Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Unataka kutulaghai hapa. Hivi unajua maana ya dhana ya "kura ya maoni"? Kura hii ilikuwepo 1995 na hata kabla, tofauti ni kwamba composition ya vikao vya maamuzi ilikuwa sio kama ya leo hii ambapo chama kimejaribu kupanua zaidi wigo wa demokrasia.
Mchambuzi sitoweza bishana na nyie maana mmelewa na siasa. Mimi najua hapakuwepo na maoni ya wanachama juu ya mgombea 1995, leteni ushahidi hata wa huyo wasira sii lazima utakuwepo mahala. Nyerere alipomteua Mkapa kulikuwa na kura za maoni ya wanachama? Mpendazoe alikuwa wa ngapi ktk kura za maoni ya wanachama? au mnazungumzia maoni ktk ngazi za uongozi wa chama ndio huteua. Pengine Wasira ana maanisha ktk vikao vya kamati za chama Dr.Slaa wilaya ya Karatu alipitishwa lakini sio kweli wananchi walishirikishwa.

Unajua hili swala la Dr.Slaa kila mtu huja na yake wapo walosema Dr.Slaa hakugombea Karatu bali aligombea Babati na alipokatwa jina lake ndio akaenda Chadema baada ya NCCR kumkataa kugombea Karatu.. Ni hadithi nyingi tu zimetungwa..
 
Mkandara,
Kama alivyojadili Mwalimu, Alinda, Nguruvi3, Mwakalinga na wengine, mkakati wako umekuwa katika derailing hoja Ya msingi ili mpate fursa Ya Kukwepa maswali ambayo bado Hamna majibu. Wenzako kwa maana Ya walio upande wa hoja, Akina Ritz, Adharusi, Waberoya, wamekimbia. Sana sana wanachungulia thread na wanakuja na "like" kwa post za ovyo zisizojibu hoja, au kusingizia kwamba takwimu wanazo Lakini Wapo kibiti na laptop wameacha msoga. Tunaelewa kwamba hiyo ni lugha Ya kistaarabu kusema kwamba hoja zimewalemea.

Tumeuliza kuhusu takwimu za Zitto katika ziara Zake, Hamna majibu. Tumeuliza kwanini ukawa wamkubali Msaliti Zitto, tumeambiwa kwamba hana nia Ya kujiunga ukawa badala yake anatafuta namna Ya kupata upendo wa kugeuza kibao kwamba alitaka kujiunga na ukawa Lakini ukawa umemgomea. Hii ni tafsiri nyepesi kabisa kwa hoja yako mkandara.

Mkilemewa na hoja, mnakuja na hoja za kumfananisha Zitto na Mbowe et al. As if Mbowe, Slaa ndio Chadema. Kama hawa wangekuwa Chadema, Iringa, Dsm, Singida, mwanza, etc wasingeunga Mkono Chadema. Chadema inazidi kuimarika kama taasisi na ndio maana kiongozi kama Zitto kutokea Kigoma alifanikiwa sana ndani ya Chama hiki. Usaliti ndio umemwangusha. Anatumika, anatumika, anatumika. Tumejenga hoja juu Ya hilo, hamjibu hoja.

Unamwalika lowassa wa CCM kujiunga na ACT Wazalendo, kwa maana gani? Unaunga mkono hoja ya Chenge bungeni kuwatetea mafisadi ndani ya CCM dhidi ya escrow kwa maana gani? Unalalamika kwamba Chadema haikuwa na demokrasia, halafu unaenda kuiba Chama cha watu ACT Tanzania na kujipachika usultani Kwa maana gani?

Unaita ukawa wasaka tonge, una washutumu kwamba wana nia Ya kuvunja muungano, halafu unasema upo tayari kujiunga nao kwa maana gani? Hapo ni Baada Ya mwenyekiti Anna kutamka kwamba kufanya hivyo ni usaliti kwa mujibu wa katiba Ya ACT Wazalendo, huku mkandara akisema kwamba Zitto analaghai wananchi, hana nia ya dhati kujiunga na ukawa.

Zitto anadai kwamba ACT ni Chama kinachotaka kurudisha Azimio la Arusha Na misingi yake, Akasema kwamba anataka kuvaa viatu vya Nyerere, tukahoji hatua kwa hatua anatosha vipi kivigezo? Hamna majibu zaidi Ya Kuja na comparative analysis Ya Zitto na Slaa, Mbowe.

Mkuu, Chadema kama upinzani umepiga hatua kubwa. Hata Slaa na Mbowe wakiamua kuacha Siasa, ACT na CCM hawawezi tena kupambana na Chadema kwa hoja. Chadema sasa ni Chama cha kitaasisi na ni Chama ambacho wananchi wengi wameamua kukikubalia kama Tumaini Lao, angalau kwa sasa. Hata wana CCM wenye kuweka maslahi Ya taifa mbele wanaona hilo mchana kweupe. Lakini nyie, kila kitu Chadema "safi" kasoro uwepo wa Zitto.
 
Last edited by a moderator:
And that's exactly what happened Zitto INSPIRED, TRANSPIRED and EXPIRED.

And what's your stance on Zitto's self comparative analysis with Mwalimu in terms of integrity, vision and patriotism?

Nyerere has been buried in a graveyard in Butiama, Zitto's career has been officially buried in the country's political graveyard.

You should wake up too and smell the coffee. Zitto is not what this nation needs right now.

I feel that you have some issues with Zitto. Why do you have to twist everything we say about Zitto? Or for that matter why should everybody else hate him the way you do? If you don't like him that's your personal problem.

By the way, have you left CCM? If you haven't, you are the one that needs to wake up.
 
Mkandara,
Kama alivyojadili Mwalimu, Alinda, Nguruvi3, Mwakalinga na wengine, mkakati wako umekuwa katika derailing hoja Ya msingi ili mpate fursa Ya Kukwepa maswali ambayo bado Hamna majibu. Wenzako kwa maana Ya walio upande wa hoja, Akina Ritz, Adharusi, Waberoya, wamekimbia. Sana sana wanachungulia thread na wanakuja na "like" kwa post za ovyo zisizojibu hoja, au kusingizia kwamba takwimu wanazo Lakini Wapo kibiti na laptop wameacha msoga. Tunaelewa kwamba hiyo ni lugha Ya kistaarabu kusema kwamba hoja zimewalemea.

Tumeuliza kuhusu takwimu za Zitto katika ziara Zake, Hamna majibu. Tumeuliza kwanini ukawa wamkubali Msaliti Zitto, tumeambiwa kwamba hana nia Ya kujiunga ukawa badala yake anatafuta namna Ya kupata upendo wa kugeuza kibao kwamba alitaka kujiunga na ukawa Lakini ukawa umemgomea. Hii ni tafsiri nyepesi kabisa kwa hoja yako mkandara.

Mkilemewa na hoja, mnakuja na hoja za kumfananisha Zitto na Mbowe et al. As if Mbowe, Slaa ndio Chadema. Kama hawa wangekuwa Chadema, Iringa, Dsm, Singida, mwanza, etc wasingeunga Mkono Chadema. Chadema inazidi kuimarika kama taasisi na ndio maana kiongozi kama Zitto kutokea Kigoma alifanikiwa sana ndani ya Chama hiki. Usaliti ndio umemwangusha. Anatumika, anatumika, anatumika. Tumejenga hoja juu Ya hilo, hamjibu hoja.

Unamwalika lowassa wa CCM kujiunga na ACT Wazalendo, kwa maana gani? Unaunga mkono hoja ya Chenge bungeni kuwatetea mafisadi ndani ya CCM dhidi ya escrow kwa maana gani? Unalalamika kwamba Chadema haikuwa na demokrasia, halafu unaenda kuiba Chama cha watu ACT Tanzania na kujipachika usultani Kwa maana gani?

Unaita ukawa wasaka tonge, una washutumu kwamba wana nia Ya kuvunja muungano, halafu unasema upo tayari kujiunga nao kwa maana gani? Hapo ni Baada Ya mwenyekiti Anna kutamka kwamba kufanya hivyo ni usaliti kwa mujibu wa katiba Ya ACT Wazalendo, huku mkandara akisema kwamba Zitto analaghai wananchi, hana nia ya dhati kujiunga na ukawa.

Zitto anadai kwamba ACT ni Chama kinachotaka kurudisha Azimio la Arusha Na misingi yake, Akasema kwamba anataka kuvaa viatu vya Nyerere, tukahoji hatua kwa hatua anatosha vipi kivigezo? Hamna majibu zaidi Ya Kuja na comparative analysis Ya Zitto na Slaa, Mbowe.

Mkuu, Chadema kama upinzani umepiga hatua kubwa. Hata Slaa na Mbowe wakiamua kuacha Siasa, ACT na CCM hawawezi tena kupambana na Chadema kwa hoja. Chadema sasa ni Chama cha kitaasisi na ni Chama ambacho wananchi wengi wameamua kukikubalia kama Tumaini Lao, angalau kwa sasa. Hata wana CCM wenye kuweka maslahi Ya taifa mbele wanaona hilo mchana kweupe. Lakini nyie, kila kitu Chadema "safi" kasoro uwepo wa Zitto.

In previous post one of you guys said that Zitto lauched ACT while he was still a member of CDM. In this post you say he has hijacked ACT. What should we believe now?

If he was ACT leader in waiting, why shouldn't he take his right position? It seems to me you don't allow him to maneuver.
 
Mkandara,

..hii habari hapa chini inathibitisha kilichopelekea Sla/a kujitoa CCM.

..nimezipata habari hizo toka blog ya jamaa wa Mbulu-Karatu-Hanang. Utaona hata jina Slaa wanatamka Sla/a.

1994-Katika uchaguzi wa serikali za mitaa, Kijiji cha Gongali chamchagua mwenyekiti kutoka CHADEMA na kuwa kiongozi wa kwanza kabisa kutoka upinzani toka kuanza tena vyama vingi nchini

1995-Katika kura za maoni CCM jimbo la Karatu, Dr. Wilbrod Sla/a amshinda patrick Qorro lakini NEC yatengua matokeo na kumsimamisha Qorro. Wazee wamsihi Sla/a kujiunga na CHADEMA Dr.Slaa akiwa na aliyekuwa mkewe Rose kamili ambaye sasa ni Mbunge wa viti maalum CHADEMA-Hanang 1995-Katika Uchaguzi Mkuu, Dr. Wilbrod Sla/a ashinda uchaguzi na kuwa mbunge wa Karatu kupitia CHADEMA akimshinda Qorro wakati Mbulu Marmo akimshinda kwa taabu ``binamu yake`` Safari Sangka Mislay wa NCCR-Mageuzi

source:
http://ohayoda.blogspot.com/2012/05/ijue-historia-ya-kisiasa-mbulu-karatu.html
 
Duh ama kweli kazi tunayo. Nyie na hasa JokaKuu alipinga hoja yangu kwamba Dr.Slaa aliondoka CCM kwa kutoelewana na uongozi (baada ya jina lake kukatwa) na kuhamia Chadema. Yeye anasema Dr.Slaa alimshinda Qorro na wewe ukaongezea kusema Alishinda kura za maoni ila CCM wakamfanyia mizengewe akaaambiwa na wanachama ahamie chama chochote watampa kura zao.

Ndipo nikaulizia takwimu za maoni ya wana CCM jimbo la Karatu yaloonyesha Dr.Slaa alimshinda Qorro! ugumu wa swali hili nini?

..mzengwe ktk CCM primaries za 1995 ndicho kilichopelekea Slaa kutimkia CDM.

..nadhani unatuonea unapodai tuweke ushahidi wa matokeo ya kura za maoni za CCM za 1995. sina uhakika kama ni rahisi takwimu hizo kwa sasa hivi.

..ilikuwa vigumu kwa CCM kukubaliana na matokeo yale, ukizingatia kwamba Patrick Qorro alikuwa na jina kubwa ndani ya CCM. Huyu alipata kuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa Tanu, waziri ktk utawala wa Mwalimu Nyerere, mwenyekiti mtendaji wa Tanzania Breweries, na mbunge wa muda mrefu wa Mbulu na Karatu.

NB:

..swali la kujiuliza ni kwanini Dr.Slaa hakutimkia NCCR ya Mrema, badala yake akaenda CDM ambayo ilikuwa haina mvuto wowote ule?

cc zumbemkuu, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
In previous post one of you guys said that Zitto lauched ACT while he was still a member of CDM. In this post you say he has hijacked ACT. What should we believe now?

If he was ACT leader in waiting, why shouldn't he take his right position? It seems to me you don't allow him to maneuver.
Ngoja tuweke sawa hii habari.

Baada ya kukosa utetezi
wamekimbilia kuchomeka mada. Hilo tumeliona sasa wanatafuta mistari bila kuangalia iliandikwaje na kwa mantiki gani.

Ni kweli, tulisema supreme leader alianzisha ACT akiwa CDM. Tuliandika hivi ''act-chadema'' kwa mantiki kuwa genge lile lile lililoandika waraka ndilo linaendeleza harakati ACT. Angalia hizo alama '''' zikiwa zimefungwa

Pili, maneno ya supreme katika TV ni kuwa yeye ni mwanzilishi wa ACT.

Swali, anakuwaje mwanzilishi akiwa Chadema tena akiwa nakesi?
Hivi hapa huoni ulaghai tunaouongelea kwa yeye kuweka wazi hujuma alizokuwa anatenda?

Tatu, genge lilipotimuliwa likahamia ACT-Tanzaniailiyosajiliwa na Limbu.

Hivyo, genge lilikuta chama kilichosajiliwa. Baada ya muda supreme na wenzake wakalazimisha uchaguzi ili kuhakikisha supreme anachukua nafasi yake.

Hapa ndipo hoja ya Mchambuzi inapoingia kuwa,kilichosajiliwa ni ACT-Tanzania ambacho supreme hakuanzisha.

Supreme alikuwa na chama chake kwa jina la ‘Waraka' kikiwa na mantiki ile ile ya kuhujumu upinzani.

Genge likabdili nembo, bendera, taratibu na kuwatimua waanzilishi wa ACT-Tanzania.

Kikaundwa chama cha ACT-Wazalendo (waraka) ambacho hakipo kwa msajili.

Hivyo, elewa mtiririko kuwa kilikuwepo chama cha Waraka(bahati nzuri/mbaya kikang'amuliwa kabla ya jaribio ).

Hiki chama kilikuwa kiipore Chadema

Wanachama wa Waraka wakaenda ACT-Tanzania. Kama kawaida wakafanya vitu vyao na kumtimua Limbu.

Limbu yupo mahakamani akidai chama chake. Sasa hiiACT-Wazalendo haijulikani kama ndiyo Warakaau vipi.
Kwa msajili ipo ACT-Tanzania

Mwakalinga kasema ni ujanja ujanja tu. Na sisi tunasema ujanja huo sasa basi tumechoka.

Hivyo sioni wapi huelewi mantiki ya Mchambuzi.

Mantiki halisi ni kuwa uhuni ule uliotoka kupora Chadema ndio umeendelezwa kwa Limbu.

Katika kufanikisha azma ndipo kikaundwa cheo cha supreme masaa 24 na jopo.
Hii ni kukwepa mkono wa sharia wa uporaji.

Sasa genge haliongelei uporaji halisi wanaoufanya linaongelea Kilimanjaro/Arusha kuwapora Shinyanga./Mwanza katika jitihadaza kuficha ‘ujanja ujanja'' anaosema Mwakalinga

Mkuu hadi hapo huoni tatizo?
 
Last edited by a moderator:
..mzengwe ktk CCM primaries za 1995 ndicho kilichopelekea Slaa kutimkia CDM.

..nadhani unatuonea unapodai tuweke ushahidi wa matokeo ya kura za maoni za CCM za 1995. sina uhakika kama ni rahisi takwimu hizo kwa sasa hivi.

..ilikuwa vigumu kwa CCM kukubaliana na matokeo yale, ukizingatia kwamba Patrick Qorro alikuwa na jina kubwa ndani ya CCM. Huyu alipata kuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa Tanu, waziri ktk utawala wa Mwalimu Nyerere, mwenyekiti mtendaji wa Tanzania Breweries, na mbunge wa muda mrefu wa Mbulu na Karatu.

NB:

..swali la kujiuliza ni kwanini Dr.Slaa hakutimkia NCCR ya Mrema, badala yake akaenda CDM ambayo ilikuwa haina mvuto wowote ule?

cc zumbemkuu, Nguruvi3

Tunajuaje labda alikatiwa kisu kujiunga CDM?
 
Mkuu JokaKuu

Mkandara anajua wazi kinachosemwa. Haja yake ni kutaka kujenga uhalali wa madai yake kuwa supreme leader wapo kila mahali. Yupo katikarekodi(akitaka tutaweka) akisema Dr Slaa naye ni supreme

Nilimuuliza hivi katibu mkuu anapatikanaje? Kakimbia swali hilo akijua linalofuata ni hili, supreme amepatikanaje katika masaa 24? Tofautiipo wazi

Mkandara anaongela ufanano ili kupunguza kasi ya kumweka supreme leader na wenzake hadharani na barazani.

Tulimuuliza, hoja ya wananchi waShinyanga/Mwanza kuporwa na K'Njaro ina mantiki?
Jibu alilosema ‘Mbona Mbowekasema ABC''

Kaleta ligi ya takwimu za Mchambuzi akisema ni za zamani hazina vionjo na zimepoteza mashiko.

Tumemuuliza lete alizotumia Zitto wakati anafanya shambulio la kisiasa kwa wananchi wa kaskazini.
Jibu lake ‘anachosema supreme ni kweli''

Hivyo Mkandara anaendeleza ligi pembeni na ‘EPL' ili kutuondoa katika mjadala.

Ikiwa kuna kura 10,000, 500, 200 au 10 hiyo haiondoi ukwelikuwa Qorro alishindwa na Sla/a . Sasa ligi inatoka wapi tena?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Barubaru nashukuru sana kwa mchango wako uliokwenda shule.

Ni kweli kuwa wanasiasa wote ni walaghai hapa na Ziitto yumo na hii imetoka na elimu duni kama ulivyosema hapo juu. Lakini hii hali hatutakiwa tuiache itamalaki tunabidi tuanza kuikomesha na tunaikomesha pale tutakapo anza kumuweka kikaangoni wanasiasa mmoja baada ya mwingine na kuwambia "hapana ili jambo ni uongo" tukiwaacha waendelee kufaidika kwa kupitia migongo yetu tutakuwa hatujatenda haki kwa taifa letu na hatuwatendei haki watoto wetu. Maana unafahamu kuwa tunadanganywa na si tunakaa kimya na kutegemea kuwa hawa watu ipo siku wataanza kutuonea huruma na kutimiza ahadi zao kitu ambacho hakitakaa kitokee.

Naelewa kuwa siasa ni lazima "kauongo kawemo" lakini basi haka kauongo kafanane ukweli, Mfn mwanasiasa anapokwenda kutoa ahadi ya kujenga bara bara, na baada ya kuchanguliwa kweli akashirikiana na wananchi wa eneo husika wakatengeneza barabara ya "tope" huyu mwanasiasa alitoa ahadi na ahadi yake ameitimiza ingwaje si kwa kiwango tulichokusudia. Lakini inapotokea mwanasiasa akaenda Dodoma na kutoa ahadi ya kuleta meli Dodoma kitu ambacho hata huyu mwanasiansa nafahamu fika ni uongo hawezi kufanya kitu cha namna hiyo, na sie watu wazima tukamucha endelee na ulaghai wake, hapa tukakuwa hatujajitendea haki, hatujalitendea haki taifa letu na hutujawatendea haki watoto na wajukuu wetu.. Mwanasiasa wa namna hii dawa yake ni kwambia ukweli kuwa "uongo wako ukomee hapa hapa hiki kitu hakiwezekeni" na tukifanya hivi basi huyu mwanasiasa ataogopa atafahamu kuwa hawa watu si wajinga tena, "hivyo hata mie inabidi nitanye siasa zinazoelekea katika ukweli".

Hebu tumuangalie Zitto na chama chake.. Sote hapa ni mashaidi kuwa wakati Ztto, Kitila, Mwigamba wako Chadema, walikuwa watetezi wakubwa wa Chadema, walitembea vifua mbele wakitetea sera za chama, katiba ya chama na nk. Ni kwa nini walifanya haya? Walifanya haya kwa sababu katika moyoni yao waliamini sera za chama, walipikwa wakaiva na Chadema, hawakuteteleka kuelezea sera za chama kwa sababu zinaeleweka na zinatekelezeka.

Sasa basi tujiulize ni kwanini watu hawa hawa walioshinda humu ndani kujibu hoja tofauti tofauti zinazohusu Chadema, Wako wapi? mbona hatuwaoni wakijibu maswali, wakieleze sera za chama chao? je ni kweli watu hawa hawamo humu ndani? Je ni kweli hawana muda? Jibu ni wamo humu ndani tena Zitto amekuwa akileta mada mbali mbali zihusuzo ufisadi (jambo ambalo ni jema) lakini hatumuoni kabisa hakijibu hoja za watu mbali mbali kuhusu chama chake, kuhusu sera za chama chake, kuhusu Unyerere alotwambia, Kuhusu sera za ujamaa (??) kuhusu azimio la Arusha kuhus uwazi waliohuribi usiku na mcana.. Amekuwa bubu si kwa sababu hasomi dukuduku wa wanaJF ni kwasababu sera za chama chao hata wao hawazielewi wanafahamu kuwa ni ulaghai, wanaogopa kuumbuliwa mapema hivyo wamebaki wasomaji tu.Sasa basi tukifika hapa ndo sie akina Alinda tunasema huu ni ulaghai, utapeli kama Kiongozi mkuu ambaye ni kioo cha chama anashindwa kuja huku kutueleza sera za chama chake ili mimi na wewe tuzielewe sasa huyu mtu aitwaje? kama si mlaghai? Na wanasiasa wa aina hii hatuwezi kumfumbia macho tuwambie ukweli kuwa wakati wa ulaghai umepitwa na wakati huu ni wakati wa ukweli.. Na hii si kwa Zitto to bali ni kwa wanasiasa wote kwenye hulka km za Zitto na wale wote wanaotaka utajiri wa haraka haraka kwa kupitia uelewa duni wa wananchi. Ndo hapo ninachukua fursa hii kumpongeza Nguruv3 kwa huu uzi..

Kuhusu swala la uchumi na sera za vyama vya siasa..Mimi si mchumi, inawezekana ni kweli unachokisema lakini nafikiri utatutendea haki pale unakapotumia elimu yako kufunua madudu ya hivyo vyama. Tunaomba uchambuzi wa kisomi ni jinsi gani sera zao haziwezi fanya kazi, Ukifanya hivyo utakuwa umetufumbua macho, umefumbua macho hivyo vyama na hata umelitendea haki taifa lako. Na hapo ndipo wanasiasa wataacha hizo longo longo maana watatambua tukilete longo longo kuna Barubaru.

Kuhusu siasa kushika hatamu.. Hilo ni kweli kabisa yaani Tanzania wanasiasa ni kila kitu, utamkuta yuko kwenye GAs, utamkuta yuko kwenye umeme, utamkuta yuko kwenye ujenzi wa bara bara, utamkuta yuko katika uandikaji wa katiba mpya. Yaani ni basi wanasiasa wameharibu nchi yetu.

Kuhusu Swala la Zitto kuwa mchanga katika uchumi.. Ni kweli ni mchanga ila akipewa muda anaweza kufanya vizuri..

Kuhusu Zitto kutokuwa wanasiasa mzuri.. Na hapa ni kweli ila uzuri wake ni mpenda media na ana bebwa sana na Media na ndo maana watu wanategemea makubwa kutoka kwake (maana media ndivyo zinavyotuaminisha) na pale anapofanya yale anayoyaweza ambayo ni ya kawaida tu, basi watu utaka zaidi kutoka kwake matokeo yake ni kujichanganya hapa na pale hivyo kuharibu zaidi.

Kama akichukua ushauri wa watu na kuufanyia kazi in 10yrs anaweza kuchomoza chomoza ingawaje namuona Salum Mwalimu, Myika, Kafurila, Tundu Lissu wanakuja kwa kasi na ni watu watulivu (kasoro Tundu) na si watu wa media.

Ila naye ni binadamu kila binadamu ana mapungufu zake..(hapa naongea kama mama):teeth:

Alinda.

Mimi nafikiri ukunifahamu nimeelezea kitu gani labda kwa kuwa nilitoa mifano mingi katika kufafanua nia na kusudio langu ndio maana umefika pahala ukajichanganya.

Kwa kifupi nilichobainisha katika maandiko yangu kuwa TATIZO SIASA ZA TANZANIA NI MFUMO MZIMA NA WALA SIO ZITTO. Kama unataka kukemea au kutibu inakupasa ukemee au kutibu mfumo mzima na wala si wanasiasa wachanga kama Zitto kwani yeye anafuata nyayo hizo hizo wanazopita wanasiasa wooote wa Tz ukianzia Nyerere.

Na mara zote tunaamiwa ukitaka KUUWA MTI BASI KATA ULE MZIZI WAKE MKUU NA WALA SIO TAWI. Zito ni tawi tu hauwezi kuuwa tarbia hiyo kuendelea kwa viongozi wa kisiasa waliopo madarakani na wale wanachipukia.

Kwa mtazamo wangu na ndivyo ilivyo kuwa KUMZUNGUMZIA ZITTO NI KUMPA UMAARUFU kwani siku zote MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAORUSHIWA MAWE. Kama tumekusuda kukemea tuuzungumzie mfumo mzima na sio mtu mmoja mmoja.

Pole sana

Kwa kifupi nilichobainisha katika maandiko yangu kuwa TATIZO la SIASA ZA TANZANIA NI MFUMO MZIMA NA WALA SIO ZITTO. Kama unataka kukemea au kutibu inakupasa ukemee au kutibu mfumo mzima na wala si wanasiasa wachanga kama Zitto, kwani yeye anafuata nyayo hizo hizo wanazopita wanasiasa wooote wa Tz ukianzia Nyerere.

Na mara zote tunaamiwa ukitaka KUUWA MTI BASI KATA ULE MZIZI WAKE MKUU NA WALA SIO TAWI. Zito ni tawi tu, kiasi kuwa hauwezi kuuwa tarbia hiyo ya ulaghai na uwongo kuendelea kwa viongozi wa kisiasa waliopo madarakani na wale wanachipukia kwa kumzungumzia Zitto.

Kuhusu hao uliowataja hakuna hata mmoja wa kumfananisha na Zitto.
Salum Mwalim ni kijana mdogo sana ni kijana wetu mama yake ni Fauziat Kasanda ( au siku hizi anajiita Fauziat Ismail Aboud)
alikuwa mtangazaji RTD, kisha akenda AZAM marine na mara ya mwisho nilikutana nae akasema yupo John Hopkin University) huyu kijana ni maslahi tu yanayomuweka pale lakin si mwanasiasa na wala hana uwezo hata kiduchu wa kutamka kuwa anaweza kugombea hata UDIWANI achilia mbali ubunge wa jimbo lolote akachaguliwa.
Mnyika huyu anajitahidi lakin TATIZO LAKE NI SKULI TU
Anahitaji aende skili kwani kwa Dunia ya sasa BILA ILMU HUNA KITU. Ataendelea tu kutumiwa kama ganda la MUWA akiisha utamu ataupwa huko.
Kafurila, Wenje, Mkosamali, Filikunjombe, Makamba, Mwigulu na kijana mmoja nimemsahau ni Mbunge wa Kibondo maeneo ya kambi ya wakimbizi Nduta kupitia NCCR.
Hawa wote wapo vizuri sana na wana mtazamo mkubwa sana na wote wamekwenda skuli na wametulia. Tofauti zao ni mitazamo na itikadi zao kisiasa.
Tundu lisu ni mzuri sana LAKIN tatizo lake ana jazba sana na watu kama hawa ni khatari sana katika uongozi especially wa juu. Kwani tunaamini kuwa JAZBA SIKU ZOTE UPUNGUZA/ HUONDOSHA BUSARA. Na uongozi ni busara.

Pole sana

Alinda.

Mimi nafikiri ukunifahamu nimeelezea kitu gani labda kwa kuwa nilitoa mifano mingi katika kufafanua nia na kusudio langu ndio maana umefika pahala ukajichanganya.

Kwa kifupi nilichobainisha katika maandiko yangu kuwa TATIZO SIASA ZA TANZANIA NI MFUMO MZIMA NA WALA SIO ZITTO. Kama unataka kukemea au kutibu inakupasa ukemee au kutibu mfumo mzima na wala si wanasiasa wachanga kama Zitto kwani yeye anafuata nyayo hizo hizo wanazopita wanasiasa wooote wa Tz ukianzia Nyerere.

Kwa hiyo nimuache Zitto kwa vile ni mchanga aendele kulaghai watu,aendelee kuchonganisha watu kikanda/mikoa kwa vile Mfumo ndivyo ulivyo? hapa ndo ninakwambia hapana kila mwanasiasa atawajibika kwa kauli zake Mfumo haukumtuma Zitto kuanzisha chama cha kilaghai, Mfumo haukumtuma Zitto kuleta uchonganisha miongoni mwa watanzania bali ametumwa na tamaa zake. Samaki mkunje angali mbichi hivyo basi huyu huyu mwanasiasa mchanga ndo wa kukemea kwa nguvu zote maana ni rahisi yeye kubadilika kuliko mwanasiasa mkongwe.

Na swala la kukemea mfumo si swala la Alinda tu bali ni swala la kila mtanzania na wewe ukiwemo hivyo basi kama unaona nisichokiona (maana binadamu tumetofautiana) basi ni vizuri na wewe ukakemea na ndo maana nimekwambia hebu toa siku yako moja tumia elimu yako ya uchumi kuchambua sera za vyama vya siasa ili tujue mbivu na mbichi..
 
Alinda.

Mimi nafikiri ukunifahamu nimeelezea kitu gani labda kwa kuwa nilitoa mifano mingi katika kufafanua nia na kusudio langu ndio maana umefika pahala ukajichanganya.

Kwa kifupi nilichobainisha katika maandiko yangu kuwa TATIZO la SIASA ZA TANZANIA NI MFUMO MZIMA NA WALA SIO ZITTO. Kama unataka kukemea au kutibu inakupasa ukemee au kutibu mfumo mzima na wala si wanasiasa wachanga kama Zitto, kwani yeye anafuata nyayo hizo hizo wanazopita wanasiasa wooote wa Tz ukianzia Nyerere.

Na mara zote tunaamiwa ukitaka KUUWA MTI BASI KATA ULE MZIZI WAKE MKUU NA WALA SIO TAWI. Zito ni tawi tu, kiasi kuwa hauwezi kuuwa tarbia hiyo ya ulaghai na uwongo kuendelea kwa viongozi wa kisiasa waliopo madarakani na wale wanachipukia kwa kumzungumzia Zitto.

Kwa mtazamo wangu na ndivyo ilivyo kuwa KUMZUNGUMZIA ZITTO NI KUMPA UMAARUFU kwani siku zote MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAORUSHIWA MAWE. Kama tumekusuda kukemea tuuzungumzie mfumo mzima na sio mtu mmoja mmoja.

Kuhusu hao uliowataja hakuna hata mmoja wa kumfananisha na Zitto.
Salum Mwalim ni kijana mdogo sana ni kijana wetu mama yake ni Fauziat Kasanda ( au siku hizi anajiita Fauziat Ismail Aboud)
alikuwa mtangazaji RTD, kisha akenda AZAM marine na mara ya mwisho nilikutana nae akasema yupo John Hopkin University) huyu kijana ni maslahi tu yanayomuweka pale lakin si mwanasiasa na wala hana uwezo hata kiduchu wa kutamka kuwa anaweza kugombea hata UDIWANI achilia mbali ubunge wa jimbo lolote akachaguliwa.
Mnyika huyu anajitahidi lakin TATIZO LAKE NI SKULI TU
Anahitaji aende skili kwani kwa Dunia ya sasa BILA ILMU HUNA KITU. Ataendelea tu kutumiwa kama ganda la MUWA akiisha utamu ataupwa huko.
Kafurila, Wenje, Mkosamali, Filikunjombe, Makamba, Mwigulu na kijana mmoja nimemsahau ni Mbunge wa Kibondo maeneo ya kambi ya wakimbizi Nduta kupitia NCCR.
Hawa wote wapo vizuri sana na wana mtazamo mkubwa sana na wote wamekwenda skuli na wametulia. Tofauti zao ni mitazamo na itikadi zao kisiasa.
Tundu lisu ni mzuri sana LAKIN tatizo lake ana jazba sana na watu kama hawa ni khatari sana katika uongozi especially wa juu. Kwani tunaamini kuwa JAZBA SIKU ZOTE UPUNGUZA/ HUONDOSHA BUSARA. Na uongozi ni busara.

Pole sana

Kuhusu Salum Mwalimu kwangu sio muhimu amezaliwa na nani, au amefanya wapi kwangu ninamuangalia Salum Mwalimu akiwa majukwaani jinsi anavyojenga hoja na nk.. Inawezekani kuwa ni "maslahi ndo yamemuweka pale" Ngoja tuone maana watu usema:" subira yavuta heri".

Sitopenda kuharibu uzi wa Nguvuri3 lakini ya Mwigulu na Makamba kuwa vizuri, labda kama unasema uzuri wa Mwigulu katika siasa za kinyama kwa wapinzani. Na kwa Makamba sijui ni kwa lipi zuri alilofanya katika seka ya mawasiliano.

Nitaishia hapo tu maana sitaki kuharibu uzi.
 
Mkandara,

..hii habari hapa chini inathibitisha kilichopelekea Sla/a kujitoa CCM.

..nimezipata habari hizo toka blog ya jamaa wa Mbulu-Karatu-Hanang. Utaona hata jina Slaa wanatamka Sla/a.

source:
http://ohayoda.blogspot.com/2012/05/ijue-historia-ya-kisiasa-mbulu-karatu.html

unatuchekesha sasa,Rozi kamili kawa mbunge viti maalumu lini?si uchaguzi wa 2010,itakuaje hiyo iwe imeandikwa 1995
Mchambuzi Nguruvi3 nawahakikishia siwezi kukimbia mjadala,sijaona Hoja ya kunikimbiza,nikimbie kwa maneno yenu mnayomlisha Zitto, wapi Zitto kasema KLM inaipokonya ShY,Zitto kazungumzia mgawo was serikali hauko sawa,nyie mnapotosha mnaleta maneno yenu,mgawo unafanywa na serikali,ata mtoto wa darasa la NNE anajua,nyie mnajitoa akili mnasema Zitto kasema KLM inaipokonya Shy mlistahili Ban kwa upotoshaji alichosema Zitto
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo nimuache Zitto kwa vile ni mchanga aendele kulaghai watu,aendelee kuchonganisha watu kikanda/mikoa kwa vile Mfumo ndivyo ulivyo? hapa ndo ninakwambia hapana kila mwanasiasa atawajibika kwa kauli zake Mfumo haukumtuma Zitto kuanzisha chama cha kilaghai, Mfumo haukumtuma Zitto kuleta uchonganisha miongoni mwa watanzania bali ametumwa na tamaa zake. Samaki mkunje angali mbichi hivyo basi huyu huyu mwanasiasa mchanga ndo wa kukemea kwa nguvu zote maana ni rahisi yeye kubadilika kuliko mwanasiasa mkongwe.

Na swala la kukemea mfumo si swala la Alinda tu bali ni swala la kila mtanzania na wewe ukiwemo hivyo basi kama unaona nisichokiona (maana binadamu tumetofautiana) basi ni vizuri na wewe ukakemea na ndo maana nimekwambia hebu toa siku yako moja tumia elimu yako ya uchumi kuchambua sera za vyama vya siasa ili tujue mbivu na mbichi..

Alinda.

Nilitaka nikufunze kitu kiduuuuchu hapa. SUMU KUBWA SANA YA UANDISHI NI USHABIKI Kwani hilo linaondoa weledi kwa kle unachoandika.

Nafikiri labda ahali yangu umejikwaa kwa hilo la USHABIKI na ndio maana umekuwa unapata makengeza kidogo ninaposifia baadhwi ya watu kutoka katika itikadi tofauti na wewe ya kisiasa. Lakin siku zote UKWELI utabaki kuwa ukweli huwezi kuufuta.

Mimi kwa mtazamo wangu ni SAWA NA ULE WA TUNDU LISSU alioutoa siku mbili zilizopita huko Arusha aliposema "KUMZUNGUMZIA ZITTO NI KUMPA UMAARUFU".

Kwa mtazamo wangu na ndivyo ilivyo kuwa kama SIASA za Tanzania zingekuwa nyoka anayetembea basi ZITTO angekuwa ni mkia. Huwezi kubadilisha chochote kwa nyoka kwa kumkata mkia. Mtu makini anakata KICHWA ili kuuwa huo mfumo.

Nakwambia Zitto kama propaganda alizianza toka akiwa CHADEMA kwani amelelewa na kukulia huko na hata umaarufu wake umechomozea huko na alikuwa kipenzi cha wengi. Sasa vipi leo aje na kitu cha ajabu zaidi ya kile alichofunzwa na kumletea umaarufu zaidi ya kile alichofunzwa na Chadema. Narudia kukwambia Siasa za Ulaghai na Uwongo za Tz zimeanzia toka watawala wa mwanzo na mpaka waliopo sasa wanafuata hivyo.

Kama una chuki binafsi na Zitto mimi simo lakin ukweli siasa za Tz ndivyo zilivyo kutibu ni kuikanya system nzima na wala sio Zitto pekee.

Kuhusu kuuchambua uchumi wa Tanzania mara nyingi sana nimefanya hivyo na kila ninapo nafasika. Muulize Nguruvi3 atakwambia kiurefu zaidi japo kuwa mimi si raia wa Tz kwa passport japo nilizalika Znz.

Nakushauri weka topic yoyote ya uchumi hata ukitaka tuisasambue bajeti pendekezwa ya Tz au Znz ya 2015/2016 ninazo zote basi tutazijadili kwa kina. Usitie khouf

Pole sana.
 
Alinda.

Nilitaka nikufunze kitu kiduuuuchu hapa. SUMU KUBWA SANA YA UANDISHI NI USHABIKI Kwani hilo linaondoa weledi kwa kle unachoandika.

Nafikiri labda ahali yangu umejikwaa kwa hilo la USHABIKI na ndio maana umekuwa unapata makengeza kidogo ninaposifia baadhwi ya watu kutoka katika itikadi tofauti na wewe ya kisiasa. Lakin siku zote UKWELI utabaki kuwa ukweli huwezi kuufuta.

Mimi kwa mtazamo wangu ni SAWA NA ULE WA TUNDU LISSU alioutoa siku mbili zilizopita huko Arusha aliposema "KUMZUNGUMZIA ZITTO NI KUMPA UMAARUFU".

Kwa mtazamo wangu na ndivyo ilivyo kuwa kama SIASA za Tanzania zingekuwa nyoka anayetembea basi ZITTO angekuwa ni mkia. Huwezi kubadilisha chochote kwa nyoka kwa kumkata mkia. Mtu makini anakata KICHWA ili kuuwa huo mfumo.

Nakwambia Zitto kama propaganda alizianza toka akiwa CHADEMA kwani amelelewa na kukulia huko na hata umaarufu wake umechomozea huko na alikuwa kipenzi cha wengi. Sasa vipi leo aje na kitu cha ajabu zaidi ya kile alichofunzwa na kumletea umaarufu zaidi ya kile alichofunzwa na Chadema. Narudia kukwambia Siasa za Ulaghai na Uwongo za Tz zimeanzia toka watawala wa mwanzo na mpaka waliopo sasa wanafuata hivyo.

Kama una chuki binafsi na Zitto mimi simo lakin ukweli siasa za Tz ndivyo zilivyo kutibu ni kuikanya system nzima na wala sio Zitto pekee.

Pole sana.

Kwanza kabisa nikwambie siasa za kejeri huwa sipendi... kama kuna kitu ambacho hujaelewa sema nami nitaelezea kadri ya uwezo wangu.Tujenge kuheshimiana katika mijadala ndo tutasonga mbele kwani tuko hapa kuelemishana, kukosoana, kufundisha na nk.

Umetoa mafano mzuri kabisa wa Nyoka... Nyoka kapita kanikuta jikoni nina kisu tu kwa akili za kawaida haka kakisu kangu hakawezi kukata kichwa.. Ndo wazo nikaniijia la kuanza kukata mkia kwa kutumia haka kakisu kangu, mara kaja jirani naye kaleta kakisu kake, mara jirani wa pili na kakisu kake, haya mara kaingia jirani yangu Barubaru na kutwambia tumuache huyu nyoka maana anatakiwa kukatwa kichwa.

Tunawambia ndugu yetu jirani yetu Barubaru leta basi hata wewe kakisu kako maana kana makali zaidi labda kanaweza kukata shingo. Ila barubaru anasisitiza tumuache huyu nyoka maana tunatakiwa kuponda shingo...

Ila sie tunaona bora tuendelea kumtaka huyu nyoka kidogo kidogo na tuvisu twetu mpaka tutakapofikia kichwa, na ina inawezekana kabisa katika harakati za kumkata huyu nyoka wakaja majirani zaidi kutusaidia na kukawa na uwezekano wa mtu mwenye panga la kuweza kukata kichwa.. Sasa hapo bora ni kipi?

KUHUSU WEWE KUSIFIA MTU HIYO NI HAKI YAKO NA KAMA UMENISOMA MIE SIFUNGAMANI NA MTU NINAELEZEA KITU KWA UELEWA WANGU JINSI NINAVYOONA. INAWEZEKANA KABISA WEWE UNAWAKUBALI MWIGULU UND CO. SINA TATIZO. LAKINI HII HAINIFANYI NA MIE KUWAKUBALI KWA VILE TU WEWE UMEWAKUBALI.

Msisitizo
: Sina chuki na Zitto na Zitto anafahamu hilo ila niko uhuru kuongea/kuandika kile ninachofikiri. Nitamsifia pale anapofanya vizuri na nitamkosoa pale alipokosea maana ninaamini yeye ni binadamu si malaika.

Sipendi kejeri na vijembe na ndo maana huwa sijibu/sisomi hoja zenye vijembe na kejeri humu ndani. Na ndo maisha niliyoamua kuishi humu JF. leta hoja tufaidike achana na kejeri hizo ni siasa za kitoto.
 
Back
Top Bottom