Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

Migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu inalipa kila mwaka kodi Dar es salaam kiasi gani?
Soma majibu ya Waziri...

Mheshimiwa Spika, sasa nataka kutoa faida inayotarajiwa kutokana na Mgodi wa Buzwagi katika kipindi cha uhai wake ambayo kama usingesainiwa na Barrick wasiwekeze kwenye mradi huu ingepotea:-(i) Mrabaha na kodi nyingine zinatarajiwa kufikia kiasi cha USD198.9 milioni.(ii) Pay As You Earn kwa wafanyakazi inatarajiwa kufikia USD50.3 milioni.(iii) Ujenzi wa laini ya umeme na matumizi ya umeme ya mgodi na maeneo yanayozunguka mgodi yanategemea kutumia USD30 milioni.(iv) Kununua huduma mbalimbali za wakati wa kujenga miundombinu mingine kwenda mgodini, ujenzi wa mitambo na wakati wa uzalishaji ambao unatarajiwa kugharimu takriban USD568.4 milioni.(v) Jumla ya mapato yote yatakayoingia kwenye uchumi wa Taifa katika kipindi cha uhai wa mgodi yanatarajiwa kufikia takriban USD818.3 milioni.(vi) Mgodi unatarajia kutoa ajira katika fani mbalimbali kwa jumla ya watu 696 watakaopata ajira ya kudumu. Kati yao, 630 au asimilia 91 watakuwa Watanzania ikiwa ni pamoja na maafisa waandamizi.(vii) Mgodi utaongeza mapato ya taifa ya fedha za kigeni kutokana na mauzo ya madini nje.(viii) Mgodi utaendeleza miundombinu ya kiuchumi na kijamii, hasa huduma za jamii kama vile shule na zahanati katika maeneo yanayozunguka mgodi.-(ix) Kufunguliwa kwa mgodi huo kutafungua fursa nyingine za kiuchumi katika maeneo mengi.

Mchambuzi. huu ni mgodi wa Buzwagi peke yake.
 
Last edited by a moderator:
Umeona sasa mkuu Ritz, hii disparity sijui kwa nini Mchambuzi haioni. Kutokana na weakness katika taxation regime, ambapo kodi kutoka sehemu moja ya nchi zinakusanywa sehemu nyingine,ni vigumu kuchukulia kodi ya mahala pekee as an indicator ya sehemu hiyo ya kuchangia katika mapato ya serikali compared na sehemu nyinginezo.
The GDP disparity is obvious. But what are you trying to imply - that the GDP disparity is a result of weaknesses in taxation system?

Haujaeleweka vyema.

Indicator nzuri zaidi, ni kutumia kipimo cha overall production of goods and services ya sehemu fulani kwa mwaka

Indicator nzuri kufanya nini? Pia katika Hili haujaeleweka vyema.
 
Soma majibu ya Waziri...

Mheshimiwa Spika, sasa nataka kutoa faida inayotarajiwa kutokana na Mgodi wa Buzwagi katika kipindi cha uhai wake ambayo kama usingesainiwa na Barrick wasiwekeze kwenye mradi huu ingepotea:-(i) Mrabaha na kodi nyingine zinatarajiwa kufikia kiasi cha USD198.9 milioni.(ii) Pay As You Earn kwa wafanyakazi inatarajiwa kufikia USD50.3 milioni.(iii) Ujenzi wa laini ya umeme na matumizi ya umeme ya mgodi na maeneo yanayozunguka mgodi yanategemea kutumia USD30 milioni.(iv) Kununua huduma mbalimbali za wakati wa kujenga miundombinu mingine kwenda mgodini, ujenzi wa mitambo na wakati wa uzalishaji ambao unatarajiwa kugharimu takriban USD568.4 milioni.(v) Jumla ya mapato yote yatakayoingia kwenye uchumi wa Taifa katika kipindi cha uhai wa mgodi yanatarajiwa kufikia takriban USD818.3 milioni.(vi) Mgodi unatarajia kutoa ajira katika fani mbalimbali kwa jumla ya watu 696 watakaopata ajira ya kudumu. Kati yao, 630 au asimilia 91 watakuwa Watanzania ikiwa ni pamoja na maafisa waandamizi.(vii) Mgodi utaongeza mapato ya taifa ya fedha za kigeni kutokana na mauzo ya madini nje.(viii) Mgodi utaendeleza miundombinu ya kiuchumi na kijamii, hasa huduma za jamii kama vile shule na zahanati katika maeneo yanayozunguka mgodi.-(ix) Kufunguliwa kwa mgodi huo kutafungua fursa nyingine za kiuchumi katika maeneo mengi.

Mchambuzi. huu ni mgodi wa Buzwagi peke yake.

Unaweza kutuchambulia na kuweka takwimu - kwamba kiasi hiki cha kodi za Migodi shinyanga hulipwa Dsm? Kumsoma waziri hakujanipa majibu.

Kiasi gani kinatakiwa kibaki shinyanga au kirudi shinyanga? Kwa vigezo gani?
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kutuchambulia na kuweka takwimu - kwamba kiasi hiki cha kodi za Migodi shinyanga hulipwa Dsm? Kumsoma waziri hakujanipa majibu.

Kiasi gani kinatakiwa kibaki shinyanga au kirudi shinyanga? Kwa vigezo gani?
Mkuu, hapo ni kumeza tu,copy and paste etc hakuna kitu analysis. Midhali fulani kasema basi !!!
Ukifanya uchambuzi utaambiwa unamwekea maneno. Nasubiri kama atakujibu
 
Mchambuzi.

Shinyanga inaendelea kushangaza sana. Wakati inashika nafasi ya nne kuchangia Pato la Taifa (6% of Tanzania GDP), inashika moja ya nafasi ya chini kabisa kuchangia Mapato ya Serikali ( 0.46% of total tax ). Unajua sababu?Shughuli nyingi za kiuchumi za Shinyanga hufanyika Shinyanga lakini kodi zake zakusanywa Dar es Salaam. Mfano migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu, kodi zake zinalipwa Dar es Salaam.

Sasa wewe unayepinga ndiyo unatakiwa utufahamishe kodi za Buzwagi na Bulyanhulu zinalipwa wapi mimi nimekuambia zinalipwa Dar es Saalam ndiyo.

Najua majibu umeyapata unachofanya sasa hivi ni kuhamisha magoli lakini bahati nzuri wanaukumbi wanatusoma.
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi pamoja na Nguruvi3 someni hii kiduchu kuhusu kodi za migodi.

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI : Mheshimiwa Spika, ninaomba kujibu maswali mawili ya nyongeza ya Mheshimiwa Azza Hillal Hamad, kama hivi ifuatavyo:- (a) Mheshimiwa Spika, Migodi hii ilipoanza zipo sababu mbili kubwa ambazo zinapelekea kodi mbalimbali zilipwe Dar es Salaam. Kwanza uandikishwaji wa Kampuni hizi ulifanyika Dar es Salaam wakati zinaanza. Kampuni hizi ofisi zao kwa maana ya Corporate Office zao ziko Dar es Salaam. Sababu ya pili ni walipaji kodi wakubwa Idara ile kwa upande wa TRA, iko Dar es Salaam na Migodi hii yote inaangukia kwenye kundi la walipaji kodi wakubwa. Hivyo kwa migodi ile ya kati na migodi midogo midogo ambayo inaangukia kwenye kundi la walipaji kodi wa kati yenyewe inalipia katika maeneo husika ambako migodi ile inafanyia kazi. Lakini kwa kesi ya Buzwagi na Buli kwa sababu inaangukia kwenye group la walipaji kodi wakubwa, ndiyo maana malipo haya yanafanyika Dar es Salaam.
 
Last edited by a moderator:
Kinachorudi Shinyanga ni hiki...

MIGODI YA DHAHABU YA GEITA, BULYANHULU, BUZWAGI NA NORTH MARA KUANZA KULIPA USHURU WA HUDUMA KWA KIWANGO CHA 0.3% YA MAPATO GHAFI KWA-HALMASHAURI ZA WILAYA NA MIJI.Wizara ya Nishati na Madini inapenda kutangazia umma kuwa mgodi wa dhahabu wa Geita unaomilikiwa na kampuni ya AngloGold Ashanti; na migodi ya Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara inayomilikiwa na kampuni ya Acacia Mining, imeanza kulipa ushuru wa huduma kwa kiwango cha asilimia 0.3 (0.3%) ya mapato ghafi kwa Halmashauri husika. Halmashauri zitakazonufaika na malipo hayo ni: Mji wa Geita; Wilaya ya Geita; Mji wa Kahama; Wilaya ya Msalala; na Wilaya ya Tarime. Malipo hayo yanaanza tarehe 1 Julai, 2014.-Malipo hayo yanafuatia makubaliano kati ya Serikali na Kampuni zinazomiliki migodi husika kufanya marekebisho kwenye Mikataba ya Maendeleo ya Uchimbaji Madini (Mining Development Agreement - MDA) baina ya Serikali na Migodi ya Geita, Bulyanhulu, Buzwagi na North Mara kuhusu ulipaji wa ushuru wa 0.3% ya uzalishaji kulingana na Sheria ya Local Government Finance Act, Cap.290 Revised Editions of 2002 badala ya Dola za Marekani 200,000 kwa mwaka zilizokuwa zikilipwa awali.

Ndiyo maana Shinyanga inakuwa hivi inashangaza.

Shinyanga inaendelea kushangaza sana. Wakati inashika nafasi ya nne kuchangia Pato la Taifa (6% of Tanzania GDP), inashika moja ya nafasi ya chini kabisa kuchangia Mapato ya Serikali ( 0.46% of total tax ). Unajua sababu?Shughuli nyingi za kiuchumi za Shinyanga hufanyika Shinyanga lakini kodi zake zakusanywa Dar es Salaam. Mfano migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu, kodi zake zinalipwa Dar es Salaam.

Cc; Mkandara Barubaru.
 
Last edited by a moderator:
Mchambuzi.

Shinyanga inaendelea kushangaza sana. Wakati inashika nafasi ya nne kuchangia Pato la Taifa (6% of Tanzania GDP), inashika moja ya nafasi ya chini kabisa kuchangia Mapato ya Serikali ( 0.46% of total tax ). Unajua sababu?Shughuli nyingi za kiuchumi za Shinyanga hufanyika Shinyanga lakini kodi zake zakusanywa Dar es Salaam. Mfano migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu, kodi zake zinalipwa Dar es Salaam.

Sasa wewe unayepinga ndiyo unatakiwa utufahamishe kodi za Buzwagi na Bulyanhulu zinalipwa wapi mimi nimekuambia zinalipwa Dar es Saalam ndiyo.

Najua majibu umeyapata unachofanya sasa hivi ni kuhamisha magoli lakini bahati nzuri wanaukumbi wanatusoma.

Shinyanga ilitakiwa ichangie asilimia ngapi ya kodi katika makusanyo ya kodi taifa?

Kwa sasa, Hiyo 0.46% ya kodi vyanzo vyake ni vipi?
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkuu wangu swala la kodi unalitumia vibaya kwa sababu wakati wa Nyerere hatukuwa na kodi lakini serikali ilikuwa na dhamana kubwa kwa wananchi. Kodi ni mfumo tu wa Kiutawala ambao unatoza wananchi kugharami matumiuzi ya serikali ambayo haizalishi na hivyo kuwa sehemu ya vyanzo vyake vya mapato.

Makuzi ya GDP ni ishara ya maendeleo toka pale mlipokuwa mwaka jana na inategemea mtaji mlokuwa nao kama vile wewe ulikuwa na mtaji wa Mil.50 mwaka jana na unategemea mwaka huu kupanda hadi kufikia Mil. 60 ina maana kuna ongezeko la uzalishaji linalotegemewa na mambo yatakuwa mswano..
Mkuu hapa sijakuelewa kabisa.
Kwamba, wakati wa Nyerere hatukuwa na kodi?

Pili, mkuu una maana tunaweza kuangalia GDP tu na mambo kama huduma za jamii zinazotolewa na serikali zikawa ‘mswano' Hapa nina maana unaweza vipi kuichukua GDP na kuilekeza kwa wananchi.

Tatu, Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya GDP na maendeleo?

Nisaidie maana kuna kitu sielewi

Ahsante
 
Shinyanga ilitakiwa ichangie asilimia ngapi ya kodi katika makusanyo ya kodi taifa?

Kwa sasa, Hiyo 0.46% ya kodi vyanzo vyake ni vipi?
Sasa kama hizi mil 20 ziko mfukoni mwangu, na mie sijazilipia kodi, je Serikali itatoa wapi pes za kuniletea huduma za jamii? shule, barabara, umeme na nk (tuchukulie kijiji kizima wamelima, wameuza mazao yao, lakini hawakulipa ushuru/kodi)
Tunaomba msaada jamani, hoja hizo hapo juu.

Angalizo, majibu ya copy and paste hayatusaidii
 
Hapo juu nimekuambia acha ushabiki mandazi unauliza swali halafu unataka ujibiwe unavyopenda.

Hili angalizo ungempa toka mwanzo Mchambuzi maana yeye ndiyo kaanza kuna na majibu ya copy and paste kutoka TRA na sehemu zingine, tena wewe ilikuwa unalitumia jeduari la TRA kama reference.

Halafu mkuu sisi hatupo hapa kukufurahisha wewe sisi tuna deal na wanaukumbi wanaofuatilia huu mnakasha na kutusoma.

Ahsante sana.
 
Last edited by a moderator:
Shinyanga ilitakiwa ichangie asilimia ngapi ya kodi katika makusanyo ya kodi taifa?

Kwa sasa, Hiyo 0.46% ya kodi vyanzo vyake ni vipi?
Vyanzo vyake hivi hapa soma kiduchu hapa chini.

Shughuli kuu za kiuchumi za wakazi wa mkoa huu ni kilimo na ufugaji. Mazao makuu ya chakula yanayolimwa ni pamoja na mtama, mahindi, mpunga, mhogo na viazi vitamu. Mazao ya biashara ni tumbaku, pamba, alizeti, karanga na dengu. Mifugo inayofugwa ni pamoja na ng'ombe, mbuzi, kondoo, punda, nguruwe na kuku. Mbali na shughuli za kilimo na ufugaji wakazi wa mkoa huu hujishughulisha na uchimbaji mdogo wa madini, kazi za viwanda na biashara mbalimbali. Viwanda vichache vilivyopo ni pamoja na viwanda vya kuchambua pamba, viwanda vya kusindika mafuta na viwanda vidogo vya ufundi wa fani mbalimbali kama useremala, umakenika, ushonaji wa nguo na viatu.

Cc Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Hapo juu nimekuambia acha ushabiki mandazi unauliza swali halafu unataka ujibiwe unavyopenda.

Hili angalizo ungempa toka mwanzo Mchambuzi maana yeye ndiyo kaanza kuna na majibu ya copy and paste kutoka TRA na sehemu zingine, tena wewe ilikuwa unalitumia jeduari la TRA kama reference.

Halafu mkuu sisi hatupo hapa kukufurahisha wewe sisi tuna deal na wanaukumbi wanaofuatilia huu mnakasha na kutusoma.

Ahsante sana.
Nimetoa angalizo kwa ukumbi, mbona unajishuku mwenzetu

Nilichosema ni kuwa, nukuu ziambatane na matumizi ya fikra na akili kidogo ukumbi uelewe.

Siyo suala la kumnukuu mtu Fulani ukawa ndio ukweli. Nukuu hazina tabu,tatizo ni pale zinapopachikwa ilimradi

Mkuu angalizo ni la ukumbi usijishuku. Tuendelee na mnakasha
 
Vyanzo vyake hivi hapa soma kiduchu hapa chini.

Shughuli kuu za kiuchumi za wakazi wa mkoa huu ni kilimo na ufugaji. Mazao makuu ya chakula yanayolimwa ni pamoja na mtama, mahindi, mpunga, mhogo na viazi vitamu. Mazao ya biashara ni tumbaku, pamba, alizeti, karanga na dengu. Mifugo inayofugwa ni pamoja na ng'ombe, mbuzi, kondoo, punda, nguruwe na kuku. Mbali na shughuli za kilimo na ufugaji wakazi wa mkoa huu hujishughulisha na uchimbaji mdogo wa madini, kazi za viwanda na biashara mbalimbali. Viwanda vichache vilivyopo ni pamoja na viwanda vya kuchambua pamba, viwanda vya kusindika mafuta na viwanda vidogo vya ufundi wa fani mbalimbali kama useremala, umakenika, ushonaji wa nguo na viatu.

Cc Nguruvi3

Bado sijaona majibu:

Ulisema kodi za Shinyanga zinakusanywa Dsm ndio maana wananchi wa Shinyanga ni maskini. Kumbuka, hata wewe unajadili kwamba tatizo ni kodi, sio GDP!

1. Shinyanga ilitakiwa ichangie asilimia ngapi kitaifa katika makusanyo ya kodi?

2. Mchango wa shinyanga wa kodi kitaifa (0.46%) vyanzo vyake ni kodi zipi/aina gani za kodi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, hapo ni kumeza tu,copy and paste etc hakuna kitu analysis. Midhali fulani kasema basi !!!
Ukifanya uchambuzi utaambiwa unamwekea maneno. Nasubiri kama atakujibu
Mkuu ulianza hapa kutoa kauli yako sijajishuku, lakini bahati nzuri ninayejadiliana naye anayakubali majibu na anakuja na maswali ya nyongeza.

Hivi majibu ya Buzwangi utayatoa kichwani kwa kujenga hoja zako binafsi.

Daaa!!!.
 
Bado sijaona majibu:

Ulisema kodi za Shinyanga zinakusanywa Dsm ndio maana wananchi wa Shinyanga ni maskini. Kumbuka, hata wewe unajadili kwamba tatizo ni kodi, sio GDP!

1. Shinyanga ilitakiwa ichangie asilimia ngapi kitaifa katika makusanyo ya kodi?

2. Mchango wa shinyanga wa kodi kitaifa (0.46%) vyanzo vyake ni kodi zipi/aina gani za kodi?
Wakati tunasubiri hoja na majibu, nisaidie kidogo mkuu.

Corporate tax ya madini kule Arusha, zinabaki huko auzinapelekwa Dar es salaam?

Vyanzo vya mapato ya Arusha vinatofauti gani na vyaShinyanga kwa kuangalia katika mtazamo mpana?
Ni nini kinatoa 0.46% Shinyanga ambacho Arusha inazaidi?
 
Mkuu siyo mimi nimesema ndiyo ukweli nimekuwekea na majibu labda hujayapenda halafu mbona maswali yangu hujibu mkuu kwa kujazia zaidi msome mbunge wa Shinyanga Mjini na Naibu Waziri anachosema keki ya taifa.

Mheshimiwa Mwenyekiti, kwenye sehemu ya elimu kwa kweli inasikitisha kuona kwamba Mkoa wa Shinyanga umetengewa fedha kidogo sana kwenye elimu. Sote tunafahamu tuna shule chache kulinganisha na mikoa mingi, shule za sekondari ni chache, shule za msingi ni chache lakini mbaya kuliko yote Manispaa ya Shinyanga ikiwa ni Makao Makuu ya Mkoa hakuna high school hata moja na Halmashauri yetu imebebeshwa mzigo wa kuhakikisha inajenga shule lakini fedha zilizotengwa ni kidogo sana. Naomba Serikali kupitia Wizara ya Elimu ihakikishe kwamba inatenga fedha za dharula kujenga high school kwa sababu wananchi wengi wanahitimu kidato cha nne na hawana sehemu ya kwenda kusoma elimu ya juu ya sekondari.Mheshimiwa Mwenyekiti, katika afya tuna mradi wa siku nyingi, sasa imepita miaka sita tangu Bunge la Tisa kujenga hospitali ya mkoa, lakini cha ajabu imetengwa jumla ya shilingi milioni 68 kwa ajili ya kuanzisha ujenzi wa hospitali ya mkoa. Fedha hizi ni kidogo sana, hazitoshi hata kujenga zahanati ya kijiji. Naomba Serikali na Wizara ya Afya ihakikishe kwamba inatenga fedha za kutosha kuanzisha mradi wa kujenga hospitali ya mkoa ili iweze kuhudumia wakazi wengi wa mkoa wa Shinyanga. Kwa sasa wakazi wa Wilaya ya Shinyanga Mjini, wakazi wa Wilaya ya Kishapu na Shinyanga Vijijini wanatumia hospitali ya Shinyanga Mjini ya Wilaya ambayo inatumika kama ya mkoa ambayo haitoshi. Naishukuru Wizara ya Afya kwa kukubali ombi langu la kuifanya hospitali ya Kolandoto kuwa hospitali ya ubia na Serikali hilo ni suluhisho la muda tu lakini haiizui Serikali kujenga hospitali ya mkoa kwa ajili ya kuhudumia wakazi wa Shinyanga.-Mheshimiwa Mwenyekiti, wakati nakua nikiwa mdogo mwalimu wangu mmoja aliwahi kuniambia hadithi ya the three sleeping giants, sasa nilipokuwa baadaye nikauliza maana yake ilikuwa nini? Aliniambia the three sleeping giants akimaanisha ni Shinyanga, Mwanza na Tabora kwamba sisi ni majitu makubwa lakini tumelala.-Mheshimiwa Mwenyekiti, sasa tumeamka, tunaomba Serikali iwekeze katika elimu katika mkoa wa Shinyanga, itusaidie katika afya, mambo mengine mtuachie wenyewe tutaweza kujikimu kutafuta fedha kujenga uchumi wetu. Lakini Mkoa wa Shinyanga umesahaulika kwenye afya, elimu na sisi tunachangia sehemu kubwa ya Pato la Taifa. Hii keki ambayo tunaichangia wote, haya mapato ambayo wote tunayachangia basi yagawanywe kwa uwiano na kuangalia kule kunakochangia zaidi na penyewe pananufaika. Sina mashaka na Bajeti hii kwa sababu nafahamu pamoja na kuwa naunga mkono Bajeti na hata rafiki zangu wa Upinzani, rafiki yangu Mheshimiwa David Silinde najua pamoja na maneno mengi lakini anaiunga mkono Bajeti hii kimoyo kimoyo na ndiyo maana hata mimi natumia muda wangu kwenda kuwaona Mawaziri na kuwaomba kukamilisha miradi hii kama rafiki yangu Mheshimiwa David Silinde anafanya.
 
Wakati tunasubiri hoja na majibu, nisaidie kidogo mkuu.

Corporate tax ya madini kule Arusha, zinabaki huko auzinapelekwa Dar es salaam?

Vyanzo vya mapato ya Arusha vinatofauti gani na vyaShinyanga kwa kuangalia katika mtazamo mpana?
Ni nini kinatoa 0.46% Shinyanga ambacho Arusha inazaidi?

Ndio nilikuwa nataka kwenda huko huko na maswali yangu kwa Ritz ambayo anatujibu kwa copy and paste bila analysis. Kwa kuongezea katika orodha ya maswali yako, ningependa kumuuliza Ritz:

*Kama suala ni kodi ya shinyanga kutozwa DSM, Je, Arusha na Kilimanjaro wanahusika vipi na suala la kodi za Shinyanga kutozwa Dar-es-salaam badala ya Shinyanga?

*Kwanini sasa mnakubali kwamba tatizo ni kodi na sio GDP, lakini bado mnasema Zitto yupo sahihi na hoja yake ya GDP?
 
Nani kasema Arusha na Kilimanjaro wanahusika? Watu wanapinga huo mfumo.

Mchambuzi copy and paste zangu ndiyo zinawakera? Lakini za kwako murua jamaa zako wanaziita madini au nikuonyeshe?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom