Eheee! Ndugu yangu nilikuambia urudi kusoma mabandiko.
Hongera umerudi na unaona jinsi unavyopata ufahamu.
Tatizo ni kuwa hujasoma mjadala wote na hivyo kukosa vionjo muhimu vilivyotufikisha hapa
Si kuwa unatonesha vidonda na kumuumiza mhusika, bali pia umenisaidia sana kuleta mashahidi.
Ritz ahsante sana mkuu Ahdarusi,hotuba imenifungua macho
Ritz- Hotuba nimesikia radio freeAfrika live
Ritz- hiyo ni hotuba ya viwanjavya furshisha, si ya Shinyanga
Mkandara hotuba ya Adharusi na Ritz ni sawa , tumeona jinsi watu wanavyozua maneno, mmoja ameongelea kama anatoa taarifa, na mwingine ameleta data
Mkandara Mbona watu hawalaan ikauli za Mbowe kuhusu usukuma
Mkandara hakuna tatizo kutaja makabila kama alivyofanya
Mkandara, kwani kuna tatizo gani akitoa mfano unaohusu Kilimanjaro na Arusha?
Mkandara alichoongelea ni mfumo mbaya wa mgawanyo wa rasilimali''
Kapwela Mumemzulia maneno,hajataja mikoa ya kaskazini katika hotuba yake, amesema Kilimanjaro na Arusha
Adharusi hayo manen omnamuwekea, hakusema Shinyanga inayonywa na Kilimanjaro na Arusha
Ushahidi unapatikana zaidi jukwaa la siasa kulikoanzia tafrani na duru
Rekodi zipo na mashahidi wakitaka tutazileta
Unaona ehe!
Ndiyo maana tunasema hatutakaa kimya siasa hizi za kibaguzi, kuligawa taifa, na kuchomeka uchochezi zikienezwa
Nina hakika team mate wako wanasikitika maana rekodi zipo tukiwaonyesha wazi hotuba hizo.
Sasa unatupa kazi ya kunukuu mabandiko na kujaza saver kumbe ni tatizo lako mtu mmoja.
Darsa lisimame kwasababu kuna mwanafunzi anacheza mpira wenzake wakiwa darasani! Ebo
Ukisoma Zaidi utajua tumefikaje hapa
Simama na umma kupinga taifa kumegwa kwa masilahi ya mtu.
Wameanza na kubadili katiba masaa 24, kana kwamba haitoshi sasa wanaingiza mgogoro wao uwe wa taifa.
Tutakemea kamwe hatukaa kimya
Tupo na supreme kitako, na umma unatusikia. Jiulize jana ndio leo?