Tena wakijibu hoja nyingi walizokimbia huko nyumaHoja hawana wamebaki na viloja...Kwenye huo mtengo hatuingii kamwe. Tutaingia kujibu pale watakapokuja na hoja.
Hoja hawana wamebaki na viloja...Kwenye huo mtengo hatuingii kamwe. Tutaingia kujibu pale watakapokuja na hoja.
Rudi ukasome hoja. Mwenzako Ritz ameshaanza anapata elimuSasa mmefikia kikomo chenu cha kupindisha mantiki ya hoja. mmebaki kuleta mipasho badala ya hoja za msingi.
Na safari hii hatuwaachi, mpaka muelewe, Vioja vyenu sasa vinafikia tamati. Uongo umepanda lifti na kufika mapema, Ukweli umekuja polepole sass unafyagiafyagia. Msiombe po, tulieni dawa iwaingie!
Namkumbusha Ndugu yangu Nguruv, Iko wapi hotuba isiyo ya kifacebook unayotumia kujengea case yako dhidi ya Zitto?
Rudi ukasome hoja. Mwenzako Ritz ameshaanza anapata elimu
Kasome kwanza, halafu uje tuongee habari za fitna za supreme leader
Tunasema hakuna sababu za mtu mmoja kuleta farki katika taifa.
Kauli za supreme ambazo ni zake na hajazikana zimeleta mgawanyiko usiowa lazima katika taifa
Matatizo ya Shinyanga ni zao la serikali iliyopo madarakani.Hayasababishwi na wananchi wa Kilimanjaro au Arusha
Huko nyuma supreme leader kwa chuki zake alisema Hatuna sababu ya kuogopa EAC kwasababu kuna tiofauti ya maendeleo baina ya Kilimanjarona Kigoma
Chuki hizo kazifikisha mahali vijana wanatutakana kwa misingi ya ukanda, ukabila kwa kauli za mtu anayehangaika kisiasa.
Hatuwezi kukaa kimya supreme leader akilimega taifa kwa uhutu na utusi ambao yeye anaujua na pengine ana uwezekano wa kubeba nasaba zake kuliko mtu mwingine
Huyu ndiye anatushughulisha maana ni hatari sana kwa umoja wakitaifa.
Hatutapunzika hadi taifa hili liwe salama, dhidi ya wafitini na wachonganishi kama supreme leader

Kwasababu hujarudi kusoma kama wenzako tuliowashuri,unauliza swali ambalo jibu lake limeshatoka.Nguruv Tuwekee hotuba halisi ya Zitto tujisomee wenyewe alichosema, Acha longolongo, na Tantalalila.
Kama unatumia mada ya Kifacebook sema!, Bora Mwenzako Alinda yeye ushahidi wake ni Wall ya Facebook ya Zitto, Je wewe nawe Waitumia hii wall ya ZZK kama evidence?
Mimi sikuachi mpaka uilete hii speech ukumbini, Utarukaruka weeeee, lakini the bottom line nitakuomba ushahidi wa Speech.
Kama huna hiyo speech basi Arguments zako juu ya hili suala humu jamvini ni bure kabisa, zimebase katika hearsay, ni uzushi na
Well, uzalendo wa Tanzania hauna shaka kwangu binafasi.Unaweza kuwa na shaka kwa mwingine.Miongoni mwa vitu vya msingi katika maisha ni pamoja na kujua wakati wa kustop vinginevyo utabaki tu unarudia yaleyale ya yuleyule uliyoongea vilevile kwa namna ileile daima dumu, hii pia ni aina ya utumwa.
Yeyote anayesoma hapa anaona kabisa kupitia maandishi yako kuwa una uzalendo wa dhati sio na Tanzania bali mkoa wako Kilimanjaro, ndio maana ata imekuwa kosa kwako kwa Zitto kutaja tu jina Kilimanjaro, kwa mzalendo huyu wa Kilimanjaro na taifa la kufikirika la Kaskazini hilo ni kosa kubwa.
Zamani ulikuwa Mtanzania lakini sasa umerudi kwenye Ukaskazini, sina uhakika kama hutaishia kwenye kabila lako, maana dhambi ya ubaguzi haina mwisho.
Una jina la kulilinda,tunza heshima yako.
Kwasababu hujarudi kusoma kama wenzako tuliowashuri,unauliza swali ambalo jibu lake limeshatoka.
Nikukumbushe kuwa nani ameletahoja ya hotuba? Hizo zilizopo zimeingaije hapa na zimejadiliwa kwa mtazamo gani.Soma mabandiko ya nyuma
Hatuwezi kurudi page 45 nyuma kumfahamisha mtuasiyejishughulisha kutafuta habari. Tunasema mtaala wa elimu hauwezikusimamishwa kwasababu tu wapo watoto wawili au wane wasiotaka kushugulishaakili zao. JF rekodi hazifutiki.
Supreme leader aliaminisha watu kuwa katiba ilibadilishwa kinyemela. Tumeshuhudia akitamka yeye ni mwanzilishi wa ACT. Wakati huo huo alikuwa mahakamani.
Hili tu linanonyeshaaina ya siasa za ulaghai. Huwezi kutetea tumbo lako kwa mgongo wa demokrasia
Tumeaninishwa kuwa chama chake cha zamani kilikuwa cha kikanda na kikabila.
Tumeshuhudia akitamka maneno yenye mwelekeo wa kukuza na sikupinga ukanda na ukabila.(uhutu n utuisi)
Tukaaminishwa kafukuzwa kutokana na misimamo yake. Leo kaendakufukuza waanzilishi wa chama bila uvumilivu
Tukaaminishwa katiba ni kitu kisichotaka kuchezewa kinyemela.
Tumeona katiba ikibadilishwa ili kumhifadhi mtu na si chama
Haya ndiyo tunayapinga, si kwasababu za vyama bali kutakakujenga utamaduni mpya wa siasa safi na si maji taka. Siasa za kulisaidia taifasi kuligawa.
Siasa za kupingana kwa hoja si kuchonganisha wananchi.
Matatizo ya Shinyanga hayaletwi na Kilimanjaro au Arusha
Tunataka mjibu hoja zetu, kuna mahusiano gani kati ya kuchangia pato la taifa na maendeleo kama anavyodai supreme leader
Hizi ndizo hoja mtambuka zilizopo mbele yetu
Lete Speech ya Zitto ya maneno ya Ubaguzi ambayo wewe unaitumia kujengea hoja yako dhidi ya ZZK wacha kukimbia kimbia!
Utakukurukakara weee, lakini hatukuachi, tunataka utuwekee hiyo speech.
Kama Unabase ile ya kwenye Facebook, Sema wazi, Kama hubase katika hiyo tupe reference nyingine!
Kuna watu wagumu kweli kuelewa, Sijui huko shuleni walivukavuka vipi!. Swali dogo unaulizwa unajibu menginee!
Kama hauna hiyo hotuba, basi wewe unazua, na dawa yake ni kupuuzwa tu kwa sababu huna hoja, zaidi ya chuki.
Well, narudia tena na tena. Tumefikaje hapa? Rudi kasome nyuma. Hatupo hapa kurudia jambo lilo waziLete Speech ya Zitto ya maneno ya Ubaguzi ambayo wewe unaitumia kujengea hoja yako dhidi ya ZZK wacha kukimbia kimbia!
Utakukurukakara weee, lakini hatukuachi, tunataka utuwekee hiyo speech.
Kama hauna, basi wewe unazua, na dawa yake ni kupuuzwa tu kwa sababu huna hoja, zaidi ya chuki.
Well, narudia tena na tena. Tumefikaje hapa? Rudi kasome nyuma. Hatupo hapa kurudia jambo lilo wazi
Pili, kupuuzwa hakuna tabu, kila mtu ana haki hiyo. Midhali upo hapa basi hujapuuza.
Tatu, maneno ya supreme leader kama si ya kweli, wapi amekanusha?
Nne, mna dhima ya kuoyesha kama hakusema hayo.
Kumbuka mumeonyesha aliyosema na ndiyo tunayatumia kuwaeleza supreme ni mchochezi
Tano, Una haki ya kuonyesha chuki iliyopo dhidi ya supreme
Sita, wazungu wanasema the burden of persuasion by which the party with burden of proof must establish or refute the disputed factual issue
- Mkutano ulikwepo na supreme alihutubia
- Utetezi wa alichosema umeletwa bila kukanushwa au kusahihishwa
- Watetezi wa alichosema wapo
- Takwimu alizotumia zipo na zimletwa na watetezi
- Matumizi mabaya ya takwimu yameonyeshwa
- Uchchezi wa matamshi umefanywa
Wanoleta kesi dhidi ya chuki mpo. The quantum of proof ipo kwenu
Wala msituache maana hiyo ni haki yenu.
Nasi mzituzuie kutumia haki yetu. Kama anazuliwa maneno prove
Kasome mabandiko ukipata faham uje hapa. Spinning hazitauzia hoja iliyoko mbele yetu
Tunamkemea mtu anayelenga kuligawa taifa. Tunakemea unafiki na ulaghai. Tuzikatae na kukataa siasa maji chafu
Tupo kitako na supreme, muulizeni kama si kweli

Haina haja ya kuzunguka kuandika drama nyingi cha msingi Nguruvi3 hawafahamishe wanaukumbi kwa data na reference kutoka kwenye hotuba ya Zitto ambayo anayo inasema kuwa matatizo ya Shinyanga yanasababishwa na Kilimanjaro na Arusha.Kilicholetwa humu na Adharus na Pia kwa wakati mwingine na Alinda ni kile walichotuambia kuwa ni kauli/ bandiko la Zitto la Facebook!
Ndugu Ritz hapa ameweka bandiko lako mwenyewe ambalo Mambo ya Facebook huyataki
Sasa basi kwa kuwa msingi wa mjadala huu ni bandiko la facebook, na kwa kuwa wewe mambo ya facebook unataka yabaki hukohuko facebook, SASA BASI TUPE HOTUBA MBADALA WA BANDIKO LA FACEBOOK ILI TUWEZE KUMUHUKUMU KWALO ZZK.
Suala la data na takwimu siyo hoja, hoja ni zimenukuliwa kutoka kwa nani, wapi, kwa ukamilifu upi wa kunukuu, na tafsiri yake halisi ni ipi, hiyo ndiyo hoja!
Eheee! Ndugu yangu nilikuambia urudi kusoma mabandiko.Kilicholetwa humu na Adharus na Pia kwa wakati mwingine na Alinda ni kile walichotuambia kuwa ni kauli/ bandiko la Zitto la Facebook!
Ndugu Ritz hapa ameweka bandiko lako mwenyewe ambalo Mambo ya Facebook huyataki
Sasa basi kwa kuwa msingi wa mjadala huu ni bandiko la facebook, na kwa kuwa wewe mambo ya facebook unataka yabaki hukohuko facebook, SASA BASI TUPE HOTUBA MBADALA WA BANDIKO LA FACEBOOK ILI TUWEZE KUMUHUKUMU KWALO ZZK.
Suala la data na takwimu siyo hoja, hoja ni zimenukuliwa kutoka kwa nani, wapi, kwa ukamilifu upi wa kunukuu, na tafsiri yake halisi ni ipi, hiyo ndiyo hoja!
Nilipokuja na hotuba ya Zitto Ukumbini Nguruvi3 alihamaki sana akajibu hivi.Kuna uwezekano katoa clarification huko face book
Mkandara atakuwa shahidi mzuri tu kwasababu kuanzia jukwa lasiasa hadi hapa, yeye ni kinara wa hoja husika.
Msome hapo juu, Shinyanga inachangia Zaidi haipati stahiki, Kilimanjaro inachangia kidogo inapata stahiki
Mwenzako team Adharusi kaja na data kabisa
Nashangaa hukuona hayo yote. All in all,tunajua alifanya shambulio la kisiasa dhidi ya mikoa ya kaskazini
Nguruvi3.Eheee! Ndugu yangu nilikuambia urudi kusoma mabandiko.
Hongera umerudi na unaona jinsi unavyopata ufahamu.
Tatizo ni kuwa hujasoma mjadala wote na hivyo kukosa vionjo muhimu vilivyotufikisha hapa
Si kuwa unatonesha vidonda na kumuumiza mhusika, bali pia umenisaidia sana kuleta mashahidi.
Ritz ahsante sana mkuu Ahdarusi,hotuba imenifungua macho
Ritz- Hotuba nimesikia radio freeAfrika live
Ritz- hiyo ni hotuba ya viwanjavya furshisha, si ya Shinyanga
Mkandara hotuba ya Adharusi na Ritz ni sawa , tumeona jinsi watu wanavyozua maneno, mmoja ameongelea kama anatoa taarifa, na mwingine ameleta data
Mkandara Mbona watu hawalaan ikauli za Mbowe kuhusu usukuma
Mkandara hakuna tatizo kutaja makabila kama alivyofanya
Mkandara, kwani kuna tatizo gani akitoa mfano unaohusu Kilimanjaro na Arusha?
Mkandara alichoongelea ni mfumo mbaya wa mgawanyo wa rasilimali''
Kapwela Mumemzulia maneno,hajataja mikoa ya kaskazini katika hotuba yake, amesema Kilimanjaro na Arusha
Adharusi hayo manen omnamuwekea, hakusema Shinyanga inayonywa na Kilimanjaro na Arusha
Ushahidi unapatikana zaidi jukwaa la siasa kulikoanzia tafrani na duru
Rekodi zipo na mashahidi wakitaka tutazileta
Unaona ehe!
Ndiyo maana tunasema hatutakaa kimya siasa hizi za kibaguzi, kuligawa taifa, na kuchomeka uchochezi zikienezwa
Nina hakika team mate wako wanasikitika maana rekodi zipo tukiwaonyesha wazi hotuba hizo.
Sasa unatupa kazi ya kunukuu mabandiko na kujaza saver kumbe ni tatizo lako mtu mmoja.
Darsa lisimame kwasababu kuna mwanafunzi anacheza mpira wenzake wakiwa darasani! Ebo
Ukisoma Zaidi utajua tumefikaje hapa
Simama na umma kupinga taifa kumegwa kwa masilahi ya mtu.
Wameanza na kubadili katiba masaa 24, kana kwamba haitoshi sasa wanaingiza mgogoro wao uwe wa taifa.
Tutakemea kamwe hatukaa kimya
Tupo na supreme kitako, na umma unatusikia. Jiulize jana ndio leo?
Miongoni mwa vitu vya msingi katika maisha ni pamoja na kujua wakati wa kustop vinginevyo utabaki tu unarudia yaleyale ya yuleyule uliyoongea vilevile kwa namna ileile daima dumu, hii pia ni aina ya utumwa.