu ya kazi wanazofanya wananchi wa mikoa mingine za kujiletea maendeleo

Hatuwezi kukaa kimya wanapotokea wanasiasa uchwara wakileta takwimu za kupumbaza wananchi, huku wakiwaficha ukweli

Leo wananchi wanakaa wakipiga soga kufyeka barabara wakati wenzao wanapasua miamba kujenga barabara.

Halafu wenzetu wanaamini takwimu zinateremka kama mvua na kwamba sasa ni wakati mikoa yenya maendeleo iwekewe spidi gavana isubiri ile inayoahidiwa pepo na viongozi walaghai.

Watu wamekimbia ukweli wa makala hiyo wakijua ni mwiba unaoua hoja zao za maendeleo, upendeleo na zaidi kuonyessha kuwa kuna chuki inayosambaza na viongozi waliofilisika kisiasa makusudi.

Kwa makala hiyo atokee mtu atuambie tena Shinyanga ina matatizo kwasababu wananchi wa Nronga wanajijengea barabara.

Atokee mtu atuambie matatizo ya Kigoma yanasababishwa na wananchi wa Nronga wanaojenga barabara kwa nguvu zao

Tusemezane

Nguruvi3.

Mbona watanzania wengi tu wanafanya hivyo sehemu nyingi tu wewe umeona Kilimanjaro tu soma hii kiduchu.

WANANCHI wa Kijiji cha Luvuyo, Kata ya Madilu wilaya ya Ludewa mkoani Njombe ambao awali walitaka kuhamia wilaya ya Njombe kutokana na Halmashauri ya wilaya ya Ludewa kuwatelekezea barabara ya Luvuyo – Njombe wamempongeza mbunge wao Deo Filikunjombe kwa kuwajengea barabara hiyo na kubadili uamuzi wao wa kuhamia Njombe.Wakizungumzakatika hafla ya mbunge Filikunjombe kuzindua ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilometa zaidi ya 6 inayojengwa kwa zaidi ya milioni 52 ,walisema kuwa awali walipata kuandika barua katika uongozi wa Halmashauri hadi kwa waziri mkuu wakiomba kuhamia wilaya ya Njombe kutoka na kijji hicho kuwa kama kisiwa kutokana na ubovu wa barabara.Mmoja kati ya wananchi hao Apudencia Lugome alisema kuwa wananchi hao walifikia hatua ya kuandika barua ya kutaka kijiji hicho kuwa sehemu ya wilaya ya Njombe kutokana na viongozi wa wilaya ya Ludewa kushindwa kuwatekelezea maombi yao ya ukarabati wa barabara ya kijiji hicho toka nchi ipate uhuru Kwani alisema kuwa mbali ya kujengwa kwa barabara ya Njombe – Ludewa ila wao katika kijiji hicho barabara hiyo ilikuwa si msaada kwao zaidi ya ile ya Luvuyo – Njombe ambayo hutumia kusafirisha mazao yao na ni tegemeo katika usafiri hivyo kitendo cha Halmashauri ya Ludewa kupuuza kilio chao ni kuwafanya wananchi hao kujisikia kama wapo katika kisiwa .Hivyo alisema hatua kutoka na hali hiyo wao wenyewe wananchi walilazimika kuchangishana fedha kiasi cha Tsh 50,00 kila mmoja na kupata kiasi cha Tsh milioni 3.6 kwa ajili ya kuanza kutengeneza maeneo korofi kabla ya mbunge wao kufika katika mkutano wake na kuamua kuchukua jukumu ya kujitolea kujenga barabara hiyo yote .“Tunashukuru sana mheshimiwa mbunge wetu na jembe kwa wana Ludewa kwani toka nchi yetu ipate uhuru Ludewa hatujapata kuwa na mbunge makini kama wewe hivyo hatuna sababu ya kuhangaika na mtu mwingine mwaka 2015….kwani mwenye kutatua kero zetu zaidi yako hakuna “Huku diwani wa kata hiyo Godfrid Mhagama wa kata ya Madope akieleza kuwa sababu ya wananchi hao kufanya maandamano na kumpokea kwa usafiri wa ng’ombe ni kutokana na heshima kubwa ambayo mbunge huyo ameionyesha kwao wana kata ya Madope hasa wananchi wa kijiji cha Luvuyo.Alisema kuwa barabara hiyo imekuwa kero kiasi cha wananchi hao kuwakimbiza watendaji wa Halmashauri ambao walifika katika kijiji hicho kwa ajili ya kuhamasisha shughuli za kimaendeleo.“Kweli suala hili kwetu limetuumiza sana kichwa ilifika sehemu wakuu wa idara walikuwa hawafiki katika kijiji hiki kutokana na wananchi kuwa na jazba iliyotokana na ubovu wa miundo mbinu na ahadi zisizotekelezeka za Halmashauri yetu”Katibu wa itikadi na uenezi CCM mkoa wa Njombe Onolatus Mgaya mbali ya kumpongeza mbunge huyo na wananchi kwa kuunganisha nguvu zao bado aliwataka wananchi hao kutunza barabara hiyo ambayo kukamilika kwake ni ukombozi mkubwa kwao.
 
Nguruvi3 hapendi kama hivi ulivyoleta ushaidi huu,juzi hapa watu wanaoishi kata ya makonde Mtwara,na wao wameshangishana wanajenga barabara,hivi vitu vinafanyika maeneo mengi,alafu Nguruvi3 anajifanya anapigania Utaifa, wakati mda wote anahangaika kutafuta habari zinazoibeba Kilimanjaro,kana kwamba mikoa mingine hawajichangii,wanakanusha mpaka ushindi wa KABURU 1994(uchaguzi Mdogo),km mbunge wa upinzani,kisa hatoki Kilimanjaro
 
Nadhani huna ufahamu wa mada kabisa. Ahsante
 
Nguruvi3.

Mbona watanzania wengi tu wanafanya hivyo sehemu nyingi tu wewe umeona Kilimanjaro tu soma hii kiduchu.

WANANCHI wa Kijiji cha Luvuyo, Kata ya Madilu wilaya ya Ludewa mkoani Njombe ambao awali walitaka kuhamia wilaya ya Njombe kutokana na Halmashauri ya wilaya ya Ludewa kuwatelekezea barabara ya Luvuyo – Njombe wamempongeza mbunge wao Deo Filikunjombe kwa kuwajengea barabara hiyo na kubadili uamuzi wao wa kuhamia Njombe.Wakizungumzakatika hafla ya mbunge Filikunjombe kuzindua ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilometa zaidi ya 6 inayojengwa kwa zaidi ya milioni 52 ,walisema kuwa awali walipata kuandika barua katika uongozi wa Halmashauri hadi kwa waziri mkuu wakiomba kuhamia wilaya ya Njombe kutoka na kijji hicho kuwa kama kisiwa kutokana na ubovu wa barabara.Mmoja kati ya wananchi hao Apudencia Lugome alisema kuwa wananchi hao walifikia hatua ya kuandika barua ya kutaka kijiji hicho kuwa sehemu ya wilaya ya Njombe kutokana na viongozi wa wilaya ya Ludewa kushindwa kuwatekelezea maombi yao ya ukarabati wa barabara ya kijiji hicho toka nchi ipate uhuru Kwani alisema kuwa mbali ya kujengwa kwa barabara ya Njombe – Ludewa ila wao katika kijiji hicho barabara hiyo ilikuwa si msaada kwao zaidi ya ile ya Luvuyo – Njombe ambayo hutumia kusafirisha mazao yao na ni tegemeo katika usafiri hivyo kitendo cha Halmashauri ya Ludewa kupuuza kilio chao ni kuwafanya wananchi hao kujisikia kama wapo katika kisiwa .Hivyo alisema hatua kutoka na hali hiyo wao wenyewe wananchi walilazimika kuchangishana fedha kiasi cha Tsh 50,00 kila mmoja na kupata kiasi cha Tsh milioni 3.6 kwa ajili ya kuanza kutengeneza maeneo korofi kabla ya mbunge wao kufika katika mkutano wake na kuamua kuchukua jukumu ya kujitolea kujenga barabara hiyo yote ."Tunashukuru sana mheshimiwa mbunge wetu na jembe kwa wana Ludewa kwani toka nchi yetu ipate uhuru Ludewa hatujapata kuwa na mbunge makini kama wewe hivyo hatuna sababu ya kuhangaika na mtu mwingine mwaka 2015….kwani mwenye kutatua kero zetu zaidi yako hakuna "Huku diwani wa kata hiyo Godfrid Mhagama wa kata ya Madope akieleza kuwa sababu ya wananchi hao kufanya maandamano na kumpokea kwa usafiri wa ng'ombe ni kutokana na heshima kubwa ambayo mbunge huyo ameionyesha kwao wana kata ya Madope hasa wananchi wa kijiji cha Luvuyo.Alisema kuwa barabara hiyo imekuwa kero kiasi cha wananchi hao kuwakimbiza watendaji wa Halmashauri ambao walifika katika kijiji hicho kwa ajili ya kuhamasisha shughuli za kimaendeleo."Kweli suala hili kwetu limetuumiza sana kichwa ilifika sehemu wakuu wa idara walikuwa hawafiki katika kijiji hiki kutokana na wananchi kuwa na jazba iliyotokana na ubovu wa miundo mbinu na ahadi zisizotekelezeka za Halmashauri yetu"Katibu wa itikadi na uenezi CCM mkoa wa Njombe Onolatus Mgaya mbali ya kumpongeza mbunge huyo na wananchi kwa kuunganisha nguvu zao bado aliwataka wananchi hao kutunza barabara hiyo ambayo kukamilika kwake ni ukombozi mkubwa kwao.
Ahsante kutetea hoja zangu. Kumbe basi haya ni mambo yanayofanyika ili wananchi wajiletee maendeleo. Hoja ya kiongozi mkuu kuhusu '' Arusha/Kilimanjaro inachangia katika nafasi 7 na 9, na ni za juu kwa maendeleo'' inatoka wapi? Kama haikuwa imelenga kuleta mtafaruku kati ya wananchi wa mkoa ililenga kitu gani

Tumeona wananchi wa Nronga kama sehemu tu, sasa hoja yenu akina Mkandara na Kapwela kugawa maendeleo inatoka wapi?

Hoja ya Mikoa ya kaskazini kuwezeshwa kwa mujibu wa Mkandara inatoka wapi?

Hoja ya kiongozi mkubwa kuwa mikoa ABCD ina maendeleo ya juu inatoka wapi?

Kwanini hakuweka namba za kuonyesha nafasi 'juu'' kinyume chake aliweka namba za kuonyesha 'uchangiaji''

Kwahiyo unachokifanya ni kuthibitisha kauli yetu kuwa maendeleo si kontena la ubuyu la kugawa kila mahali kama tunavyoaminishwa na kiongozi mkuu na Mkandara. Maendeleo ni matokeo ya jitihada na fursa. Ni matokeo ya uongozi mzuri wenye akili na si majungu katika majukwaa.

Kuwasakama waliojiletea maendeleo kama anavyofanya kiongozi mkuu na Mkandara si kuwatendea haki.

Huwezi kuzuia watu wasijiletee maendeleo kwasababu wengine 'wana midomo mirefu''

Kauli ya kiongozi mkubwa ni ya kichochezi ya kichonganishi na yenye madhara kwa mustakabali wa taifa

Si kauli njema na ndiyo maana wananchi wameshtuka

Ugomvi wa kiongozi mkubwa na akina Mkandara dhidi ya viongizo CDM si ugomvi wa kitaifa.
Hilo tutasimama kulipinga kwa nguvu zote

Matatizo ya kisiasa ya mtu binafasi ayamalize mwenyewe na si kuchonganisha mikoa. Ney

Ahsante sana kwa utetezi wako.
 
Ritz , Gamba la Nyoka Mkandara....baada ya Mh. Joshua kutoa kauli hiyo mara moja mwenyekiti wa Chadema alipinga kauli hiyo na kusisitiza huo siyo msimamo wa chama cha chadema. Na haya yamo kwenye uzi wako (Ritz) uliobandika JF 2012. Mchangiaji mmojawapo kwenye uzi huo aliandika hivi.

Ritz,

CDM ni chama makini sana, Joshua nassari alipotoa kauli ile haikuhitaji vikao kujua kuwa kuna makosa katika lile. mwenyekiti alilikanusha pale pale na kutoa msimamo wa chama na pia Nassari mwenyewe alilitolea ufafanuzi. Kipi ambacho ulitaka wafanye zaidi ya kile kilichofanyika??? Au ulitaka wamvue uanachama ndo URIDHIKE??

Mwingine katika uzi mwingine aliandika hivi

Ndugu nadhari tunakuomba uombe radhi mapema kabisa, Hayo maneno uliyoyatoa yametukera mpaka wanachama wa CDM. Ulisema ukimaanisha ni kweli. Hilo kosa kabisa katika medani ya siasa. Na kama chadema wataacha vijana walioingia watoa matamko kama haya si busara chama kiatakufa mapema tu maana hata UMOJA WA MATAIFA HAUTAKI KITU KAMA HICHO, UKISEMA KUJITENGA NA KUMZUIA RAIS ASIFIKE KASKAZINI HIYO NI MBAYA SANA KWA CHAMA KAMA CDM. Namshukuru mbowe aliweza kuisema hapo hapo. JITOKEZE NA USEME ULITELEZA.
PLEASE ZITTO NA DR SLAA MFUNZENI HUYU KIJANA MANENO YA KUEPUKA ANAPOKUWA KWENYE MAJUKWAA

M4C

Hii ni kwa uchache kuonyesha kauli za kuvunja umoja wa taifa hazichekewi na viongozi wakuu wa Chadema, wanachama wa chadema na sisi watanzania wengine kwa ujumla wetu bila kujali ni nani anatoa kauli hizo. Mbowe kama mwenyekiti wa chama cha Chadema aliwajibika kukanusha kauli ile pale pale...! Nassari naye alilazimika kutoa ufafanuzi wa kauli yake.

Kwa hiyo muda mwingine mtakapo kuwa mnaelezea suala la Nassari wekeni na maelezo jinsi viongozi wa chadema na wanachama wake na watanzania kwa ujumla jinsi walivyoshughulikia suala hilo.

Baada ya maelezo hayo sasa turudi kwenye mada iliyoko mezani.

1.chama-cha-ACT-mpini-wa-CCM-kumaliza-upinzani
2.
'Kauli' ya Zitto inahataraisha umoja wa kitaifa. Na kauli hizi Zitto (S.L) hajazitolea ufafanuzi.
 
Last edited by a moderator:
TUJITEGEMEE niliwaambia warudi wakasome nyuzi za nyuma, kisha tuliwapuuza.

Hawana utetezi dhidi ya kiongozi mkuu, wanatafuta kila wanachoweza kuharibu uzi.

Tumewauliza, je kiongozi mkubwa amechaguliwa katika nafasi yake ' kwani kuna dhambi mtu wa Kigoma kuwa Sup"" au ni kutokana na sifa zake? Hawana jibu

Tumewauliza kauli hiyo 'kwani ni dhambi mtu wa Kigoma kuwa ..'' ililenga nini?

Alinda jkauliza mambo lukuki hakuna jibu.
 
nguruvi3 hapendi kama hivi ulivyoleta ushaidi huu,juzi hapa watu wanaoishi kata ya makonde mtwara,na wao wameshangishana wanajenga barabara,hivi vitu vinafanyika maeneo mengi,alafu nguruvi3 anajifanya anapigania utaifa, wakati mda wote anahangaika kutafuta habari zinazoibeba kilimanjaro,kana kwamba mikoa mingine hawajichangii,wanakanusha mpaka ushindi wa kaburu 1994(uchaguzi mdogo),km mbunge wa upinzani,kisa hatoki kilimanjaro

kaburu ni nani huyu?
 
Ahsante kutetea hoja zangu. Kumbe basi haya ni mambo yanayofanyika ili wananchi wajiletee maendeleo. Hoja ya kiongozi mkuu kuhusu '' Arusha/Kilimanjaro inachangia katika nafasi 7 na 9, na ni za juu kwa maendeleo'' inatoka wapi? Kama haikuwa imelenga kuleta mtafaruku kati ya wananchi wa mkoa ililenga kitu gani

Tumeona wananchi wa Nronga kama sehemu tu, sasa hoja yenu akina Mkandara na Kapwela kugawa maendeleo inatoka wapi?

Hoja ya Mikoa ya kaskazini kuwezeshwa kwa mujibu wa Mkandara inatoka wapi?

Hoja ya kiongozi mkubwa kuwa mikoa ABCD ina maendeleo ya juu inatoka wapi?

Kwanini hakuweka namba za kuonyesha nafasi 'juu'' kinyume chake aliweka namba za kuonyesha 'uchangiaji''

Kwahiyo unachokifanya ni kuthibitisha kauli yetu kuwa maendeleo si kontena la ubuyu la kugawa kila mahali kama tunavyoaminishwa na kiongozi mkuu na Mkandara. Maendeleo ni matokeo ya jitihada na fursa. Ni matokeo ya uongozi mzuri wenye akili na si majungu katika majukwaa.

Kuwasakama waliojiletea maendeleo kama anavyofanya kiongozi mkuu na Mkandara si kuwatendea haki.

Huwezi kuzuia watu wasijiletee maendeleo kwasababu wengine 'wana midomo mirefu''

Kauli ya kiongozi mkubwa ni ya kichochezi ya kichonganishi na yenye madhara kwa mustakabali wa taifa

Si kauli njema na ndiyo maana wananchi wameshtuka

Ugomvi wa kiongozi mkubwa na akina Mkandara dhidi ya viongizo CDM si ugomvi wa kitaifa.
Hilo tutasimama kulipinga kwa nguvu zote

Matatizo ya kisiasa ya mtu binafasi ayamalize mwenyewe na si kuchonganisha mikoa. Ney

Ahsante sana kwa utetezi wako.

Nguruvi3.

Naona haujamuelewa vizuri Zitto yale maneno aliyosema kwenye hotuba yake siyo yake ni ripoti ya serikali rudia kusoma tena hapa chini.

Zitto

Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu.
 
Ndio maana tunasema mna lenga kuchafua uzi. Hotuba hiyo si ya Shinyanga, upo katika rekodi.
 
Kuna hoja sijapata muda wa kuzijibu.

Nimeona youtube sehemu ya hotuba ya Zitto wiki iliyopita Kigoma, tuliambiwa hapa kuwa Zitto anaeneza ukabila na udini tu huko nyumbani kwao Kigoma, iangalie hapa https://www.youtube.com/watch?v=HGwW1jUl7tU

Nimeisikiliza yote yaani kuanzia 0:00 mpaka 3:09 dk. Mimi napenda kudadisi sana ili niweze kuelewa dhana nzima ya kile ninachokiona, sikia, ama kutazama. Kwa shabaha hiyi hiyo, najiuliza kwa nini hotuba ya Kiongozi Mkuu (SL) wa chama cha ACT inawekwe kwenye akaunti ya chama (ACT) huko Youtube ama kwingineko ikiwa imekatwa katwa? Kwa nini tunanyimwa uhuru wa kumsikiliza SL toka anaanza kuhutubia mpaka anamaliza hotuba zake , kwa nini ?

Ni sawa na ile ya Alinda? au ni nyingine !

Hapana hii ni tofauti, kwa aibu wameamua kuikata kata na kuchomoa vipande vya hotuba ya SL. Lengo kumuepusha nadhani na tuhuma za kuendelea kugawa 'sumu' ya kuvunja utaifa.
 
Back
Top Bottom