Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Hoja hawana wamebaki na viloja...Kwenye huo mtengo hatuingii kamwe. Tutaingia kujibu pale watakapokuja na hoja.
Tena wakijibu hoja nyingi walizokimbia huko nyuma

Tunaongea na kiongozi mkuu, in fact tunamweleza aache abcd.
Huyu anayejenga mbegu chafu ndani ya taifa ndiye wa kumweka kitako
 
Hoja hawana wamebaki na viloja...Kwenye huo mtengo hatuingii kamwe. Tutaingia kujibu pale watakapokuja na hoja.

Sasa mmefikia kikomo chenu cha kupindisha mantiki ya hoja. mmebaki kuleta mipasho badala ya hoja za msingi.

Na safari hii hatuwaachi, mpaka muelewe, Vioja vyenu sasa vinafikia tamati. Uongo umepanda lifti na kufika mapema, Ukweli umekuja polepole sass unafyagiafyagia. Msiombe po, tulieni dawa iwaingie!

Namkumbusha Ndugu yangu Nguruv, Iko wapi hotuba isiyo ya kifacebook unayotumia kujengea case yako dhidi ya Zitto?
 
Rudi ukasome hoja. Mwenzako Ritz ameshaanza anapata elimu

Kasome kwanza, halafu uje tuongee habari za fitna za supreme leader

Tunasema hakuna sababu za mtu mmoja kuleta farki katika taifa.

Kauli za supreme ambazo ni zake na hajazikana zimeleta mgawanyiko usiowa lazima katika taifa

Matatizo ya Shinyanga ni zao la serikali iliyopo madarakani.Hayasababishwi na wananchi wa Kilimanjaro au Arusha

Huko nyuma supreme leader kwa chuki zake alisema '' Hatuna sababu ya kuogopa EAC kwasababu kuna tiofauti ya maendeleo baina ya Kilimanjarona Kigoma''

Chuki hizo kazifikisha mahali vijana wanatutakana kwa misingi ya ukanda, ukabila kwa kauli za mtu anayehangaika kisiasa.

Hatuwezi kukaa kimya supreme leader akilimega taifa kwa uhutu na utusi ambao yeye anaujua na pengine ana uwezekano wa kubeba nasaba zake kuliko mtu mwingine

Huyu ndiye anatushughulisha maana ni hatari sana kwa umoja wakitaifa.

Hatutapunzika hadi taifa hili liwe salama, dhidi ya wafitini na wachonganishi kama supreme leader
 
Rudi ukasome hoja. Mwenzako Ritz ameshaanza anapata elimu

Kasome kwanza, halafu uje tuongee habari za fitna za supreme leader

Tunasema hakuna sababu za mtu mmoja kuleta farki katika taifa.

Kauli za supreme ambazo ni zake na hajazikana zimeleta mgawanyiko usiowa lazima katika taifa

Matatizo ya Shinyanga ni zao la serikali iliyopo madarakani.Hayasababishwi na wananchi wa Kilimanjaro au Arusha

Huko nyuma supreme leader kwa chuki zake alisema ‘’ Hatuna sababu ya kuogopa EAC kwasababu kuna tiofauti ya maendeleo baina ya Kilimanjarona Kigoma’’

Miongoni mwa vitu vya msingi katika maisha ni pamoja na kujua wakati wa kustop vinginevyo utabaki tu unarudia yaleyale ya yuleyule uliyoongea vilevile kwa namna ileile daima dumu, hii pia ni aina ya utumwa.

Yeyote anayesoma hapa anaona kabisa kupitia maandishi yako kuwa una uzalendo wa dhati sio na Tanzania bali mkoa wako Kilimanjaro, ndio maana ata imekuwa kosa kwako kwa Zitto kutaja tu jina Kilimanjaro, kwa mzalendo huyu wa Kilimanjaro na taifa la kufikirika la Kaskazini hilo ni kosa kubwa.

Zamani ulikuwa Mtanzania lakini sasa umerudi kwenye Ukaskazini, sina uhakika kama hutaishia kwenye kabila lako, maana dhambi ya ubaguzi haina mwisho.

Una jina la kulilinda,tunza heshima yako.
 
cc Kitila Mkumbo
 
Last edited by a moderator:

Kweli hivi viloja,tuonyeshe kwa ushahidi usio na Shaka wapi Zitto alisema,Matatizo ya Shinyanga yanaletwa na Kilimanjaro, ukileta najitoa JF,nakuacha na Alinda wako
CC
Ritz Mkandara
 
Kwa kweli inasikitisha sana kwa wazoefu wa kitambo wa JF wanapojishusha kwa level hii, ni aibu!

Tatizo Nguruvi na Alinda wamekubali kuwa watumwa wa chuki, na bahati mbaya chuki huondoa maarifa.

Zitto amekuwa mateso sana kwa ndugu zetu hawa, angalia posts za Nguruvi na Alinda kwa miezi kadhaa sasa, zaidi ya 95% ya post zao ni Zitto, Zitto, Zitto, Zittophobia. Mapema watakapogundua kuwa chuki au uoga huu kwa Zitto unawatesa ndio pona yao.
 
Last edited by a moderator:
Nguruv Tuwekee hotuba halisi ya Zitto tujisomee wenyewe alichosema, Acha longolongo, na Tantalalila.

Kama unatumia mada ya Kifacebook sema!, Bora Mwenzako Alinda yeye ushahidi wake ni Wall ya Facebook ya Zitto, Je wewe nawe Waitumia hii wall ya ZZK kama evidence?

Mimi sikuachi mpaka uilete hii speech ukumbini, Utarukaruka weeeee, lakini the bottom line nitakuomba ushahidi wa Speech.

Kama huna hiyo speech basi Arguments zako juu ya hili suala humu jamvini ni bure kabisa, zimebase katika hearsay, ni uzushi na
 
Kweli hivi viloja,tuonyeshe kwa ushahidi usio na Shaka wapi Zitto alisema,Matatizo ya Shinyanga yanaletwa na Kilimanjaro, ukileta najitoa JF,nakuacha na Alinda wako
CC
Ritz Mkandara
Ukiulizwa unakimbia, uzi ukisonga mbele unarudi
Jibu hoja zetu za nyuma, hilo ndilo unatakiwa ufanye
 
Nguruv Tuwekee hotuba halisi ya Zitto tujisomee wenyewe alichosema, Acha longolongo, na Tantalalila.

Kama unatumia mada ya Kifacebook sema!, Bora Mwenzako Alinda yeye ushahidi wake ni Wall ya Facebook ya Zitto, Je wewe nawe Waitumia hii wall ya ZZK kama evidence?

Mimi sikuachi mpaka uilete hii speech ukumbini, Utarukaruka weeeee, lakini the bottom line nitakuomba ushahidi wa Speech.

Kama huna hiyo speech basi Arguments zako juu ya hili suala humu jamvini ni bure kabisa, zimebase katika hearsay, ni uzushi na
Kwasababu hujarudi kusoma kama wenzako tuliowashuri,unauliza swali ambalo jibu lake limeshatoka.

Nikukumbushe kuwa nani ameletahoja ya hotuba? Hizo zilizopo zimeingaije hapa na zimejadiliwa kwa mtazamo gani.Soma mabandiko ya nyuma

Hatuwezi kurudi page 45 nyuma kumfahamisha mtuasiyejishughulisha kutafuta habari. Tunasema mtaala wa elimu hauwezikusimamishwa kwasababu tu wapo watoto wawili au wane wasiotaka kushugulishaakili zao. JF rekodi hazifutiki.

Supreme leader aliaminisha watu kuwa katiba ilibadilishwa kinyemela. Tumeshuhudia akitamka yeye ni mwanzilishi wa ACT. Wakati huo huo alikuwa mahakamani.

Hili tu linanonyeshaaina ya siasa za ulaghai. Huwezi kutetea tumbo lako kwa mgongo wa demokrasia

Tumeaninishwa kuwa chama chake cha zamani kilikuwa cha kikanda na kikabila.
Tumeshuhudia akitamka maneno yenye mwelekeo wa kukuza na sikupinga ukanda na ukabila.(uhutu n utuisi)

Tukaaminishwa kafukuzwa kutokana na misimamo yake. Leo kaendakufukuza waanzilishi wa chama bila uvumilivu

Tukaaminishwa katiba ni kitu kisichotaka kuchezewa kinyemela.
Tumeona katiba ikibadilishwa ili kumhifadhi mtu na si chama

Haya ndiyo tunayapinga, si kwasababu za vyama bali kutakakujenga utamaduni mpya wa siasa safi na si maji taka. Siasa za kulisaidia taifasi kuligawa.

Siasa za kupingana kwa hoja si kuchonganisha wananchi.

Matatizo ya Shinyanga hayaletwi na Kilimanjaro au Arusha
Tunataka mjibu hoja zetu, kuna mahusiano gani kati ya kuchangia pato la taifa na maendeleo kama anavyodai supreme leader
Hizi ndizo hoja mtambuka zilizopo mbele yetu
 
Miongoni mwa vitu vya msingi katika maisha ni pamoja na kujua wakati wa kustop vinginevyo utabaki tu unarudia yaleyale ya yuleyule uliyoongea vilevile kwa namna ileile daima dumu, hii pia ni aina ya utumwa.

Yeyote anayesoma hapa anaona kabisa kupitia maandishi yako kuwa una uzalendo wa dhati sio na Tanzania bali mkoa wako Kilimanjaro, ndio maana ata imekuwa kosa kwako kwa Zitto kutaja tu jina Kilimanjaro, kwa mzalendo huyu wa Kilimanjaro na taifa la kufikirika la Kaskazini hilo ni kosa kubwa.

Zamani ulikuwa Mtanzania lakini sasa umerudi kwenye Ukaskazini, sina uhakika kama hutaishia kwenye kabila lako, maana dhambi ya ubaguzi haina mwisho.

Una jina la kulilinda,tunza heshima yako.
Well, uzalendo wa Tanzania hauna shaka kwangu binafasi.Unaweza kuwa na shaka kwa mwingine.

Nina amini Tanzania ni moja na matatizo yaliyopo yanasababishwa na dude tulilolikumbatia kwa miaka 50.

Uzalendo wa mikoa ni hoja mpya katika siasa za Tanzania. Ni hoja iliyoanzishwa na inayaopandwa na watu wanaotaka kuligawa taifa. Supremeleader akiwa na wazo hilo

Matatizo ya mkoa mmoja hayatokani na uchangiaji wa pato la taifa.

Maendeleo ya eneo moja yameanishwa katika mbandiko ya awali. Maendeleo ni nini na ni vigezo gani vinaweka tofauti kati ya eneo na eneo. Rudi nyumakasome kwanza. Tatizo umeingia bila kuwa na ufahamu wa nini kinaongelewa

Kauli zinazohusu mikoa ni hatarishi sana. Sisi wabondei hatuwezi kulalamika matatizo yetu yanatokana na Iringa.

Wala hatuwezi kudai tuna walakini wa kutaka mabadiliko, eti kwasababu uvinza na Ujiji walikuwa wa kwanza, sisi wa Singida na Iringa tuna 'midomo mireeefu'

Hatuwezi kuwabeza wananchi wa Tarime kwa kumchagua Chacha Wangwe katika mabadiliko ya kisiasa ya awali.

Hatuwezi kuwaita wananchi waTarime na Karatu wana midomo mirefu kwasababu tu hawakuwa wa kwanza kupatawabunge

Hatuwezi kuifanya mikoa kama Kilimanjaro victim wa jitihada zao.

Hatuwezi kukubali pato la taifa liwe kigezo cha maendeleo.

Hatuwezi kuwaacha Singida na Lindi eti kwasababu mchango wao katika payo la taifa ni mdogo.

Hatuwezi kukumbatia siasa zinazoligawa taifa katika misingi ya uchonganishi.
Hakuna takwimu zinazoonyesha mkoa fulani unaumiza mwingine.Wapi hoja ya kushambulia mikoa inapotoka?

Haya ndiyo tunatakiwa si kuzungumza, bali kuyakemea na kuwakataa wanaotaka kueneza chuki za maeneo.

Siasa zisiwe chachu ya chuki ziwe chachu ya umoja na maendeleo
 
Kwasababu hujarudi kusoma kama wenzako tuliowashuri,unauliza swali ambalo jibu lake limeshatoka.

Nikukumbushe kuwa nani ameletahoja ya hotuba? Hizo zilizopo zimeingaije hapa na zimejadiliwa kwa mtazamo gani.Soma mabandiko ya nyuma

Hatuwezi kurudi page 45 nyuma kumfahamisha mtuasiyejishughulisha kutafuta habari. Tunasema mtaala wa elimu hauwezikusimamishwa kwasababu tu wapo watoto wawili au wane wasiotaka kushugulishaakili zao. JF rekodi hazifutiki.

Supreme leader aliaminisha watu kuwa katiba ilibadilishwa kinyemela. Tumeshuhudia akitamka yeye ni mwanzilishi wa ACT. Wakati huo huo alikuwa mahakamani.

Hili tu linanonyeshaaina ya siasa za ulaghai. Huwezi kutetea tumbo lako kwa mgongo wa demokrasia

Tumeaninishwa kuwa chama chake cha zamani kilikuwa cha kikanda na kikabila.
Tumeshuhudia akitamka maneno yenye mwelekeo wa kukuza na sikupinga ukanda na ukabila.(uhutu n utuisi)

Tukaaminishwa kafukuzwa kutokana na misimamo yake. Leo kaendakufukuza waanzilishi wa chama bila uvumilivu

Tukaaminishwa katiba ni kitu kisichotaka kuchezewa kinyemela.
Tumeona katiba ikibadilishwa ili kumhifadhi mtu na si chama

Haya ndiyo tunayapinga, si kwasababu za vyama bali kutakakujenga utamaduni mpya wa siasa safi na si maji taka. Siasa za kulisaidia taifasi kuligawa.

Siasa za kupingana kwa hoja si kuchonganisha wananchi.

Matatizo ya Shinyanga hayaletwi na Kilimanjaro au Arusha
Tunataka mjibu hoja zetu, kuna mahusiano gani kati ya kuchangia pato la taifa na maendeleo kama anavyodai supreme leader
Hizi ndizo hoja mtambuka zilizopo mbele yetu

Lete Speech ya Zitto ya maneno ya Ubaguzi ambayo wewe unaitumia kujengea hoja yako dhidi ya ZZK wacha kukimbia kimbia!

Utakukurukakara weee, lakini hatukuachi, tunataka utuwekee hiyo speech.

Kama Unabase ile ya kwenye Facebook, Sema wazi, Kama hubase katika hiyo tupe reference nyingine!

Kuna watu wagumu kweli kuelewa, Sijui huko shuleni walivukavuka vipi!. Swali dogo unaulizwa unajibu menginee!

Kama hauna hiyo hotuba, basi wewe unazua, na dawa yake ni kupuuzwa tu kwa sababu huna hoja, zaidi ya chuki.
 
Kama hauna, basi wewe unazua, na dawa yake ni kupuuzwa tu kwa sababu huna hoja, zaidi ya chuki.
Well, narudia tena na tena. Tumefikaje hapa? Rudi kasome nyuma. Hatupo hapa kurudia jambo lilo wazi

Pili, kupuuzwa hakuna tabu, kila mtu ana haki hiyo. Midhali upo hapa basi hujapuuza.

Tatu, maneno ya supreme leader kama si ya kweli, wapi amekanusha?

Nne, mna dhima ya kuoyesha kama hakusema hayo.
Kumbuka mumeonyesha aliyosema na ndiyo tunayatumia kuwaeleza supreme ni mchochezi

Tano, Una haki ya kuonyesha chuki iliyopo dhidi ya supreme

Sita, wazungu wanasema ‘the burden of persuasion by which the party with burden of proof must establish or refute the disputed factual issue''

  • Mkutano ulikwepo na supreme alihutubia
  • Utetezi wa alichosema umeletwa bila kukanushwa au kusahihishwa
  • Watetezi wa alichosema wapo
  • Takwimu alizotumia zipo na zimletwa na watetezi
  • Matumizi mabaya ya takwimu yameonyeshwa
  • Uchchezi wa matamshi umefanywa

Wanoleta kesi dhidi ya chuki mpo. The quantum of proof ipo kwenu

Wala msituache maana hiyo ni haki yenu.
Nasi mzituzuie kutumia haki yetu. Kama anazuliwa maneno prove

Kasome mabandiko ukipata faham uje hapa. Spinning hazitauzia hoja iliyoko mbele yetu

Tunamkemea mtu anayelenga kuligawa taifa. Tunakemea unafiki na ulaghai. Tuzikatae na kukataa siasa maji chafu

Tupo kitako na supreme, muulizeni kama si kweli
 
Well, narudia tena na tena. Tumefikaje hapa? Rudi kasome nyuma. Hatupo hapa kurudia jambo lilo wazi

Pili, kupuuzwa hakuna tabu, kila mtu ana haki hiyo. Midhali upo hapa basi hujapuuza.

Tatu, maneno ya supreme leader kama si ya kweli, wapi amekanusha?

Nne, mna dhima ya kuoyesha kama hakusema hayo.
Kumbuka mumeonyesha aliyosema na ndiyo tunayatumia kuwaeleza supreme ni mchochezi

Tano, Una haki ya kuonyesha chuki iliyopo dhidi ya supreme

Sita, wazungu wanasema ‘the burden of persuasion by which the party with burden of proof must establish or refute the disputed factual issue’’

Kilicholetwa humu na Adharus na Pia kwa wakati mwingine na Alinda ni kile walichotuambia kuwa ni kauli/ bandiko la Zitto la Facebook!

Ndugu Ritz hapa ameweka bandiko lako mwenyewe ambalo Mambo ya Facebook huyataki

Sasa basi kwa kuwa msingi wa mjadala huu ni bandiko la facebook, na kwa kuwa wewe mambo ya facebook unataka yabaki hukohuko facebook, SASA BASI TUPE HOTUBA MBADALA WA BANDIKO LA FACEBOOK ILI TUWEZE KUMUHUKUMU KWALO ZZK.

Suala la data na takwimu siyo hoja, hoja ni zimenukuliwa kutoka kwa nani, wapi, kwa ukamilifu upi wa kunukuu, na tafsiri yake halisi ni ipi, hiyo ndiyo hoja!
 
Nguruvi3,

Hii ndiyo hotuba ya Zitto aliyeitoa Shinyanga?
 
Haina haja ya kuzunguka kuandika drama nyingi cha msingi Nguruvi3 hawafahamishe wanaukumbi kwa data na reference kutoka kwenye hotuba ya Zitto ambayo anayo inasema kuwa matatizo ya Shinyanga yanasababishwa na Kilimanjaro na Arusha.

Wanaukumbi.

Tufanye subira ndugu yetu Nguruvi3 anatuletea hotuba original ya Zitto aliyeitoa Shinyanga tumsikilize anavyo wafitinisha watanzania kama wahutu na watusi kama alivyotuambia Nguruvi3 na Alinda.

Tuwekee kumbukumbu sawa hatutaki mambo ya Facebook.
 
Last edited by a moderator:
Kilicholetwa humu na Adharus na Pia kwa wakati mwingine na Alinda ni kile walichotuambia kuwa ni kauli/ bandiko la Zitto la Facebook!

Ndugu Ritz hapa ameweka bandiko lako mwenyewe ambalo Mambo ya Facebook huyataki

Sasa basi kwa kuwa msingi wa mjadala huu ni bandiko la facebook, na kwa kuwa wewe mambo ya facebook unataka yabaki hukohuko facebook, SASA BASI TUPE HOTUBA MBADALA WA BANDIKO LA FACEBOOK ILI TUWEZE KUMUHUKUMU KWALO ZZK.

Suala la data na takwimu siyo hoja, hoja ni zimenukuliwa kutoka kwa nani, wapi, kwa ukamilifu upi wa kunukuu, na tafsiri yake halisi ni ipi, hiyo ndiyo hoja!
Eheee! Ndugu yangu nilikuambia urudi kusoma mabandiko.

Hongera umerudi na unaona jinsi unavyopata ufahamu.
Tatizo ni kuwa hujasoma mjadala wote na hivyo kukosa vionjo muhimu vilivyotufikisha hapa

Si kuwa unatonesha vidonda na kumuumiza mhusika, bali pia umenisaidia sana kuleta mashahidi.

Ritz ‘ahsante sana mkuu Ahdarusi,hotuba imenifungua macho''

Ritz- Hotuba nimesikia radio freeAfrika live

Ritz- hiyo ni hotuba ya viwanjavya furshisha, si ya Shinyanga

Mkandara ‘hotuba ya Adharusi na Ritz ni sawa , tumeona jinsi watu wanavyozua maneno, mmoja ameongelea kama anatoa taarifa, na mwingine ameleta data''

Mkandara'' Mbona watu hawalaan ikauli za Mbowe kuhusu usukuma''

Mkandara ‘hakuna tatizo kutaja makabila kama alivyofanya ''

Mkandara, kwani kuna tatizo gani akitoa mfano unaohusu Kilimanjaro na Arusha?

Mkandara ''alichoongelea ni mfumo mbaya wa mgawanyo wa rasilimali''

Kapwela ''Mumemzulia maneno,hajataja mikoa ya kaskazini katika hotuba yake, amesema Kilimanjaro na Arusha

Adharusi '' hayo manen omnamuwekea, hakusema Shinyanga inayonywa na Kilimanjaro na Arusha''

Ushahidi unapatikana zaidi jukwaa la siasa kulikoanzia tafrani na duru

Rekodi zipo na mashahidi wakitaka tutazileta

Unaona ehe!
Ndiyo maana tunasema hatutakaa kimya siasa hizi za kibaguzi, kuligawa taifa, na kuchomeka uchochezi zikienezwa

Nina hakika team mate wako wanasikitika maana rekodi zipo tukiwaonyesha wazi hotuba hizo.

Sasa unatupa kazi ya kunukuu mabandiko na kujaza saver kumbe ni tatizo lako mtu mmoja.

Darsa lisimame kwasababu kuna mwanafunzi anacheza mpira wenzake wakiwa darasani! Ebo

Ukisoma Zaidi utajua tumefikaje hapa

Simama na umma kupinga taifa kumegwa kwa masilahi ya mtu.

Wameanza na kubadili katiba masaa 24, kana kwamba haitoshi sasa wanaingiza mgogoro wao uwe wa taifa.
Tutakemea kamwe hatukaa kimya

Tupo na supreme kitako, na umma unatusikia. Jiulize jana ndio leo?
 
Kuna uwezekano katoa clarification huko face book

Mkandara atakuwa shahidi mzuri tu kwasababu kuanzia jukwa lasiasa hadi hapa, yeye ni kinara wa hoja husika.

Msome hapo juu, ‘’ Shinyanga inachangia Zaidi haipati stahiki, Kilimanjaro inachangia kidogo inapata stahiki’’

Mwenzako team Adharusi kaja na data kabisa

Nashangaa hukuona hayo yote. All in all,tunajua alifanya shambulio la kisiasa dhidi ya mikoa ya kaskazini
Nilipokuja na hotuba ya Zitto Ukumbini Nguruvi3 alihamaki sana akajibu hivi.

Hii hotuba imekuja kufinchanga finyanga hoja zao na kupiga nazo usoni.

Zitto.

Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu.
 
Last edited by a moderator:
Eheee! Ndugu yangu nilikuambia urudi kusoma mabandiko.

Hongera umerudi na unaona jinsi unavyopata ufahamu.
Tatizo ni kuwa hujasoma mjadala wote na hivyo kukosa vionjo muhimu vilivyotufikisha hapa

Si kuwa unatonesha vidonda na kumuumiza mhusika, bali pia umenisaidia sana kuleta mashahidi.

Ritz ‘ahsante sana mkuu Ahdarusi,hotuba imenifungua macho’’

Ritz- Hotuba nimesikia radio freeAfrika live

Ritz- hiyo ni hotuba ya viwanjavya furshisha, si ya Shinyanga

Mkandara ‘hotuba ya Adharusi na Ritz ni sawa , tumeona jinsi watu wanavyozua maneno, mmoja ameongelea kama anatoa taarifa, na mwingine ameleta data’’

Mkandara’’ Mbona watu hawalaan ikauli za Mbowe kuhusu usukuma’’

Mkandara ‘hakuna tatizo kutaja makabila kama alivyofanya ’’

Mkandara, kwani kuna tatizo gani akitoa mfano unaohusu Kilimanjaro na Arusha?

Mkandara ‘’alichoongelea ni mfumo mbaya wa mgawanyo wa rasilimali''

Kapwela ‘’Mumemzulia maneno,hajataja mikoa ya kaskazini katika hotuba yake, amesema Kilimanjaro na Arusha

Adharusi ‘’ hayo manen omnamuwekea, hakusema Shinyanga inayonywa na Kilimanjaro na Arusha’’

Ushahidi unapatikana zaidi jukwaa la siasa kulikoanzia tafrani na duru

Rekodi zipo na mashahidi wakitaka tutazileta

Unaona ehe!
Ndiyo maana tunasema hatutakaa kimya siasa hizi za kibaguzi, kuligawa taifa, na kuchomeka uchochezi zikienezwa

Nina hakika team mate wako wanasikitika maana rekodi zipo tukiwaonyesha wazi hotuba hizo.

Sasa unatupa kazi ya kunukuu mabandiko na kujaza saver kumbe ni tatizo lako mtu mmoja.

Darsa lisimame kwasababu kuna mwanafunzi anacheza mpira wenzake wakiwa darasani! Ebo

Ukisoma Zaidi utajua tumefikaje hapa

Simama na umma kupinga taifa kumegwa kwa masilahi ya mtu.

Wameanza na kubadili katiba masaa 24, kana kwamba haitoshi sasa wanaingiza mgogoro wao uwe wa taifa.
Tutakemea kamwe hatukaa kimya

Tupo na supreme kitako, na umma unatusikia. Jiulize jana ndio leo?
Nguruvi3.

Usipanic mkuu huu mnakasha tu weka sasa na wewe hotuba ya Zitto uliomsikia akiwafitinisha watanzania huko Shinyanga umma wa watanzania waisome.
 
Last edited by a moderator:
Miongoni mwa vitu vya msingi katika maisha ni pamoja na kujua wakati wa kustop vinginevyo utabaki tu unarudia yaleyale ya yuleyule uliyoongea vilevile kwa namna ileile daima dumu, hii pia ni aina ya utumwa.

Yeyote anayesoma hapa anaona kabisa kupitia maandishi yako kuwa una uzalendo wa dhati sio na Tanzania bali mkoa wako Kilimanjaro, ndio maana ata imekuwa kosa kwako kwa Zitto kutaja tu jina Kilimanjaro, kwa mzalendo huyu wa Kilimanjaro na taifa la kufikirika la Kaskazini hilo ni kosa kubwa.

Zamani ulikuwa Mtanzania lakini sasa umerudi kwenye Ukaskazini, sina uhakika kama hutaishia kwenye kabila lako, maana dhambi ya ubaguzi haina mwisho.

Una jina la kulilinda,tunza heshima yako.

Umerudi?
Nasubiri majibu.. Je kuna mahusiano gani kati ya kuchangia pato la taifa na maendeleo ya mikoa husika? Ili ndilo swali langu ambalo umekuwa unalipweka. Ili swali lina ugumu gani?

Kumbuka mipasho, vijembe na kejeri hazitamtoa Zitto katika tope ili, Kitakachomtoa ni Hoja zilizosimama tena za bila mipasho. Maadam huko tayari kumsaidia hebu tupe ufahamu wako wa swali hilo hapo juu.. wakati nikiperuzi baadhi ya maswali yangu mengine uliyoyakimbia.
 
Back
Top Bottom