Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,434
A.
Mag3 je una proof yeyote kuonyesha haya uliyoyaandika ( ya zamani au yajayo) , ili yasionekane hekaya au fiction?
B.
Pia unieleze mechanism ya aina ya usaliti anaoufanya zitto ili kashkash zake akiwa PAC na mambo aliyoyafanya against CCM na serikali yake yaonekane ni usanii
1. uhusika wake kwenye escrow ( ambapo chadema nao waliunga mkono) na effects zake kwenye serikali kupelekea kujiuzulu viongozi wengi
2. Madudu kibao au fedha kibao zilizotangazwa kuibiwa AU kutumiwa vibaya na serikali ya CCM akiwa PAC
3. fedha za uswiss/ elezea kuwa ni usanii wa zitto na ccm ( usichanganye kusema anataka sifa) post yako inaelezea kinaga ubaga uhusika wa zitto kuwa katumwa na ccm....just spill out the proof
C
I cant list all of them, just elezea kinagaubaga aina hii ya siasa za zitto za kutumika kwenye serikali ambayo yeye ni no. moja kuwadhalilisha na kuwaonyesha ubaya wao
Unaweza ukaweka kabisa ukataja hata watu ndani ya CCM, specific ambao wana mastermind mambo ambayo wengi hawayaelewi
mfano elezea: kuwa escrow ilipangwa na CCM, ikaibuliwa na kafulila, kisha ilipangwa kwenda bungeni kama vile na ikapangwa mawaziri wajiuzulu.....n.k just elezea vizuri
D.
Mwisho nieleze wapinzani wengine au wapenda mabadiliko kama wewe ( walioko bungeni) ambao wanajua mipango hii, aidha hawachukui hatua au wanaangalia hii filamu
Elezea hoja zao, kazi zao, upinzani wao wanaoufanya, na siasa zao wanazozifanya nje ya zile za zitto ambazo wao wanaona wako sahihi na kwa kupitia hizo CCM itaondoka madarakani
Zitto anajinadi kama Mzalendo. Je:
1. fedha Za ACT zimepatikana kizalendo? Tupe mchanganuo.
2. Zitto kamkaribisha Lowassa Chadema, Je kukaribisha mwana CCM ni sehemu Ya uzalendo? Kivipi?
3. Kafulila ndiye aliyeibua hoja Ya escrow bungeni, halima mdee na wengine wakaisimamia Hadi ikafikia hali husika. kweli sio kweli? Kwanini Zitto anadanganya kwamba ni hoja yake?
4. Kwanini aliungana na chenge kuzuia bunge kufanya maamuzi yake kama kweli Alikuwa na nia Ya dhati kuhakikisha wahusika wanachukuliwa hatua?
5. Kuhusu Zitto kufanikisha Mawaziri kuachia Ngazi, Je, Karamagi aliachia Ngazi kutokana na buzwagi au Richmond? Mchango wa Zitto kwenye kashfa Ya Richmond per Sitta na mwakyembe ulikuwa nini?
6. Zitto alipinga ukawa kutoka bungeni, Zitto aliita ukawa wasaka tonge, Zitto alitamka kwamba ukawa Una nia Ya kuvunja muungano, Je, kwanini ukawa umwamini mtu wa aina hiyo kwamba atakuwa an asset to ukawa?kwa Lipi? zitto anataka kujiunga na ukawa kwa sababu gani?