Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Kutoka mwana.halisi

PROFESA Mwesiga Baregu, mmoja wa watu wanaoheshimika nchini amesema, aliyepata kuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, anaponzwa na kibuli cha kujiona hakuna zaidi ya yeye.-

Amesema, Zitto ambaye alikuwa naibu katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara na naibu kiongozi wa upinzani bungeni, anafanya kazi asiyoifahamu na ambayo haina mavuno.

-

Kauli ya Baregu ilitolewa siku moja baada ya Zitto kujiondoa bungeni na baadaye kujiunga na Chama cha ACT – Tanzania.

Prof. Baregu aliwahi kuwa "mlezi wa Zitto" ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Alikabidhiwa jukumu hilo na Shida Salum, mama mzazi wa Zitto (marehemu), baada ya mama huyo kuiomba Kamati Kuu (CC) ya chama hicho "kusaidia kumlea."

Prof. Baregu ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema anasema, "Zitto hamnazo. Amekuwa anajiona yeye ni zaidi ya chama. Hashauriki."

Anasema wakati ule alipopewa kazi ya kumlea Zitto "katikakati ya migogoro, tulikuwa tunazungumza naye mara kwa mara. Ninamfahamu. Kazi hii ya kumlea tulikabidhiwa mimi na mama yake mzazi, Bi. Shida Salum," anaeleza Baregu.

Mama mzazi wa Zitto, alifariki dunia Juni mwaka jana, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kauli ya Prof. Baregu ilifuatia gazeti hili kutaka maoni yake juu ya mustakabali wa kisiasa wa Zitto baada ya kuwahi kujiondoa ndani ya Chadema
Mkuu wangu kaa wewe ungekuwa upande wa Zitto hayo maneno ya Beregu yalo nukukuliwa ni matusi ya nguoni ya kumdhalilisha hata marehemu mama yake mzazi Zitto!.. Sahamani , kiswahili alichotumia Beregu dhahiri yeye ndiye katumia kiburi cha kujiona yeye na chama ni zaidi ya mama yake Zitto. Kama kwamba Zitto ni mtoto wa mtaani mtoto wa kuokotwa!
 
..Mzee mwenzangu naona hapo kama umeongeza hisia zako.

..hayo mambo ya "mtoto wa mtaani" , "kuokotwa", umemlisha maneno Prof.Baregu.

..mimi nilichoelewa ni kwamba mama Zitto alimkabidhi mwanae kwa Pro.Baregu ili amshauri na kumnasaha ktk harakati zake za kisiasa.
 
..Mzee mwenzangu naona hapo kama umeongeza hisia zako.

..hayo mambo ya "mtoto wa mtaani" , "kuokotwa", umemlisha maneno Prof.Baregu.

..mimi nilichoelewa ni kwamba mama Zitto alimkabidhi mwanae kwa Pro.Baregu ili amshauri na kumnasaha ktk harakati zake za kisiasa.
Anasema wakati ule alipopewa kazi ya kumlea Zitto "katikakati ya migogoro, tulikuwa tunazungumza naye mara kwa mara. Ninamfahamu. Kazi hii ya kumlea tulikabidhiwa mimi na mama yake mzazi, Bi. Shida Salum," anaeleza Baregu.
Nimesema kama yeye angekuwa upande wa Zitto na kwa fikra zenu hizo hizo angeona matusi kwa Zitto wakati Beregu aliposema hayo..Mimi nawasoma nyie na kutambua mnatokea wapi mkichambua neno kwa neno na kutafuta sababu au alimaanisha nini na ndio maana natofautiana nanyi..
 
Who is Alinda?maana anatumia jina la bandia hapa sasa unataka tuyachukue maandishi ya Alinda kama msaafu?please..

Sasa ili tuyafanye maelezo ya Alinda kuwa rasmi basi aitishe mkutano na waandishi wa habari atoe hiyo taarifa, hapo sasa tutamhitaji Zitto ajibu rasmi hayo maelezo atakayotoa Alinda, otherwise huwezi kutegemea kuwa Zitto anaweza akajibu kila uzushi anaotajwa kwenye mitandaoni.Ni impractical!
.....
Alinda na Mkandara na wengineo shukrani kwa kuona umuhimu wa kuwasilisha maoni yenu kwenye jukwaa hili kwa kutumia vyanzo visivyotiliwa shaka (video ). Tumemsikia SL alipokuwa Kigoma na tumemsikia Kigaila akifafanua suala la ukomo wa uongozi ndani ya chama chake. Maelezo ya hatari ya kauli za SL akiwa Kigoma yamefafanuliwa kwa kina na akina Nguruvi3. Pia tumepata maelezo ya utetezi kutoka kwa Kapwela kuwa kauli za SL si tatizo. Nimefuatilia kweli maoni yake (Kapwela), lakini mwisho wake nikajikuta nakubaliana na hitimisho la Nguruvi3 kuwa Kapwela anafunika 'uozo' wa kauli za SL ndani ya zulia/carpet. Hana (Kapwela) nia ya dhati kuimarisha umoja wa watanzania kwa kufanya kitendo hicho.

Kapwela ama kwa makusudi ama kwa kukosa muda amekataa ushauri wa kurudia kuzisoma post zote za uzi huu ili aweze kuelewa wana maana gani wale wanaosema Kauli za SL ni hatarishi kwa mustakabali wa umoja wa Watanzania pia ni nini msingi wa hoja ya Chama cha ACT-Mpini wa CCM kumaliza upinzani

Kapwela huyu amenisikitisha pia kwa maneno yake niliyonukuu hapo juu akiwa na maana kuwa Alinda na wengine tunaotumia 'majina bandia' hatutakiwi kutiliwa maanani yale tunayoshauri. Sikutarajia kulipata hili kutoka kwenye mabandiko yake. Ndiyo ninajiuliza sasa kama hali ndiyo hii, kwa nini yeye anaendelea kuandika ushauri wake hapa Jukwaani...!? Si aende zake huko akanywe 'brand' na wenzake ambao hawaoni umuhimu wa kulinda umoja wa watanzania. Unajua 'barubaru' aliwahi kutoa utetezi wa namna hii, juu ya kauli ya (nadhani) mwanasheria mkuu wa Zanzibar...! Ni aibu na nikutojitendea haki kutumia utetezi wa namna hii.

Tunaposema tutakemea wote wanaotaka kukwamisha juhudi za kuimarisha umoja wa taifa la Tanzania tunamaanisha. Kwa hiyo kama Kapwela upo hapa kwa 'kujifurahisha', umepotea njia. Hapa 'hatufurahishani', tunaijenga Tanzania tuipendayo na tuitakayo yenye watanzania wasiobaguana kwa namna yoyote ile yenye misingi miovu, yaani tunajenge tanzania ya watanzania wamoja.
 
Hiyo Conclusion yako ndugu Tujitegemee iko biased, ni Unfounded, imebase katika wrong premises na kwa hiyo sikubaliani nayo

Nilichokiona katika mjadala huu ni chuki binafsi dhidi ya ZZK, na uthibitisho wa chuki hii ni kulishwa na kuchukuliwa maneno yake out of context kwa makusudi

Kuna watu huko nyuma wameshatangaza uadui na ZZK, na hivyo character assasination dhidi yske ni mwendelezo wa chuki yao kali

Namshauri ndugu ZZK asikwazike na watu wa aina hii bali aendelee kukata issues za kitaifa.

Whether they love him or loathe him deep within wanatambua mchango wa ZZK kwa taifa hili, wanatambua vipawa vyake na kimsingi hawastahili hata kufunga gidamu za viatu vyake!

Aluta Continua
 
Shukuran sana kwa maelezo yako lakini katika hili swala la UMOJA WA WATANZANIA sijui wewe unauchukulia vipi maana binafsi yangu sioni kabisa mwenye kuutaka umoja huo ikiwa vyama vyenyewe haviutaki Kikatiba. Kuna vyama haviutaki Muungano na vipo vinavyotaka utawala wa Majimbo japo tunayo mikoa na wengine wanaiona mikoa ina makabila yake. Imefikka mahala mtu akisema MKOA fulani tayari watu wmeisha tafuta tafsiri ya maneno hayo kwa Ukabila huoni kama tatizo tunalo sisi?

Kwa mfano wewe ukisema "Wakerewe wanasifika kwa Uchawi" Kwa nini iwe ni Ukabila japo kuna ukweli wa sifa mbaya hizo upo! isipokuwa watu watatazama kwanza alosema maneno haya ni kabila gani, unaangaliwa kabila yako kisha wanajenga hoja kwa nini umesema hayo. Udini na Ukabila ni vitu ambavyo vinajengwa na hisia za watu wenyewe into denial. Mimi nijuavyo Ukabila ni kuwatenga/kuwadharau watu fulani kwa sababu ya kabila pasipo jambo la kweli. Mikoa yetu haina makabila, leo tukianza kujenga hisia kwamba mikoa yetu ina makabila yake ndio tumerudi katika kuujenga UKABILA - unless we are into denial.
 
Hiyo Conclusion yako ndugu Tujitegemee iko biased, ni Unfounded, imebase katika wrong premises na kwa hiyo sikubaliani nayo

Nilichokiona katika mjadala huu ni chuki binafsi dhidi ya ZZK, na uthibitisho wa chuki hii ni kulishwa na kuchukuliwa maneno yake out of context kwa makusudi

Kuna watu huko nyuma wameshatangaza uadui na ZZK, na hivyo character assasination dhidi yske ni mwendelezo wa chuki yao kali

Namshauri ndugu ZZK asikwazike na watu wa aina hii bali aendelee kukata issues za kitaifa.

Whether they love him or loathe him deep within wanatambua mchango wa ZZK kwa taifa hili, wanatambua vipawa vyake na kimsingi hawastahili hata kufunga gidamu za viatu vyake!

Aluta Continua
Hatudhani kama yupo mwenye chuki. Tumeuliza mara zote ushahidi uko wapi?

Pili, kama kumjadili kiongozi mkuu ni chuki, sijui kama umesoma nyuzi za Zitto kuhusiana na kauli zake kule Jukwaa la siasa. Hali ilikuwa mbaya, mitusi, kejeli kudharauliana n.k. vijana wakiigeuza Tanzania iwe ya Watusi na Wahutu
Tunachokifanya ni kukemea kauli zinazoleta sintofahamu kama hizo

Tunachofanya ni kukemea tabia mbaya ya kukimbilia umkoa, ukabila na ukanda ili kuungwa mkono.
Hatudhani Zitto anataka kuwa kiongozi wa kaeneo, kama hilo ndilo lengo basi atafanikiwa. Hatari anayoiacha ni ya taifa kuparaganyika. Hilo 'not in our watch''

Tunasema, hata CCM kusema baadhi ya vyama ni vya kikanda'dini wanasingizwa.
Wapo waliobeba kauli hiyo kwa dhati. Hao na CCM inayopiga debe tunawakemea

Huwezi kumfanya Lissu awe Singida, Msigwa awe Iringa au Lema Arusha.
Nia ya kauli ilikuwa mbaya na yenye uovu. Tunakemea bila aibu

Na mwisho, jiulizeni kwanini kauli zenye ukakasi zinatoka kwa kiongozi mkuu?
Jiulizeni, mshauri wake aliposema ana kauli za ukakasi, je naye ana chuki?
Baregu alipotoa maoni, naye anachuki?

Iweje wachache waonekane wana chuki ikiwa umma mzima umepigwa ganzi na simanzi na kauli za mtu anayejipambanua kama mtaifa? Hivi siku atakapokuwa kiongozi wa taifa hili, wale anaowashambulia watahisi vipi!

Tutakemea bila kuomba radhi.
Tutaomba radhi kwa mama Tanzania si kwa watu wanaotumia jina mama Tanzania kumvuruga mama Tanzania.
 
Kwamba Dobutwa anaweza kuwa zaidi ya Zitto, hatuna uhakika.

Tunachojua, Dovutwa ana chama chake mfukoni, anavaa kofia nyekundu na kuendeleza siasa zake nchini kwa mujibu wa sheria.

Dovutwa hajaitenga jamii wala kuchomeka mbegu za ukabila na ukanda.
Hatujui ni Kabila gani, ingawa tunajua Zitto ni wa Kigoma na hakuna dhambi mkigoma kugombea Uenyekiti.

Tunajua Zitto kauli zake dhidi ya maeneo mengine zinaleta matatizo sana katika jamii.
Jamii inahisia na kugawanyika kutokana na kauli za Zitto, hatujasikia za Dovutwa

Zitto ni zaidi ya Dovutwa, inategemea unaangalia kutoka upande gani na darubini yenye ukubwa gani.

TUAMBIE MKOA GANI umekwazika kwa kauli ya Zitto ulete na ushahidi sio kuleta tafsiri zako na upotoshaji,hawakukwazika wasukuma waliombiwa wao ndio kabila maskini Tanzania,kuliko kabila lolote tokea tumepata uhuru,alafu wakwazike mkoa uliombiwa unachangia kidogo,lakini mfumo mbuvu wa serikali unaibeba,alafu unaleta stori oooh watu wa shinyanga watauchukia mkoa wa Klm,kiukweli Mzee wetu Nguruvi3 hapa ulichemsha,hutaki tu kutuomba radhi,yaani watu wanaambiwa mfumo mbovu serikali KATIKA ugawanyaji wa rasilimali za Taifa,hapa wanaambiwa indirect waachane na serikali ya CCM, wewe ukaleta ukabila,wakati Kilimanjaro kuna makabila mengi yanaishi,Mbowe kataja kabila kabisa huoni.
##Rushwa ni adui wa Haki,na pia Upofosha####
 
Last edited by a moderator:

Sina ushahidi , umemuuliza Zitto swali hili?
 
Source: JF

ZZK alisema haya kwenye mkutano aliofanya katika kata ya Ngoruka

Alisema "tukaenda Msoma, tukaenda Maswa mikoa 11 siku 12 Mfululuzo chama kikapokelewa vinzuri sana...."-

Aliendelea kwa kusema-
"... Kwa hiyo kote huko tulikopita, sasa mikoa 13 ya kutambulisha uongozi wa chama, wamekubali chama, Leo tuko kwa wenye chama, tulisema tukianza kwa wenye chama wataendeleeza zile propaganda hicho chama cha waha cha watu wa kigoma, tukasema tunakwenda kuanza kwa Wangoni.Tukaenda mpaka kwa wakurwa, wasukuma kwa haya leo tumerudi huku, KWA WENYE CHAMA na nyie hamjatuangusha kuanzia Kakongo, tumesimamishwa leo zaidi ya mara sita.......................... ......-

Hakuishia hapo akaendelea kwa kusema
"........ Lakini nataka niwaambie Kigoma, na muwaambie ndugu zenu ambao wapo nje ya Kigoma hawapo kwenye mkutano huu Wala msiogope kuambiwa hiki ni chama chenu, tembeeni kifua mbele mkisema hiki ni chama chenu, hakuna ubaya wowote hiki kuwa ni chama chenu, hakuna ubaya wowote nyie kuwa na chama.....-
 
Lugha hazitafsiriwi hivyo, kwa mtazamo wako huo kama nilivyokwisha kwambia mwanzo basi maana ya kipande hiki cha Obama,

"You can put lipstick on a pig. It's still a pig." ― Barack Obama

Kwa tafsiri yako hapo bold basi ungesema Obama kamtukana mtu kamuita nguruwe.

Hutuitaji kutafsiri "Wakati watu wa Kigoma wanapigwa mabomu kwa kutaka mageuzi watu wa ARusha, Singida, Iringa walikuwa wanakumbatia watawala.. hapa hakuna lugha ya picha bali ni ujumbe wa moja kwa moja kwenda kwa watu wa Iringa na nk.. "Laiti kama angesema baadhi ya watu" "bila kutaja mikoa" hapo walau tungeweza kusema anawalenga wabaya wake ambao ni viongozi wa Chadema. Kitu ambacho ni kawaida kwa siasa zetu za maji taka.
Lakini unapotaja watu wa sehemu fulani wako hivi au vile huwezi kusema hii ni lugha ya picha iwe umeitaja kwa mbaya au kwa mazuri.

Pia bado sijaona uhusihano wa speech ya Obama na speech za Zitto , Obama ametumia msemo na huu msemo ameutumia kwa kumlenga mtu mmoja ambaye kila mtu ni anamfahamu kuwa ni Bi.Hilaly. Hebu niambie kama huu msemo angeutumia kwa kumaanisha wakazi wa Mississipi au Carifornia hali ingekuwaje? Na hapo ndo point yangu ilipo kuwa iwe ni lugha ya picha kama unavyotafsiri yaani uongo au laa swali langu liko pale pale ni kweli watu wa Iringa, Arusha na Singida wanamidomo mrefu au ( waongo) (lugha ya picha)? Na hapa ndio tunarudi kwenye point yangu ya juu, kwamba tatizo si hiyo lugha aliyoitumia, tatizo ni walengewa wa hiyo7hizo kejeri. Laiti kama angesema baadhi, au akamataja Slaa, Mbowe na nk wala kusingekuwa na mjalada wa makabila mengine vs wachaga kama tulivyoona katika jukwaa la siasa au facebook wall ya Zitto.

Thread hii imekuwa ya uhamasishaji na utetezi sio wa taifa bali wa Ukaskazini, ulinzi wa Kaskazini, ndio unaweza ukaona hapo jinsi Lindi iliyotajwa pamoja na Kilimanjaro inavyotupwa ili kujenga Ukaskazini bila kujali kuwa njia hiyo ni hatari kwa taifa.

Hoja nzima imesimama kwenye hisia,hisia zipi..mnaziumba wenyewe, na kuzifinyanga wenyewe..huyu atakuwa ana chuki tu,chuki zipi?hamuwezi kuonyesha.Mtaishia tu kwanin ametaja jina la mkoa wetu?what?ndio maana nimeuliza ni lini kutaja jina la mkoa imekuwa kosa?imetajwa LIndi imekuwa sawa lakini kwanin kataja Kilimanjaro?kwanin kataja Arusha?what??you guys!!

Laiti kama ungetumia lisaa limoja kusoma thread hii kama nilivyokushauri hapo mwanzo (ingawaje lisaa limoja halitakutosha) ungeona ulichoandika hapo juu, ndilo lilikuwa swali letu la msingi, kwamba kama Lindi ni ya 10 kimaendeleo hali katika uchangiaji wa pato la taifa ni kati ya mikoa inayochangia kiasi kidogo sana, sasa kwanini tusiangalie Lindi na Shiyanga na kujiuliza kama wanalindi wameweza kwanini wanaShy wasiweze? Ni point hiyo hiyo uliyotumia hapo kwenye nyekundu tuliyoitumia na sie (unaotuita wabaguzi) na kujikuta tunafikia hitimisho ilo ilo uliyohitimisha kwa maneno kali kwetu sisi badala ya Zitto.

Matokeo yake mkapeleka mjadala sehemu ambako haukuwepo, hakuna sehemu ata moja Zitto kazungumzia mkoa wowote kuunyonya mkoa mwingine?mnatoa wapi?mtasema mmetafsiri..kutafsiri kutoka wapi??..ni kutoka kwenye yaliyojaza moyo yetu na kumsakizia ambaye hajasema popote, hakuna popote,popote Zitto kazungumzia kuna mkoa unaunyonya mkoa mwingine,hakuna!!Mtatoa tafsiri zenu kwa mnayoyataka ninyi,na kuziumba, na matokeo yake mnazidi kuwagawa watu.Hili ni ninyi ndio wenye tatizo.Ni ninyi ndio mnaouumba ukanda humu.Acheni hili jambo

Ni kweli mjadala umekuwa mpana na upana wa huu mjadala umejenga kwa kiasi fulani pale ambapo Zitto alijaribu kupabomoa. Maana tumeona si kweli kwa maendeleo ya Mkoa fulani kigezo chake ni uchangiaji wa pato la taifa pekee, bali ni pamoja na historia na eneo husika,ardhi,mwamko wa maendeleo ktka eneo husika, elimu na nk. Ni matumaini yangu kuwa, wale watu waliokuwa na hisia kuwa "wachaga wanakwapua fedha za mikoa fulani na kuzipeleka makwao na ndo maana wanakuwa na maendeleo zaidi ya maeneo mengine, wameelewa kuwa SI KWELI BALI WATU WA ARU/KILI MAENDELEO YAO YAMELETWA NA JUHUDI ZAO IKISAIDIWA ZAIDI NA HISTORIA YA ENEO LAO.

Hivyo basi utakubaliana na mimi kuwa huu mjadala umejenga zaidi umoja kuliko ule mjadala uliokuwa katika "JUkwaa la siasa" ambao watu walikuwa na hasira za wazi kuhusu "wachaga" , Wamedhalilishwa, kuna watu walienda mbali zaidi na kusema kuwa wanakwapua pesa za maendeleo ya mikoa mingine wanapeleka kwao, kuwa wachaga wamejazana TRA na nk. Kitu walichosahau hawa watu ni kuwa Arusha /Kil hawaishi wachaga tu bali "watanzania wote.

Na jambo la kusikitisha si wewe niliyekuona katika huo mjadala ukikemea kwa ukali ubaguzi wa wazi ulionyeshwa na asilimia kubwa ya wachangiaji ktka mjadala huo bali ulikaa na kunywa Chai, au soda au bia huku huku ukushangilia kuona watanzania wenzako wakidhalilishwa kutokana na kauli za fitina na chuki za Zitto.

Na kwa bahati mbaya sana au kwa makusudi Zitto aliona reaction ya watu juu ya kauli yake si JF peke yake bali hata FB,Instragram na nk. Lakini hakujitokeza kusema "jamani sikumaanisha hivyo au sikujua kuwa watu wangechukulia hivi bali nimaanisha hivi na vile.. Huyu Zitto ambaye ni mzalendo, ambaye ana akili kuliko watanzania wote, ambaya ana siasa za hoja haijawahi tokae Tanzania alikaa kimya akifurahi watu wakibaguana na kudhalilishana.

Ila tatizo lako ni baada ya Nguvuri3 kuona hizo sitofahamu na kuamua kutumia muda wake ambao labda angeutumia kufanya shughuli zake za kujiongeza kipato na kuleta hoja hapa ya kupingana na Zitto juu ya fitina zake na uongo. Ila kwa macho yako huyu mtu amekuwa mbaya na ndo mchongashi, mkanda na nk. Lakini aliyetamka hayo maneno hamgusi.
Hivi kweli wewe unauchungu na ubaguzi au una "act tu???

Nikukubushe aliyeleta kauli ya Arusha Kili vs Shinyanga si Alinda wa Nguruvi3 ni Zitto Kabwe...

Pia nakupata changamoto: Hebu nenda Shinyanga kaa na wazee/vijana na wambie kuwa " Aisee mnafahamu Mikoa yenye maendeleo ni Dar, Arusha na Kilimanjaro, mikoa inayochangia katika pato la taifa Shinyanga inashika No.4 (ok naelewa hawa watu hawaelewa nini maana ya pato la taifa ila wataelewa kinachoongelewa ni kuhusu mambo ya fedha) wakati ARusha inachangia ikiwa no.6 na Kili no.9..ukishamaliza ondoka bila kutoa ufafanuzi unachotaka kueleza ni nini, baada ya hapo rudi tena, majibu utakayo yapata hayatakuwa na tofauti na yale ya jukwaa la siasa "wachaga ni wezi, wanapendelea kwao na nk.

Pia nakupa chamgamoto no.2 (natumaini utakuwa muugwana na kizifanyia kazi ili kupeana darasa) Naomba unionyesha mstari mmoja au paraghafu moja yangu au ya Nguvuri3 ambayo wewe umeisoma kama mwana Tarime (kuhusu Tarime ni mfn tu) na kupata hisia ya kubaguliwa. kikanda au vyovyote vile.
 
Bibie Kama unataka kubishana juu ya Mikoa hiyo angalia harakati za mageuzi na sio ushabikia vyama. Zitto anazungumzia CHADEMA na jinsi wananchi walivyokuwa bado wakiichagua CCM wakati wananchi wa Kigoma wakipigwa kwa kutoichagua CCM kama tunavyoweza jenga hoja juu ya CUF Zanzibar.

Mkandara nilikuuliza swali rahisi kabisa kuwa

Kigoma waliacha lini kutoichagua CCM na mikoa mingine iliacha lini?

Bibie, inajulikana wazi kwa wanaharakati wote kwamba Mkoa wa Kigoma wameanza zamani sana kupingana na CCM toka kuanzishwa kwa Upinzani, iwe NCCR, CUF, Chadema na leo wanaweza kuwahama vile vile wakiona mnawapotosha. Mkoa huo wamekuwa mstari wa mbele kuunga Upinzani toka tunaanza vyama vingi na CCM wamekuwa wakichakachua kura huko toka zamani, CCM mkoa wa Kigoma wanashinda kwa mabavu toka 1995 hilo halina Ubishi..

Mimi sipo hapa Kumtetea Zitto isipokuwa tusipende sana kuchambua maneno ya mtu kwa lugha zinazotupendeza sisi ili mtu huyo aonekane mbaya. Walimfanyia Fitna Zitto hawakuona ubaya lakini anaporudisha yeye kwa uchungu wa kazi kubwa waloifanya kukisimamisha chama leo mijitu imekuja ndandia treni biila nauli (wachumia tumbo) mnawaona wa maana sana na yeye ndiye msaliti.. Ujinga huo sitoingia kamwe.

Kwanza napenda kusahihi hapo kwenye blue si mijitu ni watu.. Ili ni jukwaa la great thinker ni wajibu wetu mimi, wewe na yule kulipa hadhi inalostahili. Haipendizi kuona mtu kama wewe uliyetumia nguvu na mali zako kujenga hadhi ya JF leo hii wewe ndo unakuwa wa kwanza kubomoa ulichojenga kwa mikono yako. Jifunze kutawala "hasira" zako si Hasira zikutawale wewe.

Baada ya hapo tuendelee na mjadala wetu:

Lakini jibu lako haliendani na swali langu, Ila nitakuuliza tena swali lile lile.. Je ni lini Kigoma iliacha kuichagua CCM, na ni lini mikoa mingine ilianza kuchagua vyama vya upinzani?

Kinachobishaniwa si kuwa Kigoma si wana mageuzi, ninachopinga kwa nguvu zangu zote ni ile kauli ya kuwa "Wakati Kigoma wakipigwa mabomu, mikoa mingine walikuwa wanakumbatia watawala" Hii si kweli maana tumeona kuwa uchaguzi wa mwaka 1994 (uchaguzi mdogo) Dr. Amani alishindwa. Mwaka 1995 baada ya Mrema kuleta chachu katika vyama vya upinzani ndo Kigoma waliweza kupata Mbunge na si kigoma pekee bali hata Iringa, Rolya,Vunjo, Arusha, Karatu,Ubungo (kama sikosei) na maeneo mengine.. Hivyo si kweli kuwa mikoa ya Arusha, Singinda na Iringa walikuwa anakumbatia CCM.

Swali la pili Tanzania nzima tunafahamu hakuna mkoa ambao wananchi wake wamedhalilishwa na dola kama Arusha, kuanzia kupigwa viongozi, kufunguliwa kesi za kubambikizwa, kuuawa na nk. Hivi leo hii mbunge wa Arusha anaweza kusimama na kusema wakati watu wa Arusha wanapigwa mabomu watu wa Mwanza, Mbeya, Kagera walikuwa walikuwa wanakumbatia watawala kwa vile tu hii mikoa haikupigwa mabomu?

Kuhusu CCM kuchakakachua kura, hilo ni kweli ninakubaliana nalo ila CCM hawachakachui Kigoma tu bali wanachakachua maeneo yote pale wapinzani wanapolala /au wanapokosa umakini maana CCM wamebobea kwenye wizi.

Kwa hiyo ili si tatizo la wanakigoma peke yao bali ni tatizo la mikoa yote...

Ni kweli chama kimekua na wote tunakubalina kuwa Zitto ana mchango wake mkubwa ndani ya Chadema hilo halina ubishi.. Lakini hiyo si sababu yeye kukiuka utaratibu waliojiwekea (nafahamu hapa utakaja na maelezo marefu khs Mbowe na Zitto
:smile-big🙂

Na kuwa mkongwe kwenye chama si sababu ya wewe kuwasimanga watu waliojinga leo au jana. La sivyo una haja ya kutafuta wanachama wapya maana kwako wewe hawana maana. Kila mwanachama au uwe umejiunga leo kutoka ccm au umejiunga na miaka 16 wote mna haki sawa. Ukikosea utawajibishwa kama wanachama yeyote yule.
 
Alinda:

Hizo keyboards zenu zipo salama lakini. Naona kama mnazibonyeza kwa hasira huku mkigonga vichwa ukutani. Hiri rijamaa mbona arinielewi. Rinaendelea kubisha tuu.
 
Alinda:

Hizo keyboards zenu zipo salama lakini. Naona kama mnazibonyeza kwa hasira huku mkigonga vichwa ukutani. Hiri rijamaa mbona arinielewi. Rinaendelea kubisha tuu.

Lol.. Yangu mpaka dakika hii hiko poa tu.. Ila tatizo ni shemeji yako ameanza kuwa na kawifi na keyboard..:teeth::teeth::teeth:
 
Katika video ya Alinda kuna kitu sijui kama wengiwamekioana.

Tunaposema kiongozi mkuu anachochea ukabila/ukanda. Tunaambiwa sikweli, tuna chuki.

Msikilize, Zitto katika dakika ya 15 …anasema '' mwaka 2009 nikasema Kwanikuna dhambi mtuwa Kigoma kugombea Uenyekiti? ''

Yaani alitaka kuwania uenyekiti wa chama chake kama mtu wa Kigoma na Si Zitto.

Anatueleza namna alivyotengwa kwa Ukigoma. Ndiyo maana tunasema udini/Ukanda walioubeba CCM haikuwa agenda yao, waliisikia

Kwa kauli hiyo, tayari Zitto anatueleza, akiwa kiongozi wa nchi hii ni kwasababu ya Ukigoma. Na jina lake'likikatwa' ni Ukigoma. Anahubiri ukanda Zaidi ya nafsi na nafasi yake

Ikitokea Zitto akawa kiongozi wa nchi hii, zipo sehemu zitakoma.
Tayari tunajua chuki dhidi ya mikoa. Huyu anayefikiria uenyekiti kwa kutumia Ukigoma na si Utanzania ana funda lake.

Zitto anapaswa kuwa mhubiri wa utangamano. Yupo karibu na Rwanda, anajua Uhutu na utusi ulivyolimaliza taifa, bado anataka uenyekiti kwanjia za '' kwani kuna dhambi mtu wa Kigoma kuwa mwenyekiti'
 
Katika video ya Alinda kuna kitu sijui kama wengiwamekioana.

Tunaposema kiongozi mkuu anachochea ukabila/ukanda. Tunaambiwa sikweli, tuna chuki.

Msikilize, Zitto katika dakika ya 15 …anasema ‘’ mwaka 2009 nikasema Kwanikuna dhambi mtuwa Kigoma kugombea Uenyekiti? ‘’

Yaani alitaka kuwania uenyekiti wa chama chake kama mtu wa Kigoma na Si Zitto.

Anatueleza namna alivyotengwa kwa Ukigoma. Ndiyo maana tunasema udini/Ukanda walioubeba CCM haikuwa agenda yao, waliisikia

Kwa kauli hiyo, tayari Zitto anatueleza, akiwa kiongozi wa nchi hii ni kwasababu ya Ukigoma. Na jina lake’likikatwa’ ni Ukigoma. Anahubiri ukanda Zaidi ya nafsi na nafasi yake

Ikitokea Zitto akawa kiongozi wa nchi hii, zipo sehemu zitakoma.
Tayari tunajua chuki dhidi ya mikoa. Huyu anayefikiria uenyekiti kwa kutumia Ukigoma na si Utanzania ana funda lake.

Zitto anapaswa kuwa mhubiri wa utangamano. Yupo karibu na Rwanda, anajua Uhutu na utusi ulivyolimaliza taifa, bado anataka uenyekiti kwanjia za ‘’ kwani kuna dhambi mtu wa Kigoma kuwa mwenyekiti’
Nguruvi3,

Kwani ni dhambi Kaskazini kuwa na Taifa lao na kwenda huko watu wa maeneo mengine mpaka tuwe na Visa daah!!!.

Soma hapa chini kiduchu mwambie na Alinda.

Ujasiri wa Mbunge kijana wa Jimbo la Arumeru Mashariki Nassari Joshua (Chadema) pale alipotamka kuwa yeye na chama chake wana mipango ya kujitenga na kuunda Taifa lao.Taarifa hii licha ya kuwaudhi watanzania wengi wakiwemo viongozi wa chama hicho lakini vijana wenzake ambao ambao wanajiita ‘’Makamanda’’ walinyosha vidole juu na kushangilia kana kwamba ni jambo jema sana kwa mustakabali wao na vizazi vyao. matamshi hayo ambayo wanaojiita wazalendo walimsifia Miongoni mwa matamshi anayotuhumiwa kuyasema Nassari ni kumpiga marufuku Mkuu wa Nchi rais Kikwete kukanyaga Arumeru na Kanda ya Ziwa, eti kwa kuwa maeneo hayo ni ya Chadema na wakati wowote watatangaza Rais wao kama ilivyokuwa Sudani Kusini.-Mengine ni kumhusisha mtoto wa Rais Kikwete, Ridhiwani na masuala ya uteuzi wa viongozi wa nchi unaofanywa na baba yake.

Huyu Nassari hakuchukuliwa hatua yeyote na chama chake inaoneka huu ni mpango maalum wa Chadema Nassari hakusema haya maneno kwa bahati mbaya alikuwa anajua anachokisema kauli kama hizi za kuwagawa Watanzania Nguruvi3 na Alinda hata siku moja hamuwezi kuzikemea na mnaweza kujenga hoja kuitetea.

Chadema wanataka taifa lao la kaskazini bado tunawachekea hawa watu wanataka kutupeleka wapi wanataka Tanzania tuigawane vipande vipande.
 
Last edited by a moderator:
Alinda na Mkandara na wengineo shukrani kwa kuona umuhimu wa kuwasilisha maoni yenu kwenye jukwaa hili kwa kutumia vyanzo visivyotiliwa shaka (video ). Tumemsikia SL alipokuwa Kigoma na tumemsikia Kigaila akifafanua suala la ukomo wa uongozi ndani ya chama chake. Maelezo ya hatari ya kauli za SL akiwa Kigoma yamefafanuliwa kwa kina na akina Nguruvi3. Pia tumepata maelezo ya utetezi kutoka kwa Kapwela kuwa kauli za SL si tatizo. Nimefuatilia kweli maoni yake (Kapwela), lakini mwisho wake nikajikuta nakubaliana na hitimisho la Nguruvi3 kuwa Kapwela anafunika 'uozo' wa kauli za SL ndani ya zulia/carpet. Hana (Kapwela) nia ya dhati kuimarisha umoja wa watanzania kwa kufanya kitendo hicho.

Kapwela ama kwa makusudi ama kwa kukosa muda amekataa ushauri wa kurudia kuzisoma post zote za uzi huu ili aweze kuelewa wana maana gani wale wanaosema Kauli za SL ni hatarishi kwa mustakabali wa umoja wa Watanzania pia ni nini msingi wa hoja ya Chama cha ACT-Mpini wa CCM kumaliza upinzani

Kapwela huyu amenisikitisha pia kwa maneno yake niliyonukuu hapo juu akiwa na maana kuwa Alinda na wengine tunaotumia 'majina bandia' hatutakiwi kutiliwa maanani yale tunayoshauri. Sikutarajia kulipata hili kutoka kwenye mabandiko yake. Ndiyo ninajiuliza sasa kama hali ndiyo hii, kwa nini yeye anaendelea kuandika ushauri wake hapa Jukwaani...!? Si aende zake huko akanywe 'brand' na wenzake ambao hawaoni umuhimu wa kulinda umoja wa watanzania. Unajua 'barubaru' aliwahi kutoa utetezi wa namna hii, juu ya kauli ya (nadhani) mwanasheria mkuu wa Zanzibar...! Ni aibu na nikutojitendea haki kutumia utetezi wa namna hii.

Tunaposema tutakemea wote wanaotaka kukwamisha juhudi za kuimarisha umoja wa taifa la Tanzania tunamaanisha. Kwa hiyo kama Kapwela upo hapa kwa 'kujifurahisha', umepotea njia. Hapa 'hatufurahishani', tunaijenga Tanzania tuipendayo na tuitakayo yenye watanzania wasiobaguana kwa namna yoyote ile yenye misingi miovu, yaani tunajenge tanzania ya watanzania wamoja.

Vitu vingine vinafurahisha sana, sasa utakubaliana vipi na Nguruvi kwa kulinganisha maelezo yangu na yake wakati toka thread hii inaanza mawazo ya Nguruvi ndio mawazo yako?hukuwa ata na haja ya kuigiza hivi.Kama nilivyomueleza Nguruvi, maelezo hayo pia yafanyie kazi.

Hilo la Alinda,sijui kama umesoma vizuri,"uthibitisho usio na shaka" kwa mujibu wa Nguruvi wa kuthibitisha kuwa ni kweli Zitto ni mdini na mbaguzi ni ushahidi wa Alinda,refer hapo chini.

Mkuu kwanza, lazima ukumbuke zilikuwepo hisia za udini na ukanda katika chama cha Zitto.
Alinda yupo hapa, aliwahi kufanya mazungumzo naye na hakukanusha.
Ndio maana nimeuliza,na ninauliza tena who is Alinda?kuanza kutangaza jambo kubwa kama hili kwa ushahidi "kivuli", eti kwa sababu Alinda(tusiyemjua interest yake ni nin kwenye hili,ni nani,na kwanin na ambaye maelezo yake hayawezi kuthibitishwa), alafu unakomalia eti maelezo yake hayo tuyafanye kama msahafu?please wakati wote kumbuka hili ni jukwaa la great thinkers,huwezi kushikilia ushahidi mwepesi kama huo kwa jambo kubwa kama hili.

Ajabu tena,anasema kwa kuwa Alinda ameandika na Zitto hajakanusha maelezo hayo basi huo ni uthibitisho tosha,unajiuliza hivi una uhakika gani kuwa Zitto ameyasoma maelezo ya Alinda?je unadhan ni practical kwa mwanasiasa yoyote akiwepo Zitto kujibu kila uzushi dhidi yake utakaorushwa kwenye mitandao?ebu tulitendee haki jukwaa hili lisiharibu maana yake.
 
Nguruvi3,

Kwani ni dhambi Kaskazini kuwa na Taifa lao na kwenda huko watu wa maeneo mengine mpaka tuwe na Visa daah!!!.

Soma hapa chini kiduchu mwambie na Alinda.

Ujasiri wa Mbunge kijana wa Jimbo la Arumeru Mashariki Nassari Joshua (Chadema) pale alipotamka kuwa yeye na chama chake wana mipango ya kujitenga na kuunda Taifa lao.Taarifa hii licha ya kuwaudhi watanzania wengi wakiwemo viongozi wa chama hicho lakini vijana wenzake ambao ambao wanajiita ‘’Makamanda’’ walinyosha vidole juu na kushangilia kana kwamba ni jambo jema sana kwa mustakabali wao na vizazi vyao. matamshi hayo ambayo wanaojiita wazalendo walimsifia Miongoni mwa matamshi anayotuhumiwa kuyasema Nassari ni kumpiga marufuku Mkuu wa Nchi rais Kikwete kukanyaga Arumeru na Kanda ya Ziwa, eti kwa kuwa maeneo hayo ni ya Chadema na wakati wowote watatangaza Rais wao kama ilivyokuwa Sudani Kusini.-Mengine ni kumhusisha mtoto wa Rais Kikwete, Ridhiwani na masuala ya uteuzi wa viongozi wa nchi unaofanywa na baba yake.

Huyu Nassari hakuchukuliwa hatua yeyote na chama chake inaoneka huu ni mpango maalum wa Chadema Nassari hakusema haya maneno kwa bahati mbaya alikuwa anajua anachokisema kauli kama hizi za kuwagawa Watanzania Nguruvi3 na Alinda hata siku moja hamuwezi kuzikemea na mnaweza kujenga hoja kuitetea.

Chadema wanataka taifa lao la kaskazini bado tunawachekea hawa watu wanataka kutupeleka wapi wanataka Tanzania tuigawane vipande vipande.

Nategemea upofu wa Nguruvi3 na Alinda maana wao mkosaji ni Zitto tu,kama kauli ya mbowe aikua tishio,itawezaje ya Nassari, mpango wao kwa Zitto wanajua wao moyoni kwao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom