Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nasema unachafua mjadala.Mkuu wangu Mkandara sijui kwa nini hili jibu hawalitaki wakati limeeleza wazi.
Zitto,
Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu.
Nachafua mjadala upi Nguruvi3 kupingana na hoja zenu ndiyo kuchafua mjadala? Nguruvi3 JF siyo mali yako kupangia watu vitu vya kuandika unataka niandike vitu vya kukufurahisha wewe hapana mie siwezi hii dhana ya kutofautiana na mtu fikra na mitazamo mnaita kuchafua mjadala? Yaani nyie mpotoshe kwa kutumia fikra zenu mkipingwa nachafua mjadala, Nguruvi3 usijione wewe supreme leader wa ili jukwaa kila utakacho kiandika wewe ni msahafu watu tusipinge tafadhali sana please usinipangie cha kuandika humu JF umegeuka kuwa msemaji wa watu wote hayo mamlaka umeyapata wapi? Wewe unavyokesha kumchafua Zitto si unajaza server tu au wewe ndiyo una mamlaka ya kuandika pekee yako wengine wakiandika unasema wanajaza vitu eboo!!Ndio maana nasema unachafua mjadala.
Upo katika rekodi hujui alisema nini Shinyanga. Haya unayoaweka ni katika kuchafua mjadala.
Please unaweza kusoma au kutosoma si kujaza vitu watu wanajua haviina ukweli.
Tuikuulize hiyo ni hotuba ya wapi? kama hujui mi hoyuba ya aliyotoa wapi, tafadhali unaweza kusoma tu, ni vema pia
Na katika kuonyesha ubabaishaji, hakuna anayeweka hotuba kamili wala video.
Mnafahamu matatizo yake. Hivi alipanda na kuanzia hapo tu! achilia mbali hujui alisema nini wapi!Tunarudia hujui alisema nini wapi
Upo katika rekodi ukisema hukujua kasema nini. Na hatudhani unajua tunazungumzia nini.
Mkandara tunasubiri majibu
1. Mikoa mingine imenyimwa haki gani?
2. Fursa gani anazopigani kiongozi mkuu zinazokandamizwa na wananchi wa maeneo mengine?
Ndio maana tunakuuliza mkuu, kwani haki ipi unayoona wamenyimwa ili sote tusimame pamoja?Hitimisho na point kubwa ya ujumbe wake wote ni kaitka maandishi hayo mekundu (Huwezi kuwa na nchi tajiri lakini watu wake Maskini!...) Mimi sio mtu wa Shinyanga wala Kigoma inakuwaje naona kuna matatizo ya Kimfumo hapa ktk kuwapa haki yao lkn hawa jamaa zangu wanaona tu Kilimanjaro na Arusha!
..
mkuu wewe una tatizo kubwa sana la kusahau ama unafanya makusudi maana hiyo hotuba sio tu imeeandikwa na Ritz kuna mada nyingine humu upande wa siasa kuna mtu aliiweka na niliinukuu kukuonyesheni aloyasema Ritz ni sawa kabisa na kilichoandikwa kwenye mada hiyo. Sasa siwezi kurudi nyuma kutafuta niliandika wapi wewe unayebisha itafute hotuba ya Zitto Shinyanga iko hapa hapa JF..Ama tuwekee wewe uloisikia wewe maana tuna ubishi usokwisha.Ndio maana nasema unachafua mjadala.
Upo katika rekodi hujui alisema nini Shinyanga. Haya unayoaweka ni katika kuchafua mjadala.
Please unaweza kusoma au kutosoma si kujaza vitu watu wanajua haviina ukweli.
Tuikuulize hiyo ni hotuba ya wapi? kama hujui mi hoyuba ya aliyotoa wapi, tafadhali unaweza kusoma tu, ni vema pia
Na katika kuonyesha ubabaishaji, hakuna anayeweka hotuba kamili wala video.
Mnafahamu matatizo yake. Hivi alipanda na kuanzia hapo tu! achilia mbali hujui alisema nini wapi!Tunarudia hujui alisema nini wapi
Upo katika rekodi ukisema hukujua kasema nini. Na hatudhani unajua tunazungumzia nini.
Mkandara tunasubiri majibu
1. Mikoa mingine imenyimwa haki gani?
2. Fursa gani anazopigani kiongozi mkuu zinazokandamizwa na wananchi wa maeneo mengine?
Nguruvi3.Mkuu nakumbuka sana, hotuba inayosemwa ni ya Shinyanga aliweka Adharusi.
Ritz akasema mkuu nashukuru umenifumbua macho akimaanisha hakujua hotuba.
Kabla ya hapo alisema amesikiliza hotuba kupitia radio.Tulipomhoji akasema ni ile ya viwanja vya furahisha Mwanza.
Ghafla imegeuka ndio hotuba ya kiongozi mkuu bila kusema ni ya wapi.
Ukiangalia,haiwezekani hotuba ikaanza kama alivyoleta hata kama itakubalika. Kuna sehemu muhimu zimenyofolewa
Tumelinganisha ile ya Adharusi na Ritz zinatofautiana. Kwa maneno mengine kilichofanyika ni kubadili maneno.
Ndio msingi wa kusema, hajui anaongelea hotuba ipi, na alishakiri hajui sasa kuleta kitu asichokijua kila siku haina maana
Kuhusu Shinyanga, si kuwa nimepita bali nimeishi pia.Ninamshukuru Mungu nchi ya Tanzania nimeishi sehemu nyingi. Tatizo la Shinyanga kuhusiana na maji linafahamika. Hakuna anayeuliza kwanini mradi wa maji-Victoria ulipelekwa kule. Nadhani mradi ulichelewa sana, ilitakiwa ufanyike mapema
Matatizo kama hayo yalikuwepo Mtwara. Ujenzi wa daraja ilikuwa ni faraja kwa taifa si watu wa kusini.
Leo kila mtu anasafiri bila tatizo na hayo ndiyo maendeleo
Ujenzi wa daraja la Kirumi ulikuwa ukombozi kwa wananchi waTarime. Ni ukombozi kwa nchi kwasababu wakati tunasafiri kupitia Kenya safari ilikuwa rahisi. Daraja hili likijengwa na Waitalia na kubomolewa na matete nimeona kwa macho yangu
Daraja lilikuwa ukombozi kwa watanzania waliokuwa wanakwenda Shirati Hospitali.
Hiyo ndiyo Hospitali iliyokuwa ina uwezo wa kutibu BaurkitsLymphoma hapa nchini.
Ilikuwa chini ya bodi na mwenyekiti akiwa Kembo Migire,mkuu Jasusi nisahihishe kama nimekosea.
Mafanikio yetu ni ya ujumla. Tunachokataa ni hizi habari za kiongozi wetu mkuu kusema eti matatizo ya eneo fulani ni matokeo ya eneo jingine.
Kusema, anayechangia sana apate zaidi. Well, kama mwendo utakuwa huo,Singida, Kigoma n,k watakuwa katika hali gani?
Tunachopinga ni kuwapumbaza watu kwa kauli na tawkimu zisizona maana.
Nadhani umesoma habari wa wananchi wa Nronga. Kama mkoa mzima unamwamko huo, kwanini tuchukue sehemu yao kupeleka kwingine eti kugawana maendeleo?
Kwanini tuwalaumu wananchi wa Nronga au kwinginewanaojiendeleza kwa kuwa kikwazo kwa wengine?
Kuna kosa gani mkoa ukiendelea kwa jitihada zake
Kama kuna matatizo ya serikali kuu basi yawe hivyo na yasemwe hivyo, hatuwezi kuwatwisha lawama wananchi wasiohusika kwa namna yoyote kwa sera mbovu za CCM
Badala ya kuiendea mikoa kwa hasira, kiongozi mkuu angeiendea CCM.
Hakufanya hivyo, na hapo tunauliza, huo si mpini wa CCM?
Mkuu Mkandara.Ritz,
Mimi nimeshachoka na hawa jamaa zetu wameufanya ukumbi huu kuwa wa ushabiki badala ya great thinker maana wanaenda kila kona kutafuta sababu zao tu. Na ndio maana nchi hii kupata maendeleo itakuwa shida kwa sababu watu wanatumia unazi katika kuchagua badala ya kuamini na ndio maana neno HAKI ama FURSA hawalioni katika utekelezaji isipokuwa pale penye maslahi yao.
Mimi kama Mjamaa naamini ELIMU,AFYA ni HAKI ya kila mwananchi. Sasa unakuta mkoa umeachwa nyuma katika huduma hizi kwa sababu chama au watawala ni waumini wa Ubepari na kwamba Elimu na Afya ni privilege sio Right ya wananchi halafu tunqqnzq kubishana pasipo kuzingatia itikadi hizo ila tunavyojisikia ktk unazi huu inakuwq vigumu kwangu kujibu kila hoja maana naona kama wanafanya mzaha, ni watu wanaopenda kucheza na akili za watu kama kwamba maisha ya wananchi ni sehemu ya majaribio. Kwa hiyo wakati mwingine wapuuze kwa sababu juko mbele sitoshangaa Nguruvi akiomba tena hotuba ya Zitto Shinyanga au kuuliza alisema nini...Anyway watu wameua Tower yangu juzi nilikuwa JF ghafla ikaganda mara ntolee motherboard imekufa naambie videovard ndio ili trigger yote...
Kusimama katika haki kama ni ushabiki, basi na uwe. Hatutakaa kimya watu wakilaani kuchezewa katiba kisha wakaenda si kuichezea bali kuivurunda.Ritz,
Mimi nimeshachoka na hawa jamaa zetu wameufanya ukumbi huu kuwa wa ushabiki badala ya great thinker maana wanaenda kila kona kutafuta sababu zao tu.
Na ndio maana nchi hii kupata maendeleo itakuwa shida kwa sababu watu wanatumia unazi katika kuchagua badala ya kuamini na ndio maana neno HAKI ama FURSA hawalioni katika utekelezaji isipokuwa pale penye maslahi yao.
Mimi kama Mjamaa naamini ELIMU,AFYA ni HAKI ya kila mwananchi. Sasa unakuta mkoa umeachwa nyuma katika huduma hizi kwa sababu chama au watawala ni waumini wa Ubepari na kwamba Elimu na Afya ni privilege sio Right ya wananchi halafu tunqqnzq kubishana pasipo kuzingatia itikadi hizo ila tunavyojisikia ktk unazi huu inakuwq vigumu kwangu kujibu kila hoja maana naona kama wanafanya mzaha, ni watu wanaopenda kucheza na akili za watu kama kwamba maisha ya wananchi ni sehemu ya majaribio.
Kwa hiyo wakati mwingine wapuuze kwa sababu juko mbele sitoshangaa Nguruvi akiomba tena hotuba ya Zitto Shinyanga au kuuliza alisema nini...Anyway watu wameua Tower yangu juzi nilikuwa JF ghafla ikaganda mara ntolee motherboard imekufa naambie videovard ndio ili trigger yote...
Ritz,
Mimi nimeshachoka na hawa jamaa zetu wameufanya ukumbi huu kuwa wa ushabiki badala ya great thinker maana wanaenda kila kona kutafuta sababu zao tu...
Prove us wrong dude!Umedokeza jambo ambalo limekuwa linanisumbua sana.
Nguruvi, Alinda ufike wakati tujiulize kama hii Zittophobia iliyokuwa specialized hapa ina vigezo vya kuwa kwenye jukwaa la great thinkers.
Na twende mbele zaidi tujiulize kama haya yaliyomo kwenye thread hii yanalisaidia taifa au yanaligawa zaidi.
Ni wakati wa kujihoji wenyewe na kuchukua hatua.
Muhimu tu atuachie taifa letu kama watu wamoja. Asituvuruge wala kugawa taifa"First they ignore you, then they ridicule you, then they fight you, and then you win."
Mahatma Gandhi
Wamevuka stage ya kwanza ya kum-ignore, ndio maana wanamfuatilia kila anapopita.
Saizi wapo kwenye stage ya pili,kumkashifu na kumzomea,
Kisha Zitto atafight back kwa kuendelea kusimama na hoja zenye nguvu,kushinda ubunge, kuendelea kuwa kinara wa hoja zenye maslahi ya taifa, kupambana sana na serikali bungeni.
Baada ya hapo hawa hawa, watasalimu amri na kukukubali kuwa alionewa ,
watampa ushindi.
Kwanini tuwalaumu wananchi wa Nronga au kwinginewanaojiendeleza kwa kuwa kikwazo kwa wengine?
Kuna kosa gani mkoa ukiendelea kwa jitihada zake
Kama kuna matatizo ya serikali kuu basi yawe hivyo na yasemwe hivyo, hatuwezi kuwatwisha lawama wananchi wasiohusika kwa namna yoyote kwa sera mbovu za CCM
Badala ya kuiendea mikoa kwa hasira, kiongozi mkuu angeiendea CCM.
Hakufanya hivyo, na hapo tunauliza, huo si mpini wa CCM?
Ndugu yangu hebu tueleze kuna uhusiano gani kati ya mkoakuchangia na maendeleoNianze na hadithi kidogo,samahani:
Kulikua na safari moja ya kwenda mbugani kutalii ya watu wawili,msomi na asie msomi.walipofika porini usiku wakafungua hema wakalala,usiku wa manane asiekua msomi,akashtuka.
Asiekua msomi:Akamuamsha msomi,akauliza umegundua nini angani?
Msomi:akajibu,nimegundua uumbaji mzuri sana wa dunia,nyota ang'avu,mbalamwezi n.k,alafu msomi akamuuliza swali asiekua msomi,wewe umegundua nini?
Asiemsomi:akajibu,nimegundua Hema letu limeibiwa,maana hema lingekuwepo msomi asingeona nyota.mwisho wa Hadithi
Nauliza Swali,hivi Zitto alipokua shinyanga na akasema tatizo letu ni mfumo,wa nchi hauko sawa KATIKA mgawanyo wa Rasilimali,hivi hapa unatakiwa ufike chuo kikuu KUJUA kuwa anaisema serikali ya CCM,ulidhiki mpaka litajwe neno CCM, hakuna sehemu Zitto alipotajwa watu wa sehemu Fulani wanachangia kidogo,kazungumzia mkoa(watu mchanyiko,kabila,dini)wewe ndio ulieleta Mambo ya kabila.
Nguruvi3.
Kanda ya ziwa kote alikopita Zitto hotuba zake karibia zote zilikuwa zinafanana wewe ambaye unabisha tumekuambia tuwekee basi hiyo hotuba ya ukweli ya Zitto huna.
Hapo juu mkuu Mkandara kakuelewesha vizuri sana lakini bado hautaki.
Kwa faida ya Wanaukumbi naweka hii link muipitie muone hiyo hotuba ambayo imewekwa na mfuasi wa Chadema siyo Ritz wala Adharusi.na kaifungulia uzi jukwaa la siasa kabla yetu sisi.
Wanaukumbi hii hapa link...
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-mikoa-yenye-maendeleo-zaidi-tanzania-8.html
Sasa Nguruvi3 tuambie huyo jamaa wa Chadema anayepingana na Zitto kaitoa wapi hiyo hotuba au naye kaongeza maneno yake halafu hapo hapo anapingana na Zitto daah!!!.
Wanaukumbi nadhani mmeona wenyewe mimi sijaongeza kitu kwenye hayo maneno nakuuliza Nguruvi3 hotuba ya Zitto uliyoshika mkononi kama ushahidi ipo wapi kwa faida ya Wanaukumbi tuwekee hiyo hotuba tuosome tukate mzizi wa fitna kama hauna basi utaendelea kujifungia ndani na laptop na kutengeneza drama zako zisizo isha na kuziwekea vionjo.
Mkuu huu uzi utakuachia majeraha mengi sana.
Nguruvi3 nilikwambia ukiwauliza maswali wanapotea.. wakiibuka ni -Alinda na Nguruvi3 wabaguzi..lolUmedokeza jambo ambalo limekuwa linanisumbua sana.