Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

A.

Mag3 je una proof yeyote kuonyesha haya uliyoyaandika ( ya zamani au yajayo) , ili yasionekane hekaya au fiction?

B.

Pia unieleze mechanism ya aina ya usaliti anaoufanya zitto ili kashkash zake akiwa PAC na mambo aliyoyafanya against CCM na serikali yake yaonekane ni usanii
1. uhusika wake kwenye escrow ( ambapo chadema nao waliunga mkono) na effects zake kwenye serikali kupelekea kujiuzulu viongozi wengi
2. Madudu kibao au fedha kibao zilizotangazwa kuibiwa AU kutumiwa vibaya na serikali ya CCM akiwa PAC
3. fedha za uswiss/ elezea kuwa ni usanii wa zitto na ccm ( usichanganye kusema anataka sifa) post yako inaelezea kinaga ubaga uhusika wa zitto kuwa katumwa na ccm....just spill out the proof

C

I cant list all of them, just elezea kinagaubaga aina hii ya siasa za zitto za kutumika kwenye serikali ambayo yeye ni no. moja kuwadhalilisha na kuwaonyesha ubaya wao

Unaweza ukaweka kabisa ukataja hata watu ndani ya CCM, specific ambao wana mastermind mambo ambayo wengi hawayaelewi

mfano elezea: kuwa escrow ilipangwa na CCM, ikaibuliwa na kafulila, kisha ilipangwa kwenda bungeni kama vile na ikapangwa mawaziri wajiuzulu.....n.k just elezea vizuri

D.

Mwisho nieleze wapinzani wengine au wapenda mabadiliko kama wewe ( walioko bungeni) ambao wanajua mipango hii, aidha hawachukui hatua au wanaangalia hii filamu

Elezea hoja zao, kazi zao, upinzani wao wanaoufanya, na siasa zao wanazozifanya nje ya zile za zitto ambazo wao wanaona wako sahihi na kwa kupitia hizo CCM itaondoka madarakani

Zitto anajinadi kama Mzalendo. Je:

1. fedha Za ACT zimepatikana kizalendo? Tupe mchanganuo.

2. Zitto kamkaribisha Lowassa Chadema, Je kukaribisha mwana CCM ni sehemu Ya uzalendo? Kivipi?

3. Kafulila ndiye aliyeibua hoja Ya escrow bungeni, halima mdee na wengine wakaisimamia Hadi ikafikia hali husika. kweli sio kweli? Kwanini Zitto anadanganya kwamba ni hoja yake?

4. Kwanini aliungana na chenge kuzuia bunge kufanya maamuzi yake kama kweli Alikuwa na nia Ya dhati kuhakikisha wahusika wanachukuliwa hatua?

5. Kuhusu Zitto kufanikisha Mawaziri kuachia Ngazi, Je, Karamagi aliachia Ngazi kutokana na buzwagi au Richmond? Mchango wa Zitto kwenye kashfa Ya Richmond per Sitta na mwakyembe ulikuwa nini?

6. Zitto alipinga ukawa kutoka bungeni, Zitto aliita ukawa wasaka tonge, Zitto alitamka kwamba ukawa Una nia Ya kuvunja muungano, Je, kwanini ukawa umwamini mtu wa aina hiyo kwamba atakuwa an asset to ukawa?kwa Lipi? zitto anataka kujiunga na ukawa kwa sababu gani?
 
chuki zenu hizi zitawaua ndio maana hata maada mnarukaruka mno!

Mchambuzi unaweza kuweka vithibitisho vya unayoyasema??

ukishindwa post no #498 ina kuhu
Waberoya,

Chuki yetu ni kuhusu matapeli wa Kisiasa kama Zitto Kabwe. Huyu ni tapeli mkubwa, mchonganishi kwa watanzania, Msaliti kwa watafuta mabadiliko. Tumeeleza kwanini tunasema hivyo, Hamna majibu zaidi Ya Kuja na hoja nyepesi nyepesi. Hapo juu nime kuuliza maswali, nasubiri majibu kutoka kwako.

Chuki yetu ni dhidi Ya wanasiasa Walaghai na wasaliti Kama Zitto. Tanzania inajaribu kuondokana na party state politics and imperial presidency kupitia katiba mpya, Tanzania inajaribu kuondokana na imperial leadership katika vyama na taifa, yote haya Zitto anaturudisha nyuma. Kwanini tusimwone kama kikwazo towards development of liberal democracy?
 
Last edited by a moderator:
Tena ninshangaa sana hili swali sijaulizwa, na nakushukuru sana kwa kulisema

Nasimama katika hoja yangu, Zanzibar haina mchango katika muungano. Period

Zanzibar ni nchi ikiwa na vyombo vyake. Haki wanayodai ni pamoja na ile ya kutawala, kupewa nafasi za uongozi, kupewa mgao wa fedha zisizowahusu na wasiochangia. Znz wana katiba na Rais wao, wana mambo yasiyotuhusu hata kidogo.
Hoja yao ni kuwa wao ni washirika wa muungano.

Kigoma, Kilimanjaro, Mtwara, Singida n.k. ni watu wa nchi moja ya Tanganyika.
Hakuna katiba ya pembeni inayowatawala, na sote tunakusanya na kugawana kutoka kikapu kimoja.

Hakuna mahali mkoa wa Tanganyika umewahi kupewa haki na hadhi kama Zanzibar.

Sisi ni wa Taifa moja Tanganyika, tuna vyombo vyote kama taifa moja.

Hivyo suala la Zanzibar halifanani na hoja ya Zitto. Tena hapa ninatetea utaifa wa Tanganyika kwa maana kuwa hatuhitaji Zitto aanze kutugawa, historia, jiografia na asili haikubaliani na hoja zake, inakubaliana na hoja zangu

Nikupe mfano, makamu wa Rais amepataikana kwa uzanzibar wake. Mawaziri wa muungano wengine wanachaguliwa kwa uzanzibar wao tu. Hakuna mkoa wa Tanganyika kiongozi anapatikana kwa u-mkoa wake.

Hawa wznz wanapewa fursa hizo kwasababu wao ni washirika ingawa ushirika wao ni wa kudai bila kuchangia
Mkoa wa mwisho kwa uchangiaji Tanganyika, unachangia zaidi ya Znz. Haipo katika orodha ni wa kubebwa tu, usione aibu kusema

Kama ZNZ watakubali kuwa mkoa mmojawapo wa Tanganyika hatutakuwa na matatizo.

Na wakikubali hatutaki kusikia upuuzi wa kugawana uongozi, katiba ya pembeni, bendera ya pembeni wala bunge la pembeni.

Nadhani unaona jinsi chungwa na kalimati yanavyotofautiana.

Hoja anazojenga Zitto na ACT zinataka kuwagawa watu wamoja na hizo tunazikataa.
Lini Shinyanga na Kilimanjaro wakawa nchi tofauti. Supreme anaelewa hilo, anachokifanya ni kutaka kuligawa taifa.

Nilisubiri sana hii hoja nikijua ataibuka nayo Mkandara, mjanja aliona itazidi kuingiza maji ndani ya jahazi

Baada ya kushindwa utetezi kwa supreme mnaona mtafute kila kitu mtupe jamvini kutuondoa katika mada
Adharusi ameulizwa na Mag3 atuletee twakimu za Zitto ! kakimbia, mambo yakipoa anaibuka na jingine

Guess what, tunajua tunaongelea nini, na siku zote huwa tumejiandaa

Hoja imepoteza mashiko na imefungwa.

I think my post spooked you. You didn’t expect that and now you try harder to cover your tracks. You use the same tactics as the person you despise.

One thing is if what you try to do here is part of your therapy, I can completely understand that effort. However, if you believe that your work here educates and inspires people, then Zitto is one of your students and you should be very proud of him. For, he has taken your work to the new heights or new dimensions if you will. Feverishly, you talk about the union. He, on other hand, talks about regions.

The major reason you talk uncontrollably about union issues is the distribution of financial resources. You think that people of Tanganyika take more than their fair shape of the union. On that I am with you brother. But one thing you must be aware is that the debate doesn’t end right there. For, within Tanganyika itself, there is a huge disparity and some of us will welcome any politician who brings the disparity issue to the fore. Whether the person is a charlatan or not, uneducated me won’t care.
 
What made Zitto say ukawa is made of power hungry monsters?

What made Zitto say ukawa's intention is to break the union?

Why is he attempting to become part of ukawa?
 
Zakumi,

Local government authorities account for about 6% to 10% of tax revenues collected annually countrywide. Majority of this goes to finance operations costs - salaries and allowances. So you are wrong to say that LGAs can't even pay salaries for their employees. You should have said that LGAs don't have enough funds to finance development projects in their jurisdictions, and thats where subsidies in terms of transfers from central government becomes handy.

About GDP- tax revenues argument,while the international development community is in the final stage of getting rid of GDP as a measure of economic well being in the society, looks like you have decided to stick your head into the past. I will return to explain further...

Lastly about Zitto, it's the "HOW said" that we are talking about here, not the "WHAT said".

I think we will not settle this one down. To me the business of running an entity, government or private, is fully self-sufficient, when the business meets its financial obligations: including paying all its employees. So paying 3 employees or even 7 employees out of 10 doesn't make the cut. I don't accept any short cuts, and to that end I don't accept the comparison you try to make between Tanzanian local governments and states (In the US).

With regard to GDP, just because intellectuals and activists in the international development community doesn't like the term, it doesn't mean the term will not be applicable. In this debate, what do you want us to use? Gross National Happiness?
 
What made Zitto say ukawa is made of power hungry monsters?

What made Zitto say ukawa's intention is to break the union?

Why is he attempting to become part of ukawa?

The different between us is I am not obsessed with the guy. Life is too short and I don't wake up every morning trying to figure out what Zitto says. If his political and personal activities are within his constitution rights, he's entitled to do what he wants to do. From example, he's free to join any political party and use that platform support or oppose CCM.

If ACT is pro-CCM, why should you or I upset? Is there any constitution amendment that requires opposition parties to work together?
 
I think my post spooked you. You didn't expect that and now you try harder to cover your tracks. You use the same tactics as the person you despise.

One thing is if what you try to do here is part of your therapy, I can completely understand that effort. However, if you believe that your work here educates and inspires people, then Zitto is one of your students and you should be very proud of him. For, he has taken your work to the new heights or new dimensions if you will. Feverishly, you talk about the union. He, on other hand, talks about regions.

The major reason you talk uncontrollably about union issues is the distribution of financial resources. You think that people of Tanganyika take more than their fair shape of the union. On that I am with you brother. But one thing you must be aware is that the debate doesn't end right there. For, within Tanganyika itself, there is a huge disparity and some of us will welcome any politician who brings the disparity issue to the fore. Whether the person is a charlatan or not, uneducated me won't care.
No sir, kumbu kumbu zipo JF.

Hoja ulioleta niliitegemea kutoka kwa Mkandara , tumekuwa na mjadala naye sana kuhusu Zanzibar na Tanganyika.

Ukweli kuwa tumeeleza position zetu clear kuhusu Zanzibar,hukujibu na sasa unaelekeza mashambulizi katika personality, ni testimony nzuri tu, tunasimama kwa kile kilicho sahihi si kuvutwa na upepo unaovuma bila kujua unaelekea wapi

Kuhusu supreme leader na siasa za mikoani, unasahau Zitto amekuwa katika siasa za nchi, mikoani ni katika kutapa tapa

Kuna tofauti za maeneo na wala si Tanzania, ni dunia nzima. Kinachozungumzwa ni namna gani ya ku-address matatizo
Zitto alipaswa kuangalia matatizo katika ngazi mbali mbali kwa jicho la taifa na si jicho la wale na ninyi

Alipoongelea hoja ya Buzwagi, Zitto aliungwa mkono na taifa zima.
Hoja yake ilikuwa dhuluma inayofanyiwa nchi na kikundi cha watu. Si dhuluma ya wana Buzwagi.

Tulikubaliana naye kuwa mrahaba ni kidogo, na kukubaliana naye, kampuni zina wajibu katika maeneo wanayochimba.

Mwananchi wa Nyamongo hawezi kunywa maji ya Mercury ili pesa ije hazina. Kiasi fulani kibaki kusaidia eneo husika

Mwanza na Shinyanga anasema, matatizo yao yanaletwa na Arushana Kilimanjaro wanaochangia kidogo na kuchukua sana.Hili si jambo la kupuuzwa hata kidogo.

Average Tanzanian atajenga chuki isiyo na sababu na tunaweza kuona xenophobia

Swali, baada ya kuwabebesha mzigo wa matatizo wananchi wa Arusha na Kili, Zitto atawaeleza nini wananchi wa Lindi, Singida na Dodoma?

Zitto atambebesha nani lawama za Unga Limited Arusha,Manzese, Isevya,Kalimani-moshi, naMikindani?

Nani mchawi wa Watanzania, ni wananchi wa eneo moja dhidi ya jingine au ni miaka 50 chini ya CCM na serikali yake?

Siasa za region zinalenga nini, kuwaamsha wananchi dhidi ya maumivu wanayokabiliana nayo au kuwagawa kwahoja za kuwachionganisha

Kama unadhani supreme anafanya siasa za region, leo wananchi wa Shinyanga, Mwanza, Arusha na Kilimanjaro wanajisikiaje kwa siasa za region za supreme?
 
Waberoya,

Chuki yetu ni kuhusu matapeli wa Kisiasa kama Zitto Kabwe. Huyu ni tapeli mkubwa, mchonganishi kwa watanzania, Msaliti kwa watafuta mabadiliko. Tumeeleza kwanini tunasema hivyo, Hamna majibu zaidi Ya Kuja na hoja nyepesi nyepesi. Hapo juu nime kuuliza maswali, nasubiri majibu kutoka kwako.

Chuki yetu ni dhidi Ya wanasiasa Walaghai na wasaliti Kama Zitto. Tanzania inajaribu kuondokana na party state politics and imperial presidency kupitia katiba mpya, Tanzania inajaribu kuondokana na imperial leadership katika vyama na taifa, yote haya Zitto anaturudisha nyuma. Kwanini tusimwone kama kikwazo towards development of liberal democracy?

What made Zitto say ukawa is made of power hungry monsters?

What made Zitto say ukawa's intention is to break the union?

Why is he attempting to become part of ukawa?

Katika matapeli wa kisiasa ni zitto tu unayemuona anayekufanya uamke saa kumi usiku kumjadili???

kuwa alisema hivi na leo anafanya hivi, Mbowe alisema nini juu ya CUF, NCCR na Kafulila na kafanya nini? in politics that is common..' i said in politics' kwa sababu nkulumba umeamua siasa za online na huwezi kamwe kwenda front tukakusikia kamwe huwezi kufikia level ya zitto

kuwa ni tapeli nimeuliza uthibitisho hauna......ila unasisitiza ni tapeli

Tapeli huyu anayeisumbua serikali na nyie mafisadi basi kwa wananchi wengi ni mzuri......

zitto angekuwa weak na mituhuma yoote mliyomtupia angekuwa ameishakufa

with this kind of hatred na kumjadili zitto on my side huwa nina chaguaga ku 'ignore him'

You can ignore him easily!!! he is in your brain....mnajua dhamiri zinawahukumu, damu ya mtu ile

Believe me chacha wangwe asingekufa he could have been in another party, Mbowe kama wewe hawezi kamwe kuwa handle watu wa aina ya Zitto

i wonder, over all 40m million people in TZ you cant sleep and the only enemy you know is Zitto......yaani umewadanganya wenzako na kujiaminisha wewe sio CCM ili uwe wa kwao..Asajile we mbaya

mchambuzi una sifa zote za utoto na unafiki!!!

chuki mnazofanya kwa kijana mwenzenu zinawatia aibu wakuu, badilikeni!!! huwezi kumchukia mtu kisi hiki hali huna uthibitisho wa tuhuma, wala hujawahi kuziona, umehadithiwa, wenzetu kweli wanaowadanganya ni akina nani?? kwa nn wakuu

sijawahi pamoja na kumuona Mbowe ni mhuni tu wa siasa, kama CCM tu sijawahi kukaa na kusema anipotezee muda wa kufuatilia maisha yake I have 'just ignore him'!!

ha ha ha 'ignore him'

najua hauwezi, ametawala damu, akili na kila kitu chako that TELLS A LOT

CHUKI IKIKUTAWALA UNAKUWA MTUMWA
 
I think we will not settle this one down. To me the business of running an entity, government or private, is fully self-sufficient, when the business meets its financial obligations: including paying all its employees. So paying 3 employees or even 7 employees out of 10 doesn't make the cut. I don't accept any short cuts, and to that end I don't accept the comparison you try to make between Tanzanian local governments and states (In the US).

With regard to GDP, just because intellectuals and activists in the international development community doesn't like the term, it doesn't mean the term will not be applicable. In this debate, what do you want us to use? Gross National Happiness?

GDP is a poor indicator of a country's well being, and it has been a debate even among intellectuals and academicians from the developing world. You may argue against that, but that's the bottom line. Even a simple "Google search" will give you answers.

On Local Government Authorities' finance, I think we have closed that debate. Each authority is self sufficient when it comes to paying Salaries and allowances of employees. Subsidies or transfers from central government often go to cover other expenses.
 
Katika matapeli wa kisiasa ni zitto tu unayemuona anayekufanya uamke saa kumi usiku kumjadili???

kuwa alisema hivi na leo anafanya hivi, Mbowe alisema nini juu ya CUF, NCCR na Kafulila na kafanya nini? in politics that is common..' i said in politics' kwa sababu nkulumba umeamua siasa za online na huwezi kamwe kwenda front tukakusikia kamwe huwezi kufikia level ya zitto

kuwa ni tapeli nimeuliza uthibitisho hauna......ila unasisitiza ni tapeli

Tapeli huyu anayeisumbua serikali na nyie mafisadi basi kwa wananchi wengi ni mzuri......

zitto angekuwa weak na mituhuma yoote mliyomtupia angekuwa ameishakufa

with this kind of hatred na kumjadili zitto on my side huwa nina chaguaga ku 'ignore him'

You can ignore him easily!!! he is in your brain....mnajua dhamiri zinawahukumu, damu ya mtu ile

Believe me chacha wangwe asingekufa he could have been in another party, Mbowe kama wewe hawezi kamwe kuwa handle watu wa aina ya Zitto

i wonder, over all 40m million people in TZ you cant sleep and the only enemy you know is Zitto......yaani umewadanganya wenzako na kujiaminisha wewe sio CCM ili uwe wa kwao..Asajile we mbaya

mchambuzi una sifa zote za utoto na unafiki!!!

chuki mnazofanya kwa kijana mwenzenu zinawatia aibu wakuu, badilikeni!!! huwezi kumchukia mtu kisi hiki hali huna uthibitisho wa tuhuma, wala hujawahi kuziona, umehadithiwa, wenzetu kweli wanaowadanganya ni akina nani?? kwa nn wakuu

sijawahi pamoja na kumuona Mbowe ni mhuni tu wa siasa, kama CCM tu sijawahi kukaa na kusema anipotezee muda wa kufuatilia maisha yake I have 'just ignore him'!!

ha ha ha 'ignore him'

najua hauwezi, ametawala damu, akili na kila kitu chako that TELLS A LOT

CHUKI IKIKUTAWALA UNAKUWA MTUMWA

Nitakujibu kwanini Zitto ni tapeli wa Kisiasa, hoja kwa hoja. Zitto ni kiongozi, na anatafuta legitimacy mbele Ya umma, mimi nikiwa sehemu Ya huo umma, kwanini nisimjadili? Angekuwa ameamua kuachana na Siasa, Asingetupotezea muda humu. Au ACT ingekuwa ni kampuni Ya ujenzi, clearing and forwarding n.k, tusingekuwa busy na yeye.

Otherwise Zitto ni Msaliti kwa watafuta mabadiliko na ACT ni Mpini wa Kuua upinzani, hata swahiba wake Kitila mkumbo aliweka hilo wazi kwenye gazeti la raia mwema. Hata Zitto mwenyewe alisema wazi majuzi kwamba nia Ya ACT ni kuchukua ngome Za Chadema DSM - Ubungo, Kawe na Segerea. Kwake majimbo Ya ilala, ukonga, Temeke, kinondoni, Kigamboni, haya yote lazima yabakie salama kwa CCM.

Nitarejea kufafanua zaidi juu Ya utapeli, usaliti na unafiki wa supreme leader Zitto Kabwe.
 
............................................

sijawahi pamoja na kumuona Mbowe ni mhuni tu wa siasa, kama CCM tu sijawahi kukaa na kusema anipotezee muda wa kufuatilia maisha yake I have 'just ignore him'!!

ha ha ha 'ignore him'

najua hauwezi, ametawala damu, akili na kila kitu chako that TELLS A LOT

CHUKI IKIKUTAWALA UNAKUWA MTUMWA
duh, mkuu kama ulivyoweza kumu'ignore mbowe , ni kwanini unashindwa ku'ignore hoja zinazotolewa na akina Mchambuzi dhidi ya kiongozi mkuu? mbona kiongozi mkuu anapoguswa kwa hoja nzito nyinyi watetezi wake mnakuja hoja nyepesi kuwa ni chuki dhidi yake, mara mnasisitiza watu wapotezee habari zake, kwanini?
mbona mnashindwa kutuliza hasira na panic pale anapotajwa Kiongozi wenu mkuu?
 
thanks mkuu.....i will do that
 
thanks mkuu.....i will do that
Good, now that we understand each other...sasa tuendelee kuijadili mada iliyo mbele yetu; Duru za siasa: Chama cha ACT - Mpini wa CCM kumaliza upinzani.

Hii mada ilianzishwa na Nguruvi3 tarehe 11 Mei 2014, siku tano baada ya Chama cha ACT-Tanzania kupata usajili wa kudumu huku ikidaiwa kuwa Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba ni wanachama waanzilishi na mlezi wa chama akitajwa kuwa ni Zitto Kabwe. Msajili wa Vyama Jaji Mutungi alikabidhi cheti kwa kaimu Mwenyekiti wa ACT-Tanzania, Kadawi Limbu, katika hafla iliyofanyika mjini Dodoma tarehe 6 Mei 2014.

Kwa kitendo hicho, Chama cha ACT-TANZANIA kilivunja rekodi kwa kukabidhiwa cheti chake cha usajili wa kudumu rasmi ndani ya muda mfupi kuliko wakati wowote huko nyuma mara baada ya usajili wa muda. Hali hiyo haikuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi nchini na wengi walibaki wakijiuliza kulikoni wakikumbuka usajili wa vyama huko nyuma ulivyogubikwa na mizengwe hadi vingine kunyimwa usajili kabisa kwa hofu ya kuwa mpini kwa chama tawala.

Kwa Mujibu wa Msajili wa vyama vya siasa Nchini chama hicho kilidaiwa kupata wanachama 200 kila mkoa katika mikoa 10 Tanzania bara na visiwani na hivyo kuungana na 22 vyenye usajili wa kudumu vitakavyoshiriki katika chaguzi mbalimbali ukiwemo uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2015. Hata hivyo haikuweza kuthibitika mara moja kama uhakiki wa hao wanachama ulifanywa na ofisi ya msajili kama ulivyotakiwa.

Wakati chama cha ACT-Tanzania kinapata usajili wa kudumu, aliyedaiwa kuwa mlezi wake, Zitto Kabwe, alikuwa amefungua kesi mahakamani akipinga kufukuzwa Chadema. Ikumbukwe kuwa washiriki wa Zitto, Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba tayari walikuwa wamekwishatinga huko kwa chama chao kipya. Ajabu ni kwamba chama hakikuzinduliwa kwa muda wa mwaka moja, je walikuwa wanamsubiri Supreme Leader?

Hivi tafsiri ya usaliti ukoje? Haya tuendelee...
 
Zitto anajinadi kama Mzalendo. Je:

1. fedha Za ACT zimepatikana kizalendo? Tupe mchanganuo.

2. Zitto kamkaribisha Lowassa Chadema, Je kukaribisha mwana CCM ni sehemu Ya uzalendo? Kivipi?

3. Kafulila ndiye aliyeibua hoja Ya escrow bungeni, halima mdee na wengine wakaisimamia Hadi ikafikia hali husika. kweli sio kweli? Kwanini Zitto anadanganya kwamba ni hoja yake?

4. Kwanini aliungana na chenge kuzuia bunge kufanya maamuzi yake kama kweli Alikuwa na nia Ya dhati kuhakikisha wahusika wanachukuliwa hatua?

5. Kuhusu Zitto kufanikisha Mawaziri kuachia Ngazi, Je, Karamagi aliachia Ngazi kutokana na buzwagi au Richmond? Mchango wa Zitto kwenye kashfa Ya Richmond per Sitta na mwakyembe ulikuwa nini?

6. Zitto alipinga ukawa kutoka bungeni, Zitto aliita ukawa wasaka tonge, Zitto alitamka kwamba ukawa Una nia Ya kuvunja muungano, Je, kwanini ukawa umwamini mtu wa aina hiyo kwamba atakuwa an asset to ukawa?kwa Lipi? zitto anataka kujiunga na ukawa kwa sababu gani?

Slowly coming obvious, been saying all along Zitto si mwanasiasa wa kumwamini. He does not have what he stands for, yeye ni mslahi binafsi zaidi. Kama chama chake kingekuwa sawa kisera na CDM, kingeuwa na nina sawa na CDM ningesema ana msimamo mmoja, lakini leo anaingia chama kingine anasema ni pro UKAWA????WTF...how come
 
GDP is a poor indicator of a country's well being, and it has been a debate even among intellectuals and academicians from the developing world. You may argue against that, but that's the bottom line. Even a simple "Google search" will give you answers.

On Local Government Authorities' finance, I think we have closed that debate. Each authority is self sufficient when it comes to paying Salaries and allowances of employees. Subsidies or transfers from central government often go to cover other expenses.

If it's a poor indicator, you are welcome to come up with something new. It surprises me that your intellectuals have been complaining for more than 40 years, but they have done nothing to address the issues. If they think that they can invent something better to describe the well being of their nations, they should go for that and stop whining. It's simple as that.

Now with regard to the local governments, yes let's close it. But before we do that, let me ask you a favor. Do you have any recent data sources which reaffirm your stance? I am reading some technical papers on the issue and it seems to me that without subsidies from the central government, the local governments will cease to exist. For, more than 80% of their revenues come from the central governments.

Dilemmas of Fiscal Decentralisation.
A Study of Local Government Taxation in Tanzania
Odd-Helge Fjeldstad
and Joseph Semboja

Overview of Municipal Finance Syst
ems in Dar-es-Salaam, Tanzania
Pritha Venkatachalam
Development Studies Institute, LSE
 
Nitakujibu kwanini Zitto ni tapeli wa Kisiasa, hoja kwa hoja. Zitto ni kiongozi, na anatafuta legitimacy mbele Ya umma, mimi nikiwa sehemu Ya huo umma, kwanini nisimjadili? Angekuwa ameamua kuachana na Siasa, Asingetupotezea muda humu. Au ACT ingekuwa ni kampuni Ya ujenzi, clearing and forwarding n.k, tusingekuwa busy na yeye.

Otherwise Zitto ni Msaliti kwa watafuta mabadiliko na ACT ni Mpini wa Kuua upinzani, hata swahiba wake Kitila mkumbo aliweka hilo wazi kwenye gazeti la raia mwema. Hata Zitto mwenyewe alisema wazi majuzi kwamba nia Ya ACT ni kuchukua ngome Za Chadema DSM - Ubungo, Kawe na Segerea. Kwake majimbo Ya ilala, ukonga, Temeke, kinondoni, Kigamboni, haya yote lazima yabakie salama kwa CCM.

Nitarejea kufafanua zaidi juu Ya utapeli, usaliti na unafiki wa supreme leader Zitto Kabwe.

The thing is he's been in the public eye for more than 10 years. If you failed to uncovered his tricks during that period, then the guy must be a super genius.

The goal of any new political party is to recruit new members and it doesn't matter where those new members come from. They can come from either the ruling party or the opposition. It's the survival of the fittest.
 
No sir, kumbu kumbu zipo JF.

Hoja ulioleta niliitegemea kutoka kwa Mkandara , tumekuwa na mjadala naye sana kuhusu Zanzibar na Tanganyika.

Ukweli kuwa tumeeleza position zetu clear kuhusu Zanzibar,hukujibu na sasa unaelekeza mashambulizi katika personality, ni testimony nzuri tu, tunasimama kwa kile kilicho sahihi si kuvutwa na upepo unaovuma bila kujua unaelekea wapi

Kuhusu supreme leader na siasa za mikoani, unasahau Zitto amekuwa katika siasa za nchi, mikoani ni katika kutapa tapa

Kuna tofauti za maeneo na wala si Tanzania, ni dunia nzima. Kinachozungumzwa ni namna gani ya ku-address matatizo
Zitto alipaswa kuangalia matatizo katika ngazi mbali mbali kwa jicho la taifa na si jicho la wale na ninyi

Alipoongelea hoja ya Buzwagi, Zitto aliungwa mkono na taifa zima.
Hoja yake ilikuwa dhuluma inayofanyiwa nchi na kikundi cha watu. Si dhuluma ya wana Buzwagi.

Tulikubaliana naye kuwa mrahaba ni kidogo, na kukubaliana naye, kampuni zina wajibu katika maeneo wanayochimba.

Mwananchi wa Nyamongo hawezi kunywa maji ya Mercury ili pesa ije hazina. Kiasi fulani kibaki kusaidia eneo husika

Mwanza na Shinyanga anasema, matatizo yao yanaletwa na Arushana Kilimanjaro wanaochangia kidogo na kuchukua sana.Hili si jambo la kupuuzwa hata kidogo.

Average Tanzanian atajenga chuki isiyo na sababu na tunaweza kuona xenophobia

Swali, baada ya kuwabebesha mzigo wa matatizo wananchi wa Arusha na Kili, Zitto atawaeleza nini wananchi wa Lindi, Singida na Dodoma?

Zitto atambebesha nani lawama za Unga Limited Arusha,Manzese, Isevya,Kalimani-moshi, naMikindani?

Nani mchawi wa Watanzania, ni wananchi wa eneo moja dhidi ya jingine au ni miaka 50 chini ya CCM na serikali yake?

Siasa za region zinalenga nini, kuwaamsha wananchi dhidi ya maumivu wanayokabiliana nayo au kuwagawa kwahoja za kuwachionganisha

Kama unadhani supreme anafanya siasa za region, leo wananchi wa Shinyanga, Mwanza, Arusha na Kilimanjaro wanajisikiaje kwa siasa za region za supreme?

Let me agree with what you say. My question to you now is can you ask hiring managers, top government officials, top party officials, and business owners to stop nepotism in the workplace? When you visit a work which doesn't reflect our divesity, what do you feel?
 
If it's a poor indicator, you are welcome to come up with something new. It surprises me that your intellectuals have been complaining for more than 40 years, but they have done nothing to address the issues. If they think that they can invent something better to describe the well being of their nations, they should go for that and stop whining. It's simple as that.

Now with regard to the local governments, yes let's close it. But before we do that, let me ask you a favor. Do you have any recent data sources which reaffirm your stance? I am reading some technical papers on the issue and it seems to me that without subsidies from the central government, the local governments will cease to exist. For, more than 80% of their revenues come from the central governments.

Dilemmas of Fiscal Decentralisation.
A Study of Local Government Taxation in Tanzania
Odd-Helge Fjeldstad
and Joseph Semboja

Overview of Municipal Finance Syst
ems in Dar-es-Salaam, Tanzania
Pritha Venkatachalam
Development Studies Institute, LSE

Its good that you research as well. I also am glad that your sources confirm my earlier argument about transfers from central government to LGAs. Please note that i didnt dispute that fact. Now tell us, where does it say that LGAs cant afford to pay salaries and allowances to their employees?
 
The thing is he's been in the public eye for more than 10 years. If you failed to uncovered his tricks during that period, then the guy must be a super genius.

In his earlier years in the legislature (2005-2009), Zitto inspired many of us, no doubt about that. There was nothing for us to uncover except to emulate his success. Personally, my intention to run in 2010 was largely influenced by Zitto. Little did we know that he was soon going to transform from an 'inspirational figure' to an 'embarrasing figure' in the public eye.

The goal of any new political party is to recruit new members and it doesn't matter where those new members come from. They can come from either the ruling party or the opposition. It's the survival of the fittest.

Your argument about ACT as a new Political Party:

Kitila Mkumbo alisema kwamba walifukuzwa Chadema na kuambiwa wakaanzishe chama chao. Sasa wamekianzisha, kama vile hoja yako inavyojadili. Lakini msichotaka kukubali ni kwamba Zitto, Kitila na Mwigamba, hawajaanzisha chama chao bali wamepora chama kilichoanzishwa na watu wengine. Ushahidi juu ya hili upo, ukitaka tuujadili, tutaujadili. Kumbuka, ni hawa hawa ambao walikuwa mstari wa mbele kulalamikia mfumo wa demokrasia ndani ya Chadema! Zitto, Kitila, Mwigamba, sasa wamejiongezea sifa mpya nje ya sifa ya "Wasaliti". Sifa hiyo ni ya "waporaji wa demokrasia".

Your argument about Zitto recruiting new members:

Ziara za Zitto katika mikoa kumi aliyofanya zimekuwa ni kelele za debe tupu. Wengi ya wananchi waliohudhuria mikutano yake walikuwa na kiu ya kusikia "msaliti zitto" ana jambo gani jipya. Hakuna cha maana alichovuna, kama kipo, tuwekeeni ushahidi hapa. Nadhani mnakumbuka vyema aibu aliyopata Mwanza. Kiongozi wa kweli na anayekubalika haogopi kujichanganya na wananchi katika mikutani ya hadhara, lakini zitto alikuwa anajichanganya na polisi kuliko wananchi. Hakuwa anajiamini. Na hakuamini masikio yake alipoitwa na wananchi "Yuda Eskareoti". Hiyo ndio sifa yake kuu.

Pengine niwaulize:

· Je, katika ziara zake ameweza kushawishi viongozi gani wa Chadema kuanzia ngazi ya tawi hadi mkoa kujiunga na ACT? Kumbuka, Zitto na wenzake akina Kitila, lengo lao kubwa ni kukiacha chadema uchi kwa kuhamishia wanachama wa Chadema kwenda ACT. Adui namba moja wa ACT ni Chadema, sio CCM.
Zitto na wasaliti wenzake walijigamba na kujiaminisha kwamba kuondoka au kufukuzwa kwake chadema kungeleta mpasuko mkubwa sana ndani ya Chadema. Je:

· Huo mpasuko upo wapi?

Zitto aliaminisha umma kwamba anao viongozi wa ngazi mbalimbali ambao waliapa kuondoka nae kumfuata atakapoenda. Hadi leo hakuna kitu. Sana sana anadanganya tu umma kwamba wabunge 50 watahamia ACT baada ya bunge la sasa kuvunja mwezi Julai. Kwanini wahamie Julai na sio sasa? Kama kweli ni wazalendo kama chama kinavyojitapa kuwa ni cha kizalendo: Je:

· Kwanini hao wabunge 50 wasifanye maamuzi magumu na ya kizalendo sasahivi, na kwa mtindo ule ule wa kiongozi wa Zitto, waende kumfuata huko ACT ba badala yake wanasubiria bunge kuvunjwa Julai?
Jibu ni rahisi sana. Aidha, Zitto hasomeki, Zitto haaminiki, vinginevyo wangehama nae sasa. Au, hao wabunge 50 hawapo, kwahiyo anachofanya ni kudanganya umma ili kuipandisha ACT chati kwa sifa ambazo hazipo.

Tukiangalia safu ya sasa ya uongozi wa ACT, karibia wote tayari walishaonekana kutofaa wakiwa bado chadema. Aidha walishindwa katika chaguzi za ndani kutokana na kutokuwa na mvuto wa kisiasa, na wengine walifukuzwa kutokana na utovu wa nidhamu na usaliti. Tukiachana na wasaliti Mkumbo, Mwigamba, to name a few, tumwangalie Anna Mughwira (Mwenyekiti wa Chadema Taifa):

· Mwenyekiti huyu wa ACT taifa alishindwa na Joshua Nassari kwenye kura ya maoni Arumeru. Wana-chadema Arumeru Mashariki walishaona kwamba hafai kuwa mwakilishi wao bungeni.
· Pamoja na hayo, Mughwira hakukata tamaa kwani baadae aliamua kujitosa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Arusha. Akapigwa mweleka.
· Hakukata tamaa, akasafiri hadi DSM kugombea nafasi ya Katibu Mkuu wa Bawacha pale Mlimani City. Hakufikisha hata kura nne.
· Bado akajiamini kwamba anaweza – akaomba akabidhiwe jimbo la Singida mjini katika uchaguzi wa Vitongoji uliofanyika Mwishoni mwa 2014. Akaishia kuambulia mjumbe mmoja tu!

Huyu ndiye anafanywa kuwa mwenyekiti wa ACT taifa? Hakika ndoto ya Supreme Leader imetimia.
 
Its good that you research as well. I also am glad that your sources confirm my earlier argument about transfers from central government to LGAs. Please note that i didnt dispute that fact. Now tell us, where does it say that LGAs cant afford to pay salaries and allowances to their employees?

The papers confirm the transfer of financial resources from the central government to the local ones. However, that isn't a point we disagree. Is it?

Anyway the role of the central government in financing the LGAs is a Ponzi scheme. It robs Peter to pay Paul.
 
Back
Top Bottom