Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Wewe Nguruv huna haki tena ya kujadili hoja ambayo source yake ni Facebook kwa sababu huna imani nayo.

Muachie Alinda na wengine wenye kuzipa uzito source za Facebook tufanye nao mjadala, wewe Nguruv itakuwa ni sawa na kulamba matapishi yako mwenyewe kuingia ktk mjadala kwa kutumia reference usizo na imani nazo!
Awe kasema popote alipo midhali kasema tuna m-hold acconutabe, perfect and square tukizingatia ukweli amepewa benefit of doubt hadi kujaribu kuliangamiza taifa.

Mnachosema wafuasi wake watiifu ni kuwa Kiongozi mkuu hakutoa kauli za kuligawa taifa.

Mnafanya hivyo mkijithadi kuficha ukweli.Nyuma ya pazia katika majadiliano tunaona mnaunga mkono ‘unfair distribution of national cake' Mkiulizwa wekeni hapa ili tuone unfairness ipo wapi , mnakimbiaau kukimbilia hoja za .. dah

Tunajua Mknadara alisema na yupo katika rekodi, mikoa imependelewa kwa kuwa na maji.
Yaani maji yanayotoka ardhini hayakugawanywa vema, sasa sijiu na mungu au serikali.

Kazungumzia umeme n.k.Kasema kuhusu uwezeshwaji ingawa naye kama wewe hakusema uweeshwaji gani na kwanjia zipi.
At least tunajua Mkandara ana fundo tu na anamuunga mkono bila sababu. At least tunajua hilo

Alinda anauliza, ni kwa namna gani na njia zipi au maeneo gani kuna unfair distribution of national cake Bwana Gamba laNyoka?

Jibu haliwezi kuwa Nguruvi bali maelezo yako
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi
Unlike GDP, taxation is the most effective wayof financing the costs of all public goods.
By public goods, maana yake ni kwamba – goodsambazo consumption (matumizi) yake yanapofanywa na mtu mmoja haipunguzimatumizi ya wengine .
Pia ni vigumu kuzuia watu wasitumie such publicgoods, hata kama hawajalipia.
Mfano ni taa za barabarani n.k. Funds kwa ajiliya such goods zina uhusiano wa moja kwa moja na Government Income (TaxRevenues) kuliko National Income (GDP). K

wa maana hii, Zitto anaposema kwamba kuna maeneo ambayo yapo nyuma kwasababu ya poor public services or infrastructure, anajisahau kwamba ni kwasababu ya mapungufu kwenye Tax system na sio National Income Statistics.
Na hili limejieleza wazi kabisa, si katika ngazi ya serikali tu, hata halmashauri za miji.

Manispaa nyingi zilizopata hata safi ya makusanyo na matumizi, pia zinakiwango kikubwa cha maendeleo.

Hivyo sisuala la GDP tu, Taxation ambayo mchambuzi kasema imewekewa sheria ni muhimu sana katika ku define maendeleo
 
Kama tulivyokwisha ona, tofauti na suala la GDP/Pato la Taifa - (yani uzalishaji wa goods and services), taxes are mandatory payments, constrained BY LAW.

Kitakwimu tunaona zipo jamii kadhaa nchini ambazo hazifanyi uzalishaji wa kutosha kwa sababu mbalimbali, lakini bado maisha yao yanaendelea na hakuna anayewabugudhi au kuwaambia kwamba wanavunja sharia. Wananchi hawa wanaishia kuitwa tu wavivu, wazembe, economically challenged etc, na hakuna sheria zinazowabana. Lakini linapokuja suala la Pato la Serikali (kodi), takwimu zinatuonyesha kwamba kuna jamii ambazo zinajituma na kuchangia sana kwenye mapato ya serikali, na maendeleo ya taifa kwa ujumla, na juhudi hizi zipo constrained by LAW.

Kuna masuala mengine matatu ambayo ni muhimu kuyatazama kufikia hatua hii:

Kwanza - Kodi hukusanywa kutoka kwenye jamii nzima, na main inspiration katika hili ni vitu vikuu vitatu:

· Justice.
· Efficiency.
· Effectiveness.

Again, tukitazama in practice, tunaona kwamba zipo jamii ambazo zinalipa kodi kubwa kuliko jamii nyingine, pamoja na kwamba ulipaji wa kodi ni kwa mujibu wa sheria. Je is there justice katika hili?

Kwanini Zitto asijadili suala hili muhimu badala ya kutumia muda wake kuchonganisha wananchi?

Kama kweli Zitto ana lengo la kuangalia viwango vya maendeleo katika jamii mbalimbali kwa maslahi ya taifa, basi anatakiwa aangalie vitu hivi vitatu kwa pamoja namely – justice, efficiency & effectiveness.
.
Katika suala la Justice, kundi linaloplipa kodi katika jamii ni wafanyakazi ambao hawana namna ya kukwepa.

Kundi lingine ni la walaji (consumers) ambalo kodi zimefungwa katika bidhaa.
Na kundi lingine ni la ‘essential services' kwamba ni lazima mtu alipe kodi kwa huduma anayoihitaji kwa lazima

Kuna makundi yasiyojulikana yanalipa vipi kodi. Mchambuzi kaongele informal sector.

Hili ni kundi kubwa sana hakuna anayejua linachangia vipi katika kodi.
Kundi hili linahusisha wafanyabiashara, wakulima na watoa huduma ambazo hazina usajili.

Fikria, kuna watu wanafanya biashara bila kulipa kodi ukiachilia mbali ile ya essential services.

Kwa mfano, mfanyabiashara wa mpunga/mahindi n.k., kodi anayolipia ni ile ya mafuta tu kutokana na tozo la mwneye gari.

Hana kodi nyingine na anaweza kuwa na biashara ya mamilioni.

Hapa ndipo suala la efficiency linapoingia. Kwamba hatujui nani anapaswa kulipa kodi, bali tunajua akina nani walipe kodi.

Je, tax system ni effective, absolutely no! Tumeona justice, efficiency zinavyopwaya.

Supreme leader angeweza kuona tax evasion inavyolimaliza taifa.

Unapokuwa na ukwepaji kodi wa Trilioni moja kwa mwaka hilo tu linaeleza wapi tuna matatizo

Supreme leader alipaswa aangalie system nzima ilivyo. Kwamba hatukusanyi kodi, hatuna mfumo wa kubaini nani analipa nani halipi, na kwamba hakuna effectiveness katika suala zima

Kwenda kuongelea mikoa hii ipo hivi ile ipo vile, huu unachangia hivi ule unachangia vile ni kiwango cha chini, dhaifu, dhalili na kisicho na chembe ya busara.

This guy( supreme) is an economist, we expected a lot from him, anapotoka kibubusa majukaani is very unfortunate
 
Awe kasema popote alipo midhali kasema tuna m-hold acconutabe, perfect and square tukizingatia ukweli amepewa benefit of doubt hadi kujaribu kuliangamiza taifa.

Mnafanya hivyo mkijithadi kuficha ukweli.

Supreme leader angeweza kuona tax evasion inavyolimaliza taifa.

Supreme leader alipaswa aangalie system nzima ilivyo.

This guy( supreme) is an economist, we expected a lot from him, anapotoka kibubusa majukaani is very unfortunate

Naamini u mtu mzima kama nilivyo mimi.

Kuendelea KURUDIA HOJA AMBAZO TAYARI ZIMETHIBITIKA KUWA SIO ZA KWELI NI KULIDHARIRISHA JUKWAA HILI.

JIHOJI MWENYEWE!

TUSIMAME KWENYE UKWELI, PROPAGANDA NA UONGO SIO SEHEMU YA JUKWAA LA GREAT THINKERS.

Heshima kwako!

Kifupi hayo ulioandika hapo juu ni maneno ya ZZK?
Na kama ya ZZK aliyatoa wapi? utupe reference yako?

Hilo ndilo uliloulizwa na si lingine. Kwani kuna tuhumu Lukuki mnazozitoa zinazomuhusisha ZZK kuwa ni mbaguzi na mchochezi kwa kutoa kauli hizo. sasa kinachohitajika ni ile connection baina ya maneno hayo na tamko la ZZK.

Mimi nafikiri Alinda anaweza kuwa na majibu mujaraab kwa mushkira huu. Labda atuweke wazi maneno haya Chini ameyatoa wapi? atupe ref.

."Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa
-16.9% Dar
-9.2% Mwanza kabla haijagawanya
-7.3%. Mbeya
-6%. Shinyanga
-5.3% Iringa
Hata hivyo Shinyanga ni moja ya mikoa yenye Umaskini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia pato la Taifa, mikoa yenye Maendeleo Zaidi ni Arusha,Kilimanjaro na Dar es salaam.Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7 kuchangia Pato la Taifa.

[/B]
[/FONT]
Ndio hayo ni maneno ya Zitto ambayo mimi Alinda niliyaona kwa mara ya kwanza Facebook , Twitter, Instragam (Zitto) na hapa Jf. (hapo nimenyoosha na mkono juu kabisa yaani ninaapa maneno niliyosema ni ukweli na ukweli mtupu)

Naona hili andishi hata wewe linakutatanisha kama sisi. Na ndo maana tukasema aje atupe maana nyingine alikusudia nini? au hata wewe unaweza kutupa shule jinsi ulivyolielewa.

Sasa unasema source yako ni facebook na facebook page yenyewe hujaisoma sasa ulikuwa na moral authority gani ya kujadili miezi miwili yote hii?maana vitu vyote hivyo vipo kwenye page hiyohiyo.

WEWE ULICHOFANYA UMECHUKUA NUSU YA KIPANDE CHA KWANZA NA KIPANDE CHA NNE, vipande vingine HUJAVIONA, propaganda!
.................................................................................................................................................................
Zitto Kabwe

April 5 · Dar es Salam, Tanzania

Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.

Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu

Zitto Kabwe
April 5 · Dar es Salam, Tanzania ·
Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.

Zitto Kabwe
April 5 · Dar es Salam, Tanzania ·

Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.

Zitto Kabwe
April 5 · Dar es Salam, Tanzania ·
Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.

Zitto Kabwe

April 5 · Dar es Salam, Tanzania ·
Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.

Zitto Kabwe
April 5 · Dar es Salam, Tanzania ·
Mikoa 9 nchini ina idadi ya watu zaidi ya 2m. Dar, Mbeya, Tanga, Morogoro, Mwanza, Tabora, Kagera, Dodoma and Kigoma. Mikoa hii ina 52% ya Watanzania wote

Zitto Kabwe
April 6 · Dar es Salam, Tanzania ·
Wakati Dar inachangia 16.93% ya katika Pato la Taifa, inaongoza kwa makusanyo ya kodi ambapo inachangia 81% ya Mapato yote ya Serikali. Kwa makusanyo ya Kodi mkoa wa pili ni Arusha na wa tatu ni Tanga.

Zitto Kabwe
April 6 · Dar es Salam, Tanzania ·
Dar, Arusha, Tanga, Mwanza na Kilimanjaro huchangia 90% ya mapato yote ya Serikali nchini

Shinyanga inaendelea kushangaza sana. Wakati inashika nafasi ya nne kuchangia Pato la Taifa (6% of Tanzania GDP), inashika moja ya nafasi ya chini kabisa kuchangia Mapato ya Serikali ( 0.46% of total tax ). Unajua sababu? Shughuli nyingi za kiuchumi za Shinyanga hufanyika Shinyanga lakini kodi zake zakusanywa Dar es Salaam. Mfano migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu, kodi zake zinalipwa Dar es Salaam

Zitto Kabwe
April 6 · Dar es Salam, Tanzania ·
Mkoa wa Njombe ndio unaongoza kwa kuwa na watu wengi virusi vya ukimwi. 15.4% ya watu wa Njombe wenye umri kati ya 14 - 49 wanaishi na virusi vya ukimwi. Mkoa unaofuata ni Iringa wenye 10.9% ya watu wake kuwa na virusi vya ukimwi.

Zitto Kabwe
April 6 · Dar es Salam, Tanzania ·
Dodoma, Manyara na Tanga ndio mikoa yenye watu wachache zaidi wanaoishi na virusi vya ukimwi

Zitto Kabwe
April 6 · Dar es Salam, Tanzania ·
koa wa Simiyu ndio mkoa wenye watu wachache zaidi wenye elimu ya sekondari ambapo 3.7% ya watu wa Simiyu wenye umri wa zaidi ya miaka 25 wana elimu ya sekondari. Dar es Salaam ndio mkoa wenye watu wengi zaidi wenye elimu ya Sekondari, 29%

Zitto Kabwe
April 6 · Dar es Salam, Tanzania ·
Katika kodi zote zinazokusanywa Dar es Salaam, 75% zinatokana na forodha, 16% kodi ya mapato na 9% kodi ya ongezeko la thamani (VAT). Dar inachangia 81% ya makusanyo yote ya kodi nchini. Hii inaonyesha kuwa Watanzania wengi sana hawalipi kodi. Utegemezi kwenye forodha ni hatari sana kwa uhai wa nchi yeyote.

Zitto Kabwe
April 7 · Dar es Salam, Tanzania ·
" there appears to be a disconnect between economic growth on the one hand and human development on the other" Tanzania Human Development Report 2014

Zitto Kabwe
April 7 · Dar es Salam, Tanzania ·
Takwimu zote ninazoweka hapa toka jana zinatoka katika Tanzania Human Development Report 2014. Taarifa imesheheni kwa kweli

Zitto Kabwe
April 7 · Dar es Salam, Tanzania ·
Tofauti ya Kipato miongoni mwa wananchi (Inequality) ni jambo linalokosekana kabisa kwenye uchambuzi wa Taarifa ya Maendeleo ya Watu ( THDR 2014). Ninadhani moja ya hatari kubwa nchini ni kuongezeka kwa pengo kati ya wenye nacho na wasio nacho. Sifa ya sasa ya uchumi wa Tanzania ni 'kufaidisha wachache na kufukarisha wengi'
............................................................................................................................................................
A Lie Can Travel Halfway Around the World While the Truth Is Putting On Its Shoes
 
Umekuja na version yako, ukweli ni upi?
Maana kila mtuanatupa taulo ilimradi supreme aonekane kaokoka. Huko tumewaachia ninyi wabeba viatu.
Wewe ni kada
,sisi ni wananchi

Mchambuzi kaja hapakamuonyesha Gmaba la Nyoka.

Kama utakumbuka
@Gamba la Nyoka alisema mikoa inastahili kupata mgao wa GDP kutokana na inavyochangia teana aimuunga mkono supreme.

Yaani hakujua maana ya GDP na tax na tofauti zake. Mchambuzi kamwekea hadi mfano wa taa za barabarani. Katulia

Takwimu zimewekwa hapa, fanyia kazi kumuokoa si kutafuta teehe 20 guruvi kaandika nini
Mtoeni mtu wenu kweye lindi la tope la majita analoishi na atakaloishi nalo

Huyu supreme leader ni mchumi, mtu aliyewahi kuwa na nyadhifa zinazo mwezesha kuelewa matatizo ya taifa hili.

Anajua wizi unavyoumiza, kukwepa kodi, misamaha ya kodi na kutoka na njia za kukusanya kodi.
Anajua madini na matatizo yake hadi kupelekeakuwa mjumbe wa tume ya Bomani.

Huko ndiko matatizo yalipo si wananchi wa baina ya mikoa.

Mchumi/mbunge/kiongozi mkuu anaposimama na kusema kitutusa tu , inasikitisha sana!

Note: Angalia unachotumbukiza hapa, unaumiza washirika wako.
Nikimwita Wabe itakuwa mbaya. Hivi wewe na Wabe nani senior ki kazi?

Rudi nyuma usome kwanza . Wanapwaya- zumbemkuu
 
Mchambuzi,

  • Kati ya "Government Income" (Taxes) na "National Income" (Market Value of Goods and Services Produced in an economy i.e GDP):
    · Ipi inapima juhudi za maendeleo kwa vitendo zaidi? Mkandara na wenzake wanaendelea kusisitiza kwamba ni GDP. Tukiuliza Kwanini? Jibu ni kwamba Zitto kasema.
    ·​

Mkuu Pato la Taifa ni mzunguko mzima wa biashara kwa kila mkoa wakati Taxes ni makusanyo ya kodi za serikali. Chukulia wewe mshahara wako kwa mwezi ni Tsh Mil.3 hili ndilo pato lako na pengine kuna mkeo, na watoto wanafanya kazi ama vibarua au biashara na jumla yenu ndilo pato la nyuma yako lakini nyote mnalipa kodi asilimia 20 ya mapato yenu kwa serikali na inawezekana mmoja wenu halipi kutokana na shughuli anayoifanya pengine ni NGo ama ina msamaha..

Hivyo, makusanyo ya kodi sio tu inawezekana ila wapo watu wengi wenye kipato lakini hawalipi kodi mfano wenye nyumba za kupangisha na wapo waliosamehewa kodi na wengine hawalipi kabisa kama mawaziri na wabunge. Pia inawezekanauwepo uzembe ama mfumo mbaya wa kukusanya kodi hivyo fedha nyingi hazikusanywi na serikali ilhali Pato la Taifa ni jumla ya fedha zote zinazozungusha uchumi.

Kwa hiyo Tunapozungumzia Pato la Taifa ni jumla ya uzalishaji mzima wa mkoa na kodi ni fedha ambazo serikali imekusanya tokana na mapato ya mishahara ya watu, Corporate Tax, VAT, ushuru na kadhalika na sii jumla ya fedha zinazoendesha shughuli zote za kiuchumi. Sijui tumeelewana au bado una maswali mengine..
 
Umekuja na version yako, ukweli ni upi?
Maana kila mtuanatupa taulo ilimradi supreme aonekane kaokoka. Huko tumewaachia ninyi wabeba viatu.
Wewe ni kada
,sisi ni wananchi

Mchambuzi kaja hapakamuonyesha Gmaba la Nyoka.
Kama utak umbuka
@Gamba la Nyoka alisema mikoa inastahili kupata mgao wa GDP kutokana na inavyochangia.

Yaani hakujua maana ya GDP na tax na tofauti zake. Mchambuzikamwekea hadi mfano wa taa za barabarani. Katulia

Takwimu zimewekwa hapa, mumeona kila mmoja akihangaika

Huyu supreme leader ni mchumi, mtu aliyewahi kuwa na nyadhifa zinzaomwezesha kuelewa matatizo ya taifa hili.

Anajua wizi unavyoumiza, kukwepa kodi, misamaha ya kodi na kutoka na njia za kukusanya kodi.
Anajua madini na matatizo yake hadi kupelekeakuwa mjumbe wa tume ya Bomani.

Huko ndiko matatizo yalipo si wananchi wa baina ya mikoa.

Mchumi/mbunge/kiongozi mkuu anaposimama na kusema kitutusa tu , inasikitisha sana!

Note: Angalia unachotumbukiza hapa, unaumiza washirika wako.
Nikimwita Wabe itakuwa mbaya. Hivi wewe na Wabe nanisenior ki kazi?

Rudi nyuma usome kwanza . Wanapwaya- zumbemkuu

Jifunze kuwa na uadilifu wa mjadala, uadilifu wa kimjadala ni pamoja na kukubali ulipokosea, huu ni msingi wa majadiliano ya watu wazima,wenye akili timamu.

Kwenye jukwaa kama hili hatupo kUbishana tu, tunajadiliana kwa kithibitisho,kama huna kithibitisho na hutaki kukubali cha mwingine basi unapumzika/hubishi kwanza mpaka utakapopata data zinazoweza kuthibitisha otherwise, ndio ustaarabu.

Sasa wewe kurudi mkavumkavu unabisha na kithibitisho huna utadhani ni walevi waliopo kilabuni ni ishara ya kutoheshimu watu wanaojadili hapa, kumbuka watu hawaji hapa kusoma UONGO wala PROPAGANDA, wanataka taarifa sahihi.

Ni wiki ya tatu sasa nakwambia,hoja ya kusimamaia haiwezi kuwa fulani kasema ni ZITTO KASEMA NINI, Barubaru kaeleza hili
pia

Kifupi hayo ulioandika hapo juu ni maneno ya ZZK?
Na kama ya ZZK aliyatoa wapi? utupe reference yako?

Hilo ndilo uliloulizwa na si lingine. Kwani kuna tuhumu Lukuki mnazozitoa zinazomuhusisha ZZK kuwa ni mbaguzi na mchochezi kwa kutoa kauli hizo.
sasa kinachohitajika ni ile connection baina ya maneno hayo na tamko la ZZK.

Narudia, hoja ya mjadala ni ZITTO KASEMA,elewa hii principle muhimu.Huna haja ya kujazajaza majina fulani kasema fulani kasema, unapaswa ujue hili.

Otherwise, ukosefu wa uadilifu wa mjadala unaouonyesha ni too low kwa jukwaa hili.

Rejea ushauri wangu hapa chini,CHUKUA HATUA!

Naamini u mtu mzima kama nilivyo mimi.

Kuendelea KURUDIA HOJA AMBAZO TAYARI ZIMETHIBITIKA KUWA SIO ZA KWELI NI KULIDHARIRISHA JUKWAA HILI.

JIHOJI MWENYEWE!

TUSIMAME KWENYE UKWELI, PROPAGANDA NA UONGO SIO SEHEMU YA JUKWAA LA GREAT THINKERS.

Heshima kwako!

A Lie Can Travel Halfway Around the World While the Truth Is Putting On Its Shoes
 
@Kapwela rudi 760. JokaKuualikualika hukuitikia wito Sisi tunaendelea .
Huko kwenye tope ni kwenu,endeleeni kumkwamu,asikutane na hasira za umma

Tumeona takwimu zote zilizowakilisha@Mchambuzi na zile za Mkandara

Hakuna anayetueleza mahusiano yawazi kati ya uchangiaji wa maendeleo na pato la taifa.

Hakukuwa na sababu zakuleta sintofahamu miongoni mwa wananchi ikiwa hakuna maelezo ya kutoshakuhusu nini supreme leader alikusudia

Dhana ya kwamba kuna mgawanyousio sawa wa rasilimali inatokana na matamshi na uenezi wa siasa chafu.Wahusika wameulizwa, ni wapi ambapo kuna walakini katika ugawananaji wa pato lataifa?
Ni eneo gani linalonyimwa na lipilinapewa isichostahili?

Alinda kauliza mara zaidi ya 10,kuna uhusiano gani wa GDP na maendeleo?

Maswali haya yamekuwa yanakimbiwa. Watoa tuhuma hizo kwa dhati ya moyo wao wanaungana na kauli zasupreme leader kuwa ipo mikoa wanayoilenga imeendelea kutokana na mgawanyo usiosawa wa rasilimali

Lakini pia , dhana hii ya chukiimeingia kiasi kwamba wapo wenzetu kama Gamba la Nyoka , wanaamini kwa dhatikuchangia pato la taifa (GDP) ni lazima kwende samba samba na kupewa zaidi.
Nahili pia kalisema Mkandara akieleza ‘wanaomba chao'

Ukiangalia katika suala la kodi,watu hao hao wanaosema GDP iwe kigezo hawawelezi lolote kuhusu kodi.

Mchambuzikaonyesha tofauti ya GDP kama thamani ya uchumi wa eneo husika, na kodi ikiwani makusanyo ya kisheria

Kaeleza, kodi ndizo zinazotoa huduma zinazolalamikiwa kama infrastrure/elimu /afya

Ni wakati sasa wale wanaotete hoja za GDP na supreme wasimame kujibu hoja
 
Upo sawa ndugu?kama ata kusoma na kuelewa kwako ni shida sasa utajadili vipi?maana unafanya kama tupo kilabuni vile.

This is too low kwa Nguruvi yule niliyekuwa namsoma JF!

Jifunze kuwa na uadilifu wa mjadala, uadilifu wa kimjadala ni pamoja na kukubali ulipokosea, huu ni msingi wa majadiliano ya watu wazima,wenye akili timamu.

Kwenye jukwaa kama hili hatupo kUbishana tu, tunajadiliana kwa kithibitisho,kama huna kithibitisho na hutaki kukubali cha mwingine basi unapumzika/hubishi kwanza mpaka utakapopata data zinazoweza kuthibitisha otherwise, ndio ustaarabu.

Sasa wewe kurudi mkavumkavu unabisha na kithibitisho huna utadhani ni walevi waliopo kilabuni ni ishara ya kutoheshimu watu wanaojadili hapa, kumbuka watu hawaji hapa kusoma UONGO wala PROPAGANDA, wanataka taarifa sahihi.

Ni wiki ya tatu sasa nakwambia,hoja ya kusimamaia haiwezi kuwa fulani kasema ni ZITTO KASEMA NINI, Barubaru kaeleza hili
pia

Narudia, hoja ya mjadala ni ZITTO KASEMA,elewa hii principle muhimu.Huna haja ya kujazajaza majina fulani kasema fulani kasema, unapaswa ujue hili.

Otherwise, ukosefu wa uadilifu wa mjadala unaouonyesha ni too low kwa jukwaa hili.

Rejea ushauri wangu hapa chini,CHUKUA HATUA!

Naamini u mtu mzima kama nilivyo mimi.

Kuendelea KURUDIA HOJA AMBAZO TAYARI ZIMETHIBITIKA KUWA SIO ZA KWELI NI KULIDHARIRISHA JUKWAA HILI.

JIHOJI MWENYEWE!

TUSIMAME KWENYE UKWELI, PROPAGANDA NA UONGO SIO SEHEMU YA JUKWAA LA GREAT THINKERS.

Heshima kwako!

A Lie Can Travel Halfway Around the World While the Truth Is Putting On Its Shoes
 
Nguruv sasa hivi anasema eti, Haijalishi ZZK kasemea wapi, Hiyo yote ni Fair game kumjadili.
Hapa Nguruv anathibitisha yeye mwenyewe kuwa anajipinga. Anajipinga kwa sababu sasa hivi kwake yeye source za Facebook kwake siyo tatizo tena!.
Hawa ndio Ndumilakuwili wenyewe wasio na misimamo thabiti. Wasio na Intellectual honest ya Kujenga hoja kwa kusimamia kile wanchokiamini

Ndo maana ana flip-flop, Anachange position mara kwa mara, Kiufupi hana anachokisimia.
 
Kapwela, Gamba la Nyoka, Ritz,... Nauliza hivi, je mmeamua kukubali kimya kimya kuwa ACT ni mpini wa CCM kuumaliza upinzani nchini na kauli za Supreme Leader wa ACT kuhusu uchangiaji kwenye pato la Taifa zina mapungufu yanayoweza kuhatarisha umoja wa watanzania?

Asante sana Mchambuzi nimeelimika zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Kapwela

Kama nimemsoma Mchambuzi na kumuelewa vizuri kasema kuchugua GPD kama kigezo cha maendeleo katika mikoa husika ni makosa ila kitu ambacho kinakaribiana na uhalisia wa maendeleo husika ni kigezo cha Tax revenues. (naweza kusahihishiwa maana mimi si mchumi)

Ukisoma andishi la Zitto anasema hivi """ Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa. """

Ukisoma hiyo sentensi utaona kuwa anashangaa kwanini Shinyanga iwe no. 4 katika kuchangia pato la Taifa.. na ni masikini wa kutupwa. Nafikirii kama kumbukumbu zangu ziko sawa ni ya 16 katika maendeleo.

Tukirudi katika andishi lake lingine anasema:
Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7."

Hapa anaendelea kuishangaa Kilimanjaro na Arusha mikoa ambayo inachangia no.7 na 9 lakini inamaendeleo zaidi. Kigezo anachotumia ni uchangiaji wa pato la Taifa.

Swali langu kako Je ni kweli kigezo cha maendeleo katika mikoa husika ni uchangiaji wa pato la taifa?

Na je hayo maneno yake huoni yanajenga sintofahamu kuwa baadhi ya watu hasa sie tusio na ufahamu kuhsu uchumi. Maana kutoka na maelezo yake ndo limetokea lile kundi la watu linalosema "kuna baadhi ya mikoa mengine haipati stahiki ipasavyo (kama mkoa haupati stahiki yake ina maana kuna mkoa unaochukua hizo stahiki) ( Kwa bahati mbaya hata mie kabla ya shule ya Nguvuri3 Mchambuzi na wengio nilifikiri kuwa Shinyanga "inanyonywa" ) na ili kundi tulikuwa wengi)

Zitto ni msomi tena ni mchumi huoni kuwa alikuwa na wakati mzuri sana kuelezea hii hali kwa ufasaha kama alivyofanya Mchambuzi, na kutwambia chama chake kina mkakati gani kuhakikisha maeneo kama Shinyanga yanakuwa na maendeleo zaidi kama ilivyo mikoa mengine?

Wewe Nguruv huna haki tena ya kujadili hoja ambayo source yake ni Facebook kwa sababu huna imani nayo.

Muachie Alinda na wengine wenye kuzipa uzito source za Facebook tufanye nao mjadala, wewe Nguruv itakuwa ni sawa na kulamba matapishi yako mwenyewe kuingia ktk mjadala kwa kutumia reference usizo na imani nazo!

Haya tufanye mjadala.. naomba unipe ufafanuzi wako kuhusu "Stahiki"
 
Haya tufanye mjadala.. naomba unipe ufafanuzi wako kuhusu "Stahiki"
Alinda msome hapa chini kwa maneno yakemwenyewe
Mimi nafikiri Nguruv na Mwenzie Alinda wameshaelewa, Tukisema watu wa Shinyanga tunazungumzia Watanzania, na Ikisemwa watu wa Arusha inazungumzia Watanzania..Wote wana haki sawa na Stahili zao mbele ya Serikali na kwa mujibu wa hoja ya Zitto Stahili hiyo inabidi ibase katika uchangiaji katika pato la Taifa.
Wenye hoja wanaipinga hoja ya Zitto kwa hoja mbadala. Wasio na hoja wanamlisha maneno Zitto eti anaibagua mikoa ya Kaskazini. Huu ni mtizamo usio sahihi, na kulishana maneno.

Sijaona mahali katika kauli ya Zitto akizungumzia kuwa Kabila fulani limenyimwa haki, Au kabila fulani limependelewa, Hicho kitu hakipo.

Leo hii Watanzania wanaishi sehemu zote za nchi hii, Kwa hiyo Serikali ikipanga mipango mibovu katika sehemu fulani, wanaoathirika ni Watanzania wote!

Alinda na Nguruv, Msitake kuyapa maneno ya Zitto Tafsiri yenu mnayoipenda wenyewe!
Halafu namnukuu Mkandara '' Alichosema Zitto ni kuwa Kilimanjar na Arusha zinachangia kidogo na zinapata stahiki.
Shinyanga inachangia zaidihaipati stahiki''
Haya ni maneno yaMkandara, akatae

Mchambuzi kaja na takwimu, katuonyesha GDP na tax revune na jinsi gani zinaweza kutumika.

Hakuna hata mmoja miongoni mwa wafuasi anayekataa ukweli huo.

Tunawauliza, GDP na maendeleo vina uhusiano gani?

Kwa maneno mengine, wanakubali kuwa kiongozi alipotosha umma.

Hapo ndipo hoja ilipo, kuwa nia yake katika kuweka takwimu iliongoza na nia ovu ya kusababisha mgongano katika jamii. Ikifika hapo hatukai kimya hataspinning 1000 zikifanywa

Last edited by a moderator:
Alinda msome mkuu hapa maana hawakawii kusema nimemwekea maneno

Habari hii ni baada ya JokaKuu kusema , kiongozi mkuu alifanya makosa kulinganisha jamii mojana nyingine.
Alichotakiwa ni kuonyesha matatizo ya jamii kwa ujumla nakwa watu husika.

Mkuu Mkandara kasema hapana , kuna inequality katika kugawa keki tataifa.

Maneno hayo yamerudiwa na Gamba la Nyoka aliyesema kuna unfair distribution of national cake

Wote hawa walikuwa wanatetea hoja za kiongozi mkuu kuhusu mikoa inayochangia na iliyoendelea..

Kiwewe chote kilizushwa na Mchambuzi aliyemwaga data zake alizoombwa na kuzifinga finyanga.
Hoja ikahama kutoka data ikafikia hapa chini
[QUOTE=Mkandara;12735976]Basi hata wewe bado hujaelewa. Unachokitaza ni Kilimanjaro badala ya kuanza na Shinyanga. Shinyanga wanachangia zaidi lakini hawapewi stahiki wakati Kilimanjaro wanachangia kidogo wanapewa stahiki.

hakuna mahala Zitto kasema Kilimanjaro wanapewa zaidi ya stahiki, isipokuwa kuwepo na mfumo unaweza kugawanya keki ya taifa kiasi kwamba wanaochangia zaidi wananufaika na kuwa shawishi wengine wazalishe na kuchangia zaidi.

Mfumo ambao unazua competition within kama vile tuseme tuweke mishahara kwa anayezalisha zaidi atapata zaidi, hivyo kunawapa changamoto wengine kuzalisha zaidi. lakini ikiwa nizalishe nisizalishe nitapewa fungu langu inaleta uvivu wa kazi, na unapozalisha zaidi hupati mafao bora unadhulumiwa na hukatisha tamaa.

Maendeleo ya watu hupimwa kwa HDI na inapokuwepo inequality tutapoteza productivity ya sehemu husika. Na kutokuwa maendeleo sio kundi la watu hao tu bali kuna impact hata uzalishaji wao. HDI inaweza huathiriwa na income per capita hasa pale kunapokuwepo inequality yaani keki ya taifa inakuwa distributed unevenly. matokeo yake hu diminish growth maana serikali haithamini uwezo wao inaweza kuzua social tension within, moral question zinajitokeza, fairness na social justice kumbe fedha ambazo Shinyanga wangepewa zimetumika hovyo katika safari za rais au hata malipo ya posho za wabunge. .
Ukisoma maneno yaMkandara, maana yake ni kuwa mikoa inayochangia kidogo ipate kidogo kwa maana ileile kuwa mikoa inayochangia zaidi ipate zaidi

Hapa napo tunahoji kama wenzetu wanahoja. Wakati wanalalamika unfair distribution of nationa cake, wakati huo huo wana promot unfairness.

Hivi mwananchi wa SIngida akiwasoma atawaelewa kweli.

Hii ndiyo dhana waliyopewa kuieneza, bila kujua wanaeneza sumu ilimradi tu kumpamba maua supreme,hawaangalii athari zake katika umoja wa taifa, wanaangalia masilahi ya mtu katika motive ile ile ya kuandika katiba ya mtu na si watu
.

Katika kuweweseka nawanukuu tena wafuatao

Mkandara- Mikoa yote wanaishi watu wa makabila yote na woteni Watanzania.
Hivyo maendeleo ya eneo moja yanagusa wote

Gamba la Nyoka, Tanzani ni moja, ukiwa Kilimanjaro niTanzania ukiwa Shinyanga ni Tanzania.

Jiulize, kama kweli ndiyo dhamira yao, wapi wanapata ushujaawa kusema hayo hapo juu?
 
Last edited by a moderator:
Alifanya marekebisho baada ya watu kuja juu .. Na kudhibitisha ili lsoma au leta michango ya watu waliochangia.

Kudhibitisha ili msome Al Guido, majibu ya Cristous tena majibu ya Al Guido, na Zitto kaandisha alichokuwa ameandika hapo mwanzo.

Alinda,

Unatuambia kuwa Zitto alibadilisha baada ya kuona anaandamwa na watu. Je wewe ulichotuwekea ni kile alichoandika kabla hajabadilisha au ulichukua baadhwi ya Para na kuacha baadhwi?

Kwa andiko la ZZK aliloliweka kapwela hapa barazani ni SAFI kabisa halina mushkeri wala tatizo lolote kwa mtu yoyote mahiri na mchumi anayefatilia na kujua uchumi wa Tanzania. Lakin sivyo ulivyoliweka wewe lilikuwa ma mashakir na mushker kibaaao kiasi cha kupunguza weledi wa ZZK katika mambo ya uchumi ambao ndio taaluma yake.

Kama ulichukua baadhwi ya para na kuacha nyingine katika maandiko ya ZZK hilo ni kosa kubwa sana na inakupasa
uombe jukwa radhwi na kumuomba ZZK radhwi kwa kumlisha na kumzulia maneno. Lakin kama aliliweka kama ulivyoripoti wewe basi tuwekee kama alivyofanya kapwela ili tuone ukweli na urongo upo wapi?

Kwa kuwa source sasa ni facebook/instragram, basi ngoja tukusaidie.

Taarifa kwa ujumla wake hii hapa, ALINDA ALICHOFANYA NI KUUNGANISHA VIPANDE VYA BLUE NA KUACHA SEHEMU ZINGINE ili kujenga taswira aliyoikusudia, sio jambo sahihi kufanywa kistaarabu.Labda ndio maana imekuwa ngumu just kucopy hiyo taarifa na kuiweka hapa.

Barubaru na wengine, sitaki na mimi niwachagulie pa kusoma,someni yote wenyewe bila kukata wala kuongeza popote
.................................................................................................................................................................

Zitto Kabwe

April 5 · Dar es Salam, Tanzani

Dar inaongoza kwa kuchangia Pato la Taifa ambapo mchango wake kwenye pato la Taifa ni 16.9%. Inafuatiwa na Mwanza [kabla haijagawanywa] 9.2%, Mbeya 7.3%, Shinyanga 6% na Iringa 5.3%. Hata hivyo Shinyanga ni mmoja wa mikoa yenye umasikini wa kutupwa licha ya kuwa namba 4 katika kuchangia Pato la Taifa.

Ndio maana ni lazima kubomoa mfumo wa sasa wa uchumi. Huwezi kuwa na mkoa unashika namba 5 kuchangia Pato la Taifa lakini unashika namba 16 kati ya mikoa 21 kwa maendeleo ya watu. Shinyanga ina migodi 2 ya dhahabu na migodi 2 ya Almasi. Shinyanga ina Ng'ombe na Pamba.Shinyanga tarehe 17 Aprili, tujadiliane jinsi ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi mkoani mwenu

Mikoa yenye mchango mdogo zaidi kwenye Pato la Taifa ni Pwani (1.85%), Lindi (1.89%) na Singida (1.92%). Hata hivyo Lindi inashika nafasi ya 9 kwa Maendeleo, juu ya Shinyanga inayochangia 6% katika GDP.

Mikoa iliyo nyuma zaidi kimaendeleo nchini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera na Tabora. Hata hivyo Tabora ni mkoa wa 10 kwa kuchangia katika Pato la Taifa na Kagera ni mkoa wa 11 katika GDP.

Mikoa yenye Maendeleo zaidi ni Arusha, Kilimanjaro na Dar es Salaam. Hata hivyo Kilimanjaro ni ya 9 katika kuchangia Pato la Taifa na Arusha ni ya 7.

Tanga ni ya 8 katika kuchangia Pato la Taifa. Pia ni mkoa wa 8 kwa kiwango cha maendeleo ya watu wake.

Mikoa 9 nchini ina idadi ya watu zaidi ya 2m. Dar, Mbeya, Tanga, Morogoro, Mwanza, Tabora, Kagera, Dodoma and Kigoma. Mikoa hii ina 52% ya Watanzania wote

Wakati Dar inachangia 16.93% ya katika Pato la Taifa, inaongoza kwa makusanyo ya kodi ambapo inachangia 81% ya Mapato yote ya Serikali. Kwa makusanyo ya Kodi mkoa wa pili ni Arusha na wa tatu ni Tanga.

Dar, Arusha, Tanga, Mwanza na Kilimanjaro huchangia 90% ya mapato yote ya Serikali nchini

Shinyanga inaendelea kushangaza sana. Wakati inashika nafasi ya nne kuchangia Pato la Taifa (6% of Tanzania GDP), inashika moja ya nafasi ya chini kabisa kuchangia Mapato ya Serikali ( 0.46% of total tax ). Unajua sababu? Shughuli nyingi za kiuchumi za Shinyanga hufanyika Shinyanga lakini kodi zake zakusanywa Dar es Salaam. Mfano migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu, kodi zake zinalipwa Dar es Salaam

Mkoa wa Njombe ndio unaongoza kwa kuwa na watu wengi virusi vya ukimwi. 15.4% ya watu wa Njombe wenye umri kati ya 14 - 49 wanaishi na virusi vya ukimwi. Mkoa unaofuata ni Iringa wenye 10.9% ya watu wake kuwa na virusi vya ukimwi.

Dodoma, Manyara na Tanga ndio mikoa yenye watu wachache zaidi wanaoishi na virusi vya ukimwi

Mkoa wa Simiyu ndio mkoa wenye watu wachache zaidi wenye elimu ya sekondari ambapo 3.7% ya watu wa Simiyu wenye umri wa zaidi ya miaka 25 wana elimu ya sekondari. Dar es Salaam ndio mkoa wenye watu wengi zaidi wenye elimu ya Sekondari, 29%

Katika kodi zote zinazokusanywa Dar es Salaam, 75% zinatokana na forodha, 16% kodi ya mapato na 9% kodi ya ongezeko la thamani (VAT). Dar inachangia 81% ya makusanyo yote ya kodi nchini. Hii inaonyesha kuwa Watanzania wengi sana hawalipi kodi. Utegemezi kwenye forodha ni hatari sana kwa uhai wa nchi yeyote.

" there appears to be a disconnect between economic growth on the one hand and human development on the other" Tanzania Human Development Report 2014

Takwimu zote ninazoweka hapa toka jana zinatoka katika Tanzania Human Development Report 2014. Taarifa imesheheni kwa kweli

Tofauti ya Kipato miongoni mwa wananchi (Inequality) ni jambo linalokosekana kabisa kwenye uchambuzi wa Taarifa ya Maendeleo ya Watu ( THDR 2014). Ninadhani moja ya hatari kubwa nchini ni kuongezeka kwa pengo kati ya wenye nacho na wasio nacho. Sifa ya sasa ya uchumi wa Tanzania ni 'kufaidisha wachache na kufukarisha wengi'
.................................................................................................................................................................

Mchambuzi.

Majibu yako haya hapa juu ni majibu mujarabu kutoka.

Tanzania Human Development Report 2014. Taarifa imesheheni kwa kweli.

Huu utafiti ni wa kisomi siyo porojo.
 
Last edited by a moderator:
Mkandara, Post #1389 ulijadili hivi:

Nikianza na hoja yako juu ya ushabiki, when it comes to Zitto, wewe na wenzako akina Ritz are not only fans, but fanatics of his personality. Maana ya kuwa a fanatic ni hivi:

[“A person marked or motivated by an extreme, unreasoning enthusiasm, as for a cause”]. Mnasukumwa na extremism ya itikadi ambayo haina tija kwa taifa letu (sitataja itikadi husika), na matokeo yake hoja zenu zimejaa contradictions na zimekuwa very unresoanable.

Unajadili dhana za HAKI na FURSA bila ya kwanza kuangalia muktadha husika. Nikuulize:
· Unaweza kutuambia tarehe au mwaka ambayo huduma za afya na elimu nchini Tanzania ziliacha kuwa “haki” na kugeuka kuwa “fursa”?
· Unazungumzia huduma za afya na elimu ngazi gani?

Hoja zako nyingine mbili zina utata.

Kwanza ni hoja yako kwamba mikoa mingine ipo nyuma kimaendeleo kwa sababu kwa mikoa husika, huduma kama elimu na afya zimefanywa kuwa fursa na kwa mikoa mingine huduma hizi zimefanywa kuwa haki. Je nipo sahihi?

Pili, tofauti ya kimaendeleo (hususan huduma za jamii kama elimu na afya) baina ya Mikoa nchini Tanzania ni matokeo ya chama tawala kukumbatia ubepari badala ya ujamaa. Je nipo sahihi?

Mwisho, ni hoja yako kwamba tupo hapa kuchezeana akili. Kwanza ni bhati mbaya sana kwamba nyinyi ndio mmechezewa akili na zitto na kuaminishwa vitu ambavyo havipo. Mmeshindwa kabisa kuchukua yake nusu na kuchanganya na yenu nusu ili muone ukweli. Badala yake, yote ya zitto ni Kweli Tupu. Inasikitisha sana. Hakuna mtu katika siasa za Tanzanai leo hii ambae anachezea akili za watanzania kama Zitto. Tangia lini Zitto akawa ni mjamaa? Mjamaa wa aina gani, wa majukwaani? Na wewe nae unamuunga mkono kama mjamaa mwenzake. Ujamaa wa Zitto upo supported/based on what social theory? Ni utapeli tu. It’s nothing than an amalgam of a glorious description of the past (very flawed historically), a powerful statement of an idealist policy (without a political programme) and a grandiose vision of the future (without a grand theory of the society). Ni kulaghai na kupotezea wananchi muda.

Mchambuzi,

Naona umetumia maneno makali sana kwa ZZK.

Je unaweza kunitajia mwanasiasa yoyote huko Tz hususan Tgk kwa wanaokusudia/ kutia nia kugombea uraisi wa Tz ambaye ni msafi asiye LAGHAI na asiyechezea akili za waTz katika kusaka uraisi wake?

Mara nyingi nimekuwa najiuliza mbona ZZK na sio Slaa au JK au Prof Lipumba? Je kunani kwa ZZK?

Naomba jibu lako mkulu.

Ahsantum

Nguruvi3, naona wafanya maskhala kwa sababu unapenda sana kubadilisha hoja za watu ama hukuelewa toka mwanzo na ndio maana wewe hurudisha hoja zilizopita kwa sababu toka mwanzo hukumsoma mtu ukamuelewa ama unafikiri tunasahau hoja zetu hutokana na hoja ilotangulia. Mjadala maana yake ni kutafuta nguvu ya hoja na ndio maana Hoja hujibiwa kwa Hoja.. hivyo huwezi chomoa jibu la hoja pasipo kutanguliza swali la mjadakla ulokuwepo wakati ule.

Hotuba ya Zitto kama alivyoiweka Ritz imetokana na utafiti wa report ya HDI ya Tanzania ambayo mkuu Adharusi alitangulia kutufahamisha wakati tukirumbana. Mimi na wewe tulikuwa hatufahamu Zitto kapata wapi ushahidi wa maneno aloyahutubia, tukadhani pengine ni Total reveune ya kila mkoa kama alivyotueleza Mchambuzi akitumia revenues report ya TRA akithibitisha kwamba Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa ukichangia zaidi ya Shinyanga.

Sasa kwa mwenye kuutafuta ukweli tungejiuliza WHY? why sisi tunatafuta kujua ni mkoa gani unachangia zaidi ya mwingine ikiwa sisi hatuamini katika Ukabila ama Ukanda? hatuamini katika haki ya mkoa kuchangia zaidi wanastahili mgao zaidi pia..Hadi mkatafuta kuthibitisha Kilimanjaro ilichangia zaidi ya Shinyanga? why go through all that kama hamkuamini katika hayo..Na kwa nini tulianza kuamini Mkoa wa Kilimanjaro ulichangia zaidi ya Shinyanga na kuanza kusema sababu gani Shinyanga kuwa chini? wengine wakisema Mkoa wa Shinyanga ni wavivu hawachangamkii fursa zilizopo, hawajitumi ama kushughulisha kama wana Kilimanjaro!.
Haya yote hayakuwa na Ukabila isipokuwa maelezo ya Zitto na kwamba ni wivu tu unamsumbua Zitto mliyasema haya na kadhalika.. haya oyte niliyasoma humu lakini nikayapuuza maana sikutaka kutoka nje ya mada tukaanza mkupishana ila nikasema Ukabila tunaso sisi wenyewe kwa kufikiria na kutetea mikoa yetu wakati hakuna baya lilozungumzwa.

Na Adharusi alipokuja na Ushahidi wa hotuba ya Zitto kuwa imetokana na report ya HDI ambayo inaonyesha Kilimanjaro inachangia kidogo kuliko Shinyanga (GDP) mkaanza kugeuka tena na kusoma maelezo ya mwandishi Adharusi kutafuta makosa katika hotuba hiyo ndio mkajenga hoja kwa nini Zitto kasema Hata hivyo Kilimanjaro inachangia blaa blaa blaa mkipindisha makusudi maandishi ya Adharusi yalotangulia na neno PIA ALISEMA, hii ikiwa na maana Adharusi anaelezea kile anachokumbuka pasipo mtiririko wa hotuba yenyewe ambayo Ritz kaiweka na imeonyesha alichosema Zitto ni Mkoa wa Lindi anaochangia kidogo kuliko Shinyanga.

Kilichozidi kutushangaza sisi ni kwamba Zitto hakulinganisha mkoa wa Shinyanga na Kilimanjaro isipokuwa alilinganisha Mkoa wa Shinaynga na Lindi. Sasa kama kweli nyie mngekuwa na uchungu sana wa Ukabila mngezungumzia ya mkoa wa Lindi na Shinyanga lakini wapi bado swala ni kuitaja mikoa ya Kilimanjaro na Arusha wakati Zitto kaitaja mikoa zaidi ya 10. Iweje mnyofoe mikoa miwili tu ya Kilimanjaro na Arusha kujengea hoja yenu dhidi ya Zitto?.

Kwa hiyo kama unadhani Kapwela kadandia Treni basi nimetoa habari nzima kwa kifupi chake tu ili mjue sisi tumesimama wapi na nadhani kwa jinsi mnavyoitetea mikoa hiyo imetupa wasiwasi mkubwa juu ya Msimamo wa Chadema nayo imechukua ule mchezo wa CUF kabla ya uchaguzi wa mwaka 2010. Na fikra hizi ndizo zimetuogopesha wengi wetu juu ya mwelekeo wa CDM baada ya uchaguzi wa mwaka 2010..

Maanake ni maelezo yenu wenyewe katika kujishtukia pindi jina likitajwa. Ni sawa na maisha ya Uswazi, mtu akisikia pembeni jina lake limetajwa - Aaaaah nani Nguruvi? - basi unaanza kununa ukidhania watu wanakusema vibaya.. Huwezi kusemwa vibaya ikiwa wewe mwenyewe unajitambua una tabia nzuri ila yule anayefikiria anasemwa vibaya ni kwa sababu anajua he is not a good person!.

Kwa hiyo mkiitwa wa Kaskazini mnachukia lakini haya majibu na utetezi wa kanda hata kabla hamjaulizwa. Hofu ya mtu anapoitaja mikoa hiyo ni tabia ile ila ambayo CDM wanapenda sana kuzungungumzia viongozi wa vyama vingine lakini usikosee ukamsema Dr.Slaa au Mbowe. Ni kosa kubwa na Usaliti kwani hawa watu ni manabii au Miungu? na Kilimanjaro a Arusha ni Peponi huku kwingine kote ni Jahanam japo zote zipo mbinguni.

Mkandara.

Naona umefanya very good Summary. Ahsantum.

Ila palipo niacha HOI hilo hitimisho lako ambalo umeweka bayana bila kificha chochote.

Mimi siku zote nasema yale yaliyofichwa miaka nenda rudi kwa joho la ujamaa ya kugawana umasikini ndio sasa inadhwihiri.

Kabla ya Uhuru yaani wakt wa mkoloni huko Tgk mikoa kama Tanga, Morogoro na Tabora iling'ara sana na ilikuwa na uchumi wa juu sana kuliko Kilimanjaro, Arusha na hata Mwanza leo hii imerudi nyumba kibisaaaaa mpaka inatia huruma. Mimi kama mchumi nikijaribu kujiuliza wamekosea wapi mpaka kila siku hali za mikoa hii inazidi kuwa Duni na kuangalia hio mikoa inayopanda kiuchumi inafanya nini sioni zaidi ya kila mwanasiasa kukumbuka kwao.

Mimi nikiwa wizara ya fedhwa Muungano katika kitengo cha bajeti nilikuwa naoma mashinikizo ya kisiasaa katika kugawana keki ya Taifa. Sisemi mengi lakin kma Mtamuuliza Mz Cleopa Msuya au Mz wangu Edwin Mtei atafafanua mengi sana na wana uwezo mkubwa sana kuizungumzia hiyo keki yenu.

Poleni sana.

Kapwela, Gamba la Nyoka, Ritz,... Nauliza hivi, je mmeamua kukubali kimya kimya kuwa ACT ni mpini wa CCM kuumaliza upinzani nchini na kauli za Supreme Leader wa ACT kuhusu uchangiaji kwenye pato la Taifa zina mapungufu yanayoweza kuhatarisha umoja wa watanzania?

Asante sana Mchambuzi nimeelimika zaidi.

Napenda kurudia maneno ya Ahali yangu ZAKUMI.

"Siasa ni mchezo wa taifa wa Tanzania. Tanzanian people take pride when they engage in unproductive and endless debates.

Kwa maoni yangu binafsi, mfumo wa kisiasa umeundwa hili kulaghai ulimwengu kuwa Tanzania nayo inajishughulisha kwenye demokrasia. Mpaka pale watu watakapojua kuwa demokrasia ni kwa faida yao wenyewe na sio kuwafurahisha wahisani au kuleta ushabiki wa michezo ndipo watu watakapokuwa serious.
"

Ahsantum
 
Back
Top Bottom