Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
- Thread starter
- #1,421
Mkuu Mag3 kwa busara za kiutu uzima alikuwahi mapema.Hawa watu Alinda na Nguruv wanachekesha kweli, Kauli ya Adharus kuhusu aliyoyasema Zitto WANAIKUBALI Lakini Kauli ya Ritz kuhusu aliyoyasema Zitto WANAIKATAA!
Tukiwauliza basi na nyinyi Leteni Ya Kwenu kwa Kadri mlivyomsikia Zitto Mwenyewe Akizungumza kuhusu hiyo Mikoa ya Shinyanga, Arusha, Dar es salaam HAWANA
NGOJA NIMUULIZE NGURUV, JE NI KWA NINI UNADHANI KAULI YA ADHARUS NI NUKUU HALISI YA ALIYOYASEMA ZITTO, LAKINI NUKUU YA RITZ SIYO NUKUU HALISI YA ALIYOYASEMA ZITTO, NAOMBA NA USHAHIDI WA MAJIBU YAKO
Kakushauri kwanza soma uelewe mjadala halafu ujipange na kujadili.
Suala la hotuba zinazotofautiana tumelieleza sana huko nyuma. Tukaonyesha jinsi hotuba ya Shinyanga na nyingine ya radio free Africana viwanja vya furahisha zilivyo na utata.
Wiki iliyopita nimezungumzia suala hilo hilo kwa kina
Haturudi nyuma, si kwa kuwa hatupendi bali kanuni za elimu zinasema darasa haliwezi kusimamisha mtaala kwasababu kuna mwanafunzi mmoja u wawili mazezeta wasiofanya home work zao.
Na kisha niwakumbushe, rudini bandiko 1408 la Mag3 msome kwa makini hekma iliyopo ndani yake.
Kuna wakati nashangaa sijui mnasoma vipi vitu!