Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
- Thread starter
- #1,581
Awe kasema popote alipo midhali kasema tuna m-hold acconutabe, perfect and square tukizingatia ukweli amepewa benefit of doubt hadi kujaribu kuliangamiza taifa.Wewe Nguruv huna haki tena ya kujadili hoja ambayo source yake ni Facebook kwa sababu huna imani nayo.
Muachie Alinda na wengine wenye kuzipa uzito source za Facebook tufanye nao mjadala, wewe Nguruv itakuwa ni sawa na kulamba matapishi yako mwenyewe kuingia ktk mjadala kwa kutumia reference usizo na imani nazo!
Mnachosema wafuasi wake watiifu ni kuwa Kiongozi mkuu hakutoa kauli za kuligawa taifa.
Mnafanya hivyo mkijithadi kuficha ukweli.Nyuma ya pazia katika majadiliano tunaona mnaunga mkono ‘unfair distribution of national cake' Mkiulizwa wekeni hapa ili tuone unfairness ipo wapi , mnakimbiaau kukimbilia hoja za .. dah
Tunajua Mknadara alisema na yupo katika rekodi, mikoa imependelewa kwa kuwa na maji.
Yaani maji yanayotoka ardhini hayakugawanywa vema, sasa sijiu na mungu au serikali.
Kazungumzia umeme n.k.Kasema kuhusu uwezeshwaji ingawa naye kama wewe hakusema uweeshwaji gani na kwanjia zipi.
At least tunajua Mkandara ana fundo tu na anamuunga mkono bila sababu. At least tunajua hilo
Alinda anauliza, ni kwa namna gani na njia zipi au maeneo gani kuna unfair distribution of national cake Bwana Gamba laNyoka?
Jibu haliwezi kuwa Nguruvi bali maelezo yako
Last edited by a moderator:
